Rᴀᴅᴅɪ Kᴡᴀ Mᴜꜰᴛɪ Wᴀ Mᴡᴇᴍʙᴇ | 𝗠𝗮𝗮𝗻𝗮 𝗠𝗮𝗸𝘂𝗻𝗱𝗶 𝗬𝗼𝘁𝗲 𝗠𝗼𝘁𝗼𝗻𝗶 𝗜𝗹𝗮 𝗠𝗼𝗷𝗮 𝗧𝘂

  Рет қаралды 4,519

salafi

salafi

20 күн бұрын

@IzudinAlwyDin @AlIhsaanTv @fauzproduction

Пікірлер: 69
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 11 күн бұрын
Tumekuelewa shekh wetu izzuddin wala hatuna shaka
@abuuaminah5655
@abuuaminah5655 12 күн бұрын
Huyu mufti wa nyali angekuwa binti tungemuoza mufti wa mwembetayari
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 13 күн бұрын
Kwa kweli kejeli,matusi na dharau haziwezi kuwa sunna na tutahadhari sisi tunaojigamba kuwa masalafi.Ni daawa gani hii?
@AjatAJAT-ef8tm
@AjatAJAT-ef8tm 18 күн бұрын
Shekhe abdallah humaidi anakupa hadithi kama dalili lakini shekh izudiin anawaeleza anavyo elewa yeye sasa tufate maneno ya Mtume anayoyatoa Abdallah ama numfate izudiin Weee
@abuuaminah5655
@abuuaminah5655 12 күн бұрын
Sheikh Izzudin yuko sahihi.
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 11 күн бұрын
Nani kaomba maiti wewe??
@afyatv7151
@afyatv7151 10 күн бұрын
Huyu mkosoaji anahitaji kusoma zaidi. Watu wanachambua lugha sana mpaka wanapotea. Umma wa mtume ni upi katika hadithi hii.. mbona inajieleza katika simplest form. Umma wa mayahudi na manaswara si umma wa mtume wetu.. hao wamedandia umma kwasababu walikua na mitume wao. Mtume umma wake ni baada ya kupewa utume. Wakiwamo makafiri na walioamini. Sasa hapo ndipo makundi yatakapotoka. Na kundi lake la uislamu ni moja tu na ndio sahihi. Sheikh Izzudin yuko sahihi.
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm 18 күн бұрын
Allah atuongoze katika hakki
@mchumiboy2972
@mchumiboy2972 4 күн бұрын
Mnaendekeza ujinga wenu nyie mtakuwa mmetumwa na mayahudi
@yussufhamad3721
@yussufhamad3721 18 күн бұрын
Ahaa uyumufti WA mubetayar akilizake hayamaneno au alipasha kdg ndo akakaa hapo na kuanza kupotosha jamaani ebu wanuseni midomo awamaghurafiy subuhanallah Allah amuongoze Sisi na wao ktk kuifahamu haki na kuifata na kudumunayo
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 11 күн бұрын
Kwahiyo Salafi, Salafi Jadida, na Ansari sunna nilipi hapo alilokusudia Mtume lapeponi😂
@oxygrp7393
@oxygrp7393 18 күн бұрын
Acheni ujinga kwenye Dini ya Allah na michezo ya kitoto 😢
@user-qk8np3vu3r
@user-qk8np3vu3r 18 күн бұрын
Atapoteza majaheel hana maa na
@user-bk2de8ov6c
@user-bk2de8ov6c 17 күн бұрын
Bismillah
@ahmednoor694
@ahmednoor694 18 күн бұрын
Brother mbona utukane shekhe nenda umuombe msamaha bro cz utakuja simamishwa siku moja uulizwe mbona ulimtusi mjaa wangu ? Mashekhe wamepewa elimu na Allah na warithi wa mtume mbona uvuke mpka bro hakuna shekhe atakaye tutia peponi wala moto ni kutuonyesha to njia ya pepo na njia ya moto so tuwache kujigawanya
@UB40X1
@UB40X1 18 күн бұрын
Nauliza nani alimpa mimbar huyo kibonzo wa mwembe tayari?..Huyo hafai hata madrasa ya chekechea.
@aminaliwasa9438
@aminaliwasa9438 18 күн бұрын
Wewe hata hekima hauna sijui nini umesoma cartoon wewe..waita sheikh mbele za huma kua akili wewe
@abdiabdu7179
@abdiabdu7179 18 күн бұрын
Mtume ali taabiri tu watu kama wewe Maana baba yenu ndio alio mshikia mtume shingo aka mwabia afanya uwadilifu Mpaka sasa hakuna hoja Huyu muhuni anae pija watu raddi daily na mskiti wake una line 4 kelele nyingi tu
@muhammadkarama9996
@muhammadkarama9996 18 күн бұрын
Kwani wingi wa watu ndio yaonyesha ni haqi? Ndio nyinyi wa kupima haqi kwa wengi wa watu kumbe ​@@abdiabdu7179
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 16 күн бұрын
Karkosi huyu😂😂😂
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 13 күн бұрын
Ingekua mzazi wako ambiwa ivo ingekua Sawa kwako?? Tueni na adabu kwnza na ilo ndio wengi tumefeli nako kaxi hukmu tuu ka izo pepo Nixa babu zetu
@user-wj8xg4fr9t
@user-wj8xg4fr9t 18 күн бұрын
Kullu hizbin bimaa ladayhim farihoon
@user-qk8np3vu3r
@user-qk8np3vu3r 18 күн бұрын
Amesoma kwa masharifu Tarim hadhramaut
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 17 күн бұрын
Duuuh! Hili jahil la kisufi kweli mtume katofautisha,makundi ya kinasawara na kiyahudi na umati wangu walomkubali yey watatofautiana,sasa hili jahili la kisufi hizudini unasemaje kakae chini usome,unaptosha umma
@abdullfatah5326
@abdullfatah5326 16 күн бұрын
Nampongeza sana huyu sheikh izudin anajuwa sana kuelimisha dini najuwa ujumbe umefika ndiyo maana watu wanakosowa huku wakificha sura zao kwa kutokujiamini ni dhairi kama ni wavunja dini hawa paka wanaoficha sura zao ni wingi kama huyu aliefanya hichi
@nassifsuleiman9860
@nassifsuleiman9860 16 күн бұрын
kwahyo ukidhihirisha uso wko ndio upo ktk haqqi, weye mbona sura yako umeificha kwahyo maneno yako ni ya kipuuzi tu baki nayo mwenyewe
@abdullfatah5326
@abdullfatah5326 16 күн бұрын
Somesheni nanyie kama munajuwa kweli acheni kuwakosowa walimu
@husseinjuma8005
@husseinjuma8005 16 күн бұрын
Kwaiyo unamaanisha hawasomeshi na kusomesha mpk iwepo youtube?
@majidsaid08
@majidsaid08 18 күн бұрын
Iliambiwa kuwa itafika zama watu ambao hawana ilmu wataonekana ndio wana ilmu na wenye ilmu wataonekana hawana......ndio hawa vijana wa kisasa wao wajifanya wajuwa sanaaa. Na pia zitafika zama kutatokea mashekhe wa kugawanya umahh ndio hawa vijana wa kileo...... dilele ukae usikize mawaidha ya watu ambao huwapendi kisha utafute kuwakosowa......bro toa darsa kulingania umahhh sio wewe kujifanya ndio kuwa wajuwa sana ama msafi huna kasoro ama makosa.......... badilli ya kutengeza akhera yako waharibu
@UB40X1
@UB40X1 18 күн бұрын
Baba hatuna haja na umoja feki. Hatuchanganyi asali na sumu tukanwa kama nyie.
@husseinjuma8005
@husseinjuma8005 16 күн бұрын
Kwaiyo unataka ktk hii din kila mtu azungumze la kwake kwa ufahamu wake?
@zaitunnurhanahmed2031
@zaitunnurhanahmed2031 18 күн бұрын
Munarudisha uislamu nyuma.makafiri watasemaje wakiona viongozi wa kiislamu kazi yao kusutana kama wanasiasa wa kenya.
@nassifsuleiman9860
@nassifsuleiman9860 16 күн бұрын
kaa chini usome kisha utaelewa, hii ndio njia ya kuuhfadhi uislamu na kuwakhofisha walinganizi waovu na waongo
@sumeyasaeed3301
@sumeyasaeed3301 11 күн бұрын
Sasa mimi swali langu kila siku sipati jibu.. kama kurekebishana kwanini iwe mitandaoni?hii haileti manufaa kwetu ila kueneza chuki baina ya mashekhe, sasa huu ni usalafi gani aliofanya mtume wetu kuitana majina ambayo hayawafurahishi wenzio..hapo hata wewe huna usalafi kuita watu mufti wa mwembe tayari, shekhe wa jamaica, mashekhe wavivu etc mtume aliyafanya yote haya? Isitoshe sote binadam hakuna alokamilika..subhanallah twaelekea wapi sisi? 😢 wasiokuwa waislamu wanatucheka.
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 15 күн бұрын
Huyu mufti wa mwembe tayari agekuwa bora wa dereva wa matatu. Hi daawa haiwezi kabisa
@abumuhammad7802
@abumuhammad7802 14 күн бұрын
Wewe waiweza jahil?
@Abdulrahman.84
@Abdulrahman.84 18 күн бұрын
Mimi hakuna kitu na chukia kama nifaq na chuki na hasad..na kusema hivi na kusudia hawa wanaojita Masalafi kina Qassim mafuta Abdalla Humeid na wengineo...wao siku zote hawa na kazi ila kuangika picha za Madaaii..nakuwa kejeli kwa matusi na huku wakidai kuwa picha ni Haramu...Jamani ndugu zangu katika imani nisaidieni kuhusu hili...Jee kweli ni sawa hivyo Jamaa?
@zaitunnurhanahmed2031
@zaitunnurhanahmed2031 18 күн бұрын
Abdallah humeidi watafuta Kiki.umekuwa kama wanasiasa kila ukipanda mimbar wawasuta masheikh wenzio.kama mtu amekosea fanya muonane mujadiliane.sio kusuta masheikh wenzio kwa media.
@bashkamohamed3041
@bashkamohamed3041 17 күн бұрын
WCha kueleweke sheikh Abdullah humeid tunafaidika saana
@tigerroar3545
@tigerroar3545 17 күн бұрын
Ukiharibu lazima uwekwe sawa,
@AliAliyan-ib3sr
@AliAliyan-ib3sr 18 күн бұрын
Mbona wewe huonyeshi sura zako. Na wewe ilmu yako ni mada za wengine tu mizozo tu huna mengine
@adamjutto5849
@adamjutto5849 18 күн бұрын
هو سماكم المسلمون Afu baadae,akikosea wahabi,ooh hajui lugha,si twajua hyo ni sabqu llisaan,lkn nyie bwanaaa,akikosea wahabi oooh koosaaa😂,balaa zito saiv tukonalo waislamu
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 18 күн бұрын
Huyu Dilele Anaonekana anavuta bangi Chooni kisha anaenda towa waadhi msikitini
@user-eh9gy5ul9z
@user-eh9gy5ul9z 14 күн бұрын
Wacha ukumbavu hishima kuwa masheekh wewe ndiyo una vuta bangi ya kisumu
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 18 күн бұрын
Kuna haki gani ya kutumia picha ya mtu mwingine na kuitumia ,, ya kwako haionekani, ndo haki hio ,,,
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 18 күн бұрын
@user-yt2qs7vv9v sawa,, yeye kaweka,, wewe una haki gani kuitumia picha yake,,,? Tena kwa hoja ya kumkejeli na kumdhihaki kwa mambo ya kiimani,,
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 18 күн бұрын
@user-yt2qs7vv9v sawa,, yeye kaweka,, wewe una haki gani kuitumia picha yake,,,? Tena kwa hoja ya kumkejeli na kumdhihaki kwa mambo ya kiimani,,
@Abuu-lr5bz
@Abuu-lr5bz 17 күн бұрын
Kitu cha kushangaza ndugu zetu nyinyi hamtaki kuonekana kwenye video mnaongea huku mmeficha sura zenu lkn hapohapo mnaemradi mmemuweka anaonekana kwenye video kwani isingetosha kuwekatu sauti yake kama wewe ambaye umeweka tu sauti yako kwahiyo wewe unaitakidi VP kuhusu kudhihiri mtu katika video
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 17 күн бұрын
Hii nidalili kua wewe hujielewi wewe mtume ulimuona mbona unamjua au abubaakir ulimuona omar hamza nk mbona husemi unaka haq au sura za mtu huoni kua nidalili kua watu hawaki umaalifu ispkua haq inayofikishwa au pinga kwa dalili sio vituko vya picha sasa ukiona picha sura ndo haq? Khaa?😮
@user-uj7yv1ch6y
@user-uj7yv1ch6y 18 күн бұрын
Sasa wewe na mtume nani anajua?kasema uma wewe unasema waislam acheni ujinga kwenye dini huu ndio uma wa mwisho uma ni wote mnaelimu ndogo sana wajinga nyinyi
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 18 күн бұрын
Hakuna shaka yoyote juu ya "definition" ya shaykh huyu anayejiita salafi. Yupo sahihi kiukweli. Lakini uadilifu wa kielimu hawana. Kwani wanapomuongelea mtu walieamua kumchukia humzulia na hata wafuasi wao kumtusi. Pia wanapoamua kumfanyia Rududi mtu pasina hoja za msingi hufanya jambo:"comments turned off " hii ni kuonyesha namna gani wamekosa uadilifu. "Be aware "Hiyo si sawa kwani wamejitukuza nafsi zao na wanasema uongo hali yakuwa wanajua .
@ellyndaprincess3235
@ellyndaprincess3235 13 күн бұрын
HATA KAMA NIKUELIMISHANA SIO KWA KUVUNJIANA HESHIMA NA KUITANA MAJINA YA AJABU NYIE VIJISALAFI UCHWARA MAVI KUNUKA TAKATAKA LAAANA MYIE MDASHIDA SANA DAAW YENU NI KUVUNJIA HESHIMA WATU😂😂
@alvenmunroe9980
@alvenmunroe9980 15 күн бұрын
Ayo matusi yenu ndo sunna?
@user-eh9gy5ul9z
@user-eh9gy5ul9z 14 күн бұрын
muna stahiki hamutaki kusoma Wala kusomesha
@user-qy9qx5hd2u
@user-qy9qx5hd2u 18 күн бұрын
Dilele usitutajie maimamu tafsiri hadithi kama ulivyo kwani huyo imam swanaan ni mtume?hakuna hadithi ya mtume inayozungumzia makundi ya waislam au madhahab..sasa twende makundi matatu ya answaar sunna..salafi swalihin..na majadida..hao kundi moja au makundi matatu na lipi sahihi?😊😊
@bashkamohamed3041
@bashkamohamed3041 17 күн бұрын
Ww pia taja imamu kama unaweza ama utulie
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 15 күн бұрын
Wewe una Ujinga kweli
@Issa_negro
@Issa_negro 18 күн бұрын
Uislamu hauswihi makundi makundi... Nyinyi wasenge mwatenganisha waislamu Kuma za mama zenu laanatullah... Nyinyi ndo mwatufanya waislamu kutengana
@mohamedshariff9156
@mohamedshariff9156 18 күн бұрын
Watukana na maneno machafu mama za watu tena mwogope Allah tofauti zako kwa misimamo yako isikutie kwenye dhambi bratha.
@adamjutto5849
@adamjutto5849 18 күн бұрын
Lugha ya mjinga hua ni matausi😂
@yussufhamad3721
@yussufhamad3721 18 күн бұрын
Kunafaida GN kutukana mcheallah nduguzangu hii ni ishara ya ujinga uliopo juuyako Allah akuongoze
@Issa_negro
@Issa_negro 18 күн бұрын
@@mohamedshariff9156 so na wewe unawa-support wanavo gawa waislamu makundi makundi
@Issa_negro
@Issa_negro 18 күн бұрын
@@yussufhamad3721 so na wewe unawaunga mkono jinsi wanavo gawa waislamu makundi makundi
1 класс vs 11 класс (рисунок)
00:37
БЕРТ
Рет қаралды 4,7 МЛН
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 35 М.
ARAFA NI SEHEMU SIO SIKU BAKWATA  MSIPOTEZE WATU
51:15
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 3,5 М.
KIKAO CHAKUPATNISHA MWAJUMWALI. No 2
1:16:58
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 2,7 М.
MAKONDA;KAMISHINA NJOO/NAOMBA TUHESHIMIANE/MIMI SIYO MAHAKAMA
11:19
FITNA 7 ZA MUUNGANO ZA MLIZA  MAKAMU WA KWANZA WA RAISI ZANZIBAR
25:43
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 26 М.
На самом деле смерть - это.. #фильм #сериал
0:59
КиноАнгар
Рет қаралды 4,8 МЛН
when I am sneezing
0:10
HiFunnie
Рет қаралды 16 МЛН
Мереке құтты болсын,жігіттер!
25:40
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 338 М.
القطة المسكينة 😭😭🐱 #shorts
0:30
7amoda Gaming
Рет қаралды 16 МЛН