RADDI KWA SHIA GOLO 02 JE IBNU TAYMIYYAH NI KAFIRI || Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 12,483

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

2 ай бұрын

Пікірлер: 226
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
Muhammad ulimi wako una ufasaha sana na unaweleweka vizur. Allah akulinde na shar za ulimwengu
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
Wallah,sheikh ana ufasaha wa kuzungumza
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 2 ай бұрын
Hii ni Barka
@abalkib2866
@abalkib2866 2 ай бұрын
Maasha-Allah.
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 2 ай бұрын
Shekh Muhammad bachu tunakupata mubaashara kutoka chake-chake pemba zanzibar maeneo ya vitongoji darajani mkabala na shule ya vipawa ya fidelcastro.Shekh Muhammad usichoke nandomana hadileyo Allah amekupa uhai kwaajili ya dini yake kwaiyo ww usichoke kwa wapuuzi kama hawo akina golo endeleya kuelimisha umma Naujira wako utaukuta siku ya kiu nanjaaa biidhini llah
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 ай бұрын
Hio shule baado yaitwa Fidel Castro ni makosa
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 2 ай бұрын
@@mohagurey2214 Ndy jina halijabadilika bado
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 ай бұрын
@@mfalmenajjash2128 inastahili kubadilishwa
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
Nilifkiri weye ni mwalimu mkuu wa hio skuli, kumbe ni mtoto wa kitaani, ok
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs 2 ай бұрын
Maaashaaallah sheikh mhammadi bachu usichoke kuzindua watu waijue vzr din
@MohammedOmar-wt3vg
@MohammedOmar-wt3vg 2 ай бұрын
Ndugu Mohammad na Abu almaan lushoto mumefanya kazi nzuri ya kujibu talbis za huyu SHIA. Baaraka ALLAH.
@bakariomari8758
@bakariomari8758 2 ай бұрын
Sheikh bachu umeeleza vizuri hadi tumeelewa. Nakuombea kwa Allah akulipe kwa pepo ya, firdaus na akupe umri mrefu na afya, tele uhudumie dini hii ya haqqi
@user-rq3yj8vi8b
@user-rq3yj8vi8b 2 ай бұрын
Shekh wetu allah akuhifadhi umeelezea vizuri sana kabisa
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 2 ай бұрын
Fact fact fact Sheikh bachu Allah akuhifadhi utuendelee kutuelimisha na kutuzindua maana hii kazi masheikh wengine wameshindwa kuitetea Sunna wanaogopa wataitwa kuwa wanawagawa watu
@abdallahmungwana8667
@abdallahmungwana8667 2 ай бұрын
MaashaaAllah sheikh langu Muhammad Bachu umefafanua viziri
@user-zf3fz5lf4m
@user-zf3fz5lf4m 2 ай бұрын
Mungu akuzidishie elimu sheikh Muhammad
@Biziman-pu4kf
@Biziman-pu4kf 2 ай бұрын
Wallahi nakupenda kwajili ya Allah Naapa kwajina la Allah kwahakika wanafunzi wako wananeema kubwa kukupata
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Allaah akuhifadhi na akulinde na shari za wazushi na waovu wote
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 2 ай бұрын
Amiin
@masoud744
@masoud744 2 ай бұрын
Mashallah.. tunakupata, tunakuelewa, tunakufahamu na unatufundisha
@user-yu9gy6dg3g
@user-yu9gy6dg3g 2 ай бұрын
Allah akuhifadhi yaani nimekuwelewa tena hadi raha vizuri sana, marhum nassor bachu ametuachia hazina kubwa na biidhnillah huko aliko (akhira) zitamfikia malipo makubwa.
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 ай бұрын
Aaamin
@mbjunior166
@mbjunior166 2 ай бұрын
Allah akulipe kila la kheir sheikh Muhammad Bachu!
@MasoudMasoud-ci7vc
@MasoudMasoud-ci7vc 2 ай бұрын
Nyiye munaocoment wengine sikilizeni darsa vizuri usianze kumshambulia bhachu ,muhammad haropoki anachokisema anakitoa kwenye vitabu,na M/mungu amlinde atufunue macho na myoyo yetu.
@osmandunga7431
@osmandunga7431 2 ай бұрын
Siku zote nakuelewa sana Sheikh wetu Muhammad, huyo SHIA hana jipya hiyo hoja hata mtoto wa chekechea anaelewa!
@amazing_ERA
@amazing_ERA 2 ай бұрын
jazak Allahu kheir sheikh Muhammad Bachu. na akuhifadhi Tunakupenda kwa ajli ya Allah
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 2 ай бұрын
al akhy bachu unafanya vizuri sanaaaa jitahid usifanye kwa RIAA
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 2 ай бұрын
Mwalimu Una to motivate vijana kutafuta elimu zaidi Tunashukura sanaaa Mashaallah
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 2 ай бұрын
Naam Naam
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 2 ай бұрын
Najifunza mengi sana kupitia hii channel yako sheikh Muhammadi bacho Allah akuhifadhi
@hamadali3231
@hamadali3231 2 ай бұрын
Alla amjaalie mtoto wangu awe na elimu kama sh Ibnu Tayymi pia awe mlinganiaji ka yy ibn T . Jina la mtoto wangu ni ( ASWIM )
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 ай бұрын
"innamaaa yataqaballu llaha Alalmuttaqiin"
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 2 ай бұрын
*SHEIKH MUHAMMAD SIJUI NICOMMENT NINI, ALLAH AMEKUPA FADHILA KUBWA SANA KATIKA ELMU YAKO HII*
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
Allah akuhifadh sheikh Muhammad
@Abuassma360
@Abuassma360 2 ай бұрын
Sheikh m bachu Allh akujazi kheri
@ShabanHassan-td3lx
@ShabanHassan-td3lx 2 ай бұрын
Maasha Allah, akhiy Muhammad,twakupend sn kw ajil y Allah, na tumekumiss sn unguja.
@khamisisima711
@khamisisima711 2 ай бұрын
Baraka Allah fiika Allah akuhifadhi shaikh Muhammad Bacho
@mustafajuma8628
@mustafajuma8628 2 ай бұрын
mashAllah UST bachuu,usichoke kutupa elmu
@user-fm1ys1rt7w
@user-fm1ys1rt7w 2 ай бұрын
Much ❤sh Muhammad nakupata kutoka Lusaka Zambia
@fadhilitandu7886
@fadhilitandu7886 2 ай бұрын
MashaAllah
@Jumaamsagaty
@Jumaamsagaty 2 ай бұрын
Uko vizur sheikh umefanya niwe na msimamo
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 2 ай бұрын
أسأل ألله أن يوسع لي ولك كلّ طريق وينجيني وينجّيك من كلّ همٍّ وضيق أسأل ألله أن يملأ قلبي وقلوبك بالأنوار ويحفظني ويحفظك
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. 2 ай бұрын
آمين
@user-jz5et7lb9b
@user-jz5et7lb9b 2 ай бұрын
شكرابخيرأناُ‎ُ‎​@@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@khamisisima711
@khamisisima711 2 ай бұрын
امين
@iddijuma1428
@iddijuma1428 2 ай бұрын
Allah akuhifadh shekh Muhammad
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 2 ай бұрын
@nuru ya sunnah pamoja sana ndugu yetu Allah akubarik
@isackwaite-uf1zy
@isackwaite-uf1zy 2 ай бұрын
MashaAllah sheikh bachu
@ramadhanngwilili6261
@ramadhanngwilili6261 Ай бұрын
Allah unamuona usingizini tena, SubhnaAllah
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r 2 ай бұрын
Baaraka llahu fik
@user-wk5ju8kd3u
@user-wk5ju8kd3u Ай бұрын
Masha Allah maneno safi Allah akulinde
@pablooo4197
@pablooo4197 2 ай бұрын
Shukran al akhy, tunakupata vyema
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 2 ай бұрын
Alhamdulillah BaarakaLLAH fiika
@omarysungi4635
@omarysungi4635 2 ай бұрын
Allah akulipe kheri duniani na akhera pia kwani tumewajua wanaotuvurugia dini yetu
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 2 ай бұрын
Nondo juu ya nondo Muhammad bachu mbona unapiga makwaju ya mbiyoni namna hii kumbuka wanamishono halafu unapiga kwenye mshono nihatar ya shek.Nasubiri Golo aje kuomba radhi mbeleyetu sihivyo hatamm nitaenda kumkandamiza uko tuendako nipo tayar kukaa ushahidi juu yahili wallah thuma wallah 😢
@user-wm5vj2vi1g
@user-wm5vj2vi1g 2 ай бұрын
Mwamba
@Abuushawkan
@Abuushawkan Ай бұрын
بارك الله فيك أخي الكريم
@saidjuma4547
@saidjuma4547 2 ай бұрын
allah atulipe kheri nyingi inshallah
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Shekhe jazakum llahu khaira, allah akulinde na mahasidi kwakupambana na watu batili na maadui wa dini ya mwenyezi mungu, watandandike hao maguruwe wa motoni Shia wamekuja kuvaa vazi la uislamu kiunafiki lengo kuangamiza dini ya Allah na kuwatowa waislamu kwenye dini yao,hili lipo wazi kama kuna mwislamu anaamini shia ni muislamu atakuwa anamatatizo ya ubongo wa akili muislamu anaejuwa uislamu hawezi kuamini Shia ni mwislamu huyu ajui maana ya uislamu na vitu vinavyomuweka mtu kwenye uislamu na vitu vinavyo tenguwa uislamu, ni sawa na mtu kuchukuwa udhu ukibatilisha udhu huna swala Sasa ni ajabu mtu anakwambia tupu ya mtume itaenda motoni kisa alikuwa na wanawake wawili washirikina aysha na afsa hivi hata mtoto mdogo kiakili umuulize hivi vipi wasemaje huyu bado mwislamu anakukatalia kabisa kwa uwezo wa Allah.lakini cha ajabu kuna ndugu zetu masufi wao ndo wapambe wao mashia wapo tayari mtume adhalilishwe siyo mshia kudhalilika haya tunayaona kila siku mitandaoni wanajaa jazba Shia akisemwa vibaya ukuta shekhe anapanda jazba kumtetea mshia Sabu ya ugali wanaopewa ndo wapo razi omary anaitwa mwenda wazimu, Abubary kaitwa jambazi tapeli, na aysha kaitwa mzinifu,lakini wao hawakioni hilo sisi tukisema na kuwatetea maswahaba wamtume utasikia mawahaby waleta farka mawahaby hawataki umoja wa uislamu sisi tutaendelea kuwatandika tuu,Allah ndo msaidizi wetu pamoja na kejeri zenu hatujali wala hatujali kabisa lengo kumtetea mtume wetu na kuwahami swahaba anaona tunalofanya ni la hakki na ndomana hamueezi kuizima nuru ya mwenyezi mungu Jambo la hakki ni kama mtu aloshika Moto bwana.
@madrasatunnajmizzaahiral-i2478
@madrasatunnajmizzaahiral-i2478 2 ай бұрын
Wewe yaonekana hata uislamu huujui kabsaa,ila wajua jina tu.Siku M/Mungu akikupa kitabu cha aamali zako na ukakuta hayo ulowasemea Shia. Chukua tahadhari qabla ya siku hiyo,kwa kufanya hivi: Kusoma vitabu vilo andikwa na shia wenyewe,utawafahamu kwasura yao ya hakika.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
@@madrasatunnajmizzaahiral-i2478nawao wachukue tahadhari kwa Allah dhidi ya matusi kwa maswahaba na wakeze mtume kufaru Shia najisi nguruwe wa motoni
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt 2 ай бұрын
Jazzakallah Tabarakallah shekh muhammad nassor bachu Allah akuhifadhi. Majibu mazuri kwa jahil shia golo.
@user-tq1nd9md1n
@user-tq1nd9md1n 2 ай бұрын
Sheikh Muhammad Allah akulipe malipo mazuri na makubwa,Kuna jambo kingine ulitolee ufafanuzi,adui wa Jibril ndio alie aliekuteremshia wewe huu qurani
@abalkib2866
@abalkib2866 2 ай бұрын
Ilo c la kushangaza kabisa kuota umemuon mungu kipindi tuko wadogo madsani kulikuw na mwalimu mmoja Anachezesha viboko ajabu. Mpka kuna mwanafunzi mwezetu cku moja alikuja chuoni na kusema ya kwamba aliota kiama tyr na Mungu ni huyo Mwalimu. AstaghafiruLLah.
@omanoman-ir1ez
@omanoman-ir1ez 2 ай бұрын
jamani yee mungu hakuzaa wala kuzaliwa sasa kumwona mungu kwa sura ya kijana na nywele za kipilipili mmh hata mie napata shaka na hadithi hiikwani si kuna hadithi sahii na si sahihi mbona hii inaonekana kama sio sahihi mungu kaonekana kama mtu tena kijana mmh!! mashekh wetu muee makini bwana
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 2 ай бұрын
Maashaa Allah Jazaka Llahul khayr 🤗 hakika Allah hajaleta maradhi bila ya dawa ❤ umekua dawa ktk nchi zetu hizi Allah akuhifadhi😊
@user-do1pq2uu1c
@user-do1pq2uu1c 2 ай бұрын
Salaam hapa ifahamike kua siwezi kumkufurisha ibn taimiyya alipoelezea alivyomuona allah kwa namna alivyomuona hapa ndopenye shida haikataliwi kua mtume s a w alimdiriki mola wake ispokua hii kuelezea alimuona kwa namna fulani hapa ndipo penye mushkil
@MohamedMwangare-sw3sl
@MohamedMwangare-sw3sl 2 ай бұрын
ما شاء الله.its really something
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 2 ай бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@user-rp4eb5xw1z
@user-rp4eb5xw1z 2 ай бұрын
Mashallah sheh Allah akulipe kila la heri hapa ndunian nakesho akhera naiman hata huyo mbwa Shia ameelewa nn unasema
@huseinsuleiman1580
@huseinsuleiman1580 2 ай бұрын
Allah akulipe na akusimamie ili utuzindue katika elimu ambayo hatunayo
@universitylink
@universitylink 2 ай бұрын
Mashaallah tabrakallah
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 2 ай бұрын
mashia hawajitambui na hakuna watu waongo kama mashia. Mashia na Mayahudi hawana tofauti katika uongo
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 2 ай бұрын
Na sema tena huyu shafii na wenzake akauze mandazi jamani..😂😂
@saidsalum523
@saidsalum523 2 ай бұрын
Muhammad namuomba Allah akulipe kheri,,kwa kweli huyu jamaa sijui ana njia ya kujitetea,,anapotosha bila ya khofu,,wewe Muhammad anatosha kumueka sawa huyu jamaa,,yaani kama hajatubia atakwenda kujibu,,kumbe Ibn Tymiya mwenyewe anakataa,,Ewe Shafii Basalim muombe Allah msamaha,,ujue umemdhulumu Ibn Taymiya.
@user-uv7jl2bk4p
@user-uv7jl2bk4p 2 ай бұрын
Acha kufru bachuu ,hadithi za kutunga hizo Allah haonekani kasema ktk kur aan mtume hawezi kusema kitu kinacho pinga kur aan
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 ай бұрын
Wewe ndio unasema hio Hadith ni dhaifu? Mbona wanazuoni hawakudhaifisha mojawapo imam suyuti
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 2 ай бұрын
​@@mohagurey2214kitu ambacho hukijui ndugu yangu Hawa wanaopinga Hadith wanaitwa QUR,AAN YUUN ni mashia ambao hawaamin Hadith za mtume Swalla llaahu alayhi wasallama Bali wanaamin Quran peke yake
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 2 ай бұрын
Sasa nyie QUR'AN YUUN hapa mnafata nin mana mmempinga mtume Swalla llaahu alayhi wasallama mana hamuamin Hadith zake nyie mashia
@binbuhakhamis4336
@binbuhakhamis4336 2 ай бұрын
Umeambiwa nikuonekana kwa njia ya ndoto hiv unaijua ndotoo..
@HamadHamduni
@HamadHamduni 2 ай бұрын
Mashia ni wagumu wa kuelewa.
@suleimanadim6522
@suleimanadim6522 2 ай бұрын
Bachu hapo tuwache tupe aya ya QUR_AN UNAZUNGUKA TU HAPO HAPO HUJATUPA USHAHIDI ALLAH HAFANANI NA KITU CHOCHOTE IKIWA KUZUNGUMZA NAE ALLAH ANASEMA HAIKUA KWA KIUMBE YEYOTE KUZUNGUMZA NA ALLAH ILA WAHYI AU NYUMA YA PAZIA AU HUMTUMIA MJUMBE AMPE WAHYI ANAEMTAKA KWA IDHINI YAKE VP KUMUONA TENA UNASEMA KAVAA KANZU NA VIATU VYA DHAHABU DUH SUBHANALLAH USITUBURUZE
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 2 ай бұрын
Mbumbumbu hata ueleweshwe hutakaa uelewe, tafuta madarisi ukasome @suleimanadim
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 2 ай бұрын
​@@maryamabdallah3140😂😂😂 msamehe bure
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 2 ай бұрын
Fii qulubihim maradhw fazada humu Llahu maradhwa. Hawa ndio swummun, bukmun, umyun. Allah atuhifadhi
@LucasNicoraus-xi5ux
@LucasNicoraus-xi5ux 2 ай бұрын
Assalaam aleykum.... ndugu ktk lman.... jaman embu wote mlo msapot huyu kijana toeni shahada upya tafadhali... zindukeni waislaam haitakikani kwa muumin kuitakidi kua mungu anafanana na chochote pia haitakikani kuitakidi kua mtume kamuota Mungu alafu akahadithia , ikiwa maswahaba walishindwa kumuhadithia mtume sw sura rasmi na umbo jins alivyo waajabu, leo wew unasema mtume kaona usingizin mungu yuko sampuli fulani ... waislaam achaneni nae huyu kijana huyu mpotoshaji lngelikua Allah angetaka ajitangaze alivyo Astaghfirullah basi safari ya lsraa na Miiraji Mtume aliongea na Allah... basi angehadithia lakina hakumuona bali alikua karibu nae na wakizungumza ila ckwakumuona ....waislaam zunduken lnshallah Allah amuongoze
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 2 ай бұрын
Hakika umebeba imani kwa pasipo haqi ndomana haulewi Allah akuongoze utoke kwenye ushia
@dancanmusakhionganyo4270
@dancanmusakhionganyo4270 2 ай бұрын
Allah akupe pepo
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 2 ай бұрын
Aaamin Yaarabbal A'lamin 🤲🏽
@rahimmbezi9936
@rahimmbezi9936 2 ай бұрын
Sheikh Muhammad Allah akuhifadhi.. lakini pia tunataka uwazungumzie kwa kina hawa hizbu salafi...madaakhila na makhajaawira... akina kassim mafuta, na wenziwe... tunaomba sheikh uchambuzi wa kina... BARAKALLAAHU FIYK.
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 2 ай бұрын
Huyu shia mimi nasema alikua anatafta umaarufu tu ndo mana alikua anakurupuka na sasa kwa sababu sheikh Muhammadi kamradi kapata kujulikana tayar Allah amuongoe awache chuki zidi ya wanachuoni wa kisalafi
@Mathsconcepts495
@Mathsconcepts495 2 ай бұрын
Katika watu ninaowachukia sana ni huyo shia golo shafii baasalim ni muongo sana anadanganya na kitabu anacho mkononi
@RashidiIsmaili
@RashidiIsmaili 2 ай бұрын
Walaykum salaam warahalatullah wabarakaatuh unasema ahujaelewa nahona wewe ni mvivu wakuhelewa maana muhamed bacho yuko muwazi kafafanua
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 ай бұрын
Huwezi kupata watu waongo wazushi zaidi ya mashia
@KhamisDaud-nz3rc
@KhamisDaud-nz3rc Ай бұрын
Zaadakallah ilma
@RajabuAdam-qn2kf
@RajabuAdam-qn2kf 2 ай бұрын
Allah akulipe kheri
@izmamuizmamu6521
@izmamuizmamu6521 2 ай бұрын
بارك الله فيك
@user-cx1bd1pp9o
@user-cx1bd1pp9o 2 ай бұрын
Kuitakidi Mungu yu ana mfano ukafiri mn inapingana n kur an iyo hadithi n ukafir kw muislam kuitakid ivo
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 2 ай бұрын
Fungua moyo acha kubeba imani kwa ujinga
@user-cx1bd1pp9o
@user-cx1bd1pp9o 2 ай бұрын
@@kasimubangu1875 imani gn y kua n Mungu mwenye vipilipili n kisura n viatu vya zahabu km cy ukiristo n usheitwan huu
@user-xn2yf6nv1i
@user-xn2yf6nv1i 2 ай бұрын
شكرا على كل خير
@user-wh3et9pu3h
@user-wh3et9pu3h 2 ай бұрын
tunakupata vizuri na tunaona raha sana
@aooshosho4255
@aooshosho4255 2 ай бұрын
Watajuwa hawajui wape kabisaa Kaka
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Shekh Muhammaad Maashaa Allaah kwa hakika wewe ni mwalimu mweledi mnoo kwa wazushi wa Tanzania😂😂😂
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 2 ай бұрын
sio Tz pekeee na kenya piaaa
@saidmruu5897
@saidmruu5897 2 ай бұрын
Asalaam aleikum Kaka... Allah akuhifadhi na akulinde...Naomba kama ulivo chambua hadithi...,,Naomba uchambue.. hili suala la kuinua mikono katika kila nguzo MTU akiswali..
@FadhilSaid-mb2yk
@FadhilSaid-mb2yk 2 ай бұрын
MASHAALLAH
@Chibuy-ly5kt
@Chibuy-ly5kt 2 ай бұрын
huko mnako kwenda kwakumuona( allaah...) ni uwongo kuruan haija sibitisha mfano wa( allaah..sw) sasa kwaelim ipi hio yakumuona( MImungu mtume.. muhamad ) sasa swali la kipuuzi tu unaweza kuona kitu kisicho mfano ikaendelea kutokua na mfano 🎉 hakuna hio nakama ni ndoto bas ni chafu km nyenginw katika juzuu 30, quruan muko sura mpk ziko na aya 3 lakini hakuna hiko kitu
@HamadHamduni
@HamadHamduni 2 ай бұрын
Mashia wanapoteza Sana watu,mungu akulaani shafii
@yusuphmaulid3717
@yusuphmaulid3717 2 ай бұрын
Fanyeni ibada usiku acheni kukeshe kuandaa matusi
@user-jz5et7lb9b
@user-jz5et7lb9b 2 ай бұрын
Mashllah
@rashidjuma9169
@rashidjuma9169 2 ай бұрын
Twasubiri mtanange mwengine baada ya mtanange wa barzanje.
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 2 ай бұрын
Allah akubalik
@salluhimuhammed862
@salluhimuhammed862 2 ай бұрын
Assalaam alykum warhamatullah, sheikh Muhammad apa nimekwama wallah hii mara ya pile nackiliza bdo akili haijapokea haya maneno, kswabu Allah hafanan na chochote kwann aotwe kua ni kijana kavaa viatu kavaa nguo hii ipo vp na Ile Aya ya kua Allah hafanan na kitu chochote, au sabau mm elimu cna ckusoma naomba nieleweshe zaidi ya hpo km inawezekan km haiwezekan bc, nibaki tu nifanye km ckuckia hayo maneno
@user-wh3et9pu3h
@user-wh3et9pu3h 2 ай бұрын
na hiyo ndio itikadi ya ibnu Taymiyya kuwa Allah hafanani na chochote, rejea tena kusikiliza utafahamu
@dulividuli5237
@dulividuli5237 2 ай бұрын
Km hujaelewa rejea tna video
@medinaser9712
@medinaser9712 2 ай бұрын
Nahisi hii hadithi ya mtume kumuona Allah ina walakini inaweza kuwa ni uzushi....kwa sababu hasemi kwa matamaniyo yake
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 2 ай бұрын
​@@medinaser9712mawahabi ni bangi tu wanazingua, mawahabi wanaamini mungu ana macho,mikono,miguu,
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 ай бұрын
​@@MohammedSaid-zk7yg ata Quran inaamini hivyo
@user-ug8hc4yh5k
@user-ug8hc4yh5k 2 ай бұрын
Iyo ni nguruwe la kishia ndio inamkufurisha sheikh wetu Islam ibnu taimia ni nguruwe la kishki
@AziziMachweo
@AziziMachweo 2 ай бұрын
Mashalah ibn bachu
@abdullahimohamudosman3695
@abdullahimohamudosman3695 2 ай бұрын
Maa shaa Allah, jazakallahu kheyra, sheikh weka namba zako tukutafute kwa ajili ya maswali na ufafanuzi wa hoja mbalimbali in shaa Allah. Allah akujaalie Kila lenye kheri kwako duniani na Kesho siku ya akhera. In shaa Allah Amiin
@user-qy9qx5hd2u
@user-qy9qx5hd2u 2 ай бұрын
Msituchanganye..1.kama mtume amemuota Allah angemsimulia mkewe bi aisha..hadithi kama kweli ingetoka kwa mkewe direct..2.Kama sisi tukimuota mtume sio ndoto ya kishetani je Allah atampaje mtume ndoto feki?3.kama mungu hana mfano LAM YA KULLAHU KUFUWAN AHAD..inakuwa mtume amuote Allah kwa mfano au umbile?je mtume anaota ndoto feki?hadithi sio aya
@saidmuhd611
@saidmuhd611 2 ай бұрын
Haya maneno ni mazito sana, sina elimu yoyote lakini najua ndoto za Mitume ni za kweli hakuna ndoto ya uongo kwa Mtume. Kuzileta hadithi kama hizi ukazinabisha na Mtume hata kama ni ndoto, ataachaje mtu kuzama kwenye fikra za upotovu.
@Dhikriqadiriarazaqia
@Dhikriqadiriarazaqia 2 ай бұрын
Yes, yaaani mawahabi ni wajinga , eti mtume aote ndoto halafu aje amdhoofishe ibntamiya😅 Hapa na mimi naanz kuuona ukafiri wake
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
​@@Dhikriqadiriarazaqiatuliza sana kusikiliza kuliko kujifany unajua wala hujui. Kama hapo hujaelewa wala uelew tena
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 2 ай бұрын
Sio kua na fikra mbovu tu mtume Swalla llaahu alayhi wasallama anasema akijiwa na shetani mmoja wenu akawa anawaza kwamba hivi nan kaumba kitu falni na flani hadi akafikia kusema nan kaumba mbingu na Ardhi na viumbe wote Kisha aende mbali aseme hivi nan kamuumba ALLAH? Hapo mtume Swalla llaahu alayhi wasallama anasema mtu huyo akianza kuwaza kua nan kamuumba ALLAH bas na amuombe ALLAH ulinzi mana atakufuru. Sasa ndo nyie halafu muwe mnaskiliza darsa hadi mwisho mana Kuna nukta nyiiingi mmeziacha hamjaskiliza unaambiwa unachokiona kwenye ndoto sio uhalisia wake kitu kile kama alivoota nabii yusufu anasujudiwa na nyota halafu alivoamka huko baadae tafsie ya ndoto yake ilikuja kua ni ndugu zake baada ya naabii yusufu kua mfalme😊 Kuewni na Akili basiii😂😂
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 2 ай бұрын
​@@Dhikriqadiriarazaqia sikiliza darsa hadi mwisho acha ku comment kabla hujaskiliza ukaelewa ungeskiliza usinge kurupuka kuandika haya😂😂😂 mna chuki na sisi wa wa sunna mashia wote nyie mmepotea tu
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 2 ай бұрын
​@@Dhikriqadiriarazaqia Mijnga ni wewe. Yusufu alipoota anasujudiwa na nyota ndo zilikuwa nyota kweli eti?.
@abdulrahmanmussa4479
@abdulrahmanmussa4479 2 ай бұрын
Sheikh letu hao ni matapeli
@user-ti6tn7bs9q
@user-ti6tn7bs9q 2 ай бұрын
Shia Koko anataka umaarufu tu yulee njaa kaliiiiii inamsumbua
@juvenalymwanalyela202
@juvenalymwanalyela202 2 ай бұрын
Mnabishana nin Wakati mtume ndiye aliye muona allah ni kakijana hakana ndevu natunywele twake nitwakipilipil na mwengine anasema ni mwanamke tumwamini nani
@Abuassma360
@Abuassma360 2 ай бұрын
Lakini sheikh m bachu na je yajuzu kuzungumza au kusimulia kua kw mfano umemuona mungu au mtume kw khal moja au ingine
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 2 ай бұрын
Umemuona wapi usingizin au. Ikiwa ucngizini Mtume SAW anasifa zake ukija kumuona Mtume SAW ni mweuc bc cie uyo jadhalika Allah hakuna alomuota ila Mtume SAW na hatujui io ndoto inamaana gan sasa cc tulobak ata tukimuona Mungu ucngizin tutafute wafarir wakuwaamin waiague hio ndoto
@ameirameir4349
@ameirameir4349 2 ай бұрын
Muhammad Bachu wape somo hao mashia murtadi
@rashidjuma9169
@rashidjuma9169 2 ай бұрын
Mshaanza mchezo mchezo sisi tunawaangalia nani mshidi,
@ibrahimselemani-nq2nc
@ibrahimselemani-nq2nc 2 ай бұрын
Yan huyu shia kwa sababu ya chuki zake inakua ngumu kupata cha kukosoa na hawezi akapata huo ukafiri kwa ibn taymia
@ZayanaIdrisa
@ZayanaIdrisa 2 ай бұрын
Ustake umarufu kwa kukufurisha wanaochuwon jitahadhar eendugu
@chudybalckonlionetv5495
@chudybalckonlionetv5495 2 ай бұрын
Rudi kwanza kwenye clip ya mwanzo
@athumanali2969
@athumanali2969 2 ай бұрын
Nahuyo yusufu diwani nae atiewe sufuriani anachafua sana ahlusunna kuita ni tawi la kikiristo
@user-ee2wd3fv1s
@user-ee2wd3fv1s 2 ай бұрын
Amesharipuliwa na shekh Muhammad Is haka vzr tu tunamsubir arud tena mshirikina
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
Watu wanamuangalia tu maana hana hoja ya maana huyo yussuf diwan. Nd maana hakuna mtu anapoteza muda wake kwa mtu wa kuropoka tu
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 2 ай бұрын
Njoo live kwenye mnakasha
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Shia hawana akili hawa watu kama wamemtusi mtume na kuwakufurisha maswahaba wanashindwaje mkufurisha ibnu temmiyah wao ni dogo sana hilo kwao kama swahaba wa mtume hawajasalimiika watamuacha shekhe islamu bin temiyyah.
@user-un9cg9ty6r
@user-un9cg9ty6r 2 ай бұрын
Asalam!!! Nashangaa na SHEIKH Muhammad, et o Tunaangalia Wakumjibu Wakati Ulitumiwa Link zabwana Shafii Akimkosoa Ibntaymiya Je ! Kuna akukaliwa kimya zaidi ya hilo... Mbona Umekuja Kumjibu U ungekaa Kimya Tu.
RADDI KWA SHIA GOLO || 03 || JE IBNU TAYMIYYAH NI KAFIRI || Muhammad Bachu.
1:10:16
Muhammad Bachu PAMBANENI NA ALBANI KWANZA KISHA NDIO MUJE KWETU.
12:39
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 19 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 21 МЛН
RADDI KWA SHIA GOLO || JE IBNU TAYMIYYAH NI KAFIRI || Muhammad Bachu.
46:03
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 15 М.
JAMAA ZETU MASUFI,MAHIZBI WANATUJADILI NA KUTUSINGIZIA HAYA
2:00
ASILAUMIWE  RUSAGANYA ALISEMA KWELI//INAFAA KUFANYA JIMAI MCHANA WA FUNGA.
16:00
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 104 М.
SHIA NI WATU GANI..??
6:58
Hudhaifa TV
Рет қаралды 4,4 М.
Muhammad Bachu KAMA HII SIO SHIRKI BASI TURUDINI TENA TUKASOME.
21:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 65 М.
MAJIBU KWA KIBARAKA WA QASSIM MAFUTA JADIDA HASSAN WAZIRI || Muhammad Bachu
1:06:29
ИГРАЮ ЗА ОТЦА 😱 В SchoolBoy | SchoolBoy Runaway
19:56
ЛИГЛЕЙЧИК
Рет қаралды 1,3 МЛН
Школьник ► SchoolBoy Runaway ► Побег в Закулисье
14:17