RADDI KWA SULE || USIDANGANYE WATU KWA MAPETE YAKO || Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 95,252

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

2 ай бұрын

Пікірлер: 872
@user-mv6bm9ki4l
@user-mv6bm9ki4l 2 ай бұрын
Alla akulinde na Hasadi shehe Bachu,HAkika baba yako ameacha jembe
@AliMohamed-qr6up
@AliMohamed-qr6up 2 ай бұрын
Mwanzoni nilikuwa nadhania huyu sheikh anapenda kuongea ongea sana kumbe anatutoa kwenye ujinga na kutupeleka kwenye haki..Allah akubariki sheikh
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 2 ай бұрын
amiin
@user-xg7jn5sn9c
@user-xg7jn5sn9c Ай бұрын
Yeah yupo sahihi sana ALLAH atuongoze sote kwenye njia ya haqi
@mtz5582
@mtz5582 2 ай бұрын
Sheikh nimekukubali sana.Mimi mkristo hapa
@mokitaa8750
@mokitaa8750 2 ай бұрын
Dr sule anachanganya mafile ameingia kwenye njia mbaya ALLAH ATUONGOZE SOOOOOTE UMMATY WA MUHAMMAD S.A.W
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci 2 ай бұрын
Simba wa Allah ❤️❤️❤️ ikumbukwe ya kwamba mtoto wa simba ni Simba nae Nakupenda akhi kwa ajili ya Allah ❤❤❤
@shijasagali5161
@shijasagali5161 2 ай бұрын
Jazakhallah khaira sheikhe Muhammad Nassoro Bachu, haya mambo ya unajimu yanashadihishwa sana kuwa, yanamafungamano na dini,asante kwa kuutoa giant umma wa kiislamu.
@ImanSaid-ox3po
@ImanSaid-ox3po 2 ай бұрын
Nimefarijika sana kuskia sauti yako juu ya kukemea ushirikina huu, {Allah akuhifadhi shekh Bachu}
@k.kchakua1376
@k.kchakua1376 2 ай бұрын
Jazaqallahu khaira Sheikh Bachu.. Sijui nakupataje nikupe Zawadi.. Umefanya Jambo kubwa sana na Allah atakulipa Aamin.
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 2 ай бұрын
amiin
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 2 ай бұрын
Allah akuhifadhi na akupe umri mrafu wenye kheri na baraka na mwisho wako uwe mwema . Aamin
@abdallahashajuma1281
@abdallahashajuma1281 2 ай бұрын
Amiin
@user-dd3kb4uh8s
@user-dd3kb4uh8s 2 ай бұрын
Ameen
@suleimansuleiman7947
@suleimansuleiman7947 Ай бұрын
Aamiyn
@hadijahamza1556
@hadijahamza1556 2 ай бұрын
Allah akulipe kheri sheikh, waislamu wengi wanakufurishwa na watu walioaminiwa katika dini, tuzidi kuelimishana
@HussainMaula-wr5co
@HussainMaula-wr5co 2 ай бұрын
Unajua watu kama shekhe bachu Allha awahifazi wametutoa wengi kwenye kiza kwani uisilamu tusipousoma vizuri tutajikuta twakosea na maishilizio yetu yakawa motoni ALLHA HUMA AJIRNA MINA NAR.
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 2 ай бұрын
amiin
@amanimwabilo3623
@amanimwabilo3623 2 ай бұрын
Wallah hii ndio radd ilio na manufaa kwa umma Sule amezidi kufuru na kupoteza waislamu Allah atulinde na watu km huyu Sule
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 2 ай бұрын
Wewe unayo elimu ya kumkosoa? Unajuaje kama kakosea?
@mshambaused3840
@mshambaused3840 2 ай бұрын
Hakika
@khamisiramadhanikhamisi9516
@khamisiramadhanikhamisi9516 2 ай бұрын
Mwenyezimung mihifadh she muhamad bachu kwa kila shari ya shetan na binadam aaamin
@sadathashimu223
@sadathashimu223 2 ай бұрын
MashaaAllah laa Quwwata illa billah Shekh Muhammad bachu nakuombea Dua kwa ALLAH mtukufu akupe umri mrefu wenye kheri kwa Dunia Yako na akhera Yako na akuzidishie elim Ili watu wazidi kunufaika Aamiin aamiin aamiin
@user-pd2fk6kt5i
@user-pd2fk6kt5i 2 ай бұрын
Nilikuwa na subiria sheikh yoyote atakaye mpa nasaha Sule kwakweli kavuka mipaka Allaah azidi kutuongoza kwa Neema zake Shukran ya Sheikh Muhammad Nassor
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 2 ай бұрын
Amiin
@k.kchakua1376
@k.kchakua1376 2 ай бұрын
Katereza
@user-pd2fk6kt5i
@user-pd2fk6kt5i 2 ай бұрын
@@k.kchakua1376 hivi jinsi sule alikuwa akizungumza na ujasiri yaani wasema katereza kweli 🥲anapotosha jaami kiasi kikumbwa sana
@k.kchakua1376
@k.kchakua1376 2 ай бұрын
@@user-pd2fk6kt5i Ndio katereza my dear kakosea Ujasiri wake nikuaminisha watu uovu.. Kajivunjia thamani yake aliokua nayo
@k.kchakua1376
@k.kchakua1376 2 ай бұрын
Kutereza ndio.. kukosea Zulfa..Amekosea na kajishusha heshima sana
@dadithemr.4029
@dadithemr.4029 2 ай бұрын
Hotuba yangu bora kuisikiliza kwa mwaka huu (One of my best semon in this year...) jazaakallahu khayrah...
@HappyKiteboarder-du9th
@HappyKiteboarder-du9th 2 ай бұрын
Naungana na wewe hii nizaidi ya hutuba nizowahi kuzisiliza
@allydavy6919
@allydavy6919 2 ай бұрын
Same to me here😢
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 2 ай бұрын
Nampenda sana Ustadh Bhachu mwanzo anapotoa khutbah zake madoido za kumfanya mskilizaji aweke manani sana 😂😂 Allah amhifadhi
@user-je6ze3ef3e
@user-je6ze3ef3e 2 ай бұрын
Amiin
@bornvillagevlog4566
@bornvillagevlog4566 2 ай бұрын
Alafu bro Dr sule maybe ame chizi ama ako crazy??? Ebu waobewe na harmonize wote wawili he hii ni balaa juu ya balaa aki
@CKMO
@CKMO 2 ай бұрын
Ahsamte shekh wetu hawa watu wanaturajeshe kwenye dini za mashia na mashetani mungu atuhifadhi Amin
@user-rz2ek3qw3h
@user-rz2ek3qw3h 2 ай бұрын
Ahsante sana sheikh bachu kwa kuwa mkweli na kuwafichua wanafiki wanaojiita waislam ikiwa wao ni wachawi tu. Df. Sule kakosa vyote, elimu ya kawaida darasa la Saba na elimu ya dini 0 ila elimu ya kichawi 500% waislam muogopeni Dr. Sule ni mshirika a siyo muislamu.
@ZainabHassan-hz4no
@ZainabHassan-hz4no 2 ай бұрын
Shekhe Allah akuhifadhi maana unatufundisha ilihali mashekhe wengine wanatudanganya
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 2 ай бұрын
Uyu sule kanikwaza sana na mipete yake hiyo, Allah amuongoze inshaAllah mm bado natamani awe shekhe mzuri kama mwanzo
@abdalahngozi5455
@abdalahngozi5455 2 ай бұрын
Kweli dr.Sule kiukweli hana elimu ya dini,ni janja janja tu za mjin ila Allah atujaalie mwixho mwema in shaa Allah
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
Muhammad bachu ❤❤ Allah akupe kila kitu unachokipenda ktk moyo wako
@hawa6052
@hawa6052 2 ай бұрын
Allah amrehemu Baba yako Nassor Bachu ampe Firdausi ameeen
@zulkhasalim3405
@zulkhasalim3405 2 ай бұрын
Amin
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Amiin
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 2 ай бұрын
Aaamin Yaarabbal A'lamin
@saidyussuf2291
@saidyussuf2291 2 ай бұрын
Aamiin yaa Rabby
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 2 ай бұрын
Amiin Yarabi mpe pepo ya juu
@MuhammadWesonga
@MuhammadWesonga 2 ай бұрын
Sule kavuka mipaka,amedhihirisha unafiki wake katika uislamu,amependa na anapambana dunia sana mpaka amepoteza mwelekeo wa Allah na mtume, SsalaAllahu alaihi wasalam
@SaidiRajabu-qn1gv
@SaidiRajabu-qn1gv 2 ай бұрын
ALLAH bless you mtoto wa mzee bachu ALLAH amuongezee Nuru katka kabur lake AMEEN YARABI
@wigoramso5436
@wigoramso5436 2 ай бұрын
Allah akulipe kila kheri kwa kuimalisha imaan za waislaam waliokata tamaa na dini yao haya mambo yasemwe mara kwa mara kwa manufaa ya umma usiingie katika shirki
@RashidiIsmaili
@RashidiIsmaili 2 ай бұрын
Tumeitwa ummati bora lengo lipi tuna amrishana mema na kukatazana mabaya
@user-nk3dp9cv9c
@user-nk3dp9cv9c 2 ай бұрын
Sahihi
@FatumaLulu-bp7ms
@FatumaLulu-bp7ms 2 ай бұрын
YA ALLAH wape umri mrefu MASHEIKH WETU wanaotuongoza katika haki AMIIN ....YA ALLAH tuepushe na ushrkina na utujaalie na mwisho mwema AMIIN....
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Amiin
@salmanassor8732
@salmanassor8732 2 ай бұрын
امين يارب
@zuhoor-mc7hq
@zuhoor-mc7hq 2 ай бұрын
Masha Allah tabarakallah jazakumllahu khayra shekh wetu mola akuhifadhi huko ulipo na Shar z walimwengu waovu amiin mola atujaalie mwisho mwema wa mauti yetu na atujaalie atuktanish pmj na rasullu swallahu alayhi wasaalama peponi Ameen 🤲... ujumbe unawafaa wenye kusikia na kuyafanyia kazi 😢 baraka llahu fiyk...
@user-nk3dp9cv9c
@user-nk3dp9cv9c 2 ай бұрын
Wallah thuma Wallah, kunabaadhi ya waislamu ndio wanaouchafua uislamu wetu, wanajifanya kama wasom ilaa wanakitu ndani ya nyoyo zao, Nawaomba tu Maskhe ambao munasapot na mnasukuma watu kuamin vitu ambavyo Muhammad SAW mna potosha watu au muna uharibu Uislamu, mana pia baadhi y wakati mna sapot hadi waimbaji ama wasanii wa mizik, SUBHANNA ALLAH! Nini hiki?
@Salmahvuai6
@Salmahvuai6 2 ай бұрын
Alhamdulillah Allah akulipe kheri ww na familia yako Na amrehemu shekh Nassor bachu
@MainlandFc-xc3bi
@MainlandFc-xc3bi 2 ай бұрын
Dr .Suley sasa masheitwani wamemuangusha na kumuingiza katika ushirikina, Subhaanallaah Ewe Allaah tulinde na tuokoe na kila sampuli ya upotevu na kila sampuli ya shari za masheitwani wa kijini na wa kibinadamu , AAMIIIN .
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 2 ай бұрын
Mhamadi bachu wachape vibao hao watapeli nawametutesa kwamdamwingi tutazidi kukuombea dua allah akupe umri mrefu
@DaudMuhammedDjuma
@DaudMuhammedDjuma 2 ай бұрын
Sheikh bachu Allah akulinde n'a kila hasadi🙏🙏
@hassanmwishaha5511
@hassanmwishaha5511 2 ай бұрын
Subhnallah huu ushirikina mkubwa huyu DR SULE anathibitisha kuwa kumbe yeye ni MUSHIRIKI , SUBAHANALLAH SUBHANALLAH SUBHANALLAH.
@hadijahamza1556
@hadijahamza1556 2 ай бұрын
Elimu yake ndogo katika uislamu, asome uislamu sio uganga wa ushirikina.
@AlikomboHassan
@AlikomboHassan 2 ай бұрын
ONLY FACTS MASHAALLAH. ALAFU MBONA KILA KITU NI SIMPLE TU YANI HAITAKI HATA KUWA MSOMI "MUISLAM ATEGEMEE KILA KITU KWA ALLAH; KINYUME NA HIYO UTAKUA NI USHRIKINA." umeshirikisha Allah. VERY SIMPLE.
@mamanabdoul4397
@mamanabdoul4397 2 ай бұрын
Shukran cheh .bambiye baacane na uyo ushirikina.hata nikiona mawaidha wakianza kusema ivyo vya nyota naacana nayo.nirikuwa najiwuriza kwa nini wanajuwa kama Allah hataki ushirikina rakini ma cheh wanapoteza watu
@halimashaban7038
@halimashaban7038 2 ай бұрын
Dr sulleh mm naona alitumia kutrend kwake kwa kutangaza biashara zake za utibabu zaidi na sio kuitangaza dini!Allah amuongoze na atuongoze sote kwa pamoja🤲uzuri mtu akikosea muitane ma sheikh wetu na mrekebishane sio kujibishana kwa mitandao..mnawachanganya waislamu wageni katika dini.shukran sheikh Mohammad bachu kwa kutu fahamisha🙏
@user-xz8mm5kt5m
@user-xz8mm5kt5m 2 ай бұрын
Amepotosha watu hadharani so ni lazima akosolewe hadharani ili waliopotoka kutokana na maneno yake wauone ukweli!
@tumamudy2400
@tumamudy2400 2 ай бұрын
Sule mchawi ww sifa zimekuponza una kibri pia
@tumamudy2400
@tumamudy2400 2 ай бұрын
Kumbe alikufuru sana uyu kiduku na kuleta toba hataki ndo kwanza analeta kibri Kweli waislamu tusome hawa watu watatumaliza
@zahranmohammed6079
@zahranmohammed6079 2 ай бұрын
Huyu sule kumbe n mganga hii haiko katika tawhiid kabisa hii n shirki kubwa yakumtoa mtu katika mila subhanallah 'shukran sheikh bachu jazakallah kheir
@farjallahubeydabdulrahman4845
@farjallahubeydabdulrahman4845 2 ай бұрын
Allahu akbar Mwenyezi Mungu Akuhifadhi Akupe umri mrefu wenye baraka hakika tunahitaji kusoma dini zaidi ili tuelewe zaidi mafundisho ya dini yetu yaa Allah Tuongozee elimu yenye manufaa na utupe ufahamu wa kuelewa dini yetu inabidi tuwe waangalifu na baadhi ya mashekhe ambao wanatupotosha ambao wako wengi sana hapo mtandaoni ni lazima tujitahadhari na kujitahadhari ni kusoama dini vilivyo
@shamsuddin4582
@shamsuddin4582 2 ай бұрын
Sheikh tandika waçhawi hao wanaojinasibisha na uislam ...kutuchafulia dini
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 2 ай бұрын
Sahihi
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
Uchawi vp huyo ni doctor uchawi wake alimroga nani ukienda kulizwa na Allah utajibu nn
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 2 ай бұрын
​@@saba-gv3mjkwa Hiyo unaamini Pete ndio inakupa rizki ,au inakukinga na maradhi😢😢 wewe na huyo sule n kitu kimoja
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
@@sikukuuchuo3093 sikiza mshamba ww anaetoa rizki mungu sawa na kuna ugonjwa mwengine watengezewa Pete ndio hua dawa yako sawa wacha kuongea kitu huna ilimu nacho ww na huyo bachu wako nyinyi mawahabi wajinga sana
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
@sikukuuchuo3093 nabii suleiman alikua na petee kwani Pete ndio ilikua ikimpa rizki ama ni Allah wacha ujinga kuongea kitu huna ilimu nacho hata mtume s a w alikua na petee akivaa sawa ww wahabi kitoto
@hassanmwishaha5511
@hassanmwishaha5511 2 ай бұрын
MASHAALLAH ALLAH AKUHIFADHI SHEKHE MUHAMMAD BACHU.
@AboubakarRuhusa
@AboubakarRuhusa 2 ай бұрын
shekh bachu Mungu akulinde mashekh wengi tanzania wanakuwa matapeli nawashirikina
@victormkini2708
@victormkini2708 2 ай бұрын
Mimi ni Mkristo ila nimependa mahubiri yako juu ya Pete na Nyota
@Sheba4651
@Sheba4651 2 ай бұрын
​@@victormkini2708Matapeli wengi wamepita, kulikuwa na yule Sheikh Yahya Hussein yeye aliogelea kwenye bahari ya mjini, utajiri, bahati, kumbe ni upuuzi mtupu, kusingekua na masikini, sote tungevaa mapete mpaka vidole vya miguu. Matapeli tu wale.
@KalimagiFeruzi
@KalimagiFeruzi 2 ай бұрын
Hawatakikufanya kazi halali,mwisho wanakuwa washirikina wachawi
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 2 ай бұрын
Allah subhanallahu wa taala amlinde sheikh bachu n wengine wanaolingania kwa kweli n haki n kueneza Sunnah z mtume salallahu alayhi wasalam na watu waepukane n shirki
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 2 ай бұрын
Amiin
@AbuuRuhaymaa
@AbuuRuhaymaa 2 ай бұрын
Muhammad Akikukalia kukupiga raddi utajuta kuzaliwa.Allah Amuhifadhi shekh Muhammad muhimu ujumbe umefika
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 ай бұрын
Naam . Allah amuhifadhi sheikh wetu mahasidi ubaya wao uwarejee wenyewe
@mussasalai4745
@mussasalai4745 2 ай бұрын
P00​@@nadyasalim7956
@zuhoor-mc7hq
@zuhoor-mc7hq 2 ай бұрын
Mola yu naye tunamuombea Shekh wetu mola amuhifadh azidi kutuelimish umati muhamadu amiin... ukweli unauma lkn ndio ameshasem .. mwenye kusikia amesikia .. baraka llahu fiyk shekh wetu
@goragueye8146
@goragueye8146 2 ай бұрын
shekhe allah akuhifadhi
@user-pu2uw2ib5y
@user-pu2uw2ib5y 2 ай бұрын
Hana lolote zaidi ya uhuuni
@user-iz8qw1kh6r
@user-iz8qw1kh6r 2 ай бұрын
Shukran sana shekhe bachu nilikuwa nimeishtukia muonekano wa sura ya shekhe sule Allah amuongoze aache njia za shirk
@iddimohamed254
@iddimohamed254 2 ай бұрын
Shukran bachu kwa kutueka sawa coz mashekh washirkina ni wengi hasa tz...Allah atuhifadhi na shirki...
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Amiin
@user-nl3vn6dg6j
@user-nl3vn6dg6j 2 ай бұрын
Allah akuhifadh bin bachu Huyu Dr sule anaudhalilisha uislamu kwa kweli
@AminaIbrahim-mn9wg
@AminaIbrahim-mn9wg 2 ай бұрын
Haswaaa
@abuibra
@abuibra 2 ай бұрын
Ahsante Shaikh wafundishe,wako wengi Kama awo wanachafua Sana dini ya Kiislamu,usirudi nyuma.
@user-ik4eg4fh7c
@user-ik4eg4fh7c 2 ай бұрын
Shekhe mohammad bachu Nakupenda kwa ajili ya ALLAH namuomba ALLAH akupe ulinzi madhubuti
@ShamimHassan-qm1et
@ShamimHassan-qm1et 2 ай бұрын
Nilikuwa natafut shekh atakae liongelea Hilo Bora umesema mungu akulipe maan ameach watu weng mdom waz Allah akulipe shekh wetu
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 2 ай бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah❤ Mungu akupe umri mrefu ndugu yangu maana umekuwa unawakumbusha wanaozusha katika dini hii maana wengine wanaogopaogopa... Allah akubariki...amiin
@user-wp4nb1cm7v
@user-wp4nb1cm7v 2 ай бұрын
Ma shaa Allah tunamuomba الله akuhifadhi na akuzifishie ilmu uzidi kutuelimisha shukran sana shekh nakupenda kwa ajili ya الله
@FeymaarOfficially-uu4nr
@FeymaarOfficially-uu4nr 2 ай бұрын
ALLAH AKUHIFADHI MUHAMMAD IBN NASSOR ALLAH AMREHEM NASSOR BACHU
@salimofficial1263
@salimofficial1263 2 ай бұрын
Aaamin
@isihakaabdul1134
@isihakaabdul1134 2 ай бұрын
Aaamin
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 2 ай бұрын
Amin
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
Amini
@user-zs6qg7ql1i
@user-zs6qg7ql1i 2 ай бұрын
Amuhifadhi na nin huyu jahil wa kiwahab asiemtk mtume saw
@bostonbensonkapute5274
@bostonbensonkapute5274 2 ай бұрын
Que ALLAH lhe recompense do melhor Sheikh Bachu, por esta alerta aos Muçulmanos.
@HusseinKagesho
@HusseinKagesho 2 ай бұрын
salaam aleikum sheikh Bachu pongezi Na MOLA akuzidishie Nuru na Mazuri kama Haya Nilikuwa miongoni walipotea kwenye dimbwi la pete lakini....kwa Maelezo yako umetuelezea maneno ya kweli umenifafanulia Maneno ya uwazi kama siwewe ningelipotea...Kizazi cha sasa Hakimutafuti Mwenyezi Mungu....chatafuta pesa na Mali Hakisiki Adhana wala mchota Maji...wengi sasa ukiendelea na kukilingania kitatubu kama mimi...Lakini Naomba utufundishe tiba kwa njia ilio sahihi ya kidini kwa mfano mtu aliye rogwa au kutupiwa jini au kufunngwa ili asifaulu kwa kila jambo tupe njia sa hihi kwa wingi ili tusipotee zaidi shukran wenu Hussein kagesho mombasa Kenya jaza yako iko Kwa Mwenyezi MUNGU✌🇰🇪🇰🇪🇰🇪😇😇😇❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@DaudMuhammedDjuma
@DaudMuhammedDjuma 2 ай бұрын
Alhamndulillah 🤲 nimeamini Allah hawezi kutuacha wenye ilmu ndogo tuzidi kupotezwa na wenye tamaa ya kidunia kisa wamesoma dini😢
@aminabdalla7824
@aminabdalla7824 2 ай бұрын
Ama kweli sheikh bachu ujumbe ushamfikia sule .... Allah akuongozee in shaa Allah.....
@SalimAbdulla-gw5rq
@SalimAbdulla-gw5rq 2 ай бұрын
Mashekh wa bongo wengi wao husoma dini kwa ajili ya utapeli na c kiimani .shekh wetu Muhammad allah akulinde tutowe kwenye ujinga hao jamaaa wanatukufurisha sana .
@yoramabubakar8012
@yoramabubakar8012 2 ай бұрын
Mashaallah . shukran sana kwa radi hii tulikua tunaisubiri kwa hamu , Alhmudulillah . Allah akuhifadhi sheikh wetu na akujalie kila la kheri.
@drmussahokororo9681
@drmussahokororo9681 2 ай бұрын
Allah akulipe kheri sheikh Muhammad na akuhifadhi Allahumma aamin
@binismail8527
@binismail8527 2 ай бұрын
Huyu mchawi kwa maneno hayo ya upotoshaji atawapoteza wengi, ALLAH ATUHIFADHI
@mwaminianasi
@mwaminianasi 2 ай бұрын
Allah akuhifadhi, akulipe Mema Duniani na kesho Akheira InshaAllah 🤲
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Ahsante sana mwalimu, wafundishe wasiojua watambue mambo
@badrudinsalum3139
@badrudinsalum3139 2 ай бұрын
Barakallahu fiyka kwa kubainisha Haqi maana jamii ya kiislam imezama kwenye shirki kwelikweli
@user-sx1lm4xi5t
@user-sx1lm4xi5t 2 ай бұрын
Kwahilo shekh bacho nikopamoja nawewe
@fareedahmad6857
@fareedahmad6857 2 ай бұрын
جزاك الله خيرا وبارك الله فيك وغفر الله لك و لوالديك ولجميع المسلمين
@user-nk3dp9cv9c
@user-nk3dp9cv9c 2 ай бұрын
Ammin
@user-nc5dc6gt2y
@user-nc5dc6gt2y 2 ай бұрын
Mashallah hya ndomawaidha na utapata mtu yuapingana nayo Allah akupe umri mtefu wenye manufaa uzidi kutuzindua
@SaidSaid-wh4ky
@SaidSaid-wh4ky 2 ай бұрын
Anayoyasema sawa sawa kabisa pete haihusiani kabisa na bahati wala mvuto pete ni pambo tu mtoa rizq ni Allah subhana wataalaرزقكم في السماء وما توعدون
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 2 ай бұрын
Sulle alikuwa zamani...siku hizi umekuwa ni mtihani mkubwa kwa viongozi wetu wa dini, tunamuomba Allah awarudishe kwenye twaa yake, kwsbb kwa wasiojua dini wengi watapotea wallah...
@IddiPazi
@IddiPazi Ай бұрын
Tumuombeeni na Sisi pia tujiombee tupate mwisho mwema manake duniani Mambo ni mengi ameteleza mwenzenu mpeni nasaha
@user-ec7wu9bk8w
@user-ec7wu9bk8w 2 ай бұрын
Sulle unapotea, Tena upotevu wa wazi kabisa... Na umejisahau sana Sheikh, hakuna mwanadamu mwenye power isipokuwa power ni ya Allah mtukufu...rabul masharikaini wa rabul magharibaini...
@jumasalum2677
@jumasalum2677 2 ай бұрын
Masha Allah Allah akuongoze wewe na sisi katika njia ilionyooka.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 ай бұрын
Allah akupe afya na umri mrefu Sheikh wetu kwa majibu mazuri, sina elimu lakini kwa huo mkadima tu Sheikh wetu Mwenyezi Mungu akulinde na akuhifadhi na shari za waovu
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 2 ай бұрын
Sule ana sauti na fasaha ya kuzungumza, angeendelea kuitumia kwa ajili ya kuwaita watu kwa Allaah. Lakini alipoanza mambo ya uganga na kujiingiza katika siasa ameanza kupotea
@jumasalum2677
@jumasalum2677 2 ай бұрын
Kashapotea Kaamua kuifuata dunia
@jamalijamali6820
@jamalijamali6820 2 ай бұрын
Kweli kabisaa anataka kutuletea Ushirikina tatizo hawataki kujifunza eti Kisa wanajua biblia!!
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 2 ай бұрын
​@@jamalijamali6820hana maarifa yule kama. anavyosemakana ni mtu amabye amekariri tu, nashukuru mashekih wanavyomjibu
@halimamwingu4478
@halimamwingu4478 2 ай бұрын
Masikini sule wa miaka ile alikuwa hatari. Watu walisilimu sn kwa mdomo wake. Lakin huyu sule wa leo mm simuelewi!! Dunia imemteka akili. Mpka anaingilia mambo ya wasanii kila kukicha! Tumuombee dua maana kwa Allah kikubwa ni mwisho mwema. Asije akaharibu nyakati hizi za mwisho maana kuna clip niliona alisema hata umri alimuomba Allah maalum yaani asifike miaka fulan awe ameshakufa. Sasa anaikumbatia dunia mno sasa hv.
@williamlukubaniza8423
@williamlukubaniza8423 2 ай бұрын
Alete watu Kwa Allah, wakat yeye hayupo uko Allah gani uyo
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 2 ай бұрын
Wale wasio muelewa huyu ipo siku wanamuelewa inshaallah allah akuzidishie kheir
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 2 ай бұрын
Amiin
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
Amin Allah awaongoze tu
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 2 ай бұрын
Hapa hata mm namuunga mkono ila swala la maulid ajipange cwez kuacha kumswalia mtume
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
@@sultanbakary4292 kwan umeambia wa mtume anaswaliwa maulidin tu. Emu kila kipiti cha swala mswalie mtume mara 50 kwa siku itakua umemswalia mara 250
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 2 ай бұрын
@@sultanbakary4292 waislamu wote kumswalia mtume ni lazima ata shekhe hajakataaa alicho kataaa yeye ni mtume kupewa sifa ambazo hazija thibiti na kusherekea kuzaliwa mtume km wanavofnya wakiristo kusherekea siku ya yesu umwelewa
@nooromar6233
@nooromar6233 2 ай бұрын
Binadamu kabla yaku sikiliza mtu moja lazima ufanye research kwa ma sheikh tofauti kabla yaku poteya binadamu dhaifu inshallah mungu atuongoza kwa haki na kwenye mazuri
@augustomariosama1542
@augustomariosama1542 Ай бұрын
Shaikh Muhammad Bachu ni mwepesi sana Kwa kufafanua mambo MashaAllah
@alhajrialhajri4026
@alhajrialhajri4026 2 ай бұрын
Muislamu mwenzako kakosea sio vizuri kumkosoa hadharani mpigie simu muelimishe pale alipo kosea ndivyo uislamu unavyo tufundisha
@AbdallahMzonge-pg9il
@AbdallahMzonge-pg9il 2 ай бұрын
Ameupotosha umma ndio maana anaonywa hadharani
@AbdallahMzonge-pg9il
@AbdallahMzonge-pg9il 2 ай бұрын
Unakosea kwa siri unaonywa kwa siri lkn kama umefanya mambo hadharani ya kupotesha umma lazime ukosolewe hadharani ili jamii ijuwe kwamba ulichofanya ni kosa
@AbdallahMzonge-pg9il
@AbdallahMzonge-pg9il 2 ай бұрын
Asipokosolewa hadharani jamii ingeendelea kuamini kwamba doctor Sule yupo sahihi kumbe hayuko sahihi
@ramadhanrashid1040
@ramadhanrashid1040 2 ай бұрын
Hapana amepotosha wengi.
@abdullmohdy5278
@abdullmohdy5278 27 күн бұрын
Akishampigia sim je 2ale waliopokea yale maelkezo maovu kutoka kwa sule walioigiwa cm
@HussainMaula-wr5co
@HussainMaula-wr5co 2 ай бұрын
Shekhe bachu hata sisi tuliokua watu wa maulidi Alhamdulilahi kwa darsa zako tumetoka huko maana kwenye maulidi ni mtihani wanaume wanachanganyika na wanawake watu wanacheza kama club ni mitihani walahi Allha atuongoze.
@athumanabubakary5930
@athumanabubakary5930 2 ай бұрын
Dr. Sule kanogewaa na duniaa kias Allah kamdhihirishaa ubaya wakee wa kuwapotezaa watu au waislamu
@Chalazatz
@Chalazatz 2 ай бұрын
Shekhe nakupata vyema. Allah akupe umri mrefu🙏🏽🙏🏽 #kwenye ilm tuzingatie pasi nakujali tofauti za madhebu Shekhe wetu bin nasoro bachu namuelewa vyema hakika #Mashekhe ni kioo Cha jamii ila style ya nywele za khekh sule inanitatiza inafanana na ya harmonize
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 2 ай бұрын
Wallaahi nawapenda sana watu wa tawhiid wanaompwekesha Allah na hawaingizi shirki, Allah pekee anatutosha ikiwa sisi ni waumini wakweli
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 ай бұрын
Me nakila siku nasema huyu ni king wa khutbah.. Angalia alivyoipangila vizur unataman isimalize. Yani khutbah inafundisha kwel kwel lbda moyo wako uwe mgumu
@salimuiddi3607
@salimuiddi3607 2 ай бұрын
Mashallah mwenyezi mungu akupe umrii mrefu Shekhe wetuu Aminii ili uzidi kutufundisha na kutujuza tusiyo yajua Inshallah
@abdulsalum2852
@abdulsalum2852 2 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh safi sana huu umekua mtihani katika umma huu
@MuungwanaHalisi
@MuungwanaHalisi Ай бұрын
Allah Akbar, Allah akuhifadhi na uwe na mwisho mwema Akhy lkariiiim. Pia Allah amuweke pepo ya Fridays l, aghala Sheikh Nasoor Bacho ambaye ni babako
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 2 ай бұрын
Mashallah allah akubaliki nimewaidhika namuomballah aniongoze
@hadijahamza1556
@hadijahamza1556 2 ай бұрын
Mwambie huyo anaficha ushirikina katika dini safi ya Allah, subhanallah😢
@aminaliwasa9438
@aminaliwasa9438 2 ай бұрын
Sheikh Masha Allah ili natarajia hili na Allhamdhulillah Allah akuhifadh Sheikh na awaongoze ao wanafata shaitan na kupoteza umma
@rehemaseif1785
@rehemaseif1785 2 ай бұрын
Jazakallahu khair. Allah s.w atuongoze ktk njia yake iliyo nyooka. Amin🤲
@ahmadmohamedabdallasaid7168
@ahmadmohamedabdallasaid7168 2 ай бұрын
Awe rais wa Tanzania kama kweli subhaallah Allah amuongozea
@jamalcaparol6173
@jamalcaparol6173 2 ай бұрын
Sule sasa Leo Allah kakuletea elimu kupitia kijana mdogo anae jiamini kwa taufiki ya Allah ewe sule mche Mola wako hakika kijana kafikisha ujumbe wala hajakutukana
@abrahamanalliy2115
@abrahamanalliy2115 2 ай бұрын
SULE NI MCHAWI ZAHIRI.HII HAINA CHENGA. KATHIBITISHA SULE KWA KINYWA CHAKE.SULE KWA KAULI YAKE SULE KARITADI DHAIHIRI
@user-rs6es9mk9y
@user-rs6es9mk9y 2 ай бұрын
Allah atuhifadhi sote na mashekhe washirikina na atupe muongozo wa haki ameen...
@RashidJuma-uh8sv
@RashidJuma-uh8sv 2 ай бұрын
Uislamu ni kukumbushana shukrani sheikh m n bachu
@user-cp8dn4rh8t
@user-cp8dn4rh8t 2 ай бұрын
Asante sana sheikh Mohd Kwa kututibia Hawa watu wajinga Tz huyu Sule ana winzake matapeli kweli wamehama ktk Imani yao
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 2 ай бұрын
Sule amejichanganya , niafadhali afanye mambo yake siri yeye na Allah tu kuliko kuongy live niwengi wanapokeya upotovu nawengi watafanya kama alivyo elekeza pasi naelimu Sule hembu acha duniya muelekee Allah utaishitu usitafte sababu za kumshiriki Allah ndugu yangu utaumiya uko tuendako itikadi hiyo siyosahihi Docter Sule
@HabibSuleiman-id1rb
@HabibSuleiman-id1rb 2 ай бұрын
Subhaaallaah INNAALILLAAHI WAINNAAILAYHI R RAJIUUN. Kwa maneno ya sule nivyema Ashahadie Amekufuru. Lakini akijua
@mwanaishakama3381
@mwanaishakama3381 2 ай бұрын
Hamuogopi kuhukumu watu jamani hatakama lkn ongea kwa kuelimisho sio kumlenga mtu moja kwa moja mbona msiinge mifano ya tabia ya kipenzi chetu bwana mtume Muhammad S.A.W
@MawelaKatimka-jp1us
@MawelaKatimka-jp1us 2 ай бұрын
Masha Allah hii ndio daawa sio unaropoka ropoka mambo ambayo unaonekana hauna elmu hii nimeipenda allah akuripe amiiiiiiin
@RamadhaniMaarifa
@RamadhaniMaarifa 2 ай бұрын
MTU wa maana sana huyu ALLAH ampe ulinzi
MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.
1:04:29
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 83 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
MAJIBU KWA KIBARAKA WA QASSIM MAFUTA JADIDA HASSAN WAZIRI || Muhammad Bachu
1:06:29
HAPA NDIPO ULIPO LIKOROGA KAA KIMYA | SHEIKH MSELEM BIN ALY
1:28:51
KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA
2:33:49
ГРАНД-ФИНАЛ! NaVi vs G2 - Esports World Cup 2024 - ЛУЧШИЕ МОМЕНТЫ CS2
50:22
ИГРАЮ ЗА ОТЦА 😱 В SchoolBoy | SchoolBoy Runaway
19:56
ЛИГЛЕЙЧИК
Рет қаралды 1,3 МЛН