Allah akupe umri mreefu awo masalaf wanamuogopa kijana huyu amestafid vizur mm nampenda haogopi ananyoosha maneno na hiv ndivo itakiwavo kwa muumin Allah akupe swihha na afya na akukinge na kila shar
@AbuuJafar-so1zh7 күн бұрын
Allh atuongoze
@yahyarashid80389 күн бұрын
Allah amuhifadh Al akh abuu l abbass huyu kijana Alhamdullillah hana kupindisha maneno
@omarabdullah-k8j9 күн бұрын
@@yahyarashid8038 daawa yako ndio maana mukawa.mwafetua tu kwakua mwaona hiidaawa ni yenu
@omarabdullah-k8j9 күн бұрын
@@yahyarashid8038 mutanyooka tu had mutoke uko kwenye uhaddadia
@yahyarashid80389 күн бұрын
@@omarabdullah-k8jmm siko huko huyu unamjua lakin ?
@omarabdullah-k8j9 күн бұрын
@yahyarashid8038 namjua.vizur akhiii
@SaidSeif-d4y9 күн бұрын
Unabii umemshinda ... kaufata dunia .. maisha mtaam. pongwe kumechangamkaaa😅😅. picha kedekede .. kungakia picha sawaaa kupiga oicha haraam.. ahluFarqa walfitna mkiongozwa na nabii wa pongwe....Mafuta..
@njausmartvisiontv81569 күн бұрын
MAA SHAA ALLAH PAMECHANGAMKA
@ABUU_SAAD-ut4fd8 күн бұрын
😂 nimekuelewa ujuee😂😂
@salafswaleh9 күн бұрын
Mbn mumekata sehem yenye faaida. Picha zinaelezewa vyema Masheikh wte huwa wanatoa tafswiyl kweny hilo, tatiz l watu weng hawahudhurii madarasani kwa kusoma. Huko mwish mulipokata kuna mgonga MUHAMMAD BACHU na Yale anayoyafanya hv ss kweny IBADA YAKE YA UMRAH
@adamkamaze98889 күн бұрын
Hizbi
@HassanIddy-v1b9 күн бұрын
Ukweli umefika mahaddadiyyat hoi😂😂
@sleimaanbuda79969 күн бұрын
Wapumbavu sana acheni kumu egemezea abul abass na fitna zenu
@mashaurimvungi22328 күн бұрын
Nyie ni wafuasi wa nani Haji Upepo Dr islamu Haruna rasi au ni jibu wee hizib
@Ibnsalim38 күн бұрын
Sisi ni wafuasi wa haki popote itakapokuwa tupo Nayo Wala hatutaicha haki kwa yyt tunaichukua
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x8 күн бұрын
@@Ibnsalim3 ABUL ABBAS AMEWAKATAA..!!! ACHENI KUSHOBOKA BASI AKHY ETI "Al Akhy Abul Abbas" Hahaha hahaha hahaha! KAZI YAKO NI KUIPULIZA FITNAH NA KUJARIBU KUWAGOMBANISHA MASALAFY...!!! HII CHANNEL ITAKUTOKA PUANI YAWMUL QIYAMA NAKWAMBIAGA...!!!
@jumanneissa82269 күн бұрын
WAJINGA NI WENGI SNA AISEE 😂😂
@abbaspaziaog21889 күн бұрын
Unamfaham huyu akhyu mpaka umuite mjinga
@jumanneissa82269 күн бұрын
@abbaspaziaog2188 kwani ww ibrisi unafaham ? mbona unaamini kama ni malhuni au hadi uonanenae 🤣🤣 vip masihi dajar nae unafaham 🤣 vip kuhusu abu jahali ulimuona ? hoja yako nini sasa 🤣🤣
@abbaspaziaog21889 күн бұрын
@@jumanneissa8226 akhyu punguza paparazzi yaonekana ww hata mashekh wakisalafi unawajua hawa maarufu. Tu. Huyu akhy. Ni salafi .? Yupo zanzibar na nmfuatiliaga saan duruus zake. Kwenye group as usipende kumtukana mtu usomjua .yupo markaz shaukan. Jumbi. Zanzibar
NI LINI ABUL FADHWIL ALISEMA KUWA USALAFY NI KUHARAMISHA PICHA?! MBONA ANASHIRIKIANA NA AKINA ABUU UBAYDA NA MUNAAWIY AMBAO MSIMAMO WAO NI KUWA PICHA SIO HARAMU?! JIRONGO WEWE IBN SALIM.... MCHE MOLA WAKO USIJE UKAMIMINIWA SISASI YA MOTO SIKU YA QIYAMA...!!!
@Ibnsalim39 күн бұрын
Ss mbn unanigekia mm kwani Hy maneno ni yg au vp ee!!
@MB-yq3ty9 күн бұрын
Pia akiwa anazungumzia mambo ya Pichu huwa anapenda kutumia neno "binafsi"
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x9 күн бұрын
@Ibnsalim3 UMEYAPOST HAYO MANENO MAANA YAKE UNAYAUNGA MKONO...!!! NSHAKWAMBIA MARA NYINGI SANA CHUNGA SANA HIZI POSTS ZAKO! UZURI UMEPATA WA KUKUMBUSHA KWAHIYO SIKU YA QIYAMA HUTOKUWA NA UDHURU....!!! AU NI LINI WAFUASI WA KASSIM MAFUTA WAMESEMA KUWA USALAFY NI KUHARAMISHA PICHA???!!! ---Sikuwahi kusikia qawli hyo kwa masalafy wanaojielewa isipokuw kutoka kwa mahajaawirah... wao ndo wanaouweke mlango wa picha kweny Aqeedah na kusema anayepiga picha ni Mtu wa bida'a! Nimewahi kujibizana na Hajaawirah mmoja akasema hvo, ila sio masalafy! Unatusingizia...!!!
@NassorHassan-no1cr9 күн бұрын
Yaani ww ungekuw kassim unampa nasaha dah ungemsaidia sanna kwa sababu ungemnusu mbele ya Allah
@omarabdullah-k8j9 күн бұрын
huu.ndio msimamo wao picha niharam abuu.hashim aliulizwa.swali.juu.ya hilo akajibu.harraam mojakwa.moja.
@abbaspaziaog21889 күн бұрын
Khee kwani Abul Abbas Muhammad rasheed mpo nae kwenye. Daawa yenu😂
@sleimaanbuda79969 күн бұрын
Hawa ni watu Fitina
@husseinmbarouk9 күн бұрын
nan hao
@AlhajiMswaki-de3kb9 күн бұрын
Mafuta yamewaka
@AshuraKapinga8 күн бұрын
Acheni ujinga jamani kwani shekhe abuu fadhul alisema huu ni msimamo wa kisalafi au alisema mi msimamo wangu haifai
@RamadhanHadhar9 күн бұрын
HAWA VIJANA WANAFANYA TALBISI, HII CLIP NI YA MUDA LAKINI WAMEILETA KTK MNASABA WA PICHA WALIYOIRUSHA HIV KARIBUNI. LENGO LAO NI KUWAGONGANISHA MASALAFI
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x9 күн бұрын
Kumbe huyo mzungumzaji ni Salafy?!! Sindo yule aliyemradd Bachu?! Subhanallah! Kwo wanataka wawagombanishe masalafy 😢😢😢 Huyu Ibnsalim Allah anamuona ana mengi ya kujibu!
@arifali39428 күн бұрын
Acha kujitow vichoz uchwara nini sasa @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@abduwahabi70199 күн бұрын
Wewe akili hauna yani mtume anataja uharamu wa picha zaidi ya kumi na, alafu wewe unaingiza kauli ya mwanawazuoni mbele ya kauli ya mtume?
@naimasbuguza23959 күн бұрын
Rudi darsan
@kasimubangu18759 күн бұрын
Jambo likishakuwa na ikhtilafu haikulazimikii kama ww utafuata msimamo tfaut na mwingine