Raia wa Comoro anaswa na aina mpya ya dawa za kulevya Dar"kali kuliko dawa zozote za kulevya"

  Рет қаралды 305

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata Ahmed Bakar Abdou (32), raia wa Comoro akiwa na kilogramu 4.623 za aina mpya ya dawa za kulevya inayoelezwa kusababisha madhara ya haraka kwa mtumiaji.
Dawa hizo zinayofahamika kama Methylene Dioxy Pyrovalerone (MDPV), zimekutwa kwa mtuhumiwa huyo akiwa katika harakati za kuzisafirisha kutokea Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Aprili 4, 2024 na Kamishna Jenerali wa DCEA , Aretas Lyimo inaeleza kuwa MDPV ni dawa mpya ya kulevya iliyo katika kundi la vichangamshi inayotengenezwa kwa kutumia kemikali bashirifu.
“Dawa hii ina kemikali inayoweza kuleta madhara ya haraka kwa mtumiaji ikilinganishwa na dawa nyingine za kulevya. Pia, imeongezwa nguvu ya kilevi inayozidi cocaine, heroin na methamphetamine.

Пікірлер
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
M23 WAMTEUA GAVANA WA JIMBO LA KIVU KASKAZINI, RAIS TSHISEKEDI KIMYA
6:36
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,8 М.
NAVUTA DAWA ZA KULEVYA NA BABA YANGU MZAZI TUOKOENI NA MATESO HAYA
25:23
POLISI DSM YAWANASA WAUZAJI WA DAWA ZA KULEVYA DSM
9:55
Millard Ayo
Рет қаралды 132 М.