RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WABUNIFU WADOGO WA MITAMBO YA KUFUA UMEME IKULU DSM

  Рет қаралды 15,593

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

Күн бұрын

======TAARIFA=====
Mhe. Rais Magufuli anakutana na Wabunifu wa mitambo midogo ya kufua umeme kwa kutumia maji ya mito. Ikulu Jijini Dar es salaam. Tukio hili linarushwa moja kwa moja na vyombo vya habari vya Redio, Televisheni, Mitandao na KZbin channel ya Ikulumawasiliano.

Пікірлер: 19
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 5 жыл бұрын
Hongera sana Rais kwa kuwatambua wabunifu Taasisi zinazohusika hazitoi vipaumbele mfano,Mimi nimebuni mfumo wa kamera zilizokuwa zikitumia Tape zitumie card Lakini sijapata support haqd leo
@josephsaghana1056
@josephsaghana1056 5 жыл бұрын
Asante Baba Good Job mzee
@mrmhenipm
@mrmhenipm 5 жыл бұрын
JPM ,,pongezi kwako,,kuna wengi sana huku mtaani wa namna hiyo lakini watu wako wanakuangusha.
@mrmhenipm
@mrmhenipm 5 жыл бұрын
Mara nyingi wakiripoti kwenu huwa hamfanyii KAZI mapema,,,,
@heavenwindows214
@heavenwindows214 5 жыл бұрын
Pongezi sana mheshimiwa rahisi kiukweli Mungu azidi kukulinda kufanikisha maono uliyonayo juu ya nchi yetu.... Naomba Tanesco watusaidia kwani inashangaza Dar-es-Salaam yapo maeneo hayana umeme kabisa tena ni kilomita 50 tu mpaka city centre.......Inakuwaje mikoani vijinini zaidi ya kilometa 1000 wanaumeme na hapa mjini kwenye kitovu cha biashara ndani ya km50 kutoka city centre hamna umeme.
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 5 жыл бұрын
JPM nakuomba uitishe mkutano na watu wenye ubunifu wa aina yoyote ile Tanzania nzima mimi binafsi nina haya makundi najua fika kabisaa yapo mitaani (1)watengenezaji wa Helicopter yaani ndege mduara (2)mafundi magari (3)mafundi cherehani hawa wapewe tenda ya kuwashonea wanafunzi yunifom haya na wengine leteni makundi yenu ili tusonge mbele pamoja
@mfaumesangwa1106
@mfaumesangwa1106 5 жыл бұрын
ushauri wangu kwa viongozi na wenye mamlaka nivema ikitokea mtu/raia anapogundu, au kubuni kitu chenyefaida kwa jamii, ni vema kumpa saport kwa kumrihusu, kumsimamia, na kumuwezesha. kuliko kumkamata na kumfungulia kesi maana maendeleo ya dunia huja kwa ugunduzi mimi nahisi sisi tunachelewa sana kwa sababu ya hizi sheria banifu ukweli sisi vijana tuna vipaji vingi lakini tunaogopa kuviweka wazi kwa kuogopa serekali tusaidieni tuwezesheni tusonge mbele.
@Mshauli4410
@Mshauli4410 5 жыл бұрын
naona nguvu ya maarifa na fikra za raisi wangu ,,Tutakua zaidi China.
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Asante san raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
@charlesbarongo6922
@charlesbarongo6922 5 жыл бұрын
Hapa kuna fundisho kwa wanaofanya kazi kimazoea bila kubuni chochote kipya.
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU mkuu
@wanderaothumani4919
@wanderaothumani4919 5 жыл бұрын
And we have electrical engineers in town with no challenges in life and cant even design a 40Watts bulb waiting to be employed in Tanesco 😭🤗Genius ni shida
@kevinjohn4507
@kevinjohn4507 5 жыл бұрын
Zamani wazungu waliharibu vipaji au (Ugunduzi) wa Wafrika kwa kuwakata mikono, Leo watu wanaoharibu Vipaji au (Ugunduzi) wa Wafrika ni sisi Wafrika wenyewe. Wafrka sijui nani Alituloga
@kevinjohn4507
@kevinjohn4507 5 жыл бұрын
Naomba namba za simu za hao Wabunifu, ndugu Mwafupa na Ngailo
@KgbShalom
@KgbShalom 5 жыл бұрын
Awamu hii, kitaeleweka tu
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 5 жыл бұрын
Eti waje sio mwende huy meneja mpumbav kabisa ....
@omarijumaa8786
@omarijumaa8786 5 жыл бұрын
Sauti ndogo
MBELE YA MAGUFULI: Wazee Wanaotengeneza UMEME Wawalipua TANESCO!
31:10
Global TV Online
Рет қаралды 46 М.
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 126 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,3 МЛН
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
32:41
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 69 М.
Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!
27:53
Global TV Online
Рет қаралды 303 М.
MAMBO MANNE YA KUFANYA KILA ASUBUHI UAMKAPO Sehemu ya Kwanza - Innocent Morris
42:19
Huu ndio uzalendo na Upendo wa Rais Magufuli kwa Watanzania
10:49
MAGUFULIFICATION OF AFRICA
Рет қаралды 26 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 786 М.
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44