Nimefurahi sana sana. Hawa wazee wanastahili hili. Wametulindia nchi yetu isiporwe miaka yote hii? acha nao waonje love. Nchi nyingine mida hii wako wanakimbia hawajui watalala wapi sisi watanzania ni hawa wazee wametufanya tujidai na amani yetu. Mzee Mwinyi I love you!
@al-mamarial-mamari54574 жыл бұрын
Kweli huu ni mtihani. Waliona majumba yakifakhari wanapewa tena nyumba lkn maskini za Mungu wanavunjiwa . SubhanaAllah.
@jacobcharles16044 жыл бұрын
Kujenga n sawa coz hao n viongozi wetu so haina shida, ila shida mm sijaona wakiwajengea mwalimu na Ben au maraisi waliotangulia mbele za haki hawajengewi
@eliaelibariki28924 жыл бұрын
raisi magu unazeeka vibaya
@ishqmeinmarjawan10484 жыл бұрын
Tusaidien na sisi walala haoi mnapeana nyinyi kwa nyi2
@hamiskengwa58694 жыл бұрын
Kwel acha tu yani ile kauli ya mwene nacho aongezewe kwel nia ukweli 🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌dah wenginine tuko unga tunafia kwenye za watu 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏻 haya waheshimiwa wa nchi
@madaiincubationcenter49474 жыл бұрын
ile ni kama heshima kumtunuku mzee wetu kwa uzee wote ule bado anasaidia serikali kwa mawazo sio mpaka afe ndo tuanze kuonesha upendo we sio mlala hoi acha hiyo kauli itakutesa jitahidi omba hata kazi humu utasaidiwa
@Crownvalz4 жыл бұрын
Fanya kazi unataka upewe nyumba ya bure hatuoni kituu😂😂😂 huyo alikua rais wa nchi..
@aboually24724 жыл бұрын
Mlala hoi unasmart phone nyau ww
@Crownvalz4 жыл бұрын
@@aboually2472 😂😂😂😂
@francolazaro86464 жыл бұрын
Hyo hela haikuw na kazi kabisaaaaa
@shkjumaa89394 жыл бұрын
mmh unachota maji mtoni unamwagia baharini daah maswali ni mengi kuliko majibu
@myunaniniahmad64634 жыл бұрын
Kweli huku ni kuchota maji mtoni na kumwaga baharini.🤔
@nasramakau61394 жыл бұрын
Ukiskia hela inamfuata mwenye hela ndio kama hivyo
@filamupictures934910 ай бұрын
iko hivi kikatiba Rais huengewa makazi akistaafu, hilo halikufanyika kwa Mwinyi ndio Magufuli kalitimiza
@betymgaya63304 жыл бұрын
Hongera magu mungu akulinde miaka buku
@mwitawambura25484 жыл бұрын
Najiuliza maswali mengi ambayo hayana majibu
@jonakajigili69914 жыл бұрын
Hata mm Aiseeee ,, any way wanajua wao
@francolazaro86464 жыл бұрын
Yaani
@ramathedon40014 жыл бұрын
sema tu share wote ayo maswali
@fatemaligalawa41514 жыл бұрын
@Change Mindset tena ni Dodoma au
@neemambise71714 жыл бұрын
@@WASHATube series oooooo
@hashirsalim95703 жыл бұрын
Kwa maisha ya dunia mwinyi shkury mungu sjui uko unakoenda
@noahemanuel70154 жыл бұрын
Hivi Tundu Lisu hajasikia hii angetusemea na kutufafanulia mim sijui Kama kweli mwinyi hakuwa na nyumba mpaka leo
@mmadiausiy98104 жыл бұрын
Duh!!! Wangejengewa watoto wa mitaani
@obestone11884 жыл бұрын
Matajiri kwa matajiri wanapeana vinono kila siku. Jaman na sisi walala hoi tusaidiane wenyew kwa wenyewe tupate kujiinua jaman
@luqmanmohamedy38604 жыл бұрын
Mwenye nacho anaongezewa
@anoldpotentin24464 жыл бұрын
Hivi hizi nyumba zinajengwa kwa hela ya nani. Nyerere akua mjinga kukataa kujengewa nyumba za kifahari huku wananchi wake bado maskini 😪😪
@sostenesleonard20644 жыл бұрын
Daah!! Hii ndo nchi yetu, ee Mungu wangu wanao tunaangamia kwa kukosa maarifa. Naomba nisitukane nisije ishia Jela.
@hamidmohamed78064 жыл бұрын
Amkeni hao wanaongezewa utajiri nyinyi maji hamna mtabeba ndo Za maji vizazi vyote wa mijumba na mashamba kila kona
@cheliwilson48294 жыл бұрын
una uhakika na unacho sema
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
@@cheliwilson4829 hicho ni kweli kabisa kuna maeneo hayana maji
@jandaboytzz27554 жыл бұрын
Daaaha atusaidie Hata sisi wanachi jamani Tuna Shida Sio Wao Kwa Wao😓😓
@kamanda0074 жыл бұрын
Magufuli you are best president, lakini hii haifai, maraisi wastaafu Tanzania wana pensheni nzuri sana, hakuna haja ya kuharibu mamilioni ambayo yangesaidia wananchi maendeleo
@happynesssamwel29174 жыл бұрын
Unajua kajengea kwa pesa za nani au unaongea tu
@kamanda0074 жыл бұрын
@@happynesssamwel2917 acha upuuzi wako au unafikiri watu wote majuha kama wewe, ni pesa za walipa kodi Magufuli na ana pesa gani za kulipia mijumba kama hiyo
@happynesssamwel29174 жыл бұрын
@@kamanda007 juha ni wewe na familia yako,,, kifaranga mwewe mkubwa,,, we iyo kodi unalipa au waropoka coz umepewa mdomo?
@petercosmas99024 жыл бұрын
Kodi zetu mnagawana tu
@moshiomarymnyeda89074 жыл бұрын
Mashallah 💖 R.I.P MKAPA 😢😢😢
@filbertnashon71604 жыл бұрын
Miaka*25, ni mingi sanaa. Kama mnampa nyumba kwenye uzee wake basi hamjamtendea haki ndani ya miaka25:marais wawili wamepita hakuna ata wakumjengea. Hadi leo je.............
@sofiamwashioza22414 жыл бұрын
Mungu anawaona ,tumekong'otwa kweli hata mchicha tunashindwa kula wengine wanapeana majumba ya kifahali jamaniiii!!!!
@yahyahamad18024 жыл бұрын
Kumbe ayo mda mwengine una ujinga kama hivi? Sasa mbona hakuna maelezo nyumba iko wapi?ni yanani? Kwa gharama ya kiasi gani? Zimetokea wapi?na kabla nyumba hii alikua anaishi wapi miaka yote iyo?
@hamisimussa22284 жыл бұрын
Yeye ayo yanamhimusu nini tafuta kwa wakati wako
@ashaally66624 жыл бұрын
Ww unataka kujuwa ili iweje
@marymtuy2374 жыл бұрын
Mungu asipoijenga nyumba, waijengao wanafanya kazi bure! Embu tafakari kwanza kidogo kabla hujashabikia.
@agreymwaitulo36954 жыл бұрын
Hyo ndio kazi ya ccm kujinufausha wao tu Magufuli kashajenga uwanja wa ndege babu mwinyi anapewa nyumba ili mwanawe aweze kupita znz
@badboy25774 жыл бұрын
Kaka sheria za Media ni ngumu. Wakati mwengine hufai kuandika chochote. Kumbuka hiyo ni serikali
@shabankadiria4164 жыл бұрын
team Chadema vidole viwili juu na like kwangu
@AlAl-sd9pl4 жыл бұрын
Hapo sio sahihi ulichofanya mheshimiwa wetu Kwan kipind chake cha urais hajajenga nyumba mwiny wapo watu mpaka sasa wanaish kama ndege hapo nisawa na kuchota maji na kumwaga baharin
@yaqoobalhinai38054 жыл бұрын
Hao ndio wenye chama chao mwenzangu namimi kazietu ni kupiga makofi na kupengeza nyumba zetu za majani mlo mmoja magufuri anatimbua raha anaita amtakae ccm oyeeeeeee
@sanchezmmary89864 жыл бұрын
Yani kama hamjaelewa hapo mzee mwinyi anafindishwa namna angepaswa kuitafuna hii nchi hata nyumba hakujenga amuone yy Jpm alivyojenga kwao na mambo kadha wa kadha hadi kamuonea huruma na kuamua kumpa hako kabanda but imetosha sasa basi we Tamba mwisho wako 28/10/2020 #Team Lissu tujuane APA.hata mapopo pia ruksa kijuana bcz mda wote hamna hoja za msingi kazi kuachama midomo tu!. Tena namuomba Rais mtarajiwa lissu akiingia madarakani aiondoe kama ikiwezekana hii sheria uliyotungwa 1999 na kufanyiwa marekebisho mwaka 2000 kwa ufafi wa ccm kuwajengea nyumba viongozi wastafu yani marais! Sijaona umuhimu wowote kwani alikuwa amejitilea kufanya kazi ya Urais? Au hakuwa analipwa mshahara? Ili ajijengee mwenyewe nyumba kama wafanyakazi wengine
@timorpathsullusi70554 жыл бұрын
Utawadanganya wasiojua. Rais akistaafu bado linakua jukumu la Serikali kuwatunza. Pamoja na kwamba marais wastaafu wanakuwa na nyumba zao binafsi ambazo wamejenga wao kama vile Mkapa alijenga Lushoto, Kikwete alijenga Msoga, Nyerere Butiama. Lakini Bado kuna makazi yao ya Kiserikali Dar es Salaam. Mfano Mkapa alivofariki watu walikusanyika kwenye nyumba yake Lushoto? Jibu ni Hapana: walikuja Dar kwenye nyumba ya kiserikali. Sasa Serikali ina uwezo wa kuamua kwa mahitaji maalum labda nyumba zimechaka, au zilikua za kupanga, au zinataka kubadilishiwa matumizi au kwa sababu yyte ile wameamua kuwajengea wastaafu nyumba zingine ambazo watahamishiwa huko. Kosa liko liko wapi? Hata Kikwete amejengewa nyingine. Nyrere alijengewa Msasani etc. Barack Obama wa Marekan na Marais wenzake wooote pia walipewa nyumba na Serikali ya Marekani. 😂😂😂 Wwe mpigie kura mtu unayemshabikia ila usitake kutudanganya. Tunaujua ukweli bro. Kura ni haki yako kumpigia yyte
@doubleimpact97494 жыл бұрын
Unajua mwinyi anakaa wapi na unajua mwinyi kaitafuna sana hii nchi mwinyi Zanzibar ana kijiji anaishi mikocheni ana nyumba 2 moja anaishi yy nyengine ndo kawapangisha kk security na ukisogea mbele pale kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere napo ana kijiji sema trh 28 ndo tutajua hajui wasitusumbue akili zetu
@manttheboss75454 жыл бұрын
@@doubleimpact9749 Kweli Kabisa alafu mafamba wanasifu ujinga wakati wazaz wao wako bush hata hizo nyumba za gharama hakuna mtu anafurahi hao maccm kugawana mafao.tarehe 28 ndo jibu
@ibrahimngurungu56074 жыл бұрын
@@timorpathsullusi7055 mjomba inaonekana ulijipanga kumtetea magu ila nilichokubali kila kitu ulichozungumza ni point ila achana na hao mitundu lisu vipofu hao
@kevinchaula7774 жыл бұрын
Kwa Mujibu wa sheria iliyowekwa kabla Kikwete hajawa raisi ni kwamba raisi mstaafu anatakiwa kujengewa nyumba na serikali, na hii ni kutokana na nafasi aliyokua nayo na mchango wake kwa taifa na mengine mengi ndo maana hata ya kikwete ameitembelea leo bado haijaisha
@edwardgwaspika49434 жыл бұрын
Mambo ni motoooo hakuna kulalalaaaa! Kanyaga twende mh. The JPM
@hamiskengwa58694 жыл бұрын
Yani we acha tu , kwel ile kauli mwenye nacho aongezewe kwel nia ukwel 🙌🙌🙌🙌 haya
@elibarikieliatunawapatavzr78724 жыл бұрын
Eee mwenye nacho kweli huongezewa
@frankmushi20404 жыл бұрын
Inaumaaa sanaaa ila ndo ivyo wanyinga wengi wanatuponza wajanja tulio stukia unyanyasajii huuu
@andrewkimwagaa97224 жыл бұрын
Mbona hiyo nyumba kama haijamaliziwa kujengwa anakabiziwa mtu dah bongo vipaji tunavyo
@hasanainkhalid53674 жыл бұрын
Wanapongezana😄😄😄😄😄😄
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@joelbarracks74914 жыл бұрын
Yote yawezekana chin ya jua.. JPM unathamin watu kuna kitu kimeingia akilin mwangu
@juliethcharles96144 жыл бұрын
Mungu amjalie mzee mwinyi aishi angalau miaka mitano kwenye jumba hilo.ameeeen!
@anoldpotentin24464 жыл бұрын
Alafu msisahau, alisema atamjengea mama maria nyerere uwanja wa ndege kwake, ili awe anasafiri kirahisi kutoka nyumbani kwake. Ila mme wake mwl nyerere yeye akujenga uwanja wa ndege hata kwao😂😂
@mapandabagiligwa64264 жыл бұрын
Kwahali hii Atamm mwaka 2025 nagombea Urais
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥
@alimakame92154 жыл бұрын
Mabilioni walonayo bado wanaengezwa maskini wanakufanyaaa
@kakore_jr4 жыл бұрын
Haya tunashukuru Ngoja sisi tuishi kwenye nyuma za udongo Simenti mfumo gali Mondo za kujengea gali Mabati ndio usiseme sijui Kama TUNAYO yaona na sisi tutayaona kwenye maboma yetu Ila Mungu yupo🙏🙏🙏🙏
@costantinemashaka25724 жыл бұрын
Fanya kazi
@kakore_jr4 жыл бұрын
Kazi GANI kwani zipo nyingi
@ezekielevarest92154 жыл бұрын
Wanaoifaidi nchi bado ni wachache Sana ili hali tunaoumia ni ssi wa Hali ya chini Kwa Kodi zetu
@francolazaro86464 жыл бұрын
Wanapeana nyumba kwa kvipi
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥
@nduguviongozi65844 жыл бұрын
Kweli kabisaa mzee kama huyu unamkabidhi nyumba kama hiyo? Hizo pesa ni za nani lakini? Sawa Mwenyezi Mungu anajua zaidi?
@fredreckmwakalinga34754 жыл бұрын
Watu wanapiga makofi pesa kwenda kwa mwenye pesa duuu hiii inapatikana Tz mungu tusaidie watzn wafungue akili
@happynesssamwel29174 жыл бұрын
Acha wivu
@fredreckmwakalinga34754 жыл бұрын
@@happynesssamwel2917 acha ujinga watu wanateseka mahospitali gharama wakina mama wajawazito wanalala kitanda kimoja misukule mnasema akili za kijinga
@happynesssamwel29174 жыл бұрын
@@fredreckmwakalinga3475 msukule wewe na familia yako,,, na wewe ni mmoja ya mjamzito hebu tuelezee ulivoteseka!
@thabitalwiy14 жыл бұрын
Yani wabongo tuache unafik maraisi kujengewa nyumba mna foka duuuuh mnaona kitu cha ajabu nawakati kazi walizofanya ni kubwa kwa Taifa wanastahili zaidi ya nyumba. Kuna mashindano yanafanyika ya kuimba na mshindi anapewa nyumba sembuse wao walipigania kuliweka Taifa letu kwenye amani mnamind duuuuh.
@alawikungu23944 жыл бұрын
Kwani hawalipwi mshahara we babu vipi
@festofredrick28213 жыл бұрын
Jamani baba yetu umeenda kweli???
@kapesamjenga51684 жыл бұрын
watoto yatima wapo kibao wanalala nje alafu unampeana nyuma nyie wenyewe Mmmh
@elifurahaanuari17634 жыл бұрын
Duuuh!! Hatari
@samoocoolingsystem934 жыл бұрын
Sijui nianze kusema nachohisi au niulize swali
@nyerere12594 жыл бұрын
Duuh Watawala wanajikumbuka hao
@jumamiraji30814 жыл бұрын
Kweli wenye nacho ndo wanaoenderea kupewa
@happynesssamwel29174 жыл бұрын
Na vitabu vya dini vimesema hivo
@helenibe93394 жыл бұрын
wakubwa wanagawana nyumba wakati masikini hawana pa kulala
@westernvoice77784 жыл бұрын
Duu hiyo nyumba au hotel khaaa 😀
@brotherhenry71434 жыл бұрын
Trh 28 nina kichinjio
@ninahmpilla10154 жыл бұрын
Hutoboi
@brotherhenry71434 жыл бұрын
@@ninahmpilla1015 Time will tell and people will speak my dear ✌
@karistosimwaka97564 жыл бұрын
Hiii inchi naishi kwa bahati mbaya kunavijiji wanakunywa mikojo ya ng'ombe, badala ya hela kupeleka visima wanajiongezea manyumba2 Kofi zetu afu tunywe mikojo jamani tufunguke macho
@it-vw4zj4 жыл бұрын
Hii ndio kazi kubwa wanaoyoijua CCM, kubebana viongozi kwa jasho la walipa kodi. Lakini kwa uwezo wa Mungu mwisho wao ni 28 October 2020.
@happynesssamwel29174 жыл бұрын
Acha wivu Rais yeye si mjinga kama wewe kibaraka
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@patricmaturo73644 жыл бұрын
Angejenga kituo cha Afya ningemkubal uyo mzee miaka yote alikua mpangaji kama sisi apo Magu kazingua.
@tarimoglorymwangawamileleu26544 жыл бұрын
Iyo yake aliyokuwa akiishi awape watoto yatima
@jovinamakungu29474 жыл бұрын
Millard ayo leo umefel voice
@gwamakajubeck454 жыл бұрын
Kodi za mlala hoi
@manttheboss75454 жыл бұрын
Ila hii tz so mbona hawakutangaza kama ujenz wa hilo jengo
@alexmussa25984 жыл бұрын
BAWASILI/HEMORHOID. hii ni hali inayotokea baada ya kuvimba kwa mishipa midogo (vena) inayozunguka sehemu au tishu za tundu la haja kubwa. Bawasili zipo za aina mbili kulingana na sehemu inapotokea... Inaweza kuwa ndani au kwa nje. SABABU -👉mtu akiwa anahara sana 👉kuwa na kinyes kigumu mara kwa mara 👉ujauzito 👉kuwa na uzito kupita kiasi 👉kufanya ngono kinyume na maumbile 👉kula sana vyakula vya kukoboa 👉kuchuchumaa mda mrefu wakat wa haja 👉mtu mwenye tatizo la ini huweza kupata pia DALILI 👉damu kinyesini 👉maumivu wakat wa haja kubwa 👉kuwashwa kwa tundu la haja 👉kujitokeza kinyama kwenye tundu la haja kubwa Nb Ni watu wengi wanao ugonjwa huu ila huona aibu kujionesha na hatimaye huenda kupasuliwa.... Usiogope endapo unalo tatizo au unamjua alienalo mfahamishe kuna bidhaa ataweza kuzitumia na hatoweza kupasuliwa coz zinaondoa kabisa na huo uvimbe hautarudia tena kama ambavyo angeenda kupasuliwa Contact us ☎ Whtsp/call 0744481111
@goodluckjoelysiwiti38264 жыл бұрын
Wanagawana vilivyo vyao
@thisiszai20454 жыл бұрын
Alhamdulillah
@shabankadiria4164 жыл бұрын
✌️✌️✌️✌️mungu tubark cc na Lisu wetu
@maryamm77654 жыл бұрын
Mashaa Allah
@fundikingazi3844 жыл бұрын
hii nyumba watakaa watoto wa mwinyi, nauliza vipi na watoto wa mkapa, na watoto wa baba wa taifa? hapo bila shaka magu kuna mshindo mkubwa anataka anibutulie
@@ecamshorts471 kwa matend tu tatz uko mmbish nahisi wew ni wa upande wa pili
@husseynhamad97904 жыл бұрын
Kwaiyo ww unafkir katoa magu mfukoni mwake. Na bado kikwete yake haijamaliza. Sisi mtaani maji hatuna wao wanajengeana majumba ya kifahari amka ndugu.
@francolazaro86464 жыл бұрын
Jbinafi huuu
@masundelwa4 жыл бұрын
Acha bangi
@alimakame92154 жыл бұрын
Hofisi iyo sionyumba
@francolazaro86464 жыл бұрын
Wanapeana ili iweje
@frankdaniel35064 жыл бұрын
What the hell is going on here.......First nyumba lenyewe kama ofisi.Mzee wa watu mwinyi nyumba lote hilo la nini?JPM true colors now start to show,,,,watch out may be Lissu anaongea ukweli
@mussabaucha81754 жыл бұрын
Mbona mnatunyima raha watu wa media voice please
@omarsultan71954 жыл бұрын
Tufanyeje na tunayataka wenyewe
@maidamwaipopo76454 жыл бұрын
Naombeni msaada wa mabati jamani.
@abdulabass58084 жыл бұрын
Apewae ndio aongezwae ?apo mmebugi wajomba
@francolazaro86464 жыл бұрын
Yaani hii tz Kuna mambo mingi
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@mufidabdallajuma82474 жыл бұрын
Mbona mnavuruga nguvu zetu ukiamua unafamy uyakacho 2 bara ungejengea mayatima
@francolazaro86464 жыл бұрын
Au ndo hongo yankuitaftia kura mwanae
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥
@kelvine61674 жыл бұрын
Nin tena hiki 😳
@husseinkarim67454 жыл бұрын
Hakuna sauti wala maelezo Mzee ana nyumba yake.mbele ya mzee Nyerere hiyo nyumba gani?
@jamilakipengele83434 жыл бұрын
Akimaliza wastaafu marais atakuja kwa kaya maskini tuendelee kumuamini Jeshiiii
Inaleta raha kuona viongozi wetu mmpo pamoja namna hii Mungu awabariki sana
@mustaphahassan5894 жыл бұрын
Mwenye nacho huongezewa ,pambaneni wazeee siasa inalipa sana ,kama huna kadi ya chama pambana upate aisee siasa tamu banaaa .sio rahisi mtu kupata nyumba nzuri nzuri kirahisi kama kwenye siasa .
@sheryphamwenevalley61244 жыл бұрын
saut haipo na si jaelewa.ss hiyo nyumba kajengewa mwinyi hebu tufahamisheni maana mambo ni mengi mda mchache
@timorpathsullusi70554 жыл бұрын
Hata kikwete kwa sasa anajengewa na serikali.
@sheryphamwenevalley61244 жыл бұрын
@@timorpathsullusi7055 🤣🤣🤣 wajiongezea tu pesa za walipa kodi ss kulipa ndio kazi yetu🙏
@francolazaro86464 жыл бұрын
Ya kazi gani
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@eliaelibariki28924 жыл бұрын
magu anazingua ashaona mzee mwinyi kazeeka ndo anajichukulia ujiko apo
@happynesssamwel29174 жыл бұрын
Acha wivu
@godfreymushi69664 жыл бұрын
Mungu anawaona hahitaji nyumba ya ruum 10 ya nini na na analala Tu moja tuu ataziacha kama angeenda nazo sawa
@happynesssamwel29174 жыл бұрын
Anao watoto na wajukuu
@francolazaro86464 жыл бұрын
Na watu wamesmama hapo wanashangilia tu
@joelbarracks74914 жыл бұрын
Alie nacho huongezewa
@victoravelin5754 жыл бұрын
Hotel nyumba
@myunaniniahmad64634 жыл бұрын
Jamani cc tuangalie2, mpini wameshika wawo. Na makali tumeshika cc, 2kisema hatujakatwa?🙈
@antonyjumba43424 жыл бұрын
Kwani hakuwa na nyumba?
@eskotikimaro28584 жыл бұрын
Inaumiza sana
@madaiincubationcenter49474 жыл бұрын
wivu unakuumiza au nn inaumiza hivyo?
@rahmakhassani41484 жыл бұрын
Lamda chuo iki mbona jumba kubwa ivi
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥
@shkjumaa89394 жыл бұрын
mmmh au labda kiwanda
@rahmakhassani41484 жыл бұрын
@@shkjumaa8939 umeonaee
@مارثاتنزانيا4 жыл бұрын
Mbona sielewi
@saidmanjanjagara554 жыл бұрын
Kwamba mwinyi hakuwa na nyumba? Au mwenye nacho uongezewa?
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@levansmaweu2016.4 жыл бұрын
kweli kabisa Kristo alisema,Lakini kwa yule asiye na kitu, hata kidogo alicho nacho atanyang’anywa.
@hassanmsangi11554 жыл бұрын
hii ndo tanzania
@WASHATube4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@kpetres28724 жыл бұрын
Elders wanapewa expensive houses
@happynesssamwel29174 жыл бұрын
Acha wivu
@tawfiqmbagwa94074 жыл бұрын
Yaani miaka yote ya kustaafu mzee anapewa nyumba leo. Hata km ni sheria ni ya kurekebisha haiingii akilini eti hawana nyumba. Km ni hivyo watumishi wote wapewe nyumba baada ya kustaafu
@happynesssamwel29174 жыл бұрын
Acha wivu
@tawfiqmbagwa94074 жыл бұрын
Sio wivu aisee
@ifrahali87074 жыл бұрын
Yaniiii mwinyi kupewe nyumba mwaka huu .serekali ilikuwa wapi?toke enzi hizo