Rais Magufuli amesema Serikali yake haina urafiki na Viongozi wasiowaadilifu kwa mali za Watanzania hata kama ni Viongozi wa chama.
Пікірлер: 94
@jumamsananga86835 жыл бұрын
Katika uongonzi ukiweza kuwa mkweli tu lazma maendeleo uyaone live. hongerea sana Rais wetu kwa kazi nzuri unazozifanya kwa ajili ya taifa lako mungu akulinde sana na akupe afya njema.
@amashbaibe5 жыл бұрын
Kenya we need leader like you .am sure u are not everyone's cup of tea but you are doing great God bless you
@janesuma21935 жыл бұрын
amands Mwangi mtapata tu ndugu zetu wakenya for sure
@Frazztraveller5 жыл бұрын
amands Mwangi not really bro @ kagame is the best leader
@amashbaibe5 жыл бұрын
@@Frazztraveller I just like the way he dies beat about the bushe and decides cases on the spot .actually he is an intelligent leader
@Frazztraveller5 жыл бұрын
amands Mwangi he do those for his political stunt. Not for the public interest
@Frazztraveller5 жыл бұрын
He don't know how to rescue people from extremely poverty# Tanzania is the richest country in the world but still we are the poorest of poorest in the world
@charlesowuor79395 жыл бұрын
YESU walimchukia walimthiaki walimtesa atimae walimuuwa ila kilichoshangaza DUNIA pale alipofufuliwa kwenda MBINGUNI yote yalitokana na kazi nzuri aliokuwa akiwafanyia walimwengu lakini walimwengu hawakumuelewa, Acha wakuseme kwa mabaya wakutukane wakusengenye ila ukweli utabaki kuwa ukweli Leo hi Libya wanajuta Mimi nakuunga mkono. I LOVE CCM, I LOVE TANZANIA.
@beatricekamengekamenge55435 жыл бұрын
Baba piga kazi mzee wetu love love more
@barakamarwa50925 жыл бұрын
Asiyefya kazi asile
@dr.erickjmazyala89055 жыл бұрын
huyu ndie rais, wengine wanaigiza tu! Mungu mbariki rais wetu mpendwa Magufuli na serikali yake! Mungu ibariki Tz!
@sakinaomar3015 жыл бұрын
Tz Tanzaniaaa nakupenda kwamoyo woteee😍
@pueblo1485 жыл бұрын
fanya kazi.tumekuajili ututumikie sasa ukiwajibika wanakasirika.buldoza songa mbele
@divaifrank7645 жыл бұрын
Nakupenda saaaaana magufuli hakika tulichelewa
@andreap.assenga84805 жыл бұрын
hapo Hongera sana Mh umesema yanayowagusa wapiga madili.
@michaelnyauko60495 жыл бұрын
Mh.Rais kumbe unamaono mapana kutambua kwamba wapo watu wazuri wanachafuliwa na kupigwa vita na wasio wema big up chapa kazi Magufuli mulika wote.
@husseinkonz51925 жыл бұрын
Hapo anko huna ukorof wakorof wao
@hamisisuche41675 жыл бұрын
Video quality is super dope bro @Millard Ayo
@abdulmillanzi73555 жыл бұрын
Nyoosha mzee nyoosha
@frbm17295 жыл бұрын
Kumsikiliza Rais ni burudani mwanzo mwisho.
@manofreality36565 жыл бұрын
watanzania mm binafsi nkiwa mkenya na wenzangu...tunawaonea wivu sana kupata rais kama huyu...huyu ni rais na nusu...ambae hana mfano..
@arnoldamel81645 жыл бұрын
Lets exchange with Uhuru
@michaelsukwa43715 жыл бұрын
hongera RAIS MAGUFULI kwa kusisitiza uadilifu
@salmadalaquimane53035 жыл бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥👌
@dodoandrew12505 жыл бұрын
Salmada Laquimane piga kazi
@flownluvanda52635 жыл бұрын
Semayote baba nilichagua jembe safiiiiiiii magufuli wetu
ukweli na uwazi ndio hakhi kwa muumini wa mungu. twende na wakati tubadilike na Magu ili tuokoke kwa Mungu tupate Rehma na Amani Duniani na Ahkera Amin💯
@mwidinijuma15805 жыл бұрын
chapa kazi, utukumbuke na wafanyakazi mishahara kutuongezea hali si shwari mungu akubaliki
@damascongongi16095 жыл бұрын
Mahatma Gandhi's quote "you can torture or kill any person but you can't kill his/her ideas."
@mwalukoerick28015 жыл бұрын
DAMASCO NGONGI
@fredkyara.babamunguwambing4825 жыл бұрын
Mndumii. Nakutarame. Kokac Ngicha Nuilunda Aika Mmbe
@sudeinwahab9065 жыл бұрын
Chapa kazi mzeee
@myself41285 жыл бұрын
Tumekuwa tukiongozwa na majuha kina mkapa miaka yote na mkwere aliyeruhusu hata majambazi wavamie bank mchana na wageni wanyanyase wazawa lakini kwamara ya kwanza naona kiongozi wa ndoto zangu!!Mungu akulinde baba
@franknyant515 жыл бұрын
Tunyoooooooooosheeeeee baba!! Ila kimoja tu nssf zetu hasa sector binafsi umenyonga!!
@najmasaleh92315 жыл бұрын
Huyu jamaa anachokifanya sio kwa watanzania wa leo kesho ni faida kubwa sana kwa watoto wetu piga kazi sana jembe
@setyurgaolshigher14775 жыл бұрын
Ya ani Baba nakuombea usitoke madarakani. Hivi tufanyaje ili ukae madarakani milele. Maana nchi yetu inakuhitaji sana. Pole kwa maana kazi unayo. Mungu akupe ulinzi na afya.
@felixjunior47725 жыл бұрын
Mzee ananyooosha!!
@peterwasima31065 жыл бұрын
wewe nikinara wamaraisi dunia zima
@eliyamdeke41715 жыл бұрын
Nyerere wa pili hakika Rais wetu Maguful Tanzania tunakupenda
@amosreuben19915 жыл бұрын
Mzee unatisha unaprotocal kama zangu yaani maana penye ukweli huwa sipindishi. I love my president JPM
@blastermkama98055 жыл бұрын
Mda mwingine uko vizur ukiacja uchama utakuwa raisi wa. Watu lkn ukiendelea kubadilisha watu kutoka chadema kwenda ccm et ili uaminike kwa watu hapo hatufika wapinzani wamhimu sna
@Mobmob20135 жыл бұрын
mzee piga kazi tuheshimiane mjini
@ThobiasMarandu5 жыл бұрын
Tanzania yenye kufuata Sheria my foot! Wewe Magufuli Unafuta Sheria? PUMBAVU!
@wanderaothumani49195 жыл бұрын
Viva forever magufuli🙏💪
@loyceisack17815 жыл бұрын
Tatizo lako ulichelewa kugombea urais. Tungekuwa mbali mno. Basi mzee jihukumu mwenyewe kwa kosa hilo uongeze miaka kumi
mzee magu sikua na ushawishi wa kupiga kura lkn 2020 nitafanya hivyo nikiwa hai
@edwingwesso1295 жыл бұрын
Hahaaaaa gachuma Mimi no jlan yangu xana
@fundikilahfundi57255 жыл бұрын
Mbona ziara imetawaliwa na Ccm ccm Mara chadema Mara Ccm ,nnn haswa zumun lake
@getajo11535 жыл бұрын
Nyasaye omii teko idhi nyime gi tich ni....
@fadhilisecha42685 жыл бұрын
Kwa nchi ilipokua imefikia kwel MZEE baba Piga kazi. Mapungufu hayakosekani lakini nyoosha goti tu. Nchi kila pahala hovyo sana. Mambo ya ajabu Kwel yamefanyika vipind Vya nyuma
@machaggechacha34225 жыл бұрын
Gachuma na wenzake ni wezi hawana haja ya kuendeleza nchi ila tukwq mafufaa yao kinafsi
@hashimnjowele63725 жыл бұрын
JPM...he is the last of the dying breed...hajawahi kutokea kiongozi kama hyu tanzania...Songa mbele!!
@charlevande88215 жыл бұрын
Sasa Tanzania ya ukweli na uwazi yajaa
@bundalakibwana58995 жыл бұрын
piga kazi raisi
@ramadhansylvesta19525 жыл бұрын
MUNGU AKUBALIKI SANA MZEE
@rockcitynative99855 жыл бұрын
kumbe kufukuzwa CCM mpaka urais uishe! mi nilifikiri muda wowote tu wanachama wakiamua wanakufukuza kumbe!
@robertshemaonge60005 жыл бұрын
kweli baba
@inosentsagera16642 жыл бұрын
Tutakukumbk sana
@shaabanahmed62935 жыл бұрын
Mh. Maguful tunakupenda znz
@ThobiasMarandu5 жыл бұрын
Wewe Ndio Jambazi Unayeiba Kura Kwenye Chaguzi Ndogo, Kwa Kutumia Mapolisi na Wakurugezi na Wajumbe wa NEC. WIZI WA KURA NDIO UJAMBAZI MAMA LAO. MAGUFULI WEWE NI JAMBAZI, Unaona Majambazi Ni wanaoiba Kura tu? PUMBAVU
@magumbajaphet20635 жыл бұрын
Aise kuwa makini na domo lako kumtukana RAIS WETU tumpendae unafanya dhambi nenda katubu
@lumumbanyakisrya47765 жыл бұрын
Mheshimiwa rais weka mifumo ya kudumu ambayo haitachezewa hata ukimaliza muda wko.isijw ikawa baada ya kipindi chako tukajikuta tumerudi kule kule.Ni kweli maendeleo kuna wakati yanahitaji msukumo wa nguvu bila kuoneana aya
@nancy68885 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akusimamie mheshimiwa rais
@juliusjoseph11883 жыл бұрын
Ndio
@shedrackmanga5092 жыл бұрын
Axante
@bettykarume56192 жыл бұрын
😭😭😭😭🙏🇹🇿
@angelusilljujalijuja98525 жыл бұрын
Safi mkuu tufikishe baba
@allyduale8825 жыл бұрын
Safi sanaaa
@florianmwaibabile53085 жыл бұрын
Mzee magufuli utakapompeleka gachuma mahakamani ntakuwa shahidi nimeshuhudia kwa macho yangu anavokihujumu kiwanda cha zzk. Mbeya kauza vipuri vyote my God hadi inasikitisha
@edinajoseph37735 жыл бұрын
ghachuma aache usumbufu alipe hera za watu bunda
@blastermkama98055 жыл бұрын
Usitaje ccm ukiitaja ccm unabagua
@josephmlela97575 жыл бұрын
Duh
@mabruckemmanuel15562 жыл бұрын
Hj
@aliadam47735 жыл бұрын
Huyu ndio Putin wa Afrika
@ndikumanajackson90125 жыл бұрын
Huyu anaweza ukuu wa wilaya
@elkanasmwidudumbi30255 жыл бұрын
Ndikumana Jackson Nhamala pigaga kazi hakuna kazi isiyo na lawama