Azam TV - JPM amuumbua hadharani aliyesema anaidai serikali Tsh. bil 7

  Рет қаралды 290,916

Azam TV

Azam TV

6 жыл бұрын

Rais Magufuli amesema serikali italipa madai ya watumishi baada ya kuyafanyia uhakiki huku akitaja majina ya watumishi watatu ambao waliwasilisha madai ya uongo. Amefanya tukio hilo wakati akihutubia wakati wa Bukoba katika uzinduzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba uliofanyika leo Nov. 6, 2017

Пікірлер: 64
@Fredykapande-vh6cv
@Fredykapande-vh6cv 5 ай бұрын
Daa!kweli kizuri hakidum.ulale salama baba.kwakua uliku nahofu ya mungu.hakika huko uliko.umezungukwa namalaika.kwaulizi zaidi.peace and love dady.
@robertchuri3222
@robertchuri3222 Жыл бұрын
Nakukubali mzee ulale salama mungu akupe nafasi nzuri mbinguni
@jemedarikalimasi5754
@jemedarikalimasi5754 Жыл бұрын
Ulijitoa mhanga baba yetu ndiyo maana walikuuwa, hakika mungu atakulipa kwani ulifanya kazi kubwa ndani ya serikari ya Tanzania R.I.P JPMj
@calebcaleb3193
@calebcaleb3193 Жыл бұрын
Dada kaka Mimi kamwe mishani mwangu siwezi kuku sau kwa utumishi wako wa ufanisi baba umeondoka umetuachia majanga baba jipm vyakula bei ju matozo makubwa kwenye miamala baba sisi kama watumishi tuliosimama kukuombea baba bado tutakuombea uko uliko baba
@dollokasuka8131
@dollokasuka8131 Жыл бұрын
Baba Pumzika Kwa Amani, naumia sana, machozi yananitoka kila nikisikia sauti yako!!
@freeworld2369
@freeworld2369 Жыл бұрын
Hii video ya 5 mfululizo naangalia kuhusu Magu leo. Kwakweli mzee alikua chuma RIP🤲
@ramadhanmgaya1775
@ramadhanmgaya1775 Жыл бұрын
Mzee kweli ulijitoa muhanga kwa ajili ya Watanzania. Rip .
@royalmirage2005
@royalmirage2005 6 жыл бұрын
Mr.President congratulations on this one.Tanzanians are with you always.thanknyou
@remmyurio6582
@remmyurio6582 Жыл бұрын
Hasn't
@maliminillah2671
@maliminillah2671 Жыл бұрын
Kwanin rais wetu MAGUFULI Ulituachaaa
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Walikoma sana mafisadi.. nahisi walisherehekea sana hiki chuma kilipolala..
@fidelislugusi5361
@fidelislugusi5361 Жыл бұрын
R.i.p mjomba tunakukumbuka daima
@fredythomas1848
@fredythomas1848 Жыл бұрын
R.I.P JPM saiv tunapata tabu sana umeme wa shida maji ya shida tozo ndio usisene dah
@moseskibozi1329
@moseskibozi1329 Жыл бұрын
,my morning meditation.., thank you father.
@prosperjuma905
@prosperjuma905 Жыл бұрын
Ila kuna wakati tulidanganywa sana aise
@abdulahitorow8441
@abdulahitorow8441 Жыл бұрын
Am Somali and i missed him
@zainabmakame3015
@zainabmakame3015 5 жыл бұрын
asante piga kazi babaa
@allyshafi4391
@allyshafi4391 Жыл бұрын
Pumzika kwa Amani mzee wetu
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj Жыл бұрын
R.I.P chuma
@ahmedkhatibu5387
@ahmedkhatibu5387 Жыл бұрын
Nothing to say,,, Alhamdulilah
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 Жыл бұрын
Mabeberu yapo hapahapa inchini yashughulikiwe Kwanza bila ivo ufisadi hautaisha Tanzania tutabaki maneno tu na kikibwa chama tatizo
@adamgobeka5664
@adamgobeka5664 6 жыл бұрын
good sana my President Magufuri
@julianamasunga4147
@julianamasunga4147 6 жыл бұрын
piga kazi.... mungu akupe maisha marefu.....
@iddihamisi6320
@iddihamisi6320 Жыл бұрын
Mzee Mungu Akupe Pepo ya juu kabisa Ulijitoa kwa ajili yetu Sisi masikini. R.I.P PRESIDENT JONH POMBE MAGUFULI
@mlangiralameck9158
@mlangiralameck9158 Жыл бұрын
Hakika ,mungu n mwema
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 Жыл бұрын
Baba kazi ulio ifanya nikubwa Sana kwa muda umewafungua waafrika wote sio Tanzanian tu afrika mzima was lisoma nomba pumzika bb umeonyesha njia
@mirajamir1267
@mirajamir1267 Жыл бұрын
sijui had sasaiv tungekua wap(RIP) JPM
@malandojames5151
@malandojames5151 Жыл бұрын
Baba hii ndo Tanzania uliyoiacha. Pumzika kwa amani baba yetu.
@edisonbenard226
@edisonbenard226 Жыл бұрын
RIP BABA JPM
@thomaschambala6060
@thomaschambala6060 6 жыл бұрын
aksante mr
@erickmapunda1190
@erickmapunda1190 Жыл бұрын
Daaaaaaa inauma saaana ila mungu ana makusudi yakee lala salamaa
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 Жыл бұрын
Mungu atajibu vilio vyetu hakika
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 Жыл бұрын
Jpm Ni raisi wawanyonge mungu atamlipa mema yotee
@talasilakazole30
@talasilakazole30 Жыл бұрын
Apumzike kwa amani JPM
@jumahassan273
@jumahassan273 Жыл бұрын
Mwamba wa Tanzania na African
@kubilathomas996
@kubilathomas996 Жыл бұрын
Mukutano wa nyelele
@elipidtesha5466
@elipidtesha5466 Жыл бұрын
Mungo.ndo.anayejuya .mstakabali wa kila kitu REST IN PEACE OUR FOREVER LOVED PRESIDENT
@catemutio5245
@catemutio5245 Жыл бұрын
Huyu alikuwa rais Wa kweri
@maniscamullah6282
@maniscamullah6282 Жыл бұрын
Dah
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Жыл бұрын
Pm alikuelewa sana, ila sasa yeye ni wa 3 kwenye list hana nguvu za ku act kama wewe! Pumzika Jpm
@babalao910
@babalao910 Жыл бұрын
Hatutapata Rais kama Huyu tn
@nowelaraymond5986
@nowelaraymond5986 Жыл бұрын
😭😭😭
@janethjoseph7218
@janethjoseph7218 Жыл бұрын
Punzika kwa amani kipenzi changu
@edwardkabora562
@edwardkabora562 Жыл бұрын
Mbingu ni yako tu Baba.
@chazyrichard7434
@chazyrichard7434 4 ай бұрын
Kkmke hatutakuja kupata rais kama huyu😢..
@uniqueterrazzo
@uniqueterrazzo Жыл бұрын
Lala salama shunjaa
@mathewungani9724
@mathewungani9724 Жыл бұрын
Lala Salama Mwamba J PM...
@ommarymzee1161
@ommarymzee1161 6 жыл бұрын
piga kaz achana na wapinzan tongwaaaa
@swalead8928
@swalead8928 Жыл бұрын
Daa namkubali Sana huyu mjomba wangu
@josiahnkungu2655
@josiahnkungu2655 Жыл бұрын
Tutakukumbuka daima
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 Жыл бұрын
RIP Tunakulilia sn,
@arthur3625
@arthur3625 Жыл бұрын
Lkidube
@kamongommanyama845
@kamongommanyama845 Жыл бұрын
Mwenye masikio haambiwi sikia
@amospetro8924
@amospetro8924 Жыл бұрын
Who the cap fits
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 Жыл бұрын
Nothing
@dastanboda3472
@dastanboda3472 Жыл бұрын
Safali tv
@zahiboyalmasi5767
@zahiboyalmasi5767 Жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔
@hawarashidi4486
@hawarashidi4486 Жыл бұрын
Upmzika kwa amani baba tutakukumbuka daima Kila nikisikia sauti Yako machozi yanidondoka
@deborasamwel3844
@deborasamwel3844 Жыл бұрын
pumzika kwa Aman baba
@azizimsami44
@azizimsami44 Жыл бұрын
Raisi makufuli
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 Жыл бұрын
Hakika wewe ulikuwa Rais wa wanyonge.
@jonmavambe8133
@jonmavambe8133 Жыл бұрын
Nitakupenda mpka kufa kwangu
BREAKING: JPM Awasweka Wenyeviti Ndani Hadharani!
17:33
Global TV Online
Рет қаралды 108 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 12 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
SIMBA TV 24/07/2024
25:58
Azam TV
Рет қаралды 22
JPM Alivyompigia Lukuvi Hadharani, Amkopesha MIL 1!
10:21
Global TV Online
Рет қаралды 473 М.
JPM: Mimi sitaki nipendwe, hata sura yangu ni mbaya
1:05
Azam TV
Рет қаралды 28 М.
KUMBUKIZI: RAIS MAGUFULI ALIPOTEMBELEA GHAFLA BANDARI YA DAR ES SALAAM
34:35
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA KAIMU RPC RUKWA/ "ANAKIBURI....."
8:13
Три футболиста попали за решетку 😓
0:45
КИК Шорт!
Рет қаралды 420 М.
Месси - батя Ламина Ямаля?
0:42
1win Sports
Рет қаралды 443 М.
Competição de Low kicks #competition #chutes #pernas #kickboxing #karate
0:43
BJJ Techniques and News
Рет қаралды 4,1 МЛН
World Cup 2010🔥 #football #worldcup
0:15
TalentWithSJ
Рет қаралды 3,1 МЛН
Players with Their Kids
0:31
LA15I
Рет қаралды 17 МЛН