Rais Mwinyi amjibu Ali Karume, amwambia anaongea upuuzi tu, uchaguzi ulikuwa huru na wazi

  Рет қаралды 186,643

Zanzibar Kamili TV

Zanzibar Kamili TV

Күн бұрын

Пікірлер: 485
@nyungwajunior1301
@nyungwajunior1301 Жыл бұрын
Ukimsikiliza vizuri mheshimiwa Mwinyi utagundua ana utulivu mkubwa sana anapojibu hoja. He is very smart
@khamismaulid6839
@khamismaulid6839 Жыл бұрын
Hana usmati
@KhadijaAliMohd-rn6mn
@KhadijaAliMohd-rn6mn Жыл бұрын
WACHA UJINGA HUWO WW. ZNZ MWAKAWA60HUU =0 WATU MIL.3 HATUFK!!!!!?????
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 Жыл бұрын
Utulivu gani wakt anajua fika CCM chaguzi nyingi wajashinda kihalali!!!!????
@barbarasara4033
@barbarasara4033 9 ай бұрын
Utulivu Labda WA nyokweeeee
@msellemseif3102
@msellemseif3102 Жыл бұрын
Tunataka mamlaka kamili ya ZANZIBAR. Tujengee BANDARI.
@santennko1195
@santennko1195 8 ай бұрын
Mh. Endelea mbele tengeneza zanzibar ya uchumi wa Kati. Barabara ya Airpot ni muhimu sana Iwe njia 4 watalii Waingie, wasafiri twende kwa raha. Safi Sana iboreshwe. Sisi Bara tunaunga mkono juhudi zako zako na ubunifu wako.
@ZanzibarKamiliTV
@ZanzibarKamiliTV 8 ай бұрын
Kwani nyie Bara ndo wakaazi wa Zanzibar?
@gastomoshi8851
@gastomoshi8851 Жыл бұрын
Mimi namunga mkono Ali karume aslimiya 1000000000
@KASIMMASTER-gv9tx
@KASIMMASTER-gv9tx Жыл бұрын
Mwaka uliopita uchaguzi haukuwa huru bari ulikuwa uchafuzi
@idrisaaliy9847
@idrisaaliy9847 Жыл бұрын
Aaah kake weeee uchaguzi gani ulikua huru jamaniii hhhhhh .....
@Lyakatali-s7x
@Lyakatali-s7x 8 ай бұрын
Kudos Mr President kudos... Chill , when push comes to shove we got u , we got this Broo .
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Ccm hawajawahi kushinda tokea 64 Mimi nilikuwa mwenyekiti miaka iyo
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Жыл бұрын
Ulikuwa mwenyekiti wa CCM Maana wewe ni.mwizi mkubwa.
@hamicpina1151
@hamicpina1151 Жыл бұрын
Mwaka huu watu wamekufa wengi kura mara mbili nd vp sas
@alyspare4850
@alyspare4850 Жыл бұрын
Eti uchaguzi wa haki hakuna kama huu ulioniweka madarakani elewa mungu anakuona
@fatmaaliomar9733
@fatmaaliomar9733 7 ай бұрын
Muheshimiwa Rais endelea na kazi zako za maendeleo.Yajayo ni neema.
@arsenalzanzibar2413
@arsenalzanzibar2413 Жыл бұрын
Family Yetu Tupo Watu Zaid Ya 200 Wanaopiga Kura Ata Watu 10 Hawafiki Cuz Hawapewi Vitambulisho Mukitenda Haki Wallah Asubuhi Mapema Tunawapiga Chini
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Жыл бұрын
Kweli uchaguzi ulikuwa huru na wa haki ndomana watu wakauwawa na wakabakwa ndugi zetu na wazee wakapigwa pasi za makalio hali yakuwa wakiwekwa uchi. Muogopeni ALLAAH nyinyi
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 Жыл бұрын
Kazi nzuri mh Rais Mungu akupe Afya njema
@yasserahmed9420
@yasserahmed9420 Жыл бұрын
Kweli mwakaa huu uliwa wazi uchaguzi ila wapemba tumeuliwaaaa😅
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
rais hajibu upuuzi lakini anajibu
@allyal-sharawymwadini3111
@allyal-sharawymwadini3111 Жыл бұрын
Kwn maeneo mengin ya kujenga hamuna tukawa tuna viwanja 2 kulikua kuna sababu gani kubomoa kilichopo na si tunapoteza muda zaidi Ally karume yupo sahihi
@Ujumbewadini
@Ujumbewadini Жыл бұрын
Mtu mzima haipendezi kuwa muongo, uchaguzi upi huo wa huru na wa wazi....Unasema mdomoni mwako na nafsi yako yaujuwa ukweli...Hesabu yakuongojea.
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Ndio kawaida ya wanafik kusema uongo na kujipamba
@abdulyabubakar6247
@abdulyabubakar6247 Жыл бұрын
We utakuwa muikristo wewe 😢
@mariamjamali1444
@mariamjamali1444 Жыл бұрын
Mh Rais wewe ni mzuri sana tena sana ila mfumo uliokuweka madarakani ulishakuwa na mashaka tokea mwanzo ndo maana hata ukishinda Kwa halali watu wanaweka doubt Kwa hivyo boresheni tu hii mifumo ya uchaguzi.
@ahmadseif7241
@ahmadseif7241 Жыл бұрын
Huna majibu, tunajua mfumo wa uchaguzi wetu ni wizi tu na zulma
@georgenyoni9879
@georgenyoni9879 Жыл бұрын
Strong man ,young president ,wise man
@muznamohammed1366
@muznamohammed1366 7 ай бұрын
Mhh by young president😂
@ZANAMBER12
@ZANAMBER12 Жыл бұрын
Ukweli utabaki kuwa ukweli watu wote wa zanzibar waliona jinsi ya uchaguzi wa zanzibr ulivyoendeshwa mfano ni kura ya mapema kwa kaida mwizi hata kakikamatwa kizibiti mkono hujitetea kama mimi sio mwizi haya ww endelea kuficha ukweli iko. Siku ukweli utakuumbua tu
@mzeejumbe900
@mzeejumbe900 Жыл бұрын
Ndio yashapita hayo, waswahili wanasema yaliyopita sindwele tugange yajayo na penye rizikii hapakosi fitina, muacheni kijana cha watu achape kazi si mlikuwepo kama yaliwashinda sasa lawama zanini, chapa kazi mheshiniwa tuko pamoja nawe mazuri yako tunayaona.
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 Жыл бұрын
@@mzeejumbe900 basi wafute makovu na wale vilema walioekwa ndio yaishe
@ahmedseif9461
@ahmedseif9461 Жыл бұрын
Hata haya hana dhalimu huyu CCM haijawahi kushinda tokea uchaguzi wa 95 salmin Amur
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 Жыл бұрын
His excellence honorable husain Ali mwinyi,,you,re soo smart keep on brother
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Жыл бұрын
Pongexi zimuendee Mh. Ali Karume popte alipo
@SeifDorado-th5ud
@SeifDorado-th5ud Жыл бұрын
Mbna wao walishindwa kufanya kitu baba piga kazi mzee mm nakubali juhudi yako wakikusumbua niachie mm
@billgussy6099
@billgussy6099 Жыл бұрын
Anasema uchaguzi ulikua wa wazi yeye mwenyewe anajishangaa pamoja na wanao msikiliza😅😅😅
@mathewungani9724
@mathewungani9724 8 ай бұрын
Mh.Mwinyi ndiye Rais Bora zaidi hapa Zanzibar
@alfredmbwilo7354
@alfredmbwilo7354 Жыл бұрын
Raisi mwinyi kwanini mnakuwaga mnapiga watu kipinda cha uchagusi kama mnashida kwa harali mnadagaya watu hamnauweso wa kushida hatamalamoja
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 Жыл бұрын
Tangu 1964 mpaka leo kipi kikubwa kilichofanyika
@missarepafra3973
@missarepafra3973 Жыл бұрын
Ukilazimisha kuwa kipofu wakati unaona hutapata wa kukusaidia maana watu wanajua unaona ila hutaki kuona.
@msabahaali758
@msabahaali758 Жыл бұрын
muheshimiwa umefanya mazuri meengi sana maisha pia yako vizuri sawa tunahitaji tume huru ya uchaguzi pia toa viambulisho vya uzanzibari ukaazi halafu usilete mazombi uone sasa wazanzibari tutakavyokunyooosha asubuhi na mapema
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb Жыл бұрын
😂😂 Khatari
@abdallahabdallah8612
@abdallahabdallah8612 Жыл бұрын
Hayo mapinduzi hayeshi mpaka mfanye sherehe kupoteza pesa tu wekeni benk holiday tu kama wezenu ulaya
@kassim1262
@kassim1262 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Hasubutu
@fatmas7338
@fatmas7338 Жыл бұрын
Pia waondoshe kura ya mapema halafu tuone kama watashinda kweli
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Njaa inazidi Zanzibar
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Жыл бұрын
Mwinyi.jibu.maswali.uchaguzi.ulipita.mliiba.kura.kama.hujui.mungu.anajua.maisha.ya.dunia.ni.mapito.magu.yuko.wapi.?????
@FeisalDoctor
@FeisalDoctor Жыл бұрын
Kabisa bro aw wiz wanauw ndug zetu Bure mung atujaalie tupat shaba turipuan t
@imranmohammed3785
@imranmohammed3785 9 ай бұрын
Mitano tena inshallah Raisi mwinyi
@bakarbakarali-cw3gc
@bakarbakarali-cw3gc Жыл бұрын
Rais mwenye maneno africa mzima namba moja
@eliadaniel216
@eliadaniel216 Жыл бұрын
Mhe rais wew piga kazi tu uzuri wanzanziba wanakupenda na wanaona juhudi zako hayo mengine ni maneno ya wakosaji baba wew ni chuma wachawi huwa hawakosi god is great
@maulidali7657
@maulidali7657 Жыл бұрын
Barabara za unguja za chochoroni kila sehemu zinaje unguja na chochoroni pemba ziangaliwe
@SalehRashid-zz7dc
@SalehRashid-zz7dc 5 ай бұрын
hongera Ali karume kwa kusema ukweli
@hamadfaki3990
@hamadfaki3990 Жыл бұрын
Sisi tuko bega kwa bega na ali karume
@zinjibaryetu8451
@zinjibaryetu8451 Жыл бұрын
Duh Hussein Mwinyi bado unaamini kua uchaguzi wa 2020 CCM ilishinda na huo uraisi umeupata kwa kushinda kura?? Laa haula wala quwwata illa Billah.
@kassim1262
@kassim1262 Жыл бұрын
Anajua kila kitu anajua kuliko cc tunavojua lakin unapokua naalama yaunafik abadani ukweli huutaki unafik tu sio hiari yake hiyo na akitaka aamini kama mnafiki astahamili mpk uchaguzi mwengine tukijaaliwa
@Daawa-l8s
@Daawa-l8s Жыл бұрын
Hahahahaa haki inaitwa upuuz
@SabeehaAlawi
@SabeehaAlawi Жыл бұрын
Raisi wetu kipenzi naomba tukujibie ilo suala la kwanza yani mara hii ikiwezekana usifanye ata uchaguzi wewe malizia tu miaka yako baba.kazi zako zinaonekana
@hamicpina1151
@hamicpina1151 Жыл бұрын
Majibu mabovu upuuzi upi sasa
@alhajjkassim2648
@alhajjkassim2648 Жыл бұрын
Mh Piga kazi, walio pita hawakujadiliwa sababu walikua na maslahi kwao wao , Allah akusimamie.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 8 ай бұрын
Hatuwataki hawa viongozi tunaoletewa kutoka Tanganyika, Wazanzibari wapo wakidhalilishwa na hawa viongozi kutoka Tanganyika.
@halimamahundu4006
@halimamahundu4006 8 ай бұрын
allah azidi kukuongoza katika misingi ilio sawa mr president
@munalove450
@munalove450 9 ай бұрын
Mungu akusimamie inshaallah
@honestyfirst2165
@honestyfirst2165 Жыл бұрын
Go ahead your excellency. I am east african.
@hikmanalkanan9365
@hikmanalkanan9365 Жыл бұрын
Nakupenda rais wangu
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Жыл бұрын
WAZANZIIBARI wanataka kuendesha serikali yao WENYEWE, hawataki kuongozwa na WATANGANYIKA.
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 Жыл бұрын
Rais mwinyi mm nakukubal sana ata mm nimebadilishwa jina naitwa raise mwinyi Kwa mambo mazuri nnayo fanya mazur kama unavyo Fanya ww
@saidkhalifa34
@saidkhalifa34 Жыл бұрын
Msiwaruhusu hao waandishi kuuliza Masuali yanayo mhusu Ali karume na Mh Rais
@suleali839
@suleali839 Жыл бұрын
Huenda Ali Karume yupo sahihi ndio maana amepuuza.😂
@hamadjumakombo9793
@hamadjumakombo9793 9 ай бұрын
Barabara zijengwe ni maendeleo
@JamalMshenga-ex5ui
@JamalMshenga-ex5ui Жыл бұрын
HATUNA SHIDA SSI RAIS, SHIBE KWENDA MBELE. NA UCHAGUZI UMETANGAZWA NA TUME, HAPO KAZI TUU. lakini ungenigaia laki moja tu mie.
@vuaipanduhaji3681
@vuaipanduhaji3681 Жыл бұрын
Vijijini sio kweli😢😢😢 twendeni paje na uroa tukahakikishe maneno ya rais.
@HamadHamad-oy7mp
@HamadHamad-oy7mp Жыл бұрын
My president huna majungu piga kazi
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Жыл бұрын
Kama uchaguzi ulikua wa kweli mbona watu walipigwa mabomu yalikua ya nini mabomu
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Жыл бұрын
Kama wewe una mali yako halali unaweka walinzi wa nini?
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@denisipalo7785.Haukuwa Uchaguzi bali UCHA-WIZI (Uchaguzi wa Wizi) na ulikuwa Huru kuwauwa Waislam wa Zanzibar kwa faida ya kwao Tanganyika na kuwa Khatib wa Misikiti ya Zanzibar.
@BenjaminHenry
@BenjaminHenry Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mzee.
@barbarasara4033
@barbarasara4033 9 ай бұрын
Ambariki na NN????
@shabanikakongo-f5n
@shabanikakongo-f5n 8 ай бұрын
wazanzibar waache unafiki, mbona marehemu maalim seifu alipowaambia kuwa mshikeni mwinyi nimemkubali. wote wakamkubal na kumshangilia maalim. rais mwinyi piga kazi binadamu hawana wema
@abdullaalwikabil3371
@abdullaalwikabil3371 Жыл бұрын
Nyie mnao tetra si wa Zanzibari mzanzibari yoyote atamuunga mkono Ali Karume
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Жыл бұрын
Hiyo inajulikana tokea vyama vingi 95 ccm haijawahi kushinda huo ndo ukweli
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
Anachokijua ni kubabaisha kilichosemwa tu, na wala hajibu hoja.
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 Жыл бұрын
Mwinyi jibu hoja hacha kuleta kejeli kwenye swala lamuhimu... Hacha huu CCM hapo
@allyal-sharawymwadini3111
@allyal-sharawymwadini3111 Жыл бұрын
Zambi hizo uchaguzi up ulokua huru jamani
@mohdhassan6083
@mohdhassan6083 Жыл бұрын
Ni mstaarabu na HESHMA Kwa unaowajibu na WANANCHI wako. Humtukani MTU. Kweli UMELELEKA. Isipokuwa TULIA usichanganyikiwe UKITUHUMIWA.
@safiasaleh669
@safiasaleh669 Жыл бұрын
Nakukubali 💯
@SaudaOmar-t1z
@SaudaOmar-t1z 8 ай бұрын
Mashaallah anahekma ya kujibu mno
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Жыл бұрын
Muacheni mwinyi ainga'rishe Zanzibar mmezoea kuona Zanzibar inadidimia 🙂
@danielmgeni1703
@danielmgeni1703 Жыл бұрын
Shida nchi yetu hi wajinga wengi Sana
@abdallasaid3067
@abdallasaid3067 8 ай бұрын
Amuache Rais Mwinyi afanye maendeleo tunaona mabadiliko mazuri Zanzibar Rais Hussein Mwinyi apewe maua yake. mumi napendekeza Baraza la Wawakilishi lipelekewe mswada Ipitishwe Sheria kuhusu katiba Rais Mwinyi awe Rais WAKUDUMU ZANZIBAR hadi kieleweke
@mohdhassan6083
@mohdhassan6083 Жыл бұрын
Ahsante ahsante ahsante Mheshimiwa ndugu yetu Rais. Allah akuzidishie uwezo wako WA kutenda
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 Жыл бұрын
Ushauri acheni kuleta wawekezaji Zanzibar hao ni wakoloni wapya Mbona Abeid karume alijenga bila wawekezaji? Fundisheni watu wenu waijenge nchi Yao tamaa ya Kodi itatupeleka utumwani mapinduzi tutapoteza maana yake .
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
HOJA NI NZITO SANA.KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI VINGETUPA MAJIBU MAZURI.
@mamafaiza1720
@mamafaiza1720 Жыл бұрын
Sasa ww rais unazingua uchaguzi gan ule au uchafuzii
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 Жыл бұрын
Hahahaha😂
@ahlamsaeed498
@ahlamsaeed498 Жыл бұрын
Tulia ww
@omarissamashaallahpresiden2920
@omarissamashaallahpresiden2920 Жыл бұрын
Hongera chukua chako m ukajeng mkur 10%
@magangamdogo3301
@magangamdogo3301 Жыл бұрын
Kwenye barabara jamani mwinyi muacheni kbs mweshimiwa Rais wa wa zanzibar kua naamani fanya kazi juhudi zako tunaziona
@seifomar1477
@seifomar1477 5 ай бұрын
HUSEIN mwinyi huna jipya Unapiga pesa zako tu Na kuongoza vipofu Kampuni ya Barabara ni ya kwako ww mwenyeo
@kadhyajuma3471
@kadhyajuma3471 8 ай бұрын
Sisi rais mwinyi tunakufahamu na tunakuamini
@saidabdallah2824
@saidabdallah2824 Жыл бұрын
Kweli muheshimiwa nakubali Bina adamu ndivo tulivoo Achana nawoo ss tuna taka Maendeleyo
@noffalsalim
@noffalsalim Жыл бұрын
Wewe mwinyi kumbe hufai .ww ulishinda lini.ccm tokea lini kusinda Zanzibar. kazi kusema uongo mtu mzima
@ramadhanikapuku5901
@ramadhanikapuku5901 Жыл бұрын
Chapa kazi mzee. Kazi iendelee
@ahmadseif7241
@ahmadseif7241 Жыл бұрын
Kaongea ukweli Ali karume
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 Жыл бұрын
Ccm haijawahi shinda zanzibar huyu yeye alipewa tu na kwanini zanzibar uchaguzi ulifanyika mara mbili?
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Жыл бұрын
Unachofanya kuijenga Zanzibar ndicho kinawachanganya wenye nia mbaya, ni kama ilivyokuwa kwa JPM. Mungu akulinde na mahasidi.
@nassorsubah3100
@nassorsubah3100 Жыл бұрын
Hong era Raisi wetu
@alijuma9951
@alijuma9951 Жыл бұрын
Mashallah mashallah Allah akufanyie wepesi Nashari za mahasidi wanapo husudu
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Жыл бұрын
Na Madhalim wanapodhulumu
@FeisalDoctor
@FeisalDoctor Жыл бұрын
We mkundu kweli
@hemediseseme9048
@hemediseseme9048 Жыл бұрын
Hongera Sana mheshimiwa Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kwa majibu mazuri. Wanapenda kuipaka matope serikali ya CCM wameishiwa na hoja wanatapatapa kama mfa maji. Ni kuwaombea dua, siku zote wanabeza mafanikio ya CCM. Mapinduzi daima.
@rosekweka7605
@rosekweka7605 Жыл бұрын
Pita kila Kona nawanaoujumu uchumi washone ndani Raisi mwinyi hoyoooooooo
@khadijajuma3887
@khadijajuma3887 Жыл бұрын
Raisi mwinyi ana nia njema na Zanzibar mwacheni apige kazi msmtie maneno
@mustafaismail5622
@mustafaismail5622 8 ай бұрын
Chapa kazi achana wa walevi na washirikina
@issabilali3539
@issabilali3539 Жыл бұрын
Basi kama mnaona haukuwa wa Huru tupeni Mwinyi na mumuchukuweSamia
@kisa6022
@kisa6022 Жыл бұрын
Lol uchaguzi huu uliopita Kweli hazarani maana watu walipigwa bila kificho
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 Жыл бұрын
Hatukutaki upita kwa miguvu tu
@Lyakatali-s7x
@Lyakatali-s7x 8 ай бұрын
Lets aim for cooperation not conflict....always . Ameen ?!
@binhabib5949
@binhabib5949 Жыл бұрын
Ktk huo mwaka uchaguzi ulokuwa ni wa dhulma ni mwaka huu ndio maana huna jibu mheshimiwa mwinyi nakuona muislamu kumbe,,,,,,,,,
@IshakaMapyoro
@IshakaMapyoro Жыл бұрын
Mwiny unaupiga mwingi sana piga Kaz maneno Achana nayo
@NaifatJuma-d7b
@NaifatJuma-d7b Жыл бұрын
Uchaguzi haukuwa wa haki apo mh, Raid umetudanganya
@SimonNchiman-rm5kk
@SimonNchiman-rm5kk Жыл бұрын
The best president of my choice
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 Жыл бұрын
KWANINI WASICHUKULIWE HATUA WALIO HARIBU FEDHA HIZO ,BALI UMEWABADILI SEHEMU KWENDA SEHEMU NYINGINE.
@drhalimalmaskari
@drhalimalmaskari 9 ай бұрын
Masanduku yalijazwa kura kabla uchaguzi !!
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka Жыл бұрын
Huyu kiongozi yuko vizuri hata angepewa Tanzania angemudu kuliko Samia 😮
@AbuuLuqman99AbuuLuqman
@AbuuLuqman99AbuuLuqman 7 ай бұрын
DUNIA NI MAPITO TU😊
@shamayraaltai6199
@shamayraaltai6199 8 ай бұрын
Ccm hajawahi kushinda urais Zanzibar huo ni ukweli uchaguz uliopita mulizid kwiba
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
"Surrender or Starve": Israel Weighs Plan to Liquidate Northern Gaza
13:45
AMANI KARUME AFICHUA SIRI YAKE NA HAYATI MWINYI
7:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 26 М.
Rais Mwinyi leo amtumbua Mkurugenzi wa ZRB
12:37
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 40 М.