Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 142
@skjjsj18895 ай бұрын
Ma sha allah huyu Kafanana sn na marehemu bb yake
@hakunamatata80655 ай бұрын
Mtangazaji unastahili kazi kubwa zaidi ya hii kipaji chako ni kikubwa zaidi ya hapo ulipo 👏
@rashidomar27715 ай бұрын
Mimi ninakushukuru,,kwa kusema kweli kama CCM hamshindi urais hapa zanzibar,,hongera sana balozi Ali
@hajihassan54335 ай бұрын
Hajasema hivyo.
@jumakapilima72955 ай бұрын
Unayaamini maneno ya mkosaji?
@user-gd2xj3xd1b5 ай бұрын
Aliwahi kusema ktk mahojiano take ya nyuma
@user-wb4jm5jl6d5 ай бұрын
Mtangazaji Lambart ur the best. I love the way you present. Ila tu hii zamaradi hama bana
@KassimAlly-xp4dz5 ай бұрын
Anaende wapi
@solomonadams63375 ай бұрын
Wewe mlevi ushafukuzwa chama cha chukua chako mspema sawa.thanks
@abdallahally8425 ай бұрын
Nina miaka 45 nishaona maraisi 5 Kwa uongozi wao katia Yao Alie Bora Kwa maendeleo ya kuona Tena Kwa mda mfupi wakwanza ni mwinyi wapili mwinyi watatu salmini na wengine abdulwakil amani sheni ni miaka 30 iliopotea Bure
@user-xl4io3or7r5 ай бұрын
Ni Bora kwa vitendo kuliko wengine Ila tuzingatie kwamba watangulizi wake walitumia Sana mapato ya zenji pekee Ila yeye Ana mfereji unaotoka jamhuri kwenda zenji.
@nelsonlyimo16005 ай бұрын
Balozi Karume ana uwezo, akipewa atawaunganisha Wazanzibari, ni masomi wa kimatsifa
@jacobnorbertchenga94655 ай бұрын
Balozi utulieeee Dr Hussein Mwinyi anakuletea Treni Zanzibar
@khamisali98455 ай бұрын
Baadhi ya hoja ni za kufikirika sana . Hatari sana
@allanngowi70715 ай бұрын
Very interesting interview.... 😅
@ayoubpapiy66925 ай бұрын
Mtangazaji namuelewa vilivyo questions zake😂😂😂
@user-iy3fx7cl1j5 ай бұрын
Wamestarehe wapi wakat njaa kali
@iddimasika11735 ай бұрын
Zingatia mimi mnywaji tuu na cyo mlevi
@j.c.maxima8165 ай бұрын
🤦♂️😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@cyrilkessy30324 ай бұрын
Msema kweli mpenzi wa Mungu 🎉
@habibaramadhani-xv2ed5 ай бұрын
Hizo habari za kunywa Angalia usije kufuru Kwa dhiraa Moja,tu. Ukashindwa kuingia peponi. Kumbuka. Dini inaelekeza Nini . Ni Hali ya Udini ni vizuri kufikisha Ujumbe.Amiina.
@KassimAlly-xp4dz5 ай бұрын
Hakika Ukhty
@mosaidi26335 ай бұрын
Wanaotoa vibali vipi?
@bennyceaser87965 ай бұрын
😅😅😅
@saturinimushi47465 ай бұрын
Huyu Ameishi America. Hana Unafiki wa Maisha yake. Ameweka Wazi Anakunywa Mkono wa Firaun😂. Swiss Vodka.
@jacksonsilaa4155 ай бұрын
Ile Club ipo Zanzibar na hamtaki konyagi imekaaje hiyo.
@thefinalstand20225 ай бұрын
I DO BELIEVE, THIS IS THE BEST MAN OF ZANZIBAR ....Kanywa Pombe, hajaiba, hajatembea na mke wa mtu, hajakwenda kwa waganga, hajaiba, hajasema uongo, hajapokea rushwa! JE WEWE NA YOYOTE ULIYE MUISLAMU, JE PESA ZA WATALII ZINAZOTOKANA NA MAUZO YA POMBE HAPO ZANZIBAR, SI MIONGONI MWA KODI ZINAZOKULIPENI MISHAHARA HAPO ZANZIBAR NA KUJENGA SKULI NA HOSPITALI!
@jitukorofi95175 ай бұрын
Umeandika utumboo mwingi ila pole
@sammarley14134 ай бұрын
Karume katili
@lugwetunje38964 ай бұрын
Hapo ndipo
@KijukuuMtemi4 ай бұрын
Huyu mzee anaongea ukwel kabisa ndo maana hawampendi
@kabwangaselemani52285 ай бұрын
Kwani ni lazima Ally Karume awe Rais wa Zanzibar kwa historia ya Mzee wake?
@iddymshana20595 ай бұрын
Jamaa nimependa sana anaongea kitu kitoka kwake moyoni kabisa na sio kupamba anajiamini sana.
@suleimanjokoro5 ай бұрын
Hakuna kitu humo^^
@user-gd2xj3xd1b5 ай бұрын
Ni ukweli mtupu hata yupo tayar kupelekwa mahakaman ushahidi anao
@homeboybeyondtheborders49355 ай бұрын
Huyu kafanana na sana na baba yake Sheikh Abeid Aman Karume
@Khalid-mf3iu5 ай бұрын
Babake dhalimu muuwaji
@hamzaalawy66945 ай бұрын
Shemegi yangu kumbe hahahaha Nimesoma na nimeridhika Kwa kiasi chakutosha Chechei bwanshemegi?
@felixsanga4 ай бұрын
Uko sahihi,nitafute Balozi.Kula,kunywa sio dhambi.Hata kuku wanakunywa kupoza kiu!
@labunaabouna61225 ай бұрын
Nakukubali kiongozi unaongea point ccm kweli haidhindi hata wajenge angani ila kwaupande mwengine huyo rais jamaa anajitshid kulinhanisha na wengine kuazia salmin
KUNA MTU ANAKUNYWA LAKINI SIO MLEVI, NA MLEVI ATAKUWA MLEVI BILA KUNYWA???????? TUMCHE ALLAH ULEVI NI HARAMU NA UNASHUSHA HADHI YA MTU. ALLAH ATUONGOZE SOTE KTK HAQQ
@solomonadams63375 ай бұрын
Wewe katika kisiwa cha Pemba hupati hata kura 1 sawa.thanks
@hilalkhalfan14525 ай бұрын
Hao hawahitaji kura wala usihangaike. Kura yake moja tu inamtosha
@user-oo4qm6oj7i4 ай бұрын
Huyu Mtu ana akili kubwa sana,maoni yake ni yanaongelea mazingira ya halisi,ana mawazo huru ni kipaji kisichotumika. Mambo binafsi hayana athari za kiutendaji.
@user-su2iz4yo7e5 ай бұрын
Mwinyi hafai watu wa Zanzibar hawamtaki kwanza si mzanzibar pili hakubaliki kule Zanzibar
@AbrahamSekuza4 ай бұрын
Huyo sio mnafiki amefunguka na ndio ukweli lakini CCM kuna mtu maalum anae fitinisha kujizolea mali na kufanya njama kuumiza wenzake hasa imejitokeza awamu ya nne
@machaliakulima765 ай бұрын
Kwa kweli huyu Mh Balozi anaenguliwa kwenye michakato kunasemekana kuna kitu kibaya alikifanya ujanani mwake pengine ujana ulipelekeya hayo. Kama si hilo Ali ni mtu mzuri sana ni CCM kindakindaki.
@user-nv7jg6xc8l5 ай бұрын
Kuna comment moja humu humu KZbin inasema Alivyokua mdogo alimuua mtu kwa kumtupa ghorofani ndio Baba wake akamuamisha akampeleka mawali sasa sijui kweli
@saidrashid59725 ай бұрын
Ushauri wangu mzee usikate tamaa ww just Muamini Mungu. Usimuangalie mtu yeyote Allah ndie mpangaji ikiwa leo Allah hakukujaalia leo usikate tamaa kwani hata kesho ni siku ambayo inamilikiwa na Allah
@King_Of_Everything5 ай бұрын
👍👊✌️.
@mohdmohd84285 ай бұрын
Km familia yenye heshima kubwa na historia kubwa nisingependa huyu baba afanye mahojiano😢
@salomewandya72574 ай бұрын
Usipende wewe nani???
@mataypanga52625 ай бұрын
Halafu ulinyimwa urais kwa sababu mkubwa wako alikuwa rais mda mchache uliopita,sasa iweje wakupe wewe tena haraka?!.
@jeremialyati60925 ай бұрын
Shalbat - kamnyweso
@justinmashala69445 ай бұрын
heheheh
@evarist21125 ай бұрын
Akili hana huyu
@jacksonsilaa4155 ай бұрын
Ana Akili tele
@hassanadam27084 ай бұрын
Mwinyi bora visiwani bhana, hawa wengine washaleta slogan za pombe!!!!!!
@user-wr1iu5re2c5 ай бұрын
30:20 tatizo maji umegonga kimaharibi lazima sauti ikwame gonga mkono wa kulia kwa kila unachokila
@yaziduabdallah28364 ай бұрын
Siasa
@hashimjaku81425 ай бұрын
Kabisa mwinyi kweli anastahiki sifa kubwa kiutendaji kulinganisha na tawala zilizopita,
@bonabonala55595 ай бұрын
mapinduzi yenu yamekua tabu kwetu wanaichi na pia hamjawai shinda uchaguzi toka mwaka 1995 nawala hamji sahihishi kwa dhuruma ya wapiga kura wenu??? kwani hiyo au huo sio wizi na nizambi kwa mungu au hamjuii wizi ni zambi?? au zambi ni kuiba cm na pesa tuu??
@yaziduabdallah28364 ай бұрын
Utajaza mwenyewe
@Jal2105 ай бұрын
Upewe kazi kwa lazima sijaona mtu mjinga kama huyu eti kwa sababu ulikuwa mtoto wa Rais, hufai kuwa kiongozi wewe
@hajihassan54335 ай бұрын
Muelewe alichosema. Kiukweli ana sifa za kupewa nafasi japo kuongoza Bodi, kiumri hawezi kuwa mtumishi.
@Jal2105 ай бұрын
@@hajihassan5433 Nakuelewa ila huyu anajaribu kulazomisha na pia ni muongo na mlevi
@nassoribrahim21924 ай бұрын
Mgombea mwenye mvuto na sio mwenye uwezo hapa mimi sijamwelewa, baba yako hakusoma lkn alikuwa na uwezo mkubwa IQ , stay your position achana na tamaa , na unaonekana hata ukila kiapo utatoa siri za serikali.
@machaliakulima765 ай бұрын
Ali AA Karume na Aman AA Karume, Ali alikuwa mkorofi lakini Amani alikuwa mpole
@comraderashid_nuru_m52605 ай бұрын
Utamkuta pale CCM Club anapiga konyagi
@lugwetunje38964 ай бұрын
Sawa sigara pia haramu wangapi wavuta
@samsonmwijage18695 ай бұрын
Sasa kama Zanzibar unasema ccm haijawahi kushinda urais kumbe hata kaka yako Amani hakushinda mbona hukutoka hadharani kumpinga? Wewe shida yako ni urais LAKINI siyo lazima uwe wewe usifikiri eti kwa kuwa baba yako na kaka yako walikuwa rais na wewe uwe rais. Mwache Hussein Mwinyi afanye kazi naye atamaliza muda wake.
@ahmedalismaily1514 ай бұрын
Mapinduzi ya Zanzibar yaliiongozwa na ukelo
@lugwetunje38964 ай бұрын
Okello ni nani?
@sammarley14134 ай бұрын
Kinacopatikana kwa damu matunda yake ni laana tu
@hajiabdalla57725 ай бұрын
Huyu mpumbavu Tu.hana mojo walilofanya wizi Tu yeye na Chai jaba.sasa pesa za wizi na zulma zishamaliza wanatapatapa tu
@GoldenchipsChips4 ай бұрын
😂😂sikupenda iishe hi interview mzee amechangamka mnoo😂naimeona ana wivu kidogo lakini pia mbinafsi kwa mbali 😂na mwenye majigambo ila pia ana elimu kubwa mno kichwani 😂😂mzee wa sharubati 😂😂 mnywaji na sio mlevi😂😂😂🚶😅😅
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm5 ай бұрын
Mm mpk sasa hivi namuona huyo mwinyi ndio rais bora ktk visiwa hivi kwa wale waliongoza wakati mm nna akili zangu yani kuanzia aman shein na mwinyi .
@alhajjkassim26485 ай бұрын
Nakuunga mkono
@fahadfaraj64745 ай бұрын
Ni sahihi sana ingawa sie tuwalalamishi na watu wakupinga kila jambo .
@user-gd2xj3xd1b5 ай бұрын
Fanyeni tafiti zakutisha ubora wa RAISI sio majengo au ujezi wa barabara
@fahadfaraj64745 ай бұрын
@@user-gd2xj3xd1b tafiti zipi hatuna ujinga huo wakutojua kipi Bora na kipi si Bora we have lived enough tumeenda nchi za watu tumeona ivyo hatuhitaji kuambiwa kipi Bora na kipi si Bora wakati twaweza ona na kujua without being told.
@harizhamad82605 ай бұрын
@@user-gd2xj3xd1b Inawezekan na skupingi maana huo ndo uelewa wako unapofikia na kla mtu husema kile anachokifkiria ndan ya akili yake kikiwa sahihi au hata km sio sahihi
@jacobnorbertchenga94655 ай бұрын
Nilicho Kielewa hapo ni kwamba angekuwa mgombea angeli peleka mkewe na watoto kwenye Kilili Pemba ili kuthibitisha kuwa hakuna uunguja na Upemba.🤣 Balozi tungepigwa
@azizamri15225 ай бұрын
Unatupotezea wakati kumleta huyu mlevi. Hana maana senti moja
@user-pf6yw7vh1p5 ай бұрын
Mazungumxo yako yamejaa ubinafsi kaa kwa kutulia babako alikaa kwa mabavu ndugu yako magube matupu weww ndio hufai kabbisa
@user-gt4hx9ew5m5 ай бұрын
Huna lako jambo ccm hatutaki wanafki ww ni mnafiki
@samsonmwijage18695 ай бұрын
Hilo swali la mwisho nani aliongoza mapinduzi 1964 mbona historia ipo wazi kimaandishi aliyekuwa kinara wa kumpindua sultani usiku huo anatajwa na aliyekuwa anaongoza vikao vya baraza anatajwa. Ali Karume hajaeleza vema kuhusu hilo.
@machaliakulima765 ай бұрын
Tueleze mbona hutupi story tuongeze uelewa!
@tahiyasaeed5 ай бұрын
Huyu copy ya marehem baba yake. Ila huyu mkorofi sana 😂😂😂😂😂
@sammarley14134 ай бұрын
Ndio kawaida yamakatili huzaa watoto wenye copy zao
@user-kx4wd5vb4j5 ай бұрын
Mimi nipo pamoja na wewe kwenye harakati zote za kisiasa nipo tayari kukusapot mzee.
@hajiharoub81255 ай бұрын
Huyu angepewa uraisi tungeisoma namba
@sulleyally50405 ай бұрын
Hili dume sio mchezo linajiamini bwana
@fatmasaid90745 ай бұрын
ilo dumeee na vya kumfanya hawana sasa
@saturinimushi47465 ай бұрын
Ndiyo Faida ya Kuishi katika Nchi Tofauti Tofauti Duniani. Unajihamini Kupitiliza..... Alafu Baba alikuwa Rais. Utamfanya Nini? Mwananchi wa Aina hii.
@rastapeace96165 ай бұрын
Viber kwa mistar
@Vuvuzelaz15 ай бұрын
Anakula kiti moto huyu mtu balaa
@michaelmillinga50645 ай бұрын
Kwani wewe huli?
@jumakapilima72955 ай бұрын
Urais utausikia tu redioni,,,,!!!
@iddimasika11735 ай бұрын
Tambua neno sharubatiiiii😂😂😂😂
@hashimali95495 ай бұрын
Sharbat maji🇰🇪😢
@baghabaghaingwengwe17505 ай бұрын
Okello mgeni ni lzm alikuwa kwenye uongozi wa Karume
@hajihassan54335 ай бұрын
Zanzibar mwenyeji nani, hata Karume ni kutoka Nyasaland sasa Malawi.
@ladislausngoyinde43845 ай бұрын
Waarabu ndo wageni Zanzibar, mwafrika hawi mgeni Africa
@user-ff5vk1sn6d4 ай бұрын
Muache dhulma mana mwisho ni kaburuni
@arnoldmambali37705 ай бұрын
sharubati
@user-ds9cn9eu3t5 ай бұрын
Mlevi mkubwa ana uchuu wa urais huyu utausikia jina urais
@jumakapilima72955 ай бұрын
Kabisa!
@adnanidarous31175 ай бұрын
mbn hueleweki kw vijana wa kileo wa zanzibar
@mwanaishaabubakar50134 ай бұрын
Humjui wewe kwasababu ni mtoto wa juI halafu umezaliwa shamba mjini umekuja juzi na hukuwa ma mashorokiano ma loloye isipokua kula kulala. Kwahiyo huwezi kumjua kale ukalale
@bakarimmbaga23445 ай бұрын
Balozi Karume: Kama chama kimekufukuza, hamia chama kingine mbadala kwani bado una karama ya kuwa rais wa nchi. Ccm si baba wala mama yako unang'ang'ania nini?
@user-ff5vk1sn6d4 ай бұрын
Acheni dhulma
@saidsuleiman17535 ай бұрын
Tatizo la huyu Mwamba anaongea sana
@asaomantv89775 ай бұрын
Kwaiyo hata DR. AMANI nae alimkataaa au curlews?
@saidabdala49805 ай бұрын
Chaguzi zooooooote al MARHUM MALIM SEIF. Ndio alochaguliwa na WAZANZIBAR kwa CHAGUZI zoote zilopitwa. Hapa naona tunaongeya unafik. Subirini mfe. Mtajuwa nini maana ya kula haram mwana wa ndani HUKO.
@mataypanga52625 ай бұрын
Karume wewe ni mkorofi na mtu mmenye kujiamini.Sasa huwezi kukaa na watu wanaosema ndiyo na hapana kwa wakati mmoja 😂
... kwa busara nafikiri ingependeza ukaachana na Uraisi Zanzibar hasa kwa kuwa Kaka yako alikuwa Raisi sio muda mrefu sana uliopita... kingine ulipewa nyadhifa muhimu sana pia... human beings haturidhiki mmmmh 😢
@yazidusaidi88435 ай бұрын
Gonga Tano kwa Mh. Ali Karume....Vitu viwili tu kama hujui porotocol na alcohol wewe huwezi kuwa timamu kusimamia mambo ya nchi, sasa wajinga tu ndiyo hawataelewa na kubisha falsafa hii...
@saturinimushi47465 ай бұрын
😂😂😂 Mhe. Balozi Amenizima Data hata mimi. Protocal + Alcohol=Balozi wa Nchi. Ama Kweli Upole Siyo Ulemavu. Mtu Mkimya Siyo Dhaifu kama tunavyodhani.
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey5 ай бұрын
NAMSIHI NDUGU YANGU MH HUSSEIN ALI. H MWINYI AWE KARIBU KAKA YAKE ALI KARUME UKIONDOA UONGOZI HUYO NINDUGU DAMU NIWATU WA. FAMILIA KWA UPANDE MAMA HAKUCHUKII KAANAE ATATUSAIDIA MAPINDUZI DAIMA