Usipo shukuru kwa kidogo hata kikubwa huwezi kushukuru Ahsante Mh. Mwinyi hata Roma haikujengwa kwa siku moja
@IbrahimMohamed-c3c8 күн бұрын
Kila hatua uanza na moja keep it up💪🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@BakariMalembeka7 күн бұрын
Safi Sana hayo ndo twayahitaji kwn hata huku mikoani tuna huwitaji mkubwa wa madalaja ya kisasa
@maryamomar20348 күн бұрын
Natamani nirudi nyumbani najivunia mm kuwa mzanzibar❤
@Bmsecret7 күн бұрын
@@maryamomar2034 utajuta km upo njee baking ukouko sisi tuliopo huku tunatamani tukimbie hili janga la umasikini hapa kwetu Tofrani njaa tupu Hakuna ila Baraka ya talaka nyingi tunaachana km njugu bibi ww huju Kuna njaaa kuliko Eritrea
@jumabakary27968 күн бұрын
Safi sana Rais wetu Tanzania tunasonga mbele kimaendeleo
@IddiKhamis-u6c8 күн бұрын
Kwa hicho kidaraja?
@mwanangusana6 күн бұрын
@@IddiKhamis-u6c tunajivunia kidaraja chetu .... Endelea kuongozwa na ujinga .
@salumabdallah29908 күн бұрын
Hio sio fly over ni daraja😂
@janerouhassanjanerou79338 күн бұрын
Fly over inakueje?
@Bmsecret7 күн бұрын
@@janerouhassanjanerou7933 tuma namba yko ya wasap nikutumie flyover
@samuelmwaipopo13027 күн бұрын
Hakuna tofauti mzazi, ni lugha tu imekusumbua. Hiyo ndio kwa kingereza inaitwa fly over, sababu it pass over other road. It's literally flying over something.
Mungu akuwezeshe umalize yote makubwa kabla hujamaliza mda wako kiuongozi
@ibrayomapenzi70488 күн бұрын
hongeraaaa sanaaaaa
@abdallahsaid81578 күн бұрын
MashaAllah!!!
@mmassyferguson49598 күн бұрын
Hongeren sana
@victorjames37305 күн бұрын
Sasa Zanzibar flyover ya Nini?
@emanuelkattani99068 күн бұрын
Tanzania bara miradi imesimama yote , kisiwani zanzibar miradi inaendelea hapo ndo sielewi kabisa na yote tanzania bara na tanzania visiwani ndo tanzania ile ile
@Bmsecret7 күн бұрын
@@emanuelkattani9906 huko tanganyika viraneni
@samuelmwaipopo13027 күн бұрын
Hacha uongo, 😮
@mwanangusana6 күн бұрын
Toa la rohoni ndugu , tusijifiche kwenye kichaka ..... Huna la kuongea ndugu yangu
@BakariAlly-dm1vf8 күн бұрын
Daraja la juu 😂
@mwanangusana6 күн бұрын
Ila unateseka 😂😂😂
@rashidomar27718 күн бұрын
Tunakushuru wewe mh raisi utaacha alama ya fly over wenzako wameondoka wameacha alama ya magomvi na hata shutuma za mauji ya watu baada ya uchaguzi,,kwa wewe mh mategemeo ya wanyonge wengi hutofikia huko ,,inshaallah
@AhmedAhmed-gf1rd8 күн бұрын
@@rashidomar2771 huyu kaangia madarakani Zaid ya watu 30 wameuwawa
@immudimax60768 күн бұрын
Unguja mnajenga daraja la juu pemba barabara za kusini zote mashimo pima ila unguja barabara kila chochoro mnajenga hivi nyinyi viongozi madhalimu mtaenda kumuambia nini mola wenu, kake mwinyi umekaa madarakani kwa kutumia jeshi na kuuwa watu, kwa kweli hii nchi ina walafi wasioshiba milele.
@JomoKilawe7 күн бұрын
Nyerere Aliwaambia Mkimaliza Kubagua watanganyika Mtabaguana Niny Kwa Niny😂😂😂
@immudimax60767 күн бұрын
@JomoKilawe ubaguzi upo kitambo mzee sabab wengi wa viongozi ni watu wa bara ama ni vibaraka wa tanganyika so hakuna cha ajabu kwa sasa ni muendelezo tu
@MshamAli-o4e6 күн бұрын
Mamlaka ya zanziba ndo nguvu ya wazanzibari huwezikua kama Dubai wakati zanziba inatawaliwa na tanganyika znz tunahitaji uhuru
@Fathasssane-vs2th8 күн бұрын
Daraja la kwererkwe😂😂😂😂
@Madizizi8 күн бұрын
Njiapanda ya kuelekea unyalugusu
@mwanangusana6 күн бұрын
Limependeza Sana na litasaidia kurahisisha shughuli za wananchi wa Zanzibar
@mwanangusana6 күн бұрын
Ndio la mwanakwerekwe acha wananchiii tujivue...... Nilifikiri limeenda kujengwa Pakistan kumbe lipo kwetu Zanzibar acha tufurahieeeeeee
@CristofBota8 күн бұрын
Fly over itakuwa hii au hujawahi ona fly over
@ErnestJosephat8 күн бұрын
Hili ni Daraja fly over haiko hvyo!!limekaa daraja kabisa
@janerouhassanjanerou79338 күн бұрын
Fly over inakueje
@mwanangusana6 күн бұрын
Duuuuuu maana ya fly over unaijua ? Au unafikiria ni kitu gani kwa uwelewa wako ? Mercedes-Benz, Lamborghini, hammer, range rover hizi zote ni gari ila zinatofautiana pia ... Hata Kenya , Uganda , France , China ni nchi pia ila zinatofautiana .... Hivyo elewa kwanza usikurupuke
@mwanangusana6 күн бұрын
@@janerouhassanjanerou7933han a anachokijua 😂😂
@ErnestJosephat6 күн бұрын
@ ni TOYOTA
@Bmsecret8 күн бұрын
Sasa mwnyi kwanini unaogopa uchaguzi na unajinadi umefanya😂mzuri znz?
@fahdihasnuu90343 күн бұрын
We actually don't need this kind of project by this time. There are many ultimate things which need a full attention like youth economic investments, employment, and serious health care provisions. The budget allocated for this program is seriously killing the economy of unmatured country like this. The money allocated for this program should rather invested directly to humankind, people have no job, we dont have factories, people live with less meals etc. This is actually terrible. Projects that are ongoing under this particular administration needs a special eye to detect that we are losing otherwise you would have seen that it is right.
@HarithSalim-l1x8 күн бұрын
Hilo ni daraja naona mm
@jituakilimali158 күн бұрын
Tatizo liko upima na ramani hawa ni corrupt peopels na pia ni wapungufu wa mawazo maana mtu anapanga mji hafikirii baada ya miaka kumi au ishirini nini kitakuwa nafikiri nyie viongozi mnapiteuwa hao watendaji msiangalie nasaba zao muangalie utendaji na ubunifu mijitu ina nafasi imekuwa inafuga mitumbo na kutuharibia vijari mitaani
@HarithSalim-l1x8 күн бұрын
Barabara ya Mkoani hamuoni??
@immudimax60768 күн бұрын
Mwinyi wakat hujawekwa madarakani na majeshi ya tanganyika ulikuja pemba na kutuambia kua utakachokifanya unguja basi na pemba utakifanya kumbe ulikua unaendelez usanii wako na unafiki mshenzi sana wewe mzee ila kumbuka kua una jukumu zito na utaenda kuulizwa utapofika kwa mola wako na sisi wananchi (wapemba) tutakua mashahidi, wewe endelea kutembea na ving’ora jisahau ila ipo siku yako moja tu utaacha ufahari wako ukakutane na mola wako.
@RamadhanMkolombia-d8n8 күн бұрын
Ndigu mbona maneno makali sana
@Chettymlambalipsi-lb9km7 күн бұрын
Hili ni daraja la nchi kavu ban
@mwanangusana6 күн бұрын
Ndo Nini ?? Mbona kama unaongea usichokijua ?? Au umejiropokea tuu 😂😂
@Chettymlambalipsi-lb9km6 күн бұрын
@mwanangusana unawashwa?
@yussufkhamishaji38097 күн бұрын
Hlo ni daraja cio flyover tusidanganyane
@deohaule988 күн бұрын
Ulaya/marekani wana mipango ya kupeleka watu sayari ya Masi, sisi viongozi wetu wana fanya mikutano ya kushangilia daraja limejengwa. Kweli wananchi watanzania tumekosa utashi kiasi hiki. Africa we have a long way to go.😢
@IddiKhamis-u6c8 күн бұрын
Africa bado sana. Wenzetu wana mipango ya kutokumia mafuta ili kulinda hewa nzuri. Africa ndio inaandaa mipango ya kuchimba hayo mafuta.
@Gavi_2558 күн бұрын
Wewe umetoa mchango gani mpaka sasa
@deohaule988 күн бұрын
@ kipindi tukijua kichimba hayo mafuta, kutakua hamna sehemu ya kuyauza na sehemu kubwa za mitambo au magari duniani yakua hayatumii hayo mafuta.
@IddiKhamis-u6c8 күн бұрын
@deohaule8161 umeona ee
@IddiKhamis-u6c8 күн бұрын
@deohaule8161 mimi mchango wangu ni kwamba Tz aiache kuendekeza siasa na iangalie zaidi maendeleo ya nchi.
@DivineWisdom-o8y7 күн бұрын
Hela zinaibiwa bara na mama zinakwenda kujenga Zanzibar
@Chettymlambalipsi-lb9km7 күн бұрын
Mpaka msemeeee 😂😂😂😂
@mwanangusana6 күн бұрын
Unaongea pumba
@Chettymlambalipsi-lb9km6 күн бұрын
@mwanangusana kwani hujui kama pumba nayo ni chakula cha kuku
@iddijumaali71928 күн бұрын
Kumbe ni madaraja ya juu
@AhmedAhmed-gf1rd8 күн бұрын
Bahussein tunataka mamlaka kamili fly over ni mambo ya baadae babu
@IddiKhamis-u6c8 күн бұрын
Huyo hutomsikia kuzungumzia haki wala kuzungumzia mamlaka kamili.
@ZakhariaMazengo7 күн бұрын
Sio Barbara ya juu ni mwinuko kumbe hata wewe ni juha
@mwanangusana6 күн бұрын
Ndio ni mwinuko .... Vip Kuna unapata maumivu 😂😂😂 au roho inakuuma?
@ahmadSeif8608 күн бұрын
Rais punguani sana uyu, mshamba kabsa
@hamadsuleiman51778 күн бұрын
Ahmad Seif ni bora ukae kimya kuliko kuongea maneno ya kumkashifu kiongozi hususan Mh Hossein Mwinyi alokua mstaarabu na mnyenyekevu kwa wananchi wake