THOMAS SANKARA: Rais wa BURKINA FASO aliyeuawa, jinsi ilivyokuwa siku ya MAUAJI yake *INASIKITISHA

  Рет қаралды 97,957

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

2 жыл бұрын

Makala hii itakupa historia fupi na mambo machahe ya kusisimua usiyoyajua kabla ya kifo cha Thomas Sankara ambaye wengi wanamwona kama Che Guevara wa Afrika

Пікірлер: 110
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 2 жыл бұрын
#Skywalker SAUTI YA MAMLAKA🔥🔥 Story hii inaweza ikawa imesimuliwa na watu wengi sana ila Kupitia sauti hii adhimu ya Sky inaonekana mpya kabisa masikioni mwangu. #bless
@magrethpoulpoul8585
@magrethpoulpoul8585 2 жыл бұрын
Yaan watu kma hawa kuwapata ni ngumu sana😭🙏 miss you magufuli💔❤🙏
@MahdouMomba
@MahdouMomba 2 ай бұрын
Kutoka Sankara to Ibrahim traore ni miaka 36, kutoka Nyere to Magufuli ni miaka 16, hivyo huchukua muda mrefu sana kupata wapambanaji wa namna hiii..... ni mungu tuu huamua kunusuru waja wake kwa kutuletea viongozi kama hawa
@amanramadhan5928
@amanramadhan5928 20 күн бұрын
Mtangazaji wa story hii inanifanya niwe nafatilia makala zako❤
@stephenndonyi6204
@stephenndonyi6204 11 ай бұрын
The legacy of cptn thomas sankara will continue .
@saitawilson7307
@saitawilson7307 2 жыл бұрын
R.I.P JPM 💔 daima tutakukumbuka
@eksielo4608
@eksielo4608 2 жыл бұрын
Hakika sisi waafrika tutatawaliwa miaka yote, maana tunapopata viongozi kama hawa wanaopinga ubeberu na misaada, tunawaua sisi wenyewe. Rest in peace uncle magu pamoja na thomas sankara
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 жыл бұрын
Tatizo waafrika hatupendani huwa tunauana kwasababu ya kuwaabudu watu weupe
@dangotee5051
@dangotee5051 2 жыл бұрын
Thomas Sankara alikua mzur MashaAllah👌🏼👌🏼Sky Allah abarik kazi ykoo 🙏🏽una sauti nzuri jamani😊
@amaniadrien7372
@amaniadrien7372 11 ай бұрын
Mungu azidi kumuweka mahara pema pepuni
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 жыл бұрын
Hii ndio Africa kuwa mkweli ufe mapema
@jeanpierrekwizera6400
@jeanpierrekwizera6400 2 жыл бұрын
Rafiki yako ndie adui yako kabisa. Asante sana Sky
@yusuphyunusi-zz1hx
@yusuphyunusi-zz1hx 11 ай бұрын
Ni kweli aliuawa na rafikie Blaise compaore
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Hata magufuli itakuwa ali uwawa maana baada ya kifo chake saahivi mambo ya IMF na world Bank zime anza kuja Tanzania
@abuanzal7355
@abuanzal7355 4 ай бұрын
Ni hakika Magufuli aliuwawa
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 7 күн бұрын
Yani Kila nchi inawatu wa karibu hasa mataifa ya nje ambayo yananufaika Kama rais aliepo MADARAKAn anawakazia wazungu qtafanyiwa mbinu afe ili aje yule mama mikopo
@siliviasimon7970
@siliviasimon7970 2 жыл бұрын
Sky Mungu akuinue kuelekea kilele cha mafanikio yako 🙏🙏
@bizomenyimanaelias5455
@bizomenyimanaelias5455 2 жыл бұрын
Thomas Sankara Héros of africa Number 2 Khadafi
@user-yh6nz6ri2m
@user-yh6nz6ri2m 9 ай бұрын
He was very strong soldier in africa we can't forget him may god bless him we will never forget his views and economic agenda.
@rachellebahati6126
@rachellebahati6126 2 жыл бұрын
Mungu wangu nakosa chakusema.angekua hai burkina Faso. Ingekua high kwa economic
@matendoa.online803
@matendoa.online803 2 жыл бұрын
Thanks SNS for the info. Keep it up guys
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 2 жыл бұрын
Mansha Allah alikuwa muzuri atakumbukwa kwa ushuja wake
@busindevyote3519
@busindevyote3519 2 жыл бұрын
Great, go ahead to inform us!!
@deusntobi1450
@deusntobi1450 2 жыл бұрын
Kaka sky nasema kutoka moyoni kabsa, Ninakupenda sana na nikutabiria ukubwa ambao hata hujaufikia but ipo siku yaja utakuwa mkurugenzi wa vyombo vikubwa sana vya habari vyenye kupendwa na kuaminika kwa jamii. Si leo au kesho lakini uhai wako hautakoma pasi na kutimilika kwa utabiri wangu huu ambao sasa unamiaka zaidi ya 10 toa niupate ambao uliniijia nikiwa kijijini kwetu huko kahama nikiwa nasikiliza kilendio changu cha Rissing nilichokiungia betri za Panasonic national na taiger ili tu nipate kusikiliza radio. Kuna mda huwa naona tajil akija kwako akitaka kuwekeza lakin kun a mda huwa nakuona ukinyakuliwa na makampuni makubwa lakin hivi karibuni niliona ukichukuliwa na serikali! Kaka sky yote haya yatokee ama yasitokee lakini naamin hutoiacha hii dunia bila kuiachia kitu kitachoishi ktk vizazi na wajukuu zetu watajibu maswali na kufaulu mitiahani yao ktk kwakulitaja jina lako ktk majibu yao.
@abuusufian6506
@abuusufian6506 2 жыл бұрын
Shukran sanaa kaka Sky
@EsterPaul-jt5im
@EsterPaul-jt5im 2 ай бұрын
Tomas umepata mlisi wako iblahim ichi anaibandilisha kwa kasi sana mungu awabariki .
@lwinzmohamerd8399
@lwinzmohamerd8399 2 жыл бұрын
Hv sisi waafirika mbona tunapenda sana kujikomba sana kwa wazungu kwann tusje tukajitegemea tatzo baadhi ya viongozi wetu hawako silias na kujenga nchi zao
@hakizimanasaidi6650
@hakizimanasaidi6650 2 жыл бұрын
Uwe Unatupa simulizi zahivo kaka yng
@emanuelandedela2771
@emanuelandedela2771 2 жыл бұрын
Pole mjane.
@raiderinfos1472
@raiderinfos1472 2 жыл бұрын
JPM spirit
@emmanuelgembuya8999
@emmanuelgembuya8999 2 жыл бұрын
Asantee Sana Sky
@norascomacho3504
@norascomacho3504 2 жыл бұрын
Viongozi wa Africa vizungu mkuti tu.
@hakizimanasaidi6650
@hakizimanasaidi6650 2 жыл бұрын
Kaka Ww ndo mwenye kujua kusimuliya kwakweli Mung anajua kutoa kipaji Mung akuwekeye wepesi kwenye mambo yako Ufanikiwe
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 2 жыл бұрын
Tatzoo waafrica 2ko wabnafsi sana..a2pendan na a2fanikiwii
@mkatavitv1014
@mkatavitv1014 2 жыл бұрын
Alikua na watoto wangapi boss
@husamtech2748
@husamtech2748 2 жыл бұрын
Wawili mmoja wapo ni wewe mkatavi tv
@dangotee5051
@dangotee5051 2 жыл бұрын
@@husamtech2748 😀😀😀
@magrethpoulpoul8585
@magrethpoulpoul8585 2 жыл бұрын
@@husamtech2748 🤣🤣🤣mahuzunisho
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 2 жыл бұрын
Alikua na watoto, sijajua idadi yao kamili ila wanahishi France
@hopechidera
@hopechidera 2 жыл бұрын
@@juliusjaliwa9887 aliacha watoto wawili kama #Junya alivyosema,nao ni Auguste Sankara na Philippe Sankara(wote wanaume)
@silasikeyoo632
@silasikeyoo632 Жыл бұрын
Kwer vzr havidu
@user-zf3mb1cp4h
@user-zf3mb1cp4h 3 ай бұрын
sky endlea kutuelimisha kwa yote ambayo hatuyajui lakn ukwel wang mm ni shabaki san wa kazi yako hi mungu akup umri mref il tuzid kujfunza kupitia wewe
@user-zf3mb1cp4h
@user-zf3mb1cp4h 3 ай бұрын
Waafrika tunashindwa wakwel katika nchi zetu na kua wakweli kwa mabeberu tomas sankara alikua ni kiongoz mwenye akil nyingi mno mwenye upendo na nchi yake na afrikaa kwa ujumla lakin wapumbavu watumika kwa tamaa zao mungu amuweke mala pema
@HalfanMaulid
@HalfanMaulid 11 ай бұрын
Nimeipenda.
@hkmeme5437
@hkmeme5437 2 жыл бұрын
Marais bora kuwahi kutokea Africa #Gaddafi #mangufuli na #Sankara na ruto kenya
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 11 ай бұрын
+ Mandela
@kalawajames-fw8gw
@kalawajames-fw8gw 3 күн бұрын
which Ruto😂😂😂
@hkmeme5437
@hkmeme5437 2 күн бұрын
@@kalawajames-fw8gw William ruto
@kalawajames-fw8gw
@kalawajames-fw8gw 2 күн бұрын
@@hkmeme5437 you can't be serious😅😅
@chibunews5642
@chibunews5642 2 жыл бұрын
The sky voice
@selestinfrancis5904
@selestinfrancis5904 11 ай бұрын
Pumzika kwa Amani Sankara, hakika Mungu akupe pumziko la Milele,Ungana naye JPM huko mlipo,mpunzike kwa Amani.
@frankmganda9585
@frankmganda9585 2 жыл бұрын
Nimekwisha gundua wazuri hawadumu
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 11 ай бұрын
Siasa ni uovu, utawala wa Yesu kristo tu ukiongozwa kwa maelekezo ya Yehova Mungu ndiyo itakuwa suluhu ya haki na upendo duniani
@cosmasmilanzi7117
@cosmasmilanzi7117 Ай бұрын
JIHADHARINI NA WANADAMU MAANA NAWATUMA KAMA KONDOO KATI YA MBWA MWITU.....(MATHAYO.10:16-39)
@ShadrackJoel-iu3dr
@ShadrackJoel-iu3dr 14 күн бұрын
yaani Africa 🌍 tutakuwa watumwa miaka yote maana ufisadi na kujipedekeza Kwa mabeberu ndy maana tunaletewa ushoga kudadeki
@magrethpoulpoul8585
@magrethpoulpoul8585 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭so sad.
@umojaafrika2447
@umojaafrika2447 2 жыл бұрын
Thomas Sankara daima
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce 10 ай бұрын
Huyo compaole sijui alompindua Sakara ameirudisha nyuma sana Burkina Faso.Sakara alikua anampango maalumu wa kuiendeleza Burkina Faso
@ellymakongo656
@ellymakongo656 2 жыл бұрын
Tupe na ya uncle wetu JPM mkuu.. maana hawa ni mapacha
@emanuelmlelwa6595
@emanuelmlelwa6595 2 жыл бұрын
Umefanya jambo jema tuna ombi uendelee na simliz Za aina hyo pia
@ummidullah9974
@ummidullah9974 11 ай бұрын
Kizuri hakidumu
@Saidmakame-hn8ze
@Saidmakame-hn8ze 2 ай бұрын
Kweli boc
@armandbyangoyi8203
@armandbyangoyi8203 Жыл бұрын
❤❤❤
@WilliamChibambu
@WilliamChibambu 18 күн бұрын
wauwaji wa uwawe ili ifike mahali afrika tujitambuwe
@mussajuma7460
@mussajuma7460 2 жыл бұрын
Africa ni vichekesho utampaje uraia mtu aliyefanya uhalifu nchi kwake tena akiwa rais Ivory coast ni vibaraka wa ufaransa ambao walimpa kazi compore kumuua sankara
@Udindigwa
@Udindigwa 11 ай бұрын
Daaa
@yussufrabba2282
@yussufrabba2282 2 жыл бұрын
💯💯😣😣😣
@fatmasalima3847
@fatmasalima3847 2 жыл бұрын
R.i.p
@uaeuae1871
@uaeuae1871 Жыл бұрын
😢😢😢
@RamadhaniJuma-o9b
@RamadhaniJuma-o9b 24 күн бұрын
RIP sankala
@Ndaizee
@Ndaizee 11 ай бұрын
R.I.P Magufuli daima ulitufumbua macho
@saitawilson7307
@saitawilson7307 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
Hhh dunia tumeichoka mungu rudi
@lwinzmohamerd8399
@lwinzmohamerd8399 2 жыл бұрын
Tutamkumbuka kiongizi ama rais wa bukinafaso THOMAS SANKALA inauma sana walio fanya mauaji hayo lazma wa fungwe, hii itatukumbusha kwa rais wetu mpendwa JOHN JOSEPH MAGUFULI inanitia huzuni sana.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
Tulikuwa na jpm in tz
@ibrahimshabani3544
@ibrahimshabani3544 11 ай бұрын
Wakamatwe wafunguliwe mashitska wauwaji
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 2 жыл бұрын
😭😭😭
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 11 ай бұрын
wazungu wanasema waafrika hawana akili lakini kila kiongozi anayetokea mwenye akili wanaua kama unabisha fanya hayo mambo aliyofanya thomas halafu uone kama utatoboa ndio maana siku afrika ikiwa tajiri ulaya itakuwa maskini na hilo halitarusiwa imebaki kutuwekea viongozi wabovu halafu baadae wanatuita hatuna akili
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 жыл бұрын
Kweli kikulacho ki-nguoni mwako! 🙄 Yaani walionekana km mapacha,kumbe!
@yezagproducts8567
@yezagproducts8567 11 ай бұрын
Africa siyo mbaya wabaya ni wana Africa wenyewe. Tunakulana wenyewe na wale wanaojiona wasomi.
@alesantamakiko801
@alesantamakiko801 11 ай бұрын
Mungu hapendi watu wake wema wapate shida hapa duniani . R.I.P Thomas Sankara
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
Wazungu ndio wanaoua viongozi Waafrika
@KihangoIsmail-qn2uh
@KihangoIsmail-qn2uh 11 ай бұрын
Tunawahitaji watu wazuri kama marehemu Thomas isdole Sankara lakinihuyu compaule alaaniwe milele
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 11 ай бұрын
Your best friend your worst enemy
@matunzojr4862
@matunzojr4862 Жыл бұрын
daah basi tu yan
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 2 жыл бұрын
Huzuni
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 11 ай бұрын
Tatzo yeye alipata vipi serekali kama alipindua kwa upanga.Upanga saizi yake
@kiningashukran5177
@kiningashukran5177 Жыл бұрын
Afrika nzima ni shida
@siliviasimon7970
@siliviasimon7970 2 жыл бұрын
Sky tuletee bc na simulizi ya operation entebbe
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 2 жыл бұрын
They call him African Che Guevara.
@mikaelshagilu1732
@mikaelshagilu1732 Жыл бұрын
Da aliemua Shujaa Sankara mbona kakaa muda mrefu xna bila kuwajibishwa.hadi amekimbia.huyosinch wamrudishe bukinafaso na apigwe risasi hazarani mashamba xana huyo.
@salimukimolo7592
@salimukimolo7592 2 жыл бұрын
Niwazi kabisa inaoneka rais huyo kahusika
@yusuphyunusi-zz1hx
@yusuphyunusi-zz1hx 11 ай бұрын
Compaore his best friend is a person who killed Sankara
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 2 жыл бұрын
MUNGU BABA YETU.....HUTOLETA GARIKA TENA,BALI MTAJIMALIZA WENYEWE.BABA TUNAPIGA MAGOTI MBELE YAKO,TUPUNGUZIE ADHABU HIYO.MAANA WAKUFA WATU WATU WENYE UPEO MKUBWA.
@EsterPaul-jt5im
@EsterPaul-jt5im Ай бұрын
Tomas Sankar napenda ujasili wako maana ulikuwa hataki mambo ya kijinga mungu anipe ujasili kama wako kaka angu traore amefata nyanyo zako safi sana pumzika kwa amani Tomas Sankar mi nipo tazania.
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 11 ай бұрын
Cotonou ...tamka kotonuu sio kontunu
@abelbest4984
@abelbest4984 2 жыл бұрын
Sangara tarehe 15 ,nyerere tarehe 14 wote October
@nancynyali2362
@nancynyali2362 2 жыл бұрын
Unakumbukumbu nzuri I say
@hopechidera
@hopechidera 2 жыл бұрын
Na #LuckDube pia ni October 18...
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 жыл бұрын
Sankara
@jonasijunga1568
@jonasijunga1568 11 ай бұрын
🥲🥲🙏🙏🙏
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
Magufuli ni Rais wa2 duniani kupunguza mshahara wake.wakati viongozi wengi huongeza mishahàra.
@user-hu8um8vj4r
@user-hu8um8vj4r 11 ай бұрын
Yupo Paul mjika ndo alikua na mshahara mdogo duniani
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 11 ай бұрын
Emmanuel nyerere nae alipunguza mshahara
@mutalemwamarcelventure.mae2058
@mutalemwamarcelventure.mae2058 11 ай бұрын
BurkinaFaso
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Hee
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 11 ай бұрын
Uyo mutu aletwe
@isayajoshuwa7201
@isayajoshuwa7201 2 жыл бұрын
ddddddd
The Upright Man - Headline Hitters Season 1 Finale
28:27
Abel Mutua
Рет қаралды 273 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 21 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН
IBRAHIM TRAORE AMEKUWA RAIS WA MILELE BURKINA FASO KWA MENGI ALIYOIFANYIA NCHI
42:26
Oscar Kambona: Shujaa au Msaliti? | The Chanzo Documentary
1:04:34
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН