RAMMY GALIS ASHINDWA KUJIZUIA ALIA MSIBANI KWA TESA, AFUNGUKA “PENGO LAKE HALITAZIBIKA”

  Рет қаралды 108,913

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 230
@angatiaibrahim1644
@angatiaibrahim1644 2 ай бұрын
Pole kwa familia ya mama pamoja na familia ya huba na Tanzania kwa ujumla kwa kumpoteza mama .. Napenda uigizaji wake na nmekuwa nafuatilia movie zake zote na vipindi vyote kutoka kenya . Pole Actors wote wa bongo
@JedidahHamisi
@JedidahHamisi 2 ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu wa Tanzania kwa kweli mmempoteza mama mungu awape faraja na pia mungu ampumzishe kwa amani poleni sana hata familia yake mungu awafute machozi na awatie nguvu daima tutamkumbuka tesa
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 2 ай бұрын
Polesana my brother sote wapenzi wa Huba tumeumiya sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@celinaduka3346
@celinaduka3346 2 ай бұрын
Pole saana Davii..kwa kumupoteza Mama yako km Tesa kwa Huba..limeumiza jamii nzima ya Huba na familia.. inauma saana 💔😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu ailaze roho yake pema Mama yetu kipenzi 😊
@FatimaRamadan-s4f
@FatimaRamadan-s4f 2 ай бұрын
Amin inshallah
@ShukuruBitorwa
@ShukuruBitorwa 2 ай бұрын
Polesana tanzania kwamsiba inaumasana moyo lakini mungu alimpenda zaidi kuliko sisi naamini iposiku tutaonana kwahilo mama yetu apumzike kwaamani tutazidi kumpenda nakumkumbuka❤❤❤ kutoka 🇧🇮 Burundi 🇧🇮
@maryadina8378
@maryadina8378 2 ай бұрын
Pole sana kaka Dav. Mungu akupe moyo wa ustahimilivu ktk kipindi hiki kigumu mnachokipitia
@jescasanga2005
@jescasanga2005 2 ай бұрын
Pole sana family ya huba
@sheilanaliaka
@sheilanaliaka 2 ай бұрын
Rip tesa kwakweli ulikuwa muingizaji mzuri sana tulikupenda lakini mwenyezi mungu amekupenda zaidi
@FaniaSonga-jm9rv
@FaniaSonga-jm9rv 2 ай бұрын
Mama wahekima mungu amlaze pema peponi ameniumiza Sana poleni wana family wote
@FatimaRamadan-s4f
@FatimaRamadan-s4f 2 ай бұрын
❤❤❤
@RebyShabani-i3b
@RebyShabani-i3b 2 ай бұрын
Daaaah imeniuma sana jamani😭😭😭😭 mwenyezi mungu awatie ngumvu family pamoja na family ya huba bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele
@machozimukucha
@machozimukucha 2 ай бұрын
Polesan family ya huba 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢inauma sn 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@Humanity21216
@Humanity21216 2 ай бұрын
Hakika hili ni pengo katika tasnia Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani🙏
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy 2 ай бұрын
Amna pengo lolote baada ya hapo maisha yataendlea km kawa
@Humanity21216
@Humanity21216 2 ай бұрын
@RoseMichael-oz7cy kwani mtu aking'oa jino akabaki na pengo maisha hayaendelei?? RUBBISH 🚮
@DaymissMissday
@DaymissMissday 2 ай бұрын
Poleni sana family ya huba nampenda sana huyu mama ALLAH amlaze mahala pema kila nafsi itaonja umauti Amin""
@nahimanaaisha5694
@nahimanaaisha5694 2 ай бұрын
Sio sahihi kusema Allah amlaze mahala pema kwa sababu neno hilo linatumika kwa alie kufa ni mwislam tunakumbushiana pale tunapo kosea Ila samahani kama ntakuwa nimekukwaza .
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 2 ай бұрын
​@@nahimanaaisha5694unajua nilikuwa najiuliza alikuwa Musilam au mkristo
@barakadaniel3017
@barakadaniel3017 2 ай бұрын
@@nahimanaaisha5694 glad my y
@barakadaniel3017
@barakadaniel3017 2 ай бұрын
Flatlygladlu
@SwabrinanurdhinSwabrinanurdhin
@SwabrinanurdhinSwabrinanurdhin 2 ай бұрын
@@nahimanaaisha5694Asante kwa ukumbusho 🎉
@JudyTarimo-r8k
@JudyTarimo-r8k 2 ай бұрын
Jamaan sijatarajiaaa kama angetuondokeaa mapemaa nilivyokua nakupenda mama 😢😢😢
@ElizabethShikuku-v3n
@ElizabethShikuku-v3n 2 ай бұрын
Kwa familia ya mama na familia ya huba pamoja na wanatanzania wote kwa jumla nasema poleni na mungu ailaze roho ya mama mahali pema
@MariaMsitafa
@MariaMsitafa 2 ай бұрын
Pole sana familia ya Huba inasikitisha sanaaaa😭😭😭Tesa Pumzika kwa Amani.
@jaemnettemukeshumana3019
@jaemnettemukeshumana3019 2 ай бұрын
Jamani tesa wetu mungu amuraze mahari peponi na amusame makosa yake 😭😭😭😭
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 2 ай бұрын
Innalilah wa innalilah rajiun Poleni sana family ya huba
@BethsaidaMacrean
@BethsaidaMacrean 2 ай бұрын
Daah jmn tesa alikua akiigiza amelia bas mpka.nalia alikua anaisia sana asa siku aliyoigiza dev kapata ajali yupo nje alilia.sana pole na mung akupe pumziki la milele
@Janetom-y5
@Janetom-y5 2 ай бұрын
Jamani Nani ataweza kushika nafasi ya Tessa jamani😭😭😭😭😭
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 2 ай бұрын
Apumzike kwa Amani Grace mapundaAmina🙏🙏poleni sana huba
@FawzaRobert
@FawzaRobert 2 ай бұрын
Polen sanaaa😢😢 devii kwa mam yako kwenye tamthilia zenu poleni😢😢😢 Ila tumuombee dua
@faithmedza1391
@faithmedza1391 2 ай бұрын
Adi nmelia....Ina huzunisha sana....ila hatuna budi bali kimshukuru tu Mwenyezi Mungu
@VictoriaJimmy-r8x
@VictoriaJimmy-r8x 2 ай бұрын
Jamaniiii mwenzenu naongopa nikifikiria kifo, Nina ndugu zangu wengi nimewapoteza lakiniiii daaaaa, kwasababu mungu kandika kufa kupo ila atuna jinsi 😭😭
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 2 ай бұрын
😢😢😢Tuombe tu mwisho mwema dear Kila binadamu atauonja mauti hatujui siku mwaka wala saa Ila sote duniani tuwapitaji tu 😢😢😢 ukipata nafasi yakufurahi furahi maana hakuna aijuaye kesho yake, kesho nifumbo kubwa 😢😢😭💔
@VictoriaJimmy-r8x
@VictoriaJimmy-r8x 2 ай бұрын
@maseleenaesleen8149 ameen dear 🙏
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 2 ай бұрын
Pole devi mama ametuaca mungu hana makosa ninjia yotusote
@MatswelopeleMphela
@MatswelopeleMphela 2 ай бұрын
Pole sana rammy pole dear
@AdelaideWanyonyi
@AdelaideWanyonyi 2 ай бұрын
Poleni sana kwa familia dev pole sana tesa nilikupenda lakn mungu akakupenda zaidi
@Deloveally-o8g
@Deloveally-o8g 2 ай бұрын
Daah mungu ailaze roho ya marehem mama gres mapunda mahara pema pepon amina
@RehemaKamwela-d4u
@RehemaKamwela-d4u 2 ай бұрын
Hakika nilikuwa namupenda sana huyu mama😢😢😢
@AnitaApolinary
@AnitaApolinary 2 ай бұрын
Jaman kuna kipindi kwenye tamthiliya ya huba tesa alimlilia Devi kuwa anaumwa aseh😢😢😢 alikuwa analia kwa hisia jaman na dev ameumia mno,pole sana
@AngelberthaKatundu
@AngelberthaKatundu 2 ай бұрын
Nakumbuka.. Yaan grace mapunda alikuwa kiboko kwenye camera. Kiukweli hakuna kama yeye.
@MonkeyDLuffy-p4g
@MonkeyDLuffy-p4g 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢
@StellahWamalwa-t5c
@StellahWamalwa-t5c 2 ай бұрын
Kwa kweli tesa ni limuona Kama mama dev nmeumia saana polen wana huba mungu awatie nguvu wakati huu mugumu
@jasminmdimi6059
@jasminmdimi6059 2 ай бұрын
Poleni sana wana familia ndugu jamaa na marafiki. Allah amlaze mahala pema 😭😭
@NeemapeterItinde
@NeemapeterItinde 2 ай бұрын
Dah mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, namkubali sana huyu mama
@HalimaAli-yc5hf
@HalimaAli-yc5hf 2 ай бұрын
Pole sana mama tesa mbele yako nyuma yetu sote pole sana Wana wa huba😭😭😭😭
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 2 ай бұрын
R I P MAMA TESA ILA WASANII MKIIGIZA MSIIGIZE MISIBA SPIRITUAL
@JasithaMchina
@JasithaMchina 2 ай бұрын
KWELI JAMAN ALAFU KWENYE HUBA MISIBA IMEZIDI JMN. R.I.P MAMA😢
@GraceKazi-z8d
@GraceKazi-z8d 2 ай бұрын
Kwakweli
@QuennVick
@QuennVick 2 ай бұрын
@@GraceKazi-z8d 😢
@FatmaLupagi
@FatmaLupagi 2 ай бұрын
Upo sahihi kabisa.
@MonkeyDLuffy-p4g
@MonkeyDLuffy-p4g 2 ай бұрын
Yaani acha tu😢😢​@@JasithaMchina
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 2 ай бұрын
Poleni sana,nilimpenda sana huyu dada,alikuwa akifanya vizuri sana kwenye uigizaji
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 2 ай бұрын
Dada au Mama?
@HappyphaniaHipolith
@HappyphaniaHipolith 2 ай бұрын
Polen sana jmniii...Mung ailaze roho yake mahali pem pepon 😢😢🙏
@GraceMhimba-y2b
@GraceMhimba-y2b 2 ай бұрын
Polen sana huba wasanii wote mungu ampe pumziko la milele grace nilimpenda😭😭😭😭
@julianasamwel9089
@julianasamwel9089 2 ай бұрын
😢😢ni huzuni kwa jamii. ..kwa wapenzi wa huba pia tutakumiss tesah
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 2 ай бұрын
Poleni sana Huba Family
@AmidaBushole
@AmidaBushole 2 ай бұрын
😭😭😭😭😭🥱😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭pole kabisa wandugu pole pole
@hidayahamiduhidaya2529
@hidayahamiduhidaya2529 2 ай бұрын
Mungu ampe pumziko la amani Tessa
@hidayahamiduhidaya2529
@hidayahamiduhidaya2529 2 ай бұрын
Pole sana Devi hata Mimi nimeumia sana pale ninapokumbuka kipindi cha mama na mtoto poleni sana wana huba
@ZawadiAbdala
@ZawadiAbdala 2 ай бұрын
Pole sana kaka deiv mungu ampe Kaulitz sabiti
@PriscaMhando-b2r
@PriscaMhando-b2r 2 ай бұрын
Poleni sana wanafamilia wote na tamthiria ya huba pole sana devi
@GraceGasperGa
@GraceGasperGa 2 ай бұрын
R.i.p mom binafsi imeniuma maana nilkuw nafuraishwa na kazi yako nilkuw nakukubali sana 😢pole sana br rammy, poleni sana wanafamilia
@HaliimaJuma
@HaliimaJuma 2 ай бұрын
Poleni sana familia ya huba na wadaw wote wa huba tumepata pigo kubwa😢😢
@saumumsemo1995
@saumumsemo1995 2 ай бұрын
Poleni sana tena sana.jamani imesikitusha😊😊
@SkeetoSsaa
@SkeetoSsaa 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢acha tu msiba uckie kweli usiombe ukukute
@HadijaMbwana-p9y
@HadijaMbwana-p9y 2 ай бұрын
Umesema kweli rammy ni kweli kifo ni mtihani amelala kitandani lakini kuna mtihani anaopitia kitandani hapo kabla ya kaburini allah ampe kauli thabiti kwenye tumbo la ardhi
@FatimaRamadan-s4f
@FatimaRamadan-s4f 2 ай бұрын
Mungu amlaze pema pepon inshallah
@angelishika6054
@angelishika6054 2 ай бұрын
Pumzika kwa Amani Mama 💔Poleni sana familia ya Huba
@winniegakuru3645
@winniegakuru3645 2 ай бұрын
😢😢😢😢sijaami tesa katuacha .poleni familia ya huba pamoja na familia ya mama Tesa.sitawai sahau kile kicheko chake😢😢mungu amlaze mahali pema peponi hadi tutakapo onana tena
@roqayaro9439
@roqayaro9439 2 ай бұрын
Poleni inalilah waina rajirun mbele yake nyuma yetu allah amsamehe makosa yake na sisis pia kaka na wewe upo vzr nakukubali ukiingiza utumii nguvu upo kama Tesa umetulia ktk kazi
@perpetuajambia9021
@perpetuajambia9021 2 ай бұрын
Poleni sana familia. Mungu ampumzishe kwa amani.
@FaudhaHamisi
@FaudhaHamisi 2 ай бұрын
Poleni sana wanafamilia 😭😭😭😭
@VeeWilly
@VeeWilly 2 ай бұрын
Duh siamini😭😭😭
@AmidaBushole
@AmidaBushole 2 ай бұрын
Pole sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wandugu yetu watanzania
@mozabayabanda4248
@mozabayabanda4248 2 ай бұрын
Poleni sana kwa msiba mungu ahilaze roho ya marehemu mahala pema uko peponi😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@MozaHaroub
@MozaHaroub 2 ай бұрын
Devi kaondokewa na Roy polenta sana
@AppaulineBuyana
@AppaulineBuyana 2 ай бұрын
Poleni sana falliya yangu yahuba nawapenda sana mungu awatiye nguvu
@NeemaMuyugi
@NeemaMuyugi 2 ай бұрын
inauma sana nikiangalia sin ake ilikuwa ndo imefika utamu natamani kujua hela aliyo tunza kwa monicka,dili lake na Judy bas tuu tumepoteza kiungo
@FloraAndrew-s5q
@FloraAndrew-s5q 2 ай бұрын
😭😭😭jaman kweli tesaa umeondoka jaman
@fatmasalim8869
@fatmasalim8869 2 ай бұрын
Pole Sana dev umeniliza
@BallyGerard
@BallyGerard 2 ай бұрын
Jamani dunia tu wapitaji,njiya moja ya uzima ni yesu kristo
@DzomboDzuha
@DzomboDzuha 2 ай бұрын
😭😭😭😭 pole mama yetu mugu agutagulie
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 2 ай бұрын
Pumzika kwa Amani mama yetu😢😢Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi
@NzalambiNgome
@NzalambiNgome 2 ай бұрын
Poleni sana familia.ya.huba
@evahkawoshira9172
@evahkawoshira9172 2 ай бұрын
Daah! Jamn c amini kifo hakizoeleki pumzika kwa aman mama😭
@JeyaKhan-k1t
@JeyaKhan-k1t 2 ай бұрын
Lala salama mama😭😭😭
@Msanuaj
@Msanuaj 2 ай бұрын
Rammy pole sasa wallah nafeel kitu unachokihis japo weng watahs n maigizo
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 2 ай бұрын
Apumzike kwa Amani mama yetu grace mapunda
@christinaernesto4636
@christinaernesto4636 2 ай бұрын
Poleni sana huba famili😢😢😢😢
@zedy_hope-pd8kn
@zedy_hope-pd8kn 2 ай бұрын
Dah poleni sana hili ji pigo kweli
@mhohomudzo5412
@mhohomudzo5412 2 ай бұрын
Polen sana jaman mungu awape wepes😭😭😭 hata mm kifo chake kimeniuma sana
@susanjawa9569
@susanjawa9569 2 ай бұрын
Kwan aliumwa😢😢😢
@EmmyMartin-p9t
@EmmyMartin-p9t 2 ай бұрын
Mungu amlaze mahalo pema pepon
@LatifaMaulidi
@LatifaMaulidi 2 ай бұрын
Pole sana dev😭😭😭😭
@hawaalawi272
@hawaalawi272 2 ай бұрын
Kila nyumba yatatoka majeneza Mungu mueke sehemu unayoona anastahili
@angelraphael4500
@angelraphael4500 2 ай бұрын
Watangazaji kenge sana😢😢
@ZainaMnandy
@ZainaMnandy 2 ай бұрын
Polen San Wana huba wote 😢😢😢😢
@clintonwafula8664
@clintonwafula8664 2 ай бұрын
Poleni Sana wanahuba,,, shabiki enu kutokea nchi jirani kenya
@bettymuks7072
@bettymuks7072 2 ай бұрын
Pole Dev 😢😢😢
@esthermwangeni2120
@esthermwangeni2120 2 ай бұрын
😭😢😢😢j😊😊jamani Grace
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 2 ай бұрын
Devi ungemsikiliza tima ungetengeneza sasa kafariki ujapatana nae jamani tesa pumza salama😭😭😭😭
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 2 ай бұрын
Sijaelewaa unamanisha nini
@AblahmanJuma
@AblahmanJuma 2 ай бұрын
Hayo ni maigizo uwalisia wako sawa hawana tofauti
@michaelhaule-fb2vs
@michaelhaule-fb2vs 2 ай бұрын
WASANII HATA WAKILIA KWELI SISI TUNAONA KM WANAIGIZAA😢😢
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 2 ай бұрын
Mungu wangu naomba uturehemu
@Naima-v6v
@Naima-v6v 2 ай бұрын
Poleni sana wana huba 😭😭😭
@MaryLee-sh4nd
@MaryLee-sh4nd 2 ай бұрын
poleni Sana familia ya Gresy poleni Sana wasanii hasa huba family
@thabealaizer3313
@thabealaizer3313 2 ай бұрын
😢kumbe ni kweli eti
@ggvv9970
@ggvv9970 2 ай бұрын
Pole sana mungu amlaze pema
@ELVINARANDU-ru6co
@ELVINARANDU-ru6co 2 ай бұрын
Pole sana😭😭
@CastroChipalo
@CastroChipalo 2 ай бұрын
white maria jini kubwa daaa alikua anajua sana Tena sana
@AliceNgowa
@AliceNgowa 2 ай бұрын
Poleni san wana huba n familia n mashabiki kw pamoja
@AminaMgenzi
@AminaMgenzi 2 ай бұрын
Kwer imeniuma sana jamn
@JianaTamara-k5n
@JianaTamara-k5n 2 ай бұрын
Rip tesa😭😭😭😭😭😭
@HellenBenard-r6n
@HellenBenard-r6n 2 ай бұрын
Nimeumia san polen😭😭😭😭
@SallmaXg
@SallmaXg 2 ай бұрын
Pumzika kwa amani Tessa 😭😭
@DaysonChalamila
@DaysonChalamila 2 ай бұрын
Pole sana
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 2 ай бұрын
😢😢yeye amemaliza mwendo tuliobaki tuzitafakari njiani zetu tutubu na kumrudi MANGU
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
BI. MWENDA MSIBANI KWA TESA, AFUNGUKA KUZUSHIWA KIFO
9:53
Millard Ayo
Рет қаралды 15 М.
RAYVANNY AMUIMBIA RAIS SAMIA MBELE YA WAJUMBE WA CCM
8:52
Millard Ayo
Рет қаралды 2,5 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН