RC ALIECHARAZA VIBOKO, AFUKUZA WANAFUNZI WOTE KIDATO CHA TANO, SITA, "MTAKUNG'UTWA"

  Рет қаралды 293,706

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 672
@abdallahhamad4499
@abdallahhamad4499 4 жыл бұрын
Kama umesikia kachome nyumba za mama na baba. Gonga like 💗 💗 💗 😀😀😀
@pendogodwin1612
@pendogodwin1612 4 жыл бұрын
Nyumba za baba zetu zichomwe tu😅
@marynamrosso7584
@marynamrosso7584 4 жыл бұрын
Mungu tusaidie hiki kizazi hawa watoto ni mapepoo au nini ona sasa wanaenda kuwapa wazazi gharama ambazo sii za lazima hongera sana mkuu wa mkoa kwa kazi nzuri mno hii no fundisho kwa wanafunzi wenye nia mbaya na ambao hawajui kilichowapeleka shule ndio maana unaambia mtoto ukishamzaa ni wa wote! Kiongozi anayefuatilia maadili ya shule nampenda sana utakuwa mfano bora!.
@pendomarco4034
@pendomarco4034 4 жыл бұрын
Utawala wa JPM vzur sana
@marynamrosso7584
@marynamrosso7584 4 жыл бұрын
@@pendomarco4034 Watamuelewa tu JPM wetu na huu uteuzi wa Mara kwa Mara ni kutafuta viongozi kama hawa wanaoweza kupamnana!
@marynamrosso7584
@marynamrosso7584 4 жыл бұрын
@@pendomarco4034 sorry kupambana typing
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 4 жыл бұрын
Ukimaliza ukuu wa mkoa,Uwaziri wa Elimu unakuhusu mh.kazi nzuri
@stellakabonge2916
@stellakabonge2916 4 жыл бұрын
Mwalimu wangu nmekukumbuka sana, big up Mr.Chalamila
@marynamrosso7584
@marynamrosso7584 4 жыл бұрын
Aliyegundua wengi wanaocoment kumchafua RC ni baadhi ya wazazi wa watoto alike hapa!
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
wapumbavu
@godfreymbambe6834
@godfreymbambe6834 4 жыл бұрын
Ndio gharama ya kulea mitoto yenye tabia mbovu. Fukuzaaa
@godfreymbambe6834
@godfreymbambe6834 4 жыл бұрын
Safi sana RC umenikuna sana sana.bigup
@bahatidaddy1
@bahatidaddy1 4 жыл бұрын
Like zinakusaidia nini sasa!? We utakuwa na matatizo ya akili, yaani mtu mzima unalazimisha like!? Uzifanyie niniiiii!? Umeshakua, acha utoto.
@marynamrosso7584
@marynamrosso7584 4 жыл бұрын
@@bahatidaddy1 Nazichemsha ninywe supu! karibu! Utu uzima dawa!
@makarangaj6844
@makarangaj6844 4 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa, na kama fimbo zitakomeshwa kabsa mashuleni, tutegemee kuona waalimu wakiadhirika na watoto kuendelea kuharibika zaidi
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Unaweza mlea mtoto bila fimbo inategemea foundation ya malezi ilikuwaje
@kaanaelmbise6482
@kaanaelmbise6482 4 жыл бұрын
ongera sana walim walikua kwenye wakati mgumu
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
mm ni mlezi wa watoto shule fulani ya bweni,kiufupi na kiukweli wanafunzi ni watukutu na wana matukio usiombe na wazazi wengi wanadhani kulea watoto wao ni kazi rahisi.kulea watoto wengi ambao wamelelewa mazingira na tabia mbalimbali ni shughuli ambayo ili uifanye vizuri ni kwa msaada wa Mungu
@benlaizer9936
@benlaizer9936 4 жыл бұрын
Asante sana mkuu wa mkoa umezungumza na umetoa adhabu kama BABA!!!
@samsonzablon
@samsonzablon 4 жыл бұрын
Big up, Watu tunaisoma namba kukusanya kodi, has a Mimi kwa mwaka nalipa zaidi ya milioni mbili ili kuijenga Tanzania halafu mnachoma majengo ambayo PESA yangu inajenga, hapana, kuleni viboko
@sammich3774
@sammich3774 4 жыл бұрын
saiv walimu naye inabid wawe wanajeshi maana wanafunzi wanawaonea sana Rc yupo sahh kabisa cna ugomvi naye
@marymfugwa847
@marymfugwa847 4 жыл бұрын
Safi kabisa mkuu watoto hawana nidhamu kabisa pia nimefurahi kwa adhabu hiyo maana hizo pesa zitafanya ukarabati kwa uharibifu uliyo tokea, big up sana mkuu hapa kazi tu.
@thabitmohamed8744
@thabitmohamed8744 4 жыл бұрын
Ikumbukwe kwa wanaohukumiwa sio wote wenye hatia ilibidi ichunguzwe kwanza kabla hukumu,wanafunzi fanyeni mlioyaendea shule,big up RC
@azizauledi4108
@azizauledi4108 4 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa fukuza km wao hawataki kusoama waende zao na upuuzi wao waachie wengine wapate elimu well done
@sebastiankulinga2959
@sebastiankulinga2959 4 жыл бұрын
Safi sana, wanafunzi siku hz wanapenda kutokua na nidhamu kabisa. Safi sana RC tukiwa na viongozi WA namna hii tutafika mbali.
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 4 жыл бұрын
Safi sana Mkuu wa Mkoa. Wanazifanya wao walipe gharama za ujenzi wa mabweni waliochoma.
@lavianaalbert9038
@lavianaalbert9038 4 жыл бұрын
Yes
@dsstanzania
@dsstanzania 4 жыл бұрын
Asante kwa kutambua kua bado wanahitaji kusoma mungu akubariki mkuu wa Mkoa maana ungeweza kuwafuta
@allymngwaya9855
@allymngwaya9855 4 жыл бұрын
Mwanzo nilizani wanaonewa kumbe RC uko sahihi kabisaaa
@sulleysonsulley4160
@sulleysonsulley4160 4 жыл бұрын
RC umetisha , yaani hiii ni safi sana ,
@doreenbella1135
@doreenbella1135 4 жыл бұрын
wazazi wanahangaika wanadhalilika makazini huko halafu nyie mnafany ujinga daaah Mungu awatie nguvu hao wazazi wenu..asante Mungu sikuwahi kudharau mwalimu wangu ngazi zote nilizopitia.
@jimmymkenge6469
@jimmymkenge6469 4 жыл бұрын
poleni sana wanafunzi kwa kipindi kigumu kama hicho.wengi uwa tunapewa maneno ya tahadhari pindi tunaagwa kutoka nyumbani na wengi wetu familia zetu ni duni kiuchumi.Rc chalamila umefany maamuzi magumu japo utalaumiwa lakini upo kweny right way.hongera sana
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
I'm so happy for this.., I wish mngetumia FFU kuwacharaza, maana wale hawana mdhaha wanacharaza mpaka kuku. Watoto wamekosa maadili na ukichunguza wengi hizo simu wamenunuliwa na wazazi wao wa hovyo. Good job mkuu.
@johnsonjusto9564
@johnsonjusto9564 4 жыл бұрын
yaani rc mungu anakuona wangefanya uchunguzi wachini kwa chini wangewapata wahusika mbona nasikama ivi kufukuza wote
@amoslainas8044
@amoslainas8044 4 жыл бұрын
Hongera sana bos mbeya, tko nyuma yako.
@abelmlula9925
@abelmlula9925 4 жыл бұрын
Kama unaamini tuliosoma zamani nidhamu yetu ilijengwa na viboko na vijana wasasa wameharibika baada ya viboko kufutwa gonga like....
@henrickovicent2933
@henrickovicent2933 4 жыл бұрын
Hongera sna mkuu wa mkoa wa mbeya. Ahsante
@reginansilia4456
@reginansilia4456 4 жыл бұрын
Henricko Vicent
@henrickovicent2933
@henrickovicent2933 4 жыл бұрын
@@reginansilia4456 niambie dada, nicheki 0656 485388
@musokedios8162
@musokedios8162 4 жыл бұрын
Mungu awarehemu watoto wetu, imagine mzazi uko nyumbani wakati mwingine hats hiyo, laki mbili hujaishishika miaka 2 na ndomtoto ksharibu jamani, God have your mercy up our kids
@salimdzillah6345
@salimdzillah6345 4 жыл бұрын
Nakuunga mkono mkuu, Kama Mtu anawahurumia akawalaze nyumbani kwake, wachome nyumba za wazazi wao wasituhangaishe. Ili wasionewe ambao hawakuhusika wanafunzi wanawajua maana kuchoma Shule kunahitaji kikao siamin hawakuonekana wakifanya Hicho kikao. Tunalipa Ada wasome wanaleta ujinga.
@marthamollelloth7673
@marthamollelloth7673 4 жыл бұрын
Safi sana RC
@delorisdaniel194
@delorisdaniel194 4 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa uko sawa sana. Hongera sana
@georgeerick3140
@georgeerick3140 4 жыл бұрын
kwann fimbo zisialalishwe tena nduguzanguni ,watoto asa ivi awasomi ni uchizi tupu ,hongera mkuu wa mkoamm nipo dar tabata.
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 4 жыл бұрын
Yani wazirudishe tu maana wengi wao hawajielewi
@naimamohamed5632
@naimamohamed5632 4 жыл бұрын
Ila kuna makosa ni sahihi kucharaza hawa watt jmn,mijalimu mengine inapiga hovyo jamani...kuna shule ya victory(discipline master)anapiga vby na mpk wtt wanazimia...ukiuliza kosa hajachomekea!
@bebisheni4380
@bebisheni4380 4 жыл бұрын
hongera mkuu wa mkoa kuwacharaza viboko ila warudishe wote usiwafukuze safi kabisa walipe
@innocentpius8083
@innocentpius8083 4 жыл бұрын
Safiii sana piga kazi jembee
@rozinamassawe4083
@rozinamassawe4083 4 жыл бұрын
Ongera Sana mungu akutangulie upo sahihi Sana kwa mahamuzi
@silvestermakata400
@silvestermakata400 4 жыл бұрын
Piga Sana viboko 3 havitoshi mitoto y'a sasa Aina adabu mkuu asante sana
@oscarjohn477
@oscarjohn477 4 жыл бұрын
vitu vngne nadra sana ebu imagine unachapwa vboko na mkuu wa mkoa very rarely wht a bahati 😂 😂
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 4 жыл бұрын
måvęriçk 26 😂😂😂🤗
@mariadevid5628
@mariadevid5628 4 жыл бұрын
Duhhh iyo bahati ungepewa ww
@oscarjohn477
@oscarjohn477 4 жыл бұрын
@@marwawilliam3648 😂
@oscarjohn477
@oscarjohn477 4 жыл бұрын
@@mariadevid5628 m ninge mwambia ata aniongeza au anipge ata konzi la nyongeza 😎
@dozenshija3765
@dozenshija3765 4 жыл бұрын
Hahaaa hatar we jamaa umejua kunifurahisha
@zephstanley9235
@zephstanley9235 4 жыл бұрын
Wanaokosoa ni wale ambao hawawajui wanafunzi vizuri wanafunzi huwa wanazingua vibaya mno yani mwalimu ana shida shule akijaribu kumwambia tu mwanafunzi kitu chochote kwa kumkemea siku hiyo mwalimu atapigika vibaya mno lkn kuna mamtu humu bado yanatetea tu wanafunzi... bora tu wakuu wa mikoa wawe wanawasaidia walimu kama hivyo
@wajaweje3183
@wajaweje3183 4 жыл бұрын
safi sana mkuu wa mkoa kazi nzuri
@mustiidebabiluun9682
@mustiidebabiluun9682 4 жыл бұрын
Goood work RC.....kazi kazi kitaa watu tunapambania halafu nyie mnazingua#shenzi kamili
@goodluckmachangu5941
@goodluckmachangu5941 4 жыл бұрын
Vizur sana Rc. Mimi ni mwalimu na ninafahamu sana tabia za wanafunzi. Kenya walianza hivi hivi baada ya kukatazwa kuangalia TV wakaanza kampeni ya kuchoma mabweni.
@hennryhamisi507
@hennryhamisi507 4 жыл бұрын
Hongra sana mkuu👏👏👏👏
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 4 жыл бұрын
Inchi inatakiwa iendeshwe ivi
@patrickosembo5928
@patrickosembo5928 4 жыл бұрын
Mkuu wa wilaya, karibu ututembelee hapa Kenya naona uchomaji wa shule utakoma wanafunzi wakikuona tu.
@michaelndunguru5248
@michaelndunguru5248 4 жыл бұрын
Saf wanasumbua sana walimu hao fukuza
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Si muwafukuze shulee kabisa washenzi sana wameshajichagulia maisha hayoo ya kihuni chapenii sana mkuu wa mkoa
@tentofgracechurch3504
@tentofgracechurch3504 Ай бұрын
Napenda vile Tanzania hufanya kazi. Simkuje kenya
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 4 жыл бұрын
Safi sana. Hatuwezi kudekeza mambo ya kipuuzi kama haya!
@exaverykatulanda4017
@exaverykatulanda4017 4 жыл бұрын
mwanajeshi mmoja akifanya kosa wote wanaadhibiwa ,hongera sana inatakiwa wawe uniform kitabia kama yalivyo mavazi yao
@kamanyile
@kamanyile 4 жыл бұрын
safi mkuu wa mkoa na itakuwa fundisho kwasabbu bila adhabu watafanya mazoea mabaya
@karrimmpehe8184
@karrimmpehe8184 4 жыл бұрын
frank kamanyile bro ujawah kuwa mwanafunz nn😂
@dianedavid5110
@dianedavid5110 4 жыл бұрын
Yuko sawa kabisa, maana wazazi wa leo hatutaki kuwafundisha watoto wetu,eti tunadai haki zao,hayo ndo matunda ya haki za watoto.
@johnkiputa1327
@johnkiputa1327 4 жыл бұрын
Diane David vip kwa wasiohusika kulazimishwa kutoa laki mbili na wengine hawana wazazi ni mayatima na wengine familia maskini hata hela ya kula makwao ni shida na hawajahusika je ni haki hapo
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 4 жыл бұрын
Rpc mbona hiyo laki 2 na laki 5 ni ndogo asee😂😂 iyo ni kama.mauaji asee ilitakiwa walipe hapa M1 kila mtukutu😂😂
@morefireministrychurch177
@morefireministrychurch177 4 жыл бұрын
Ukosawa mkuu tuna watoto shuleni kwahiyo ulilolifanya nisawa kbs tusi bariki ujinga shuleni
@sheilamachedo2467
@sheilamachedo2467 4 жыл бұрын
Jamani hao wanafunzi wanautovu wa nidhamu mbaka wanachoma na shule sasa wanataka wasomee wapi
@morefireministrychurch177
@morefireministrychurch177 4 жыл бұрын
@@sheilamachedo2467 apo ingekua mm wangenda nyumbani kbs siwataki tena
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
Wanafunzi ni watukutu mno. Piga hao washke adabu wapuuzi hao 😬😡
@Dacos47
@Dacos47 4 жыл бұрын
Mpuuzi na ww
@yusuphkamota7625
@yusuphkamota7625 4 жыл бұрын
Huruma itendeke
@erckevarst9022
@erckevarst9022 4 жыл бұрын
Acha huruma ikatendeke kwao,, unachoma unaposoma alafu use me bado unataka elimu fyuu
@petersilas4234
@petersilas4234 4 жыл бұрын
Usimnyime mtoto fimbo ndivyo tulivyofundishwa. Sisi tuko nyuma yako mkuu wa mkoa
@alyhamadi8033
@alyhamadi8033 4 жыл бұрын
Safi Sana mkuu wa mkoa najuwa iro fundisho kubwa awata rudia tena
@musokedios8162
@musokedios8162 4 жыл бұрын
Hujamalizia mkuu, kwa sababu hatakufa
@stephenmwaisela263
@stephenmwaisela263 4 жыл бұрын
hongera sana mkuu wetu wa mkoa,wanaokusema tofauti kamata wakalale jelaa
@jacklinamani7519
@jacklinamani7519 4 жыл бұрын
Bora mkuu wamezid Sana hao wanajioneaga km wao ndo wa babe wa shule
@abdullasalim279
@abdullasalim279 4 жыл бұрын
Hapo hukuwandea haki wanafunzi wengine kwani walio fanya makosa sio wote... kuwalipisha wanafunzi ambao hawana simu na wala hawahusiki kuchoma moto hapo itakua sio haki.. Mbele ya Mwenyezi Mungu...kwani maandiko yapo bayana... hakuna mtu atakae beba mzigo wa mtu mwengine kila mtu atachukuwa mzigo wake mwenyewe..
@peteralfonce5848
@peteralfonce5848 4 жыл бұрын
safi sana Mkuu hao watoto ni wasenge sana mikundu yao
@professorabdullah2300
@professorabdullah2300 4 жыл бұрын
Kazi nzuri mkuu, wamezidi Kua na tabia chafu.
@florianmwaibabile5308
@florianmwaibabile5308 4 жыл бұрын
Asanteh Mkuu hii ni zaidi ya responsibility well done bro..
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 4 жыл бұрын
Asante sana mkuu wa mkoa ndio inatakiwa hivyo,unajuwa waandishi wa habari ndio wanafiki sana
@nyawitatheboss3449
@nyawitatheboss3449 4 жыл бұрын
Asaantee Sana serikal y magufulii Hiii ndio Sasa Hapa kazi tuu ndioo hiiiv Nimefurahii Sanaa kwa matamko haya y mkuu w mkoa Congratulations kwa hiiliii
@ismailmajala2802
@ismailmajala2802 4 жыл бұрын
Hongera sana Mkuu Mkoa Wale Wazee wa kujadili endeleeni kujadili serikali imeamua hivyo na hivi ndo tunataka kabisa
@rodapesambili7650
@rodapesambili7650 4 жыл бұрын
Inaumiza sana yaani unaacha kufanya jambo lililokupeleka shule unachoma shule badala usome, ok basi njooni mtaani muone maisha yalivyo wengine tulitamani tungepata nafasi hiyo ila tukaikosa ila nyinyi mnaichezea mtakuja kujuta baadae.
@matalumaclassictz3954
@matalumaclassictz3954 4 жыл бұрын
Aya yanatokea ktk kipinnd cha ukuaj tu mm mwenyewe yashawai nikuta yaan nilikua najikubar atar ad kupigana na walim fujo sifa mbaya zote zilikua nazipenda nanunua kes ata c yangu lkn mwisho wa cku nikajua niliekua ninae mtesa ni mama yangu c mtu mwingine alhamdulillah Sasa nimekua mtoto mwema
@riphatmuhene9615
@riphatmuhene9615 4 жыл бұрын
Mimi simlaumu huyu jamaa sababu nishawahi ingia kwenye zengwe kidato cha nne hivi hivi tuligomea mtihani nusura tufukuzwe shule.
@sirionkapinga6739
@sirionkapinga6739 4 жыл бұрын
Watajutia sana na hisi huko waliko wanalia tu baadhi mikumbo imewaponza big up Rc watu tunachangia ujenzi mitoto mijingajinga ije ichome kirahisi tu
@glorynorbeth6273
@glorynorbeth6273 4 жыл бұрын
Bora uwasaidie walimu jamani maana daaah imekuwa kero watoto hawana nidhamu siku hizi
@omaryjr5385
@omaryjr5385 4 жыл бұрын
Safi sana nimependa kwenye kukusnya pesa za ujenzi wakat mwingine kuleana leana ndio kunakosababsha wanafunzi kuongeza viburi na matokeo yao n kufeli na lawama kuwatwisha wengine, Asante RPC kwa uamuzi
@johnkiputa1327
@johnkiputa1327 4 жыл бұрын
Omary JR ungekuwa wewe mzazi na mwanao hajahusika ungesema hayo
@omaryjr5385
@omaryjr5385 4 жыл бұрын
@@johnkiputa1327 sahih lakin nililenga kwa waliokutw na simu
@johnkiputa1327
@johnkiputa1327 4 жыл бұрын
Omary JR sasa mkuu wa mkoa amesema wote wawajibishwe hata wale wasiohusika na wengi wao wametoka familia masikini uniform tu wazazi wamekopa hiyo laki mbili wataijulia wapi na wengine ni mayatima wanalelewa na ndugu na mazingira yao nyumbani ni magumu yakutumikishwa afu huyo huyo unamtishia pingu . Kwa hili mkuu wa mkoa amekurupuka. Angewawajibisha wahusika tu.
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 4 жыл бұрын
Safi sana RC nakupongeza sana wazazi wanaangaika wao wana deal na simu badala ya masomo
@peterkailembo4101
@peterkailembo4101 4 жыл бұрын
Charaza tu wangekufa wenzao humo ndani leo mngemlaumu mkuu wa shule, mkuu wa mkoa na wote, wangeua wenzao kwa huo mchezo. Simu haziruhusiwi shuleni.
@kindolek9257
@kindolek9257 4 жыл бұрын
Kwel aise
@robertsamson3750
@robertsamson3750 4 жыл бұрын
Najiuliza makosa ya watu kumi na sita wanaojulika yamewafukuzisha shule wanafunzi wa shule nzima.... Kama wamejulika kuna haja gani ya Kuwazibu wasio na hatia na kuwalipisha 200
@kindolek9257
@kindolek9257 4 жыл бұрын
@@robertsamson3750 samak mmoja akioza
@francisjonathan977
@francisjonathan977 4 жыл бұрын
Duh poleni sana aise wanafunzi tulieni unaposoma mnasahau maisha yaliyopo mtaani uku
@gadielpaulo8925
@gadielpaulo8925 4 жыл бұрын
safi sana piga kazi Rc
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 4 жыл бұрын
Nenden manyumbn kwenu na mkirud Rudin na lk 2 na waliokuwa na cm lk 5 na km hamna hizo pesa mtazitapika tu wajinga nyie kafundishweni adabu makwenu 🚶🏿‍♀️🚶🏿‍♀️🚶🏿‍♀️
@sidneykanumba8165
@sidneykanumba8165 4 жыл бұрын
Lol 😊😊😊
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
Amen..,natamani wangetandikwa na FFU.
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 4 жыл бұрын
Wamenikera hawa wanafunzi basi tu yani mzazi anajinyima ili mtoto akasome wao wanaenda kufanya ujinga wao
@adrianmallyakibona.352
@adrianmallyakibona.352 4 жыл бұрын
Serikali mnavuna mlichopanda... Hivi kweli waswahili mnaondoa viboko shuleni? 😳 Kina Samuel sitta walichapwa na mwalimu sembuse kizazi hiki?
@benbenedict2720
@benbenedict2720 4 жыл бұрын
Una hakika wote hao wamechoma shule? Tuache ushabiki, watu kumi na tisa wanachomaje shule bila kuonekana? Kuna vijana hapo hawajui chochote khs kuchoma shule, wazazi maskini hata alfu 20 hawana, na machozi yao yatawafuata daima. Ushabiki wa siasa usitufanye kukosa utu na akili ya kufikiri, hatua zichukuliwe kwa wenye kosa, wasio na kosa waachwe huru.
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 жыл бұрын
Malezi ya watoto siku hizi ni ovyo kabisa.ongera sana mkuu wa mkoa.
@oswardmwanjwango2169
@oswardmwanjwango2169 4 жыл бұрын
Upo vizuri baba
@hellenmgungus1979
@hellenmgungus1979 4 жыл бұрын
Kabisa maadili yameporoka kama wanapata ujasiri wa kwenda kuchoma shule niatari
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 жыл бұрын
Alafu wako busy eti ni hukiukwaji wa haki za watoto na sheria.kwani hizo sheria anaweka nani si binadamu.basi ndo imetenguliwa na binadamu.mtu bila aibu eti anakaa anaonga watoto wamechapwa!je huo moto ungeleta mathara ya vifo wangehoji viboko vitatu vya mkuu wa mkoa??
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 жыл бұрын
Na adhabu ya pesa ni halali yao.tunaangaika kulipa kodi watoto wasome majengo yamewekwa eti mtu anasema pesa ni kubwa ?sasa hizo za kujengea majengo mapya zitoke wapi??mnawadekeza watoto adhabu yote iliyotolewa ni halali kabisa.kama ni haki za watoto hata sisi tunao.mtoto akikosa adabu ashughulikiwe kabisa.mkuu wa mkoa big up.mnasema mtoto wa mwenzio ni mwanao, sasa mkuu wa mkoa asante sana umetimiza.
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 жыл бұрын
Mnaiga mambo ya nje eti watoto wasipigwe kwa nchi yetu bado sana.hatujafika ivyo viwango.wenzetu wako organized na sidhani kama unaweza kumuona mtoto anachoma shule kwa kisingizio cha haki au sheria za watoto.wazazi walipe pesa.mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
@luizabahati5198
@luizabahati5198 4 жыл бұрын
Hawana adabu na nidhamu kabisa...ndio Hawa Hawa wanakuja kuwa majambazi ukubwani na mitaaani ni Fuji Tu kutenda uhalifu Tu...kwenye jamii zetu wapogo la historia ndio zilianziaga huku..utovu WA nidhamu mashuleni..wapuuzi sana
@rayayondu1150
@rayayondu1150 4 жыл бұрын
Saf Sana hawana adabu kabisa
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
Mimi ni mzazi pia nyakati hizi ni ngumu jamani mimi sijui watoto wetu nani kawaroga/ila na sisi wazazi ni shda pia kama nyakati hizi mtoto mdgo kitu cha kumbembeleza ni simu sijui kipindi hicho itakuwaje sipati picha maana 🙄😭
@tereseamasawe8111
@tereseamasawe8111 4 жыл бұрын
CHALAMILA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
@oswardmwanjwango2169
@oswardmwanjwango2169 4 жыл бұрын
Hoyeee
@emmanuelpolisi1343
@emmanuelpolisi1343 4 жыл бұрын
Mkuu uko vzr kwa hili Niko na ww
@umiy1971
@umiy1971 4 жыл бұрын
oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@salgadomohamed4669
@salgadomohamed4669 4 жыл бұрын
This is the best RD I would like to see in my lifetime. ..big up Mr RC you deserved that authority
@mako331
@mako331 4 жыл бұрын
Safi mkuu nakubaliana na wewe, ila kuna wale ambao hawakuhusika kabisa ila wanaingia kwenye shida hapa
@masubenjamin98
@masubenjamin98 4 жыл бұрын
ludisheni fimbo shuleni kama zamani mambo tataenda vzr
@umojamedia4167
@umojamedia4167 4 жыл бұрын
Kwan fimbo mashulen sikuiz amna
@shabanmlekwa9513
@shabanmlekwa9513 4 жыл бұрын
@@umojamedia4167 Mimi ni mwl, fimbo ni kama zimefutwa tu kwani anaepasa kuchapa ni Mwl Mkuu au Head master tu, au mwl mwingine kwa kuruhusiwa na hao. Fimbo zisizidi nne tu. So ikitokea Mwl Mkuu au Head Master hawapo shuleni basi wanafunzi ni kula bata tu, lolote watakalolifanya ni sawa. Na mitoto ya siku hizi ilivyo walimu nao walishaamua kuyakatia tamaa tu yaharibike si sheria ya viboko inayatetea. Walimu tulishaamua kuyaacha yaharibike tu yakaue wazazi wao. Kwanza hata yakisoma yakapata kazi hayana faida na sisi.
@mtasma1994
@mtasma1994 4 жыл бұрын
@@umojamedia4167 hamna viboko vimefutwa
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
@@shabanmlekwa9513 mwl unaongea kwa uchungu🙄😁😁😁 na wewe wanafunzi wanakubananisha nn
@ramadhaniadammakange3639
@ramadhaniadammakange3639 4 жыл бұрын
Yani kaka ningepata number yako ningekutumia hata elfu kumi ya airtime. Toka south I love that.Nashangaa wale wasiompenda Mr Magufuli.
@janemaya8470
@janemaya8470 4 жыл бұрын
Daaah ni uwamuz, mzuri ila wasingewaadhibu wote kuna wengine apo hawana pesa wanatokea familia duni wangeadhibiwa wenye makosa
@akuujk6340
@akuujk6340 4 жыл бұрын
I’m felling blessed my school days are over....Mkapa days 🕺🏿🕺🏿🕺🏿🕺🏿🕺🏿
@bigbro2705
@bigbro2705 4 жыл бұрын
Hiyo ilikuwa ni bahati mbaya inatakiwa wasamehewe nakama wazazi hawana uwezo wakulipa watafanya nini? ina maana mtawaachisha shule na kuwafunga? mua haribie maisha yao?
@hamiduissa8089
@hamiduissa8089 4 жыл бұрын
Ndio
@habibaissa6778
@habibaissa6778 4 жыл бұрын
Big Bro Bahati mbaya??? Waswahili husema MCHUMA JANGA HULA NA WAKWAO,baba,mama,mjomba,bibi,watakopa popote ili trh 18 arudi shule na hapo ndipo watakapojifunza kuwa KIBURI C MAUNGWANA!!!!
@shamsimagesa4520
@shamsimagesa4520 4 жыл бұрын
Wawaharibie tena maisha!!! Wao waliipoamua kuchoma bweni walikuwa wanajitengenezea maisha? Acha habari hizo.
@rogathokibiki3246
@rogathokibiki3246 4 жыл бұрын
Kwa tuliosomaa Kantalamba kidato 5&6 2007/09 tunayajua vema haya mambo. FFU walizidiwa mbinu na wanafunzi 3 days hapakaliki shule kufungwa kidato 1 hadi 6 kwa muda uwmsiojulikana
@marynamrosso7584
@marynamrosso7584 4 жыл бұрын
Hahahaaa ni shida
@magrethjohn8576
@magrethjohn8576 4 жыл бұрын
Kwa kweli toka siku hizi viboko vimekatazwa watoto wajeuri hakuna nidhamu kabisa!
@kusinimediatz6747
@kusinimediatz6747 4 жыл бұрын
Samaki mmoja akioza wote wameoza imani yangu hapo siyo wote waliofanya hilo tukio ila adhabu wamepata wote poleni sana wanafunzi lakini kuweni makini mashuleni ndugu zangu
@angelmwoleka7892
@angelmwoleka7892 4 жыл бұрын
Kabisa si ote walishiriki
@kusinimediatz6747
@kusinimediatz6747 4 жыл бұрын
Nakumbuka mwaka 2015 nipo lindi high school shule yetu Lindi high school ilikumbwa na janga la moto na kusababisha kuungua kwa madaras zaidi ya 14 pamoja na ofisi za idara tofauti tofauti ikiwemo na ofisi ya michezo pamoja na vifaa vyote vya michezo sasa najaribu kuwaza jee na kule tungelipa tungepaswa kulipa mamilioni mangapia kila mwanafunzi????? Ila ukistaajabu ya KZbin utayaona ya instagram
@hassanmfaume4265
@hassanmfaume4265 4 жыл бұрын
kusini media Tz wangine hawakutaja wenzao
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 4 жыл бұрын
Saafi Mkuu watoto wanazingua saana wameshindwa kujifunza nidhamu Shuleni wakafunzwe Nyumbani kwao ila wamewapa Hasara Wazazi wao inatakiwa iwe fundisho kwa Mashule Mengine .pia hawakujui km nawewe ulishakua Mwalimu hivyo unajua Kudhibiti nidhamu.
@petrokasanga9413
@petrokasanga9413 4 жыл бұрын
Mlambe mchanga na Kokoto mmeze👉🔐🏃🏃 Hatari Sana🙌
@ppranoz
@ppranoz 4 жыл бұрын
Kama namuona mzee wangu vile angenishughulikia bila ya kutaka kujua ilikuwaje 🤗🤗🤗😂😂 (Laki mbili si mashara ghafla tu 😂😂😂)
@alexanthony4675
@alexanthony4675 4 жыл бұрын
😀😀😀😀
@mcjabbyevents4938
@mcjabbyevents4938 4 жыл бұрын
Kweliii adhabuu nzuriii sanaaaaa bb
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 4 жыл бұрын
Makonda akishika fimbo achape mtoto si atajamba mbele za watu 🌝🌝🌝🌝🌝
@captenndunga2102
@captenndunga2102 4 жыл бұрын
Huyu nampa mwaka 1 tuu hiyo kazi haimfai kwanza hana utu alafu haijui mipaka yake ya kazi... cheo ni dhamana mkuu sio pepo hizo pesa ulizotaja hata MAGUFULI anajua kwa wananchi wake walivomaskini hakitoki kitu hapo kwa wazaz wa hao watoto ambao hawakuhusika.. hao waliohusika tuu hawatoi wote. Kwa kifupi hakuna mtu mkubwa MBEYA kuliko MBEYA yenyewe cheo ulichopewa kimekuzidi na kwakua rais wetu ana maono na busara basi hata hili ataliona inshaallah.. rais anataka wachapakazi lakini wenye weledi wa kumnyoosha mtu kwa sheria sio hasira na mabavu... hii ni nchi broo sio familia. Ingekua hivo raisi angeshapiga wengi sana.. una msimamo na unapiga kazi ila kuna vitu vidogo unafeli ambavo ndo muhimu..
@johnlaoz1416
@johnlaoz1416 4 жыл бұрын
CAPTENN DUNGA kweli kabisa
@andrewdamian4938
@andrewdamian4938 4 жыл бұрын
Ungejua hata raisi anapongeza kwa hilo,wanafunzi wanamambo ya ajabu sana unadhan hao 14 ndo wanasimu hapo?unaweza kuta form six nzima wanasimu hapo,dawa yao ndo hio na mkuu kafanya vizuri kabisa,mbona nyerere aliwahi mchapa viboko Sitta chuo kikuu kwani huko wanaruhusiwa viboko? Lakini alimchapa kwa ujinga
@noahmwaipopo9142
@noahmwaipopo9142 4 жыл бұрын
Jinga sana hili jamaa linaropoka kama nimekula maji ya chooni
@rosemarymsulwa203
@rosemarymsulwa203 4 жыл бұрын
Kwa hiyo wangeuwa mgesemaje? Kwamba ni sahihi walochofanya hai mwanafunzi? Mimi wa kwangu anasoma hapo. Lakini akifika hapa lazima nimuadhibu. Sitaki mtoto atakayekuwa jambazi baadae.
@mamadada1781
@mamadada1781 4 жыл бұрын
oky
@amanijosiah5205
@amanijosiah5205 4 жыл бұрын
Yaan Rc yupo sahihi kabisa safi sana tena kawachapa kidogo sana hao wanafunzi ni sawa na wauwaji tu
@chinischinis6371
@chinischinis6371 4 жыл бұрын
Hii tabia ya kuchoma mabweni imekithiri sasaiv na maranyingi tunaambiwa na watu wasiojulikana lkn wakat mwingine ni baadhi ya wanafunzi ambao ni watovu wa nidhamu kama hawa, mi na mpongeza mkuu wa mkoa kwa kuanzisha jaramba la kuwabaini mapema na maamuz kama hayo ni maamuzi srong ambayo yataacha fundisho kwa wanafunz wa shule nyingine kama hiyo ambao wanatabia ovu kama hizo. Kuhusu wasiohusika na kutenda hayo R.c ameagiza kila mmoja aje na lk mbili kama mchango kwani wakiachiwa hao waliochoma moto pekee laki 5 zao na uchache wao hazitatosha kujenga mabweni hayo. Lkn han maana ya kweli ambaye atashindwa kuleta hiyo lk2 atafukuzwa shule.naakuachia shwali apa chini Jèè?asipofanya hivyo unategemea hayo mabweni yatajengwa na nanani?
@ramabendera8183
@ramabendera8183 4 жыл бұрын
Yatajengwa na serekali na iyo ndiyo kazi yake
@yohanapindua9402
@yohanapindua9402 4 жыл бұрын
Inaumiza sana watoto wasasa Pasua kichwa mungu atuhurumie kwakwel
@ramadhanihassani256
@ramadhanihassani256 4 жыл бұрын
vijana mfikapo mashuleni acheni masuala ya mihemkoo fateni kilicho wapeleka kumbukeni nyinyi niwatoto wafamilia za hali yachini muwaonee huruma wazazi wenuu poleni wazazi poleni saaaaana
@hjhj6230
@hjhj6230 4 жыл бұрын
Kabisaa yaani hawana huruma na wazazi wao...imeniuma sana kuhusu wazazi hali ni ngumu sana ya kifedha
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Ni makundi hayoo wanajisahhau sana wakishaingia mtaani wanajutia ujinga waluoufanya
@claudiajames2003
@claudiajames2003 4 жыл бұрын
Natamani hii comment yako iwafikie wanafunzi wote Tanzania nzima.
@rosemarylwamlema9577
@rosemarylwamlema9577 4 жыл бұрын
Yaani wakuu wa mkoa wote wangekuwa hivi shule zingekuwa nzuri sana, wanafunzi siku hizi wanafanya vitu vya ajabu sana ndio maana wanafeli na walimu wanalaumiwa bure.
@charlesmataba8344
@charlesmataba8344 4 жыл бұрын
ADHABU HYO INAFAAA SANA ,TENA NAISHAURI SERIKALI YETU KUWA WALIMU WOTE WAALALISHWE KUTOA ADHABU YA FIMBO KWA WANAFUNZI MAANA BILA FIMBO HAKUNA NIDHAMU,HAKUNA UFAULU,Amini wanafunz ni watutuku sana ,......NO DISCIPLINE NO SUCCESS.
@ramgytwalha3568
@ramgytwalha3568 4 жыл бұрын
Mzee mwenzangu
@robertterry8909
@robertterry8909 4 жыл бұрын
upo sawa mkuu
@piuskikula1398
@piuskikula1398 4 жыл бұрын
Kwahawa watoto wa sikuhizi inatakiwa lvo wana viburi mno
@abdulishaban7795
@abdulishaban7795 4 жыл бұрын
Sasa daaah kwakwel jmn wengine wanalilia kusoma wengine ujeur shulen
@morgankalima5824
@morgankalima5824 4 жыл бұрын
Safi sana chapa sana viboko washike adabu
BARAKA MAGUFULI AMVUNJA MBAVU WAZIRI MKUU,AWAITA WABUNGE
6:30
Global TV Online
Рет қаралды 490 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 123 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 36 МЛН
President William Ruto dissolves Cabinet
11:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 243 М.
MAGUFULI Amekutana na Jamaa Anayemuigiza Sauti Yake!
6:20
Global TV Online
Рет қаралды 120 М.
KIZAAZAA CHA RC MWANRI KWA DEREVA ALIYEGONGA MTI WAKE
5:04
Millard Ayo
Рет қаралды 809 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН