RC MWANRI KAIBUKA NA FUKUA FUKUA KAMNASA DIWANI NA MCHUNGAJI KWA WIZI

  Рет қаралды 231,563

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@frankmwiti7196
@frankmwiti7196 4 жыл бұрын
anayewekaga bundles juu ya kuangalia huyu zeem anyooshe kidole juu
@muddyso1953
@muddyso1953 2 жыл бұрын
Kama na ww unaangalia 2021 tujuane
@mussataliye7815
@mussataliye7815 4 жыл бұрын
Kama umesikia neno fukuafukua basi usipite bila like
@bestbahati3009
@bestbahati3009 4 жыл бұрын
Mussa Taliye hahahahaaaa.
@piusaugustino9270
@piusaugustino9270 4 жыл бұрын
Anayesema uyu ni magufuli wa pili apige like zake apa
@ayubusaiba7972
@ayubusaiba7972 4 жыл бұрын
kama umesikia Fukua Fukua acha like yako twende sawa
@missmoona4497
@missmoona4497 4 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa wangu najivunia uwepo wako ktk mkoa wangu good job
@michaelchiwalo8444
@michaelchiwalo8444 4 жыл бұрын
Haha
@laurinfred8887
@laurinfred8887 4 жыл бұрын
😂😂 ulikakaaje ukatajwa na watu arobain, big up mkuu
@tonnsimbasportsclub7168
@tonnsimbasportsclub7168 4 жыл бұрын
Kwa sauti kubwa sema ***FUKUA FUKUA FUKUA*** adiosi ajuma***
@kamanda007
@kamanda007 4 жыл бұрын
Ndanda Kura mbili kwa ulevi na matusi😂😂
@designdesign4426
@designdesign4426 4 жыл бұрын
Nimecheka mpk basi huyu mzee nuksi naomba uamishiwe dar.
@mangalilitarimo9702
@mangalilitarimo9702 4 жыл бұрын
Dar hawezi wengiwasomi
@kelvinfrank3776
@kelvinfrank3776 4 жыл бұрын
Big up mkuu wa mkoa.
@oscarmwacha168
@oscarmwacha168 4 жыл бұрын
Mzeee Nakupaaaa Big Up.
@kingsolomon0
@kingsolomon0 3 жыл бұрын
Rc Mwanir , love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂😂, tuta wasaka kama panya.
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 4 жыл бұрын
NAAAM..! SUUKUMA NDANI..!! FUKUA FUKUA...!! SAFI "MWANRI"
@fadhiliswidhun9779
@fadhiliswidhun9779 4 жыл бұрын
Asantee RC safi kabsa mwanri mheshimiwa rais saf kabsaa nataman nmwombe mhe rais akurudshe kwenye uwaziri
@eliakazana7252
@eliakazana7252 3 жыл бұрын
Fukuafukuaaa!sio Poa aliyeskia gongs like twende sawa!
@AbdulRajabu-to3nb
@AbdulRajabu-to3nb Ай бұрын
Noma sana mzee
@ramadhanichilumba3610
@ramadhanichilumba3610 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Ktk ma rc nchi hii huyu jamaa namuelewa aiseeee
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 4 жыл бұрын
Heeee coming men heeee waaaacha iyo kitu😂😂
@ronniebertin3563
@ronniebertin3563 2 жыл бұрын
Uyu mzee noma
@dn.n4983
@dn.n4983 4 жыл бұрын
Hii ni kali ingekuwa nch nzima mbona tungekywa kama mbinguni jamani polisi wasingekywa kazi tena washulikiwe kikamilifu hawa walifu
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 4 жыл бұрын
Makonda iga huku achana na kufatilia mashoga
@mussasoftwarephone610
@mussasoftwarephone610 4 жыл бұрын
Fungua fungua mlango bamiza 🤣🤣🤣
@abdulkillya2655
@abdulkillya2655 4 жыл бұрын
Hiv mm mkuu wa mkoa nmekaakaje hapa, yani huu mkoa nmepwaya pwaya, umenishinda, siuwez uwezi, Weeeeeeh, hapa tutakuja na fukua fukua fukua fukua😂😂😂😂😂😂😂
@shebaminde7656
@shebaminde7656 4 жыл бұрын
Mnasakwa kama panya hahahhhah uuuuwi
@musadaud652
@musadaud652 4 жыл бұрын
Hahahaha mmenionaje mimi mkuu wa mkoa nikama nimepwaya pwaya au Weeee weeee Hahahaha
@charlesgithiri0017
@charlesgithiri0017 3 жыл бұрын
Alafu MWANRI wahitajika Mombasa kisauni , Dogo afanya uhuni huku kaishia Tanga.
@nawawisaalim7173
@nawawisaalim7173 4 жыл бұрын
Safi sana mikoa yote ingekuwa hiv uhalifu ungepungua
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 4 жыл бұрын
Ayo TV ni brand kubwa mbona unaharibu Kiswahili.. Hivi kweli ni UHARIFU badala ya UHALIFU?
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 4 жыл бұрын
Nani kasikia nimetajwa kwa dhulma 😂😂😂😂😂😂
@mwinyimtengwa5515
@mwinyimtengwa5515 4 жыл бұрын
#FUKUA_FUKUA_FUKUA KAACHONJO
@davidmalangahe4712
@davidmalangahe4712 4 жыл бұрын
Tabora mmepatikana nyoosha mkoa mzee kuna watu wana umaarufu wa matukio,piga kazi .
@mnyetikulwa5039
@mnyetikulwa5039 4 жыл бұрын
Matukio gan tunajulikana
@mwigakatumpula2175
@mwigakatumpula2175 4 жыл бұрын
Eti fala limeshituka ,hahahahaha
@mussasoftwarephone610
@mussasoftwarephone610 4 жыл бұрын
Mwiga Katumpula 🤣🤣🤣🤣
@maricelajohn4241
@maricelajohn4241 4 жыл бұрын
Safi sana RC
@geem8538
@geem8538 4 жыл бұрын
pua inalia taaaa hahahaha we noma
@magessamagessa5502
@magessamagessa5502 4 жыл бұрын
Kiukweli mkuu upo vzr
@DZASTER_ON_DA_BEATS_TZ
@DZASTER_ON_DA_BEATS_TZ 4 жыл бұрын
fungua mlango alaf unakohoa uhuu uhuuu hahahaha mamaaaa nmecheeeeeeeekaaaaaaaaaa saaaaaaaaanaaaaaa
@stephanomchenya6344
@stephanomchenya6344 4 жыл бұрын
Noma sana
@husseinomary4466
@husseinomary4466 4 жыл бұрын
Ulikaakaaje 🤣🤣
@mr.mchina152
@mr.mchina152 4 жыл бұрын
Lazima wasakwe kama panya washenzi hao kama wote sukuma ndaniiiiiiiii
@ethanljayson3129
@ethanljayson3129 4 жыл бұрын
Fukua fukua fukua operation
@bernardchibwana1907
@bernardchibwana1907 4 жыл бұрын
hahahahahaha!!, nimefurahi sanaa huyu mzee yuko makini sanaa.
@abuibra
@abuibra 4 жыл бұрын
ADIOS AMIGO ADIOS AMIGO 😂😂😂🤣😇😇 KURA HIZO SAFI SANA SANA 😂😂FUKUWA FUKUWA NOMA MAZEE
@hasanially9294
@hasanially9294 4 жыл бұрын
Tukipata 15 tz itapendeza
@bedashauri8179
@bedashauri8179 4 жыл бұрын
Huyu mzee ni nomaa
@tawoostanzania9602
@tawoostanzania9602 4 жыл бұрын
Umekaa kaaje??
@brunopeter7384
@brunopeter7384 4 жыл бұрын
List inaongozwa mchungaji
@fatumachagudadui7369
@fatumachagudadui7369 4 жыл бұрын
Hiyo iko poa Sana
@frankjoel2462
@frankjoel2462 4 жыл бұрын
Kati ya wakuu was mikoa Mwanri baba una Tisha uko kijamii zaidi Makonda Kiki tu Hana jipya kwa sasa
@sophsoph4740
@sophsoph4740 10 ай бұрын
Fukua fukua fukua fukua😂😂😂
@christinamichaeel9713
@christinamichaeel9713 4 жыл бұрын
Ulikakaajeeeee?
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba vibaka wengi wanajulikana askali wetu. Sijui zoezi lengo lake nini? Mkuu wa mkoa na nia njema sn lkn RPC wake alipaswa kuwa wa kwanza kumpatia taarifa
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 4 жыл бұрын
Makonda muige huyu.mwenziyo
@sansisansi3686
@sansisansi3686 4 жыл бұрын
hahahaaa inakuaje kuaje ukatajwa mara 40
@johnjacob9587
@johnjacob9587 4 жыл бұрын
Hakka
@allyflavour8005
@allyflavour8005 4 жыл бұрын
Nikweli watu wabaya wapo kwenye jamii kazi hii kilahisi police anatakiwa kuwa angalia hawa walio tajwa hapo sasa kwenye kumi mmoja lazima
@ceciliapeter734
@ceciliapeter734 4 жыл бұрын
Wilaya ya siha tutamkumbuka sana huyu baba
@themapolfx9186
@themapolfx9186 4 жыл бұрын
Pua inahumuka kama big j
@suleimanjj1453
@suleimanjj1453 4 жыл бұрын
Tunamuhitaji huku dar uyo mkuu wa mkoa alaf muheshimiwa makonda aletwe huko
@clementbabuu4811
@clementbabuu4811 3 жыл бұрын
Mzeee wang nmekumis san
@andrewmsuya2232
@andrewmsuya2232 4 жыл бұрын
Kama umesika uhuuhu gonga laiki hapa
@najmagudeh203
@najmagudeh203 4 жыл бұрын
Jamani dah
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 4 жыл бұрын
SAFI TUTAFIKA
@gigotz1755
@gigotz1755 4 жыл бұрын
Mchungaji ndo anaongoza Hii hatari
@mangenyanyondo7357
@mangenyanyondo7357 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@gaburica7307
@gaburica7307 4 жыл бұрын
Hahaha batuuu
@priscadaud6488
@priscadaud6488 3 жыл бұрын
Deusl
@fabianaloyce7427
@fabianaloyce7427 4 жыл бұрын
hatar cna
@hamiskisonjo5978
@hamiskisonjo5978 4 жыл бұрын
msondo ngoma
@japhetlameck547
@japhetlameck547 4 жыл бұрын
Tarifa haina uhakika miladi ayo jipange kushtakiwa kwa kudhalilisha watu. Kabla ya kuitoa tarifa hiyo ulipaswa kubalansi story..
@dativaanatory2556
@dativaanatory2556 4 жыл бұрын
Huu mkoa watanyooka mana hili balaa
@papafikiri
@papafikiri 4 жыл бұрын
Watu wametajwa eeh
@danissilunde614
@danissilunde614 4 жыл бұрын
Fukua fukua sukuma ndani..
@festochristopher7293
@festochristopher7293 4 жыл бұрын
Daaaah nimecheka mbyaaaa
@mfaumeking3391
@mfaumeking3391 4 жыл бұрын
mwz anakamatwa na poris ....ila Leo tunakamatana
@gigotz1755
@gigotz1755 4 жыл бұрын
Umekaaje kaaje fukua fukua tutawasaka kma panya
@fredysanga9206
@fredysanga9206 4 жыл бұрын
Hizi bangi zitaendelea kukatazwa huyu ni zigo
@AK-rd5zr
@AK-rd5zr 4 жыл бұрын
Tanzania kweli mnashida . This is not acceptable in any modern society.This is victimisation.Ni dalili kwamba polisi wameshindwa kuwajibika ipasavyo.
@florachrist9602
@florachrist9602 4 жыл бұрын
Its non of ur bussnesssssssss
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
😁😁😁😁
@abedmohamed2189
@abedmohamed2189 4 жыл бұрын
mkuu na barabara ya kutoka skonge pangale wizi wanasumbuwa usiku
@haroon4976
@haroon4976 Жыл бұрын
Wacha weee
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 4 жыл бұрын
😀😀😀😂
@saidykilenja1851
@saidykilenja1851 4 жыл бұрын
esabel fadhili umekaa kaaje
@dmabrouk6849
@dmabrouk6849 4 жыл бұрын
Fukua fukua😜😜
@mwakisukuli2124
@mwakisukuli2124 4 жыл бұрын
Fukua fukua
@manchestercitybettartv5922
@manchestercitybettartv5922 4 жыл бұрын
fukua
@emmanuelpeter5063
@emmanuelpeter5063 4 жыл бұрын
Mku una akili nyingi sana
@iim428
@iim428 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@dullayorashiddullayorashid6725
@dullayorashiddullayorashid6725 4 жыл бұрын
Fukua fukua
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 45 МЛН
RC MWANRI AIBUKA NA OPERATION FUKUA FUKUA -" Nitapita Nyumba Kwa Nyumba"
7:05
RC MWANRI TENA - "Fukuza kazi wote, Weka Kwenye Lori Sukuma Ndani"
7:13
Global TV Online
Рет қаралды 249 М.
"MNAPIGA POMBE SANA HALAFU MNALALAMIKA MAISHA MAGUMU"-RC MWANRI
4:39