RC CHALAMILA AFUNGUKA ANAVYOMFULIA NA KUMPIKIA MKEWE, KUIMBA AMRITHI KOMBA "UADILIFU SIO UMASIKINI"

  Рет қаралды 40,125

Millard Ayo

Millard Ayo

8 ай бұрын

Пікірлер: 122
@user-ww9gd8pb7o
@user-ww9gd8pb7o 8 ай бұрын
Kwa kweli umenifurahisha sana kuhusu kumsaidia mkeo nyumbani. Vizuri kusaidiana nyumbani mnasaidiana mkiwa off days.Mkuu heshima yako baba Chalamila 🇹🇿🇹🇿🌺🌺🌻🌻🌹🌹💐💐
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 8 ай бұрын
Nimependa sana íla hata mme wangu yupo hivyo ananisaidiaga kila kitu congratu mheshimiwa
@worldsafarilandonkendi4213
@worldsafarilandonkendi4213 8 ай бұрын
This is a good mind for Tanzania, Hongera kwa president Kuona hii kichwa ❤
@dominicanyinge914
@dominicanyinge914 8 ай бұрын
Hongera sana kakangu Chalamila kwa tabia yako nzuri mungu akuongoze zaidi
@yordanyona1234
@yordanyona1234 8 ай бұрын
uko smart sana nitajifunza kuanzia hapa
@eppiemodest
@eppiemodest 8 ай бұрын
Shukuru Mungu wa tabia kama zako ni wachache sana. Hongera sana.
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 8 ай бұрын
Asante kwa kuongea ukweli kuna vijana wanaume wanatia aibu na wamekua kama mikono imekatwa hata kusonga ugali hawawezi
@richardbudeba7297
@richardbudeba7297 8 ай бұрын
Kiongozi bora🙏, hakika kuna cha kujifunza na kuchukua mazuri kwa Viongozi wazuri kama Mh RC , Mungu azidi kuongoza katika kazi na majukumu yako ya utumishi
@rosemaryikamba5288
@rosemaryikamba5288 8 ай бұрын
Fantastic I like the way umekuwa na Hekima na Ufahamu big up sana 👍👏👏
@ezekielpaul-bl6gb
@ezekielpaul-bl6gb 8 ай бұрын
Mzee chalamila upo vzr sana mm home tumezaliwa 4 wanaume so we have to cook ,to mop ,kufua everything we are doing 🎉🎉
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 8 ай бұрын
Kama sisi tu wanaume wa 4, tumepika sana, kuosha vyombo, kudeki......
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 4 ай бұрын
Safi sana R C. Hata watoto wako watakuwa hivyo. Huko ndiko kulea baba. Mungu akubariki
@mashilingitv4918
@mashilingitv4918 8 ай бұрын
Hujawahi niangusha mkuuu utadum sana katika maisha ya kweli
@KONDOAONLINETV-cj1cb
@KONDOAONLINETV-cj1cb 8 ай бұрын
Hongera kwa kusaidia kazi za nyumbani
@christopherkiswaga9270
@christopherkiswaga9270 8 ай бұрын
Glory be to God who provides people like this Man with humbleness and wisdom in living.
@misanamaige490
@misanamaige490 8 ай бұрын
Uko vizuri kiongozi, Bwana akubariki.
@corneliostephano2498
@corneliostephano2498 8 ай бұрын
Mkuu mm nakukubali sana nakuombea uwe rais wa nchi hii napenda kazi unayoifanya
@rosehaule6765
@rosehaule6765 8 ай бұрын
Namshukuru Mungu.mqlezi ayana formula. Lakini namlea.mtoto.wngu wa.kiume hivyo kupika.kufuq kusafisha nyumba.kazi.zote za nyumbani anafanya wa kiume.miqka 22.na ameshazoea akuna Dada sote tunashirikiana pamoja na baba.mume.wngu wote tunashirikianq kufanya kazi za nyumbani ❤ ni utaratibu.mzuri tu.mnqjiwekea
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 8 ай бұрын
Kiongozi mkuu wa Mkoa Chalamila,umeongea kwa busara kubwa sana Mungu akubariki,binafsi nimejifunza mengi mno kupitia maneno yako.
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 8 ай бұрын
Huyo ndiyo chalamilaaaaaa💪💪💪💪💪💪💪💪
@khamisbk8569
@khamisbk8569 8 ай бұрын
You know how to talk.. my leader
@geeva99
@geeva99 8 ай бұрын
Kwakweli huyu Mnyalukolo apewe maua yake 😂😂
@mariachannel2047
@mariachannel2047 8 ай бұрын
Hongera sana sana mheshimiwa .Ni mfano wa pekee katika familia .Angekuwa mtu mwingine mwenye cheo kama chako sidhani kama angethubutu .kwa kweli unaweka kando madaraka na mamlaka uliyo nayo .
@jacksonmichael799
@jacksonmichael799 8 ай бұрын
Well said Sir✊️.....#Team JPM Forever.
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 8 ай бұрын
Name nashukuru mme wangu huwa tunasaidiana kilakitu na shukuru kwa hilo
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 8 ай бұрын
Nakukubari tangu uwe mkoan Mbeya mkuu🙋🙋
@leylasaid9641
@leylasaid9641 8 ай бұрын
SAFI SANA
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 8 ай бұрын
Juma Aweso Albert Chalamila Paul Makonda Dotto Biteko Kassim Majaliwa Huwa nawakubali sana aisee natamani mmoja wenu aje kua hata Rais huwa mnafanya kazi kwa weledi mkubwa mno na mkiongea huwa mnamaanisha hata nyuso zinasadiki mnachoongea na huwa kinatoka Moyoni
@LeylatVlogs
@LeylatVlogs 8 ай бұрын
Ongeza yule mkuu wa wilaya ya Hai alikuaga jela kwa maoni yangu pamoja na Bashe
@loycenicolao7488
@loycenicolao7488 8 ай бұрын
Hapo ni chalamila na biteko hao umepatia
@hamismabula9934
@hamismabula9934 8 ай бұрын
Na Bashungwa vip?
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 8 ай бұрын
Polepole na Bashiru, Mpina
@JohnEMeena
@JohnEMeena 8 ай бұрын
THANK you my DSM RC CHALAMILA 🇹🇿🙏🙏🙏
@dn.n4983
@dn.n4983 8 ай бұрын
Safi sana baba yangu pika chai asubuhi ni baba nzuri
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 8 ай бұрын
Wanaume wanojua dini wanajua majukum kwahyo huwa wanafanya kaxi xoxote home hata mm nafuliwa
@greysonantony6431
@greysonantony6431 8 ай бұрын
Una hekima Sana .
@hanspop6961
@hanspop6961 8 ай бұрын
Nakukubali sana Rais wangu wa Mkoa na Nakufatilia sana
@MariethaGordon
@MariethaGordon 8 ай бұрын
Niarike nije tuimbe wote mkuu
@harounamahoro3436
@harounamahoro3436 8 ай бұрын
In my opinion...you are the next Magufuli as far as your philosophy is concerned! Nakutakia kila kheri mwishimiwa Chalamila. Mungu akulinde kwa madogo na makubwa, Mana utapeleka Tanzania mbali kule mbele. Love from Rwanda.
@devotaminga9352
@devotaminga9352 8 ай бұрын
Smart brain RC wetu 🙌🙏
@user-ts6fh4si3m
@user-ts6fh4si3m 8 ай бұрын
Walio kwenye ndoa wanajuwa hili kwamba ndoa iko na siri nyingi ndani, nje mnaweza kuonekana vizuri ila ndani tatizo#ndoa ni siri ya watu 2.
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 7 ай бұрын
Upo vinzuri saaana hongera
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 8 ай бұрын
❤❤❤❤nakuaminia
@godfreyayo7831
@godfreyayo7831 8 ай бұрын
Uko vzr mkuu
@Rizmokotz_artist
@Rizmokotz_artist 8 ай бұрын
Nakukubali sana mkuu swala lakumsaidi mwanamke ni vzur sana mm Hadi nyimbo ni metunga sijarekodi bado
@mohamedS-yd9wh
@mohamedS-yd9wh 8 ай бұрын
Mh.RC Chalamila big up sana kamata hapo hapo uliposimamia ukweli, uadilifu, ujasiri ni muhimu sana
@naturelle1097
@naturelle1097 8 ай бұрын
A good leader comes from the Lord!
@abdallahtwaha3151
@abdallahtwaha3151 8 ай бұрын
Safi sana
@eliamfiyabo8599
@eliamfiyabo8599 8 ай бұрын
True
@annambossa9202
@annambossa9202 8 ай бұрын
Nakuelewaga mnyalukolo
@srafiy
@srafiy 8 ай бұрын
Hii safi sana..
@rerisamba
@rerisamba 8 ай бұрын
Happy soul hata uso unasema
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 8 ай бұрын
Babaaaaaaaaaaaaaaaaaa💪💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 8 ай бұрын
Hakika chalamila muheshimiwa nimekuelwa sekt kwako 🎉🎉🎉🎉🎉
@Ephraimmaduhu
@Ephraimmaduhu 8 ай бұрын
Mkuu naamini Kwa mfumo wa Manisha ulionao unaenda mbali saana ktk ngazi za uongozi nakutabilia,MUNGU akutangulie brother ufike tunakokutarajia
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 8 ай бұрын
Sure thing
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 8 ай бұрын
Nampenda sana huyu jamaaaa😂😂😂😂😂😂. Yupo wazi
@epimackjohn461
@epimackjohn461 8 ай бұрын
Vizuri kabisa CHALAMILA kwa kuelimisha wanadamu kujitofautisha kulingana na sehemu mbalimbali mtu yeyote alipo hata kama ni kiongozi .
@prosperjuma905
@prosperjuma905 8 ай бұрын
Unawaamini wanasiasa?
@JosephMahundi-is5to
@JosephMahundi-is5to 8 ай бұрын
Safi saaana ndg yangu nimekuelewa
@epimackjohn461
@epimackjohn461 8 ай бұрын
Yeye ameelezea JINSI anavyokuwa sehemu husika kwa WAKATI husika kama yeye , unanambia Mimi nawaamini wanasiasa kwani Mimi nilikuwa NAONGEA naye?nimesemea ELIMU anayoitoa siyo sera za KISIASA .
@philip4489
@philip4489 8 ай бұрын
Good leadership skills 👏 👌
@The_counselor
@The_counselor 8 ай бұрын
Dah tunaomba mtupe haki ya kuchagua hawa viongozi wa mikoa na wilaya kwa kura tumechoka issue za gender roles
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb 8 ай бұрын
Nakubal mheshmiwa
@nelsonliwenga1784
@nelsonliwenga1784 8 ай бұрын
👏👏👏👏
@allyomary2271
@allyomary2271 8 ай бұрын
Chalamila mnoma sana
@HosianaMchau-pv3pl
@HosianaMchau-pv3pl 8 ай бұрын
Hongera wewe ni baba Bora na kongozi wa kuigwa
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 8 ай бұрын
MALEZI MAZURI UTOTONI YABNA MCHANGO MKUBWA SANA UTOTONI❤
@merythomasminja298
@merythomasminja298 8 ай бұрын
vizuri baba mzuri
@gladnesswazir-zz9lk
@gladnesswazir-zz9lk 8 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 8 ай бұрын
Big brain think wide
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 8 ай бұрын
Mheshimiwa si serikari inawawekea wafanyakaz, wapishi, madereva, wakatanyasi, wafagiaji
@user-uz5cu7cr9h
@user-uz5cu7cr9h 8 ай бұрын
Nic
@marymanoni5536
@marymanoni5536 8 ай бұрын
Ongera mkuu
@user-xc5tv9dl5k
@user-xc5tv9dl5k 7 күн бұрын
Huyo hanaakili
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 8 ай бұрын
Kumbe ka utoto mpaka saiv yann
@VictorLyimo-so9xr
@VictorLyimo-so9xr 8 ай бұрын
Hizo tabia ni kweli Kwa walio zaliwa wakiume tu katika familia
@franktibikunda5717
@franktibikunda5717 8 ай бұрын
Hakika
@swalhaabdisalim2067
@swalhaabdisalim2067 8 ай бұрын
Fact
@renatusraphael5945
@renatusraphael5945 8 ай бұрын
Ongera sana kiongozi👏👏👏
@NdimanyileSanga-wz7mv
@NdimanyileSanga-wz7mv 8 ай бұрын
Sawa kabisa
@martinisadru9899
@martinisadru9899 8 ай бұрын
Duu poleni sana, kukosa dada kwa mila zetu sisi wabena ni mkosi mkubwa.
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 8 ай бұрын
Yes camp david Kaka unapajua sn
@estersilver9872
@estersilver9872 8 ай бұрын
Heshima kwako mkuu eti mwanaume hawezi hata jiwekea net usipo weka anakununiaa
@mkaiteafetu6782
@mkaiteafetu6782 8 ай бұрын
Jamani yanakera
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 8 ай бұрын
Jembeeeeeeeeeeeeeeeee
@user-ck4jq4zc1t
@user-ck4jq4zc1t 8 ай бұрын
Good,Rais hajakosea ameongea ukweli kabisa bila kuweka siasa
@khamisbk8569
@khamisbk8569 8 ай бұрын
Yaaan hajaongea CCM WA act wazalendo.....yaaan hajawka sias kabisa
@iamsteven1578
@iamsteven1578 8 ай бұрын
Muheshimiwa Chalamila hilo ngoma ukilitoa tutaimba wote 😅😅😅😅 Kamwene.
@user-mt9fu9ec1n
@user-mt9fu9ec1n 8 ай бұрын
Chalamila wewe Ni actor cna cna unachosema so kweli mkuu wa mkoa hufanya kazi hata wk end eehe allowance unazolipwa unalimbikiza cyo😢😢😢😢😢😢
@loycenicolao7488
@loycenicolao7488 8 ай бұрын
Mambo ya kazi anaweka pembeni week end anatimiza majukumu ya familia. Good ni baba Bora huyu
@afrolinktvofficial3250
@afrolinktvofficial3250 8 ай бұрын
Haya ndo maswali tunayoyapenda twende maama mama
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 8 ай бұрын
Hata miheshimiwa nafuwa nguo za familiya yangu napika nadek sasa nakuunga mkono
@merythomasminja298
@merythomasminja298 8 ай бұрын
tutakuhunga mkono
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 8 ай бұрын
Kiukweli huyu mkuu sio muigizaji hata kidogo na sisi mkuu tulitangulizwa wanaume tupu wala haturingi
@user-oc7dq1fq6g
@user-oc7dq1fq6g 8 ай бұрын
Leoleoleeo nimekuewa mtaani wangu
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 8 ай бұрын
Hata.baba yetu alikuwa anafanya.hivo na.alikuwa.afisaelimu.wa.wilaya
@salmaally8243
@salmaally8243 8 ай бұрын
Guy
@NdimanyileSanga-wz7mv
@NdimanyileSanga-wz7mv 8 ай бұрын
Elimisha wanaume etiwaonimabosi duuu ahaaaa
@chepason7212
@chepason7212 8 ай бұрын
Huo niongo😂 nakataa
@samwelhechei8537
@samwelhechei8537 8 ай бұрын
Kwel huigizi tabia na kubadilika
@user-tc2ul3uk5o
@user-tc2ul3uk5o 8 ай бұрын
😅😅😅
@alexmachare6495
@alexmachare6495 8 ай бұрын
Sasa mkuu kupika tena na kufuaaa daah.Naogopa kuendelea usije niarest.
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 8 ай бұрын
Wewe endelea kujiona mwanaume hapiki na kufua
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 8 ай бұрын
Mh! Mb zetu ghali ndio tusikilize haya!
@user-qk1iv2is9f
@user-qk1iv2is9f 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@joyce55727
@joyce55727 8 ай бұрын
Kwani umegongelewa misumari???😏😏😏
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 8 ай бұрын
Nyimbo hapo umeanza vituko vyako
@hamismabula9934
@hamismabula9934 8 ай бұрын
Ndo uhalisia wake
@faustinisirili2395
@faustinisirili2395 8 ай бұрын
Kwa kabila letu hiyo ni ngumu sana. hasa mimi siwezi kufua wa kupika
@ednaJF1028
@ednaJF1028 8 ай бұрын
Unamaanisha nini? Kwa kabila lenu ni ngumu? Hakuna kazi aliyoandikiwa mwanamke mana wewe una mikono miwili kama huyo mke. hivyo basi hakuna kazi ya mwanamke tu ! Sijui kwanini Mara nyingi huko Africa wanaume wengi wanafikili Kuna kazi wao hawawezi kufany Hilo ni kosa na mawazo potofu watu wote wana haki Sawa ( means human rights) Hivyo acheni ubabe we don't do that here in🇺🇸
@chepason7212
@chepason7212 8 ай бұрын
Jamaa katudanganya niuongo
@MtuSafi
@MtuSafi 8 ай бұрын
Inamana hana House girl? mbona hajaongelea kwamba House girl yupo inamana wameamua kuishi wao tu. Ok sawa.
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 8 ай бұрын
Mkweli ww
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 8 ай бұрын
Hujielewi, kwa hiyo ukiwa na house girl huwezi kufanya kazi zinazofanywa na house girl???
@TheresiaShirima-ip2ue
@TheresiaShirima-ip2ue 8 ай бұрын
Kupika sio upendo mkuu
@eliyashija1572
@eliyashija1572 8 ай бұрын
Sikiliza interview nzima ndugu
@munirahassan5013
@munirahassan5013 8 ай бұрын
Achana na Hilo tahira
@solangesoso3100
@solangesoso3100 8 ай бұрын
Na kutopika pia sio upendo. Niheri apike kuliko kutonipenda nahuku ananiachia kazizote.
@khamisbk8569
@khamisbk8569 8 ай бұрын
Chalamila huu ndio uwanaume bhana nakuelewa kiongoz wangu makini
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 14 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Churchill Show Sn10 Ep04 (Governor Hassan Joho's Journey)
48:39
Churchill Television
Рет қаралды 308 М.
Mbunge Bwege afunguka kuhusu kuhamia ACT
17:25
Dar24 Media
Рет қаралды 62 М.
SMALL FISH NDIO DAGAA AU ? 😂😂🤣
1:01
Millard Ayo
Рет қаралды 869
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 14 МЛН