RC Chalamila afunguka "Kama huna pesa na una miaka zaidi ya 40 usimlaumu Rais"

  Рет қаралды 4,115

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.
Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu iliyopita.Umri huu zaidi ya miaka 40 hela sina nilizaliwa wakati wa Nyerere, akaja Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli pamoja na Samia huna pesa ninashangazwa”.
Chalamila amesema hayo leo Mei 28 ,2024 akiwa katika ziara ya Jimbo la Ukonga kukagua miradi mbalimbali na kusikiliza kero za wananchi wa jimbo hilo.

Пікірлер: 10
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 8 ай бұрын
Any way Nakukubali Chalamila Keep Going..😂😂😂
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 8 ай бұрын
😅😅😅Makonda&chalamila wako juu
@RajabKondo-bj5op
@RajabKondo-bj5op 8 ай бұрын
Hakika.
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 8 ай бұрын
Kamuiga Makonda au
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 6 ай бұрын
Kuna uwezekano mkubwa wa kuwalaumu kwa sababu mtu wa miaka 40 amezaliwa katika utawala wa chama hicho hicho mpaka leo *kwahiyo hata Mama naye ni mwana ukoo wa CCM hiyo hiyo!
@IbrahMoyo
@IbrahMoyo 5 ай бұрын
Afu nae huyu mbona comedian hivi
@mataypanga5262
@mataypanga5262 8 ай бұрын
Serikali ndio ilete kila kitu kupitia viongozi wakishirikiana na wananchi .Kwa viongozi wahuni wasipotoshe watu. Ukipewa ukuu wa mkoa hata ukiwa na miaka 80,unapata hela hata ukiwa huna hela kabla ya hapo.Chalamila anaringa na kutukana kwa sababu amepewa cheo cha kulipwa bure bila kazi
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 8 ай бұрын
INASEMEKANA VHALAMILA NI SHOGA MKUBWA SANA🤣🤣🤣👁️👁️
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 8 ай бұрын
acha upumbavu ww kua Nadabu tutakushuhlikia kua makini kama huwezi ku comment mambo ya msingi unawaza kutukana viongozi utapotea Nauta sahaulika
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 8 ай бұрын
​@@ScopionScopion-zj9cdMbona Povu Au Kweli nn😂😂😂😂
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Huyu Ndiye Chalamila aliyetumbuliwa na Rais
5:25
Mwananchi Digital
Рет қаралды 134 М.
Young Lionel Messi Was Actually INSANE
14:20
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 463 М.
SEHEMU  YA  PILI- RC CHALAMILA  ASEMA  PESA  NI  KAMA  MKE
4:05
TBConline
Рет қаралды 72 М.
KAGAME ALIVYOWASILI KATIKA MTUKATO WA SADC
3:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.