Namkubali sana huyu mmekuuh....heshima yako comrade aggrey mwanri..keep up the speed no retreat no surrender..Long live Mwanri
@gemkachar5 жыл бұрын
Hongera Mkuu wa Mkoa. Tezi dume Tabora hoyeee. Mda umefika tuweka mfumo wa performance based contracts. Unaajiriwa na kulipwa kuendena na utekelezaji wa kazi.
@makongorowassira65935 жыл бұрын
gemkachar nakubaliana nawe kabisa, haya mambo ya mshahara kuongezwa kwa kila mtu bila kuwa assess ni ujinga tu.
Miaka minne!!! Rais ana kazi maana Serikalini kumejaa VIAZI NA VILAZA
@atuganileswedy48305 жыл бұрын
Yaani natamani kuwapiga vibao,,, yaani cjui wanafanya nn uko maofcn mbwiga hawa
@jamesnicholas60915 жыл бұрын
Kama hawaajiri wataalamu unategemea nini sasa maake sio kila doctor anafanya operation na masurgeon ni wachache kiufupi wizara ndo inahusika but sio hao
@micamathew64335 жыл бұрын
Wakati mwingine had unapagawa eti..ivi mashine imekaa zaid ya miaka minne..na haifanyi kazi..sasa iko hapa labda kwasababu gani??? Inashangaza sana. Mkuu wa mkoa nakupongeza sana..ukitoka hapo Tabora..uelekee Dar.
@abdulmtitu74785 жыл бұрын
Inamaana ndan ya miaka 4 hkn mgonjw aloehitaji huduma kw kutumia mashine izo?dah kwl bado kuna matango pori kwny taasisi,na hao nd wanaturudisha nyuma,big up Mh RC,ztihada zako znaonekana na ht mtu asie na macho,,I hope ck 1 juhud zk ztazawadiwa
@benardjames14005 жыл бұрын
Huyo kiongozi namkubali sana NAITWA BENARD
@mochings80125 жыл бұрын
Benard James karibu KZbin bro Ben
@girbartmaganga37785 жыл бұрын
Safii xna mkuu inaweza kuwa hawezi kazi haiwezekani mashine hazitumiki vyeti mzee Kama hawezi watoke
@johnshigela93695 жыл бұрын
Akina zito, lema nk wakiona hii utasikia mkuu wa mkoa ana mamlaka gani kuingilia hilo
@leonelleo44255 жыл бұрын
Ndugu yangu achana na akina Zitto na Lema,ni mahanisi.. Watakupotezea mda..
@samuelmanunu15435 жыл бұрын
Nathingi mutu hapo menyewe ni full time complaining yan, mwanri is really a work at working hours!
@rescotv88045 жыл бұрын
Boya weww
@devisshirima67804 жыл бұрын
Politics doesn't work under serious leaders
@cassimoa92175 жыл бұрын
Hongera sn RC MWANRI, nakukubali sn unafanyakazi kiuadilifu sn, c mtu wa kukurupuka na masifa kama baadhi ya maRC wengine. Rc wa Irng, mby na Dar wafuate mfano wako.
@florakankutebe39875 жыл бұрын
Angalau unawapigania wanyonge, hongera mkuu!
@chrithicksambo24805 жыл бұрын
Wanyonge ni kina nani
@florakankutebe39875 жыл бұрын
Wtz
@peterbruno71575 жыл бұрын
MKUU WA MKOA WA DUNIAA NZIMAAAAAA
@fahimally39235 жыл бұрын
Peter Bruno sio bashitee
@peterbruno71575 жыл бұрын
@@fahimally3923 aiseee hapana hamna mtu mulee
@immahkobeh76205 жыл бұрын
hakika huyu niwa dunia nzima????😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@chachawambura40305 жыл бұрын
Umeme gani huo hauwezi kuendesha hiyo mitambo.Kwani mmefungiwa Single Phase? Taasisi kama hizo hufungwa Three Phase ya 415V na inasukuma mzigo wa nguvu, acheni siasa kwenye mji wa Toronto
@zefamange72815 жыл бұрын
Hakuna hospital yenye single phese, wanatengeneza mpigo
@saidtembele30705 жыл бұрын
Duh nilikua najua ni viwandani 2 kumbe mpaka hospital inafungwa three phase
@zefamange72815 жыл бұрын
@@saidtembele3070 hospital kuna mitambo inatumia umeme mwingi
@saidtembele30705 жыл бұрын
@@zefamange7281 anhaa dah shukrani saana kk
@georgekimboka62185 жыл бұрын
pongezi sana Mh mkuu wa mkoa wa Tabora
@RamazaniMulongeca5 жыл бұрын
George Kimboka Mkoa wa #TORONTO 😂😂😂😂
@dutchsafari75625 жыл бұрын
Doktaaaa Honorata Mganga mkuu wa mkoa weka mguu chini😂😂😂😂
@oscarkasalile81465 жыл бұрын
Kazi nzuri watu Kama Hawa ni adimu sana duniani wapo wachache sana
@mariuscyprian12355 жыл бұрын
Kweli mzee baba kazi unayo maana miaka minne mashine azifanyi kazi
@kingsolomon03 жыл бұрын
Tz 😂😂😂😂😂 , love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. machine niya kurembesha hospitali. Fyekelea mbali
@kingfocustzog5 жыл бұрын
_mnao mkubali mkuu wa mkoa like kwanza tuwende sawa_
@samwelhechei85375 жыл бұрын
Miaka minne bila kufanya kazi? Kwel kuna tatizo, Hongera sana mkuu wa mkoa
@f.a60435 жыл бұрын
👏🏼👏🏼👏🏼Mh. RC👍🏽👍🏽👍🏽Mh. RC 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@alijuma65025 жыл бұрын
Hivi tanzania tunatatizo gani?? Yani mambo hayaendi hadi tusukumanesukumane jamani!!
@kizimkazi34435 жыл бұрын
Wafanyakazi Walio wengi wa serikali ni vilaza yani miaka minne vifaa havifanyi kazi ma wapo bery comfortable
@nyaganyaga38765 жыл бұрын
Hii siyo Sekita ya kwenda kufanyia majaribio kila mtu anafanya kile tu alichosomea ni Sekita ambayo kitu kimoja tu utakacho kosea kinagalimu uhai ama kuatalisha afya ya mtu maisha yake yote ama vinginevyo. Inaumiza kuona miaka minne serikali imejitaidi kuweka vifaa na havitumiki. Kama hakuna mtaalum nashauri visitumike tu mpaka wataalam wapatikane na kama havitumiki na wataalam wapo mganga mkuu wa hospital, wilaya na watu wote wenye mamlaka katika hospital, wilaya na mkoa wawe na la kujibu,.. KILA MTU NI KILAZA KWA NAMNA TOFAUTI
@elisiasamwel80815 жыл бұрын
4 years watu wanateseka na vifaa vya kisasa vipo..havifanyi kazi du.. Hatari
@favourmusic46925 жыл бұрын
Mzee huwa nasemaga na sitochoka kusema kuwa mh magufuli hakukosea kukuchagua alifany uteuzi bor san kwako nahic uwa akifuatilia kaz zako anafurai san na kuvjivunia unachofany Mzee mwanri
@stevendominic46565 жыл бұрын
Hiyo ni kwa Tabora tu sipati picha mikoa mingine
@wemaambujisye97145 жыл бұрын
Unafaa kuwa waziri mkuu wa Tz
@emmanuelthomas71254 жыл бұрын
Serikali hii ya awamu ya 5 si ya mchezo! piga kazi mzee.!
@adamkiba80825 жыл бұрын
Nice nice nice good leader your so strong
@jacobmakono3895 жыл бұрын
.hahahahaha!mbavu zangu mie!watanzania wababaishaji na vilaza safari hii mtakiona!
@zefamange72815 жыл бұрын
😄😄😆😅😂👏👏👏👏 TANZANIAAAA, MIAKA MINNE MASHINE ZIPO TUU
@muniraahmed6245 жыл бұрын
Rc bora zaid Tanzania😼
@stevehiraly91275 жыл бұрын
Hi Munira
@qbcqweful5 жыл бұрын
Hey munira, how's ur day?
@muniraahmed6245 жыл бұрын
@@qbcqweful was F.N
@cheifmirambo17065 жыл бұрын
munira mhhh
@ngulathfundikira42055 жыл бұрын
Asalam alykum Munira
@abdulkillya26555 жыл бұрын
Mganga mkuu wa wilaya *weka mguu chini*😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@francismigongwa41465 жыл бұрын
HONGERA MH RC MWANURI KWA KWELI UNACHAPA KAZI SONGA MBELE
@lameckrevelian68935 жыл бұрын
Sawasawa mzee
@stanleymfikwa82375 жыл бұрын
Nakukubali mzee out wenye vyeti feki. Ondoa hao waje kulima viazi kwangu huku.
@klaragreen79995 жыл бұрын
YAANI AIBU KWALI...NIMEPENDA HIYO OLE WAKO MTU AFE 😆😆😆😆 KAZI MNAYO.
@sombimussa14765 жыл бұрын
Kwann mzee magu asiteue mkuu wa wakuu wa mikoa afu umpe huyu mzee
@anthonyfaru99085 жыл бұрын
RAIS wa wakuu wa mikoa
@BurudaniOfficialTz5 жыл бұрын
😂😂😂
@adamhassani23915 жыл бұрын
Ukweli n ujuzi wa kazi baccccccc!!
@mariamabdullah4895 жыл бұрын
Inasikitisha jiji kama Toronto nyundo 4 mitambo imelala, Raisi Magu Pombe unakazi nzito ya kufanya, vilaza wengi serikalini mizwazwa
@stevendominic46565 жыл бұрын
Tatizo sijui rangi yetu au namna ya kuajili watumishi hakuna majaribio,zaidi ya cheti,pia ukiwa na kadi ya chama fulani cheti chako na ww mnapitishwa fasta fasta.
@jacobletema36814 жыл бұрын
Mimi Naomba Mheshimiwa Aggrey Mwanri awe Waziri Mkuu, utendaji na ufuatiliaji wake ni mzuri mno!!!
@YaNoah-Congo-Bongo5 жыл бұрын
KAMATA HUYU MKUU WA MKOA NA WEKA NDANI YA IKULU MAGUFULI AKIMALIZA MIAKA YAKE NANE
@carlosdimosso55165 жыл бұрын
Exactly the man perfect
@justinsombe1875 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@devisshirima67804 жыл бұрын
Hata mkuu aking'aka lakini yupo sahihi kabisa, endapo kila mtu akifanya kazi kama inavyompasa hakutakuwa na lawama bali zinakuwepo pongezi !!
@irenembura56845 жыл бұрын
Kwa kweli hao madaktari hawana hata huruma na wagonjwa. Wako busy na extra private hospitals na wagonjwa ndio wanapelekwa huko walipe pesa nyingi. It is a shame miaka 4 machine mpya jamani zipo tuu zinaoza🙆♂️🙆♂️. Na wagonjwa wangapi wamekufa??? Wakati vifaa vipo na wako kimya wanaangalia. Wauaji wakubwa!!!
@neybenson78814 жыл бұрын
Esopo ekaya ya abunuasi. Nakupenda sana
@alexmwashibili36165 жыл бұрын
Mzeee huwa hataki utaniii yaaani 😂😂😂😂😂😂
@shabanichongowe42295 жыл бұрын
Nadhani kabla haijawashwa na kutumika kwa wagonjwa ikaguliwe kwanza mana miaka mi4 inawezekana kuna mende wamejipatia geto, saf sn Mwanri.
@makalijackson10185 жыл бұрын
mkuu wa mkoa wa tabora uje na dar es salaam
@makalasaigoni22755 жыл бұрын
wakuu wa mikowa kama hawa ndio tunawataka. xukuma ndana. tuxhuke nao jumla jumla🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🙏🙏
@fatmashafi63554 жыл бұрын
Twende twende mkuu wa wilaya 🙋♂️
@abdimakame36554 жыл бұрын
Nakukubali sana RC.
@abdulkillya26555 жыл бұрын
Daaah kifaa kina miaka 4, hakitumiki
@devothamedia51775 жыл бұрын
Yani aibu kah
@mjeshikijana17745 жыл бұрын
Ole wako Doctor afe mtu mtu hapo operation na A,K,A 47 mgongoni 🤣🤣🤣🤣
@klaragreen79995 жыл бұрын
😆😆😆
@allymliloh50035 жыл бұрын
Alifolela olela 😂😂😂
@luizabahati51985 жыл бұрын
Kwa hiyo kwa miaka 4 wamekufa watoto wa ngapi kwa kukosa oxygen...na mashine ipo...duuh...too sad Yani Mungu ana kazi manake ukifa utasikia mpango wa Mungu lakini tunamdhihaki Mungu aisee
Kwel kbs had unawaza hao watendeji wanafanya nin? na mishahara wanalipwa vifaa vinanunuliwa kwa bei kubwa wanaweka km mapambo wakat wagonjwa wapo inauna ssna wakitumbuliwa wanalaum serikal
@nyamweririchard59455 жыл бұрын
Hivi kweli machine zilo miaka minne hazijaanza kufanya kazi na training watu wanapata Kila machine mpya inapoletwa,basi zipekwe maeneno mengine wanapoziitaji na kuzitumia
@klkkklkk13695 жыл бұрын
wizara ya afya ina viraza wengi mbwembwe tu
@allymapinda88045 жыл бұрын
Mashine zimekaa miaka minne zinagongwa vumbi tu kweli nyumbu ni wengi sana! Kazi haziendi bila kuaibishwa hawa, wasomi wa kuchovya. Mpaka watukanwe ndio wafanye kazi 🤷🏾♂️🤷🏾♂️
@ngassamssika21735 жыл бұрын
Ni uzembe wa kupindikia....!!!!!!!
@temkezatv43815 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@hancboi66035 жыл бұрын
Inawezekana watu wengi wajakupigia makofi lakini waelewa watakushangaa inawezekana mishine wakati zinaletwa watumishi walikuwa watatu na inawezekana na wataalamu wengin hawakuwepo so hauwez kuvitumia. Leteni wataalamu wakutosha drs , nurses, watu wa usingizi ili watu wafany kaz
@didimhutila89855 жыл бұрын
Weka muguu chini.
@alimakaba61705 жыл бұрын
Nimeipenda hii nione mtu afe hapa.
@kisulaabas26145 жыл бұрын
Sio kosa lao wengi wao BBC (Born Before Computer) sasa acha tu mashine zile vumbi Bado sakata la vyeti lirudiwe wapo wengi wamebaki elimu ya ngumbaru
@publicadvisor69525 жыл бұрын
Kazi IPO. Safari kutokea zero sijui itaanza lini
@emanuelseka75815 жыл бұрын
Huu ni ujinga sna hamuwezu kuwa naakili timamu mnavifaa vina kaa miaka minne jamani watanzania amkeni ina uma sanaaaaaa msaidieni Magufuli analia kila siku watuu waamke jamani hizo niilioni zina haribika huyo doctor mkuu atolewe hapo
@allyshafi4391 Жыл бұрын
Tenzi Dume apa hatuendi kitete, na ole wke afe mtu,😂😂😂 by Mh Agrey Joshua Mwanri
@samlush61275 жыл бұрын
A man from Toronto
@Ba638285 жыл бұрын
MBONA INATISHA ASINGEENDA RC ILIKUA NDO MASHINE KUFIA MBALI
@kingndekeja24255 жыл бұрын
kazi ipo hapo
@ayoubabdull12655 жыл бұрын
Pendekezo kwa namna nyingine maon yang adhabu ya viboko irud mpaka serikarin huu ni kupita uzembe hapa kuchapa viboko tu pumbav angalia wananchi wanyonge walivyo alaf miaka minne kifaa hakifany kaz fukuza wote lete wengine hii mijitu sijui sio mitanzania hii pumbav sana .....tujuzen wakileta vyeti naon wamekwa wekwa tu hapo ndugu na jamaa..
@shehemnazi1275 жыл бұрын
Safii Sana.
@allybakunda13004 жыл бұрын
This guy is guuuuud
@ramadhaninurrumtungi44744 жыл бұрын
Hahaaaa mzee wa kuuza viaz du
@Millidady5 жыл бұрын
6:59 😅😅😅😅 Akifa mtu imekula kwako mzee baba 😅
@emanuelmselle6375 жыл бұрын
You a trucker?
@haroubselemani55785 жыл бұрын
Kumbe Kuna jamaa wazembe sn,,eti kifaa kina miaka minne hakijatumika wkt Kuna watu wanakufa!dah hii kweli ndo Tanzania,,,Yani Kama vile cyo pesa zetu!!
@williamuphilipo74475 жыл бұрын
Kwa kweli inasikitisha sana, vifaa vinakaa miaka 4 bila kutumika wakati watanzania wanapoteza maisha kizembe?
@oparetionmaalum90305 жыл бұрын
Viongozi Kama hawa ndio wanao tufaaa katika nchi yetu ya Tanzania maana wafanyakazi waserekali wazembesana
@ringoaskali76255 жыл бұрын
Kwanini raisi asimpe waziri wa ujenzi lazima nchi yetu iwee poa sana tunataka viongozi kama hawa
@kuntakinte12235 жыл бұрын
Hahaha, nakubali mkuu
@godfreykiama19305 жыл бұрын
Nchi nyingine hao wote wanafugwa kwa kusababisha vifo vya watoto,miaka minne ...fuc
@nashirmasoudi5 жыл бұрын
Kufanya upasauaji sio kirahisi Kama unavyo dhani lazima idara iwe na wataalamu wa kutosha nasio Kila aina ya upasauaji Kuna daktari wake maalum (specialist) muajiri
@alexchungu95055 жыл бұрын
Hapo kwenye vyeti, ni kama kusubir majibu ya ukimwi vile
@birdmangetore43075 жыл бұрын
Hapo kweli Alex ndiyo patamu miaka 4 kweli machine haijawahi kupata mgonjwa iwashwe hapana hao watumishi wachunguzwe
@luizabahati51985 жыл бұрын
Daah..Hii nchi utadhani watu wana mtindio wa ubongo..miaka minne wanalipwa mshahara..wanakuja kazini wanenda lala usingizi makwao na maisha yanaenda...Tanzania Simama Nishuke ..mkwamo kila Kona ten watendaji wa juu sasa Sisi tunaotegeme huduma ndio wanatuua kabisa..shenzi
@stephanoamos94575 жыл бұрын
Huwezi jua kaka kama watu hawataki kuajiri unategemea machine nani ata oparate
@deodatusdeogratius49104 жыл бұрын
utakuwa rais mzee baada ya miaka mingine mitano
@wemakalamu35384 жыл бұрын
😃😃😃😃hii kali kweli muheshimiwa kiboko
@maddymreta23695 жыл бұрын
Jaman kama kuna mahali panapokera ni hospitalini mpaka ugombane na dokta ndo unatibiwa wakuu hao madokta ni wabayaaaa na hawana huruma
@shekiffu5 жыл бұрын
Ole wako mtu afe apa😂😂😂😂😂
@OmanOman-fk7ke5 жыл бұрын
Hiyo ndio dawa yenu
@didimhutila89855 жыл бұрын
Walizoea k hawa,miaka minne?
@bisekoc.k.jenjela79365 жыл бұрын
safisana
@luindamchwakanigee48115 жыл бұрын
Hapa kazi
@cosmasdaud90885 жыл бұрын
Huu Ni ujinga Sana vifaa vipo Kaz hakuna hapo Kuna mashaka na uwezo wa hao watumishi
@emanuelvincent40205 жыл бұрын
Ama hakika Kazi tunayo. Labda inawezekana. Hawana anesthetist
@jimmymalle44785 жыл бұрын
Sukuma ndani woteeee.
@charlespaul40585 жыл бұрын
Mpaka mkuu wa mkoa aje ndo mjifanye kupanga mkakati wakati hiyo machine imekaa miaka zaidi ya mnne na watu wanakufa tu mmekaa tu kama mizigo
@sajumahelatz3975 жыл бұрын
Kazi kweli kweli
@ibramzee66865 жыл бұрын
Tuseme ukweli tu jmn kuna scarcity ya watumishi waliopo awatoshi kaz n ngum mno
@alexchungu95055 жыл бұрын
Ibra Mzee , watoe hizo ajira, vijana tupo mtaani na vyeti