KASHESHE ya RC MWANRI kwa MADAKTARI "Tutanyooshana Maungo, Ama Zangu Ama Zao"

  Рет қаралды 71,943

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

KASHESHE ya RC MWANRI kwa MADAKTARI "Tutanyooshana Maungo, Ama Zangu Ama Zao"
Mkuu wa mkoa wa Tabora amenazisha kampeni yake ya 'JIONGEZE' maalum kwa ajili ya kupunguza vifo vya mama na mtoto mkoani humo.
RC Mwanri amesema vifo vingi vya wajawazito Tabota vinasababishwa na uzembe wa Madaktari hivyo ametoa maagizo kuwa kila Daktari avae kitambulisho kinachoonesha jina lake ili atakapomfanyia unyama mama mjamzito aweze kumjua jina lake na kutoa rai kwa wakinamama kuwa watakapofanyiwa ukatili na madaktari watoe taarifa na atazishugulikia haraka iwezekanavyo.
RCMWANRI
ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.com/watch?v=L4UGw.
Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio
Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club
goo.gl/mkvuoB

Пікірлер: 48
@imanimajimengi3949
@imanimajimengi3949 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kiongozi wawanyonge ktk mkoa wa tabora . Wananchi wa wa Tabora mpewe nini ili mubadilike jamani !
@janethjustin5256
@janethjustin5256 5 жыл бұрын
Yaaan wamejipatia kwakweli. Safii
@selemanmaulid5223
@selemanmaulid5223 5 жыл бұрын
Safisana mkuuwamkoa tabora munguakuongezee maishamarefu udumu katika kulijenga taifaletu Tanzania.
@gillbertmapesa66
@gillbertmapesa66 5 жыл бұрын
Dah namwelewa sana huyu mweshimiwa
@peteremmanuel3427
@peteremmanuel3427 5 жыл бұрын
huyo ndo mwenywe ...safi baba safi
@mwigakatumpula2175
@mwigakatumpula2175 4 жыл бұрын
Huyu anakipawa cha kuongoza nchi sio mkoa maana level zake ni cha juu sana .
@generalpol1226
@generalpol1226 4 жыл бұрын
👮 salute kwako mh.hamfrey mwanri
@kassimukipingu5343
@kassimukipingu5343 5 жыл бұрын
Kweli kabisa kitambulisho kifuani itasaidia sana
@mgazaabeid2428
@mgazaabeid2428 3 жыл бұрын
Nakubali sana Mh Mwanri!
@mwinazuberi6227
@mwinazuberi6227 5 жыл бұрын
Safi sana kiongozi
@alikhamisame9636
@alikhamisame9636 4 жыл бұрын
Kweli kabisa yani kuna baadhi ya madaktar na manesi yani wana maneno mabovu Sana kwa wagonjwa
@Thuon_
@Thuon_ 2 жыл бұрын
''Akikutajia tu daka alafu fyeka''....sawa mkuu.
@adamally8791
@adamally8791 5 жыл бұрын
Daka alafu fyeka nani kasikia hiyo 😀😀😀mbavu zangu
@janethjustin5256
@janethjustin5256 5 жыл бұрын
Hahahahahaha
@omarmsellem9969
@omarmsellem9969 4 жыл бұрын
Sana mwari magufuli hongera kwa kuchagua jembe makin
@abdulkillya2655
@abdulkillya2655 5 жыл бұрын
Hayata iishaaaa, ama zangu ama zao
@edwardmanai4352
@edwardmanai4352 5 жыл бұрын
Rais wangu nakushukuru kwa kumchagua mwanri
@magerechales9018
@magerechales9018 3 жыл бұрын
Hii jamaa iko na welew Sana saf
@mashakaharuna405
@mashakaharuna405 5 жыл бұрын
Mimi magu nakupongeza kwa kuvumbua kipaji cha huyu mzee alikuwa hajulikani kabisa
@newstanzania7429
@newstanzania7429 4 жыл бұрын
Mh uko sawa
@mwanamisidihoni1610
@mwanamisidihoni1610 5 жыл бұрын
Wanyooshe,
@hailatyhamissi3114
@hailatyhamissi3114 4 жыл бұрын
sukuma ndani wote mafisadi
@omarjumanne4471
@omarjumanne4471 5 жыл бұрын
Hosptar. Ya ndala pia ichunguzwe serikari lnapereka.pesa hapo. lakini wajawzito na watoto wanatozwa pesa kwanini?
@myingaone4746
@myingaone4746 5 жыл бұрын
Safi sana namkubali
@hafidhiathumani9156
@hafidhiathumani9156 5 жыл бұрын
Khaaaaaaa niangalie midomo yangu,naangalia macho yako".
@karryisaya8320
@karryisaya8320 5 жыл бұрын
Sukuma ndani wote
@mnazaretinemi4203
@mnazaretinemi4203 5 жыл бұрын
Lazima tuende na kasi ya magufuli...twende pamoja
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 4 жыл бұрын
Hospitali ya palestina sinza ni wazembe kupita kiasi naiomba serikali iingilie kati
@siyayemduda9693
@siyayemduda9693 5 жыл бұрын
Sijawai koment ila kwa hili bigup mkuuu
@mgazaabeid2428
@mgazaabeid2428 3 жыл бұрын
Mh kuna huyu was mbele anasinzia, Sukuma ndani!
@gigotz1755
@gigotz1755 4 жыл бұрын
Mwanri we ni zaidi ya kiongozi
@shebaminde7656
@shebaminde7656 4 жыл бұрын
Mkuu hebu Magoful akiachia madaraka shika nafas ya urais
@shipetv7952
@shipetv7952 5 жыл бұрын
Sisemi wote sasa baadhi kama umesikia hiyo gonga like
@saididalu2330
@saididalu2330 5 жыл бұрын
Jichanganye sasa wewe daktari
@janethjustin5256
@janethjustin5256 5 жыл бұрын
Atakufyekerea mbali hahahaha
@samwelimashaka8997
@samwelimashaka8997 5 жыл бұрын
Angalia macho yangu angalia mdomo wangu hayataishia hapa
@hasinaafrica149
@hasinaafrica149 4 жыл бұрын
Yani huyo ungekuwa mkoa wa kisalawe wangenyooka kuanzia viongozi mpaka madactari
@loniwiz9708
@loniwiz9708 5 жыл бұрын
Kweli hii jiongeze daktar MKALI Kwa mgonjwa ubunifu Kwa mteja hafifu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@user-xc4gb1np7k
@user-xc4gb1np7k 9 ай бұрын
Huyu atafutiwe mkoa jeuli aunyooshe
@user-dz4ob1xj8g
@user-dz4ob1xj8g 4 жыл бұрын
Is not richobo daah ... Huyu bado mwari
@centurycinemax5063
@centurycinemax5063 4 жыл бұрын
Suleiman Simba safii sana nakupenda sana mkuu umeongea asee mi nishajibiwa vibaya mno hospital na nesii
@tuonhfhgf1605
@tuonhfhgf1605 4 жыл бұрын
Singida wanasemaga wanazaa ovyo na starehe zao
@mohamedmbarouk7482
@mohamedmbarouk7482 5 жыл бұрын
kaka njoo utunyooshe na sisi huku dar
@hasinaafrica149
@hasinaafrica149 4 жыл бұрын
Huyu bora awe raisi tu
@kiariedavid8370
@kiariedavid8370 5 жыл бұрын
daka arafu vyeka
@abdulkalimbenz7011
@abdulkalimbenz7011 3 жыл бұрын
Wanao unlike hi hutuba wapumbavu mnatakaje nyie binadam
@newstanzania7429
@newstanzania7429 4 жыл бұрын
Mh uko sawa
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,6 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 13 МЛН