Leo wameingia choo cha kike kweli kweli ....awamu hiii ni bamba tu bamba....hakuna kucheka na nyani
@fordbreezy58824 жыл бұрын
Aliyesikia tarula kuja hapa mkono juu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@muhubiriproduction694 жыл бұрын
eti usifikiri mimi ni penguini, hahahahaa
@joycemalongo90504 жыл бұрын
Ukitoa Mkuu wa Mkoa Wa Simiyu, huyu ndiye Mkuu wa Mkoa Wa Pili naye Mkubali kutoka Moyoni.
@fabiankasu81384 жыл бұрын
Joyće Malongo mkuu wa mkoa wa simiyu simuonagi kwenye media lkn watu wanamkubal sana
@michaelbigvai11994 жыл бұрын
Joyće Malongo mkuu wa mkoa wa simiyu ni mzuri kwenye speech tu, kichwani hamna kitu mule hahaha hamna kitu kabisa yule
@abuuhudhaify51954 жыл бұрын
yy
@jeremymakokha47974 жыл бұрын
Rc Hapi Iringa namkubali..mm mkenya hapa
@minjacsd18744 жыл бұрын
Iringa mkuu wa mkoa na ndio anafatia wa simiyu
@mussaharoun59504 жыл бұрын
Hahahahaha tutanyooshana maungo hapa.
@neemacharles324 жыл бұрын
😂😂😂😂 Mkuu hajasoma chemistry
@rodgersmchome72843 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@stanleyrububura40004 жыл бұрын
Engineer anataka kumuingiza mkenge mkuu, eti tulitegemea crack! Mbona haonyeshi hiyo crack iliyotegemewa waliandaa mechanism gani ya kui-handle ili uharibifu usitokee. Aache ujanja hapo walichemka.
@AmCool_4 жыл бұрын
"Hata mimi nimesoma Chemistry" 😃😃😅😅🤣🤣
@nelsonimtaturu81154 жыл бұрын
anafanya kaz nzr sana big up
@donaldmgunda49708 ай бұрын
Veraaaaa wee andikaaa hukooo😂😂😂
@yohanamaugila7434 жыл бұрын
Safi sana Mkuu wa mkoa
@shipetv79524 жыл бұрын
Eng. usijifanye hunielewi😂😂😂😂😂😂
@shabanwisandara98094 жыл бұрын
mzee shikamoo mafaili site huyu akihamishiwa dar itakua tolonto
@salimzaidi92034 жыл бұрын
Hahaha hahaha wanyooshe awooo sukuma ndani
@pauljosephmashauri8024 жыл бұрын
sawa mkuu
@romanusfallo21924 жыл бұрын
daaaaah baba uko sawa
@alexjeremiah83894 жыл бұрын
Nakubali ilo mkuu
@juliusjulianho72544 жыл бұрын
Umetshaaaaa mzeeeee,,.
@jumamagali50894 жыл бұрын
labda ndio expansion joints, si eti injinia eeeh
@samsonsanja86703 жыл бұрын
Namkubar sana mzee
@pascalseleman79199 ай бұрын
Magufuli huyu angekuwa makamu wake sasa hivi tungebaki nae kama raisi tungeendelea vzr sana
@jarsaduba26264 жыл бұрын
Awamu ya tano kitaeleweka chapa kazi mkuu
@InnocentLeonard-gy1mn3 ай бұрын
Ktk mkoa ambao ulikuwa mgum bac tabora uliongoza lakin mbele ya huyu mzee mkoa ulikuwa mlain sana kwakwe
@athumanmgissasimbadamu33164 жыл бұрын
Wanyoshe Mekuuuuuuu 😄🏃 🏃✍️
@alfajahussein90742 жыл бұрын
Saf sana mkuu wa mkoa
@radhiasalum71564 жыл бұрын
Hahaha jasho linakutoka ee😂😂😂😂. Yani baba uyu
@victorjames37304 жыл бұрын
Uyu mkuu wa mkoa safi sana
@simonkisumo62703 жыл бұрын
Vera limaaa andka
@chidistar19444 жыл бұрын
Huyu mwanaume namkubali sana
@sultannassor97564 жыл бұрын
very good
@jumakessy75604 жыл бұрын
Yaani hawa matarura wanawakomaliaga wakandarasi wa kibongo tu lakn hao wachina hawawazinguagi wala nn, sasa hebu fikiria barabara mpya ndo IPO hvyo bado mvua hazijaanza kunyesha, tens mkandarasi ni mchina kabisaa
@neemakilomoni42584 жыл бұрын
Juma Kessy yani me ninge kuwa serikari mchina sio wa kumpa kazi kabisaaa hivyo vijitu viko hapo nipesa tu
@daudiyakobo75944 жыл бұрын
Kama umeckia "umejifanya huelewi" gonga like
@daudiyakobo75944 жыл бұрын
Excellent Rc
@magotomarwa78163 жыл бұрын
Sukuma ndaniiiii
@allywaziri98384 жыл бұрын
unajifanya huelewi 😁😁😁😁
@seifukinyogoli73804 жыл бұрын
Jamaa huyu nampendaga sana
@katendekatende59874 жыл бұрын
Safi mkuu
@meshackstev67094 жыл бұрын
Wabongo bhana et unajua hapa watu wa chemistry
@hassanpyallah87504 жыл бұрын
Nilimmic sana mwanri
@simonmkama48444 жыл бұрын
Hahahahahhahah,We TARURA KUJA HAAAPAAAA
@allymasakuu54 жыл бұрын
Mheshimiwa njoo daar uwanyooshe
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Piga kazi dady tunakuaminia🙌
@Mzalendo-4 жыл бұрын
Mambo munira nicheki wasp no: 0672120467
@thabitnasher1114 жыл бұрын
Hi Muny, how can we contact in email address
@safariadrien54934 жыл бұрын
Kuja hapaaa 😂😂
@aloycemazikuoffocial42614 жыл бұрын
Tabora oyeeee
@onlinesaccos52274 жыл бұрын
Huyu Mkuu wa Mkoa Anatakiwa Aje DSM
@aloitmpwepwa98764 жыл бұрын
atawanyooshaaaa
@abdulkillya26554 жыл бұрын
Nanyie mnajua kabisa kwamba nakuja kuuliza hayo maswali😂😂😂😂😂😂
@fikirinyangasi79734 жыл бұрын
Engenear usijifanye huelewi
@renatusmisigaro63324 жыл бұрын
Usinione hapa ukafikili mm ni penguin tu!!
@johnmatelephone89914 жыл бұрын
Nice
@qassim14654 жыл бұрын
Msinione mimi ni penguini tu 😂😂😂
@aisharamadhan52574 жыл бұрын
Gonga like km umeona fail za aina zote kwenye buti ya gariii Chezea RC Agrey wewe
@mussamaulidi39184 жыл бұрын
Nataman siku moja uwe Rais wa Hii nchi
@moudgojero49134 жыл бұрын
ww ndio kiongoz bora et anakutishia kusoma chemistry