RC MWANRI Kasalimu AMRI kwa MAMA Huyu "Jifanye Unajukuna"

  Рет қаралды 173,817

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

RC MWANRI Kasalimu AMRI kwa MAMA Huyu "Jifanye Unajukuna"
MKUU wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, amefanya mkutano na wananchi wa kata ya Ipuli na kusikiliza kero zao.
Katika mkutano huo akajitokeza mama mmoja na kuelezea kero zake ambapo anadai wanajitahidi kupanda miti lakini baadhi ya wafugaji wa kisukuma wanalisha mifugo yao katika miti hiyo wanayoipanda hali inayowakera sana.
#RCMWANRI #JifanyeUnajikuna
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More
Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter
GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.com/watch?v=L4UGw.
Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio
Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club
goo.gl/mkvuoB

Пікірлер: 168
@romwaldoamsi2783
@romwaldoamsi2783 5 жыл бұрын
Nimechek kinyama,kama umefurh kama mm gonga like hap
@KaguttaEdson
@KaguttaEdson 5 жыл бұрын
Mimi nimecheka kidogo nianguke
@adenihalisi4218
@adenihalisi4218 5 жыл бұрын
Kwa jina la baba na la roho mtakatifu ee mungu baba na kristo mwenye neema zake utuokoe😁😁😁😁😁😁 mama amechafukwa na roho hadharani
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salummtizi1043
@salummtizi1043 5 жыл бұрын
huyu jamaa bana anajua kuish na watu wake aisee
@benjaminduway225
@benjaminduway225 5 жыл бұрын
Utendaji kazi makiniiii,,,, endelea kufyekelea mbali Mzee wetu MWANRI,,,,,, YOU ARE FOR CHANGE
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 5 жыл бұрын
Dah...😂😂😂😂😂😂,,,nikionaga tu picha ya Mzee huyuuu lazima nifungueeeee...😂😂😂😂
@sebastianngimba4850
@sebastianngimba4850 5 жыл бұрын
kweli mkuu wa mkoa komedian,na wananchiwake full komedian safi magufuli kutuchagulia waivizaji wa serikali
@philiponjelekela2723
@philiponjelekela2723 3 жыл бұрын
Na ww kituko
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 5 жыл бұрын
Nimesikia Wana vijambo😂 au ni masikio yangu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@leonardmahunyo5929
@leonardmahunyo5929 5 жыл бұрын
Na mkuu wa mkoa hapo kwenye asanteee, asanteeee, asanteeee, asanteee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@leonardmahunyo5929
@leonardmahunyo5929 5 жыл бұрын
Daaaah huyu mama kanichekesha sana aseee, aliamua kupita sheli kwanza na akaamua kama mbwai na iwe mbwai😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@magnussanga
@magnussanga 5 жыл бұрын
RC,Ongera sana unaishi na wana Tabora like Family Godbless you.
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 5 жыл бұрын
Hii Tabora inaonekana inavipaji comedy za kufa mtu duuuh hahaha
@irenemacha449
@irenemacha449 5 жыл бұрын
Mama nmekupenda bure.bangi uliyovuta cyo ya Tz
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 жыл бұрын
Katoa simalia😆😆😆
@irenemacha449
@irenemacha449 5 жыл бұрын
@@raheemamkambha6013 ha ha ha
@albinishirima6981
@albinishirima6981 5 жыл бұрын
😅😅😅😅😅jamani kila nikiangalia vikao vya huyu mzee wetu siishiwi na furaha daar mambo ni fire
@haldinkiope4095
@haldinkiope4095 4 жыл бұрын
Kwann wasukuma wanakula mifugo gonga like
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 5 жыл бұрын
Konyagi cyo chai
@mnasizuonlinetv1437
@mnasizuonlinetv1437 5 жыл бұрын
Asante asantee asantee eee😂
@wemapingu8937
@wemapingu8937 5 жыл бұрын
Huyu mama atakua amepasha kidogo. Sijui ameshtua na Kinywaji gani maana yuko vizuri
@KaguttaEdson
@KaguttaEdson 5 жыл бұрын
Kameza Shing'wa ya Mwanza
@selector728
@selector728 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 жыл бұрын
Wema Pingu ,Hasira hajanywa
@racheldauson9471
@racheldauson9471 5 жыл бұрын
Kapiga shujaaa huyo
@felixernesto1366
@felixernesto1366 5 жыл бұрын
Ingekuwa enzi ya viroba huyu mama tungesema ameshakatia hahahaa
@selestinmussa5202
@selestinmussa5202 5 жыл бұрын
apo ndipo utakapo jua kuwa mkuu wa mkoa wa TABORA anaaminika na raia wote wa TANZANIA ususani TABORA MH: AGREY MWANRI KOMAA NA TABORA ILI IKAE SAWA lakin uyu mama wa ipuli kaniacha hoi🚶🚶🚶
@KaguttaEdson
@KaguttaEdson 5 жыл бұрын
Wampeleke Mara tu lazima akae
@salummuhija4435
@salummuhija4435 5 жыл бұрын
Kaazi kwelikweli!! Mama kaamua apige mambo yake kwanza ndio aje kwenye mkutano, kwetu tunawaita mama la mama.
@isaiahtzee975
@isaiahtzee975 5 жыл бұрын
Hahaha,.Nimeipenda sala yake..ka-flow vizuri aise!
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 5 жыл бұрын
Mbwa kala mbwa...amekutana na mbabe wake!Mama ni nomaa
@yohanamaugila743
@yohanamaugila743 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@julytito3891
@julytito3891 4 жыл бұрын
😅😅😅😅😅huyu mama kama vile dadaake nn maan comedia kweli kama Dc mwari ,,,vile amesali chapchp ili awahi kwenye kero yake😅😅😅
@valeryluoga5948
@valeryluoga5948 4 жыл бұрын
Nimefurahia asbuhi yanguuu 😂😂😂 kama ume enjoy km mimi gonga like hapaa
@Diamondvideomix
@Diamondvideomix 5 жыл бұрын
Mzee alipatikana 😂😂😂
@lucassalvatory7251
@lucassalvatory7251 5 жыл бұрын
Rambo kakutana na Mr bean
@KaguttaEdson
@KaguttaEdson 5 жыл бұрын
Hahahaha😀😀 chizi wewe
@stephaniemmuya8360
@stephaniemmuya8360 5 жыл бұрын
Mama umenifurahishaaa
@rehemamustafa8703
@rehemamustafa8703 5 жыл бұрын
Hahhaa huyu mama kitukoooo
@sophiajonas8428
@sophiajonas8428 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@richardmichael6168
@richardmichael6168 5 жыл бұрын
Uyuu mother ana smart nia ajione mtandaoni😀😀
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 4 жыл бұрын
Umenielewa mkuu wa mkoa 🤣😂😂
@adamally8791
@adamally8791 5 жыл бұрын
Mama kalewa huyo, au cjui kavulugwa 😂😂😂😂😂😂
@KaguttaEdson
@KaguttaEdson 5 жыл бұрын
Kachoka na maisha, kaamua kujitoa ufahamu.
@adamally8791
@adamally8791 5 жыл бұрын
Umeona Eeeeeh! Watu washachoka na maisha haya
@gemkachar
@gemkachar 5 жыл бұрын
" Naomba unisikilize mkuu wa mkoa" Mkuu wa mkoa kapata saizi yake.
@saidbanga
@saidbanga 5 жыл бұрын
Huyu mama duh...
@josetarimo1888
@josetarimo1888 5 жыл бұрын
Kweli huyu mkuu wa mkoa ni mwalimu na nimchungaji anayechunga kondoo wake kando kando ya maji pasipo kuzama huu ndio uongozi bora
@nchambinzugwa3985
@nchambinzugwa3985 5 жыл бұрын
Asante mama maana wagugaji wana kero sana, wanchungia kwenye makazi ya watu badala ya kuwaletea mifugo wao majani ndani hlf ukiwaambia full kiburi
@omaryashiraf1136
@omaryashiraf1136 5 жыл бұрын
Daah hii kwel mwaka 2019 uyu mama dooh atar kwel
@KaguttaEdson
@KaguttaEdson 5 жыл бұрын
Huu mwaka Wa porojo tu, kazi tushanya na tushachoka. 😀😀😀
@houseofjudah7470
@houseofjudah7470 4 жыл бұрын
SAFI SANA ...NIMEACHA KUANGALIA MOVIE ZA WAZUNGU. .MAANA HII MOVIE TOSHA.MA-STARRING TUNAO KIBAO.
@renatusboniphace5812
@renatusboniphace5812 5 жыл бұрын
Nimecheka hapo kwenye asante asante asante asanteeee😂😂😂
@minzaikekashololo5862
@minzaikekashololo5862 5 жыл бұрын
Eeee mwenyezi mungu bariki kikao chetu hichi kiwe na baraka na neema TUPU😁😁😁😁
@sethkavenuke123
@sethkavenuke123 4 жыл бұрын
Kweli ukijifanya kujua wapo wajuaji zaidi yako,ila hy mama chenga
@josephmayunga7861
@josephmayunga7861 5 жыл бұрын
Mama mwarabu kawa mbogo kes mwanri yaan wababe wawili wamekutana yaani sukuma ndani
@sulejiTv
@sulejiTv 5 жыл бұрын
Mapenzi azarani hahahaaa.
@Saintman1966
@Saintman1966 5 жыл бұрын
Huyu mama katishaaa kam unamkubali gonga like
@rashidbusanya883
@rashidbusanya883 5 жыл бұрын
Hatari sana utadhan wanaigiza kumbe nikitu halisi mama noma sana zaid ya mwehu
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
yani leo nimecheka sana daaa mama uyu uhiiii😂
@josekamana6322
@josekamana6322 5 жыл бұрын
mama umetisha wee ni noma
@michaelmatias8852
@michaelmatias8852 5 жыл бұрын
Fyeka ndani
@tatuta6529
@tatuta6529 4 жыл бұрын
Hatar sana uyu mama
@dottomsham9884
@dottomsham9884 5 жыл бұрын
mmsai ndan ya disko mamamaeeee
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
leo kapatikana hahah uyu mama😂😂😂
@jelliusigimbile8976
@jelliusigimbile8976 Жыл бұрын
Wasukuma wanakula mifugo 😔😔😔
@missmoona4497
@missmoona4497 5 жыл бұрын
Ama kweli Pombe sio chai😂😂😂
@zainabumtubwi263
@zainabumtubwi263 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa ametumia hekima kukichukua uchungu wa Moyo uyu mama kumwambia aombe kwanza.maana maisha.yameshamvuringa Ila ile kuomba ikampoza kidogo.
@yazidu_tz
@yazidu_tz 5 жыл бұрын
Kakutana na kichaa mwenzie mamae nimecheka 😂😂😂😂
@manchestercitybettartv5922
@manchestercitybettartv5922 4 жыл бұрын
Mama nashapata moja balidi moja moto aa mkuu wa mkoa hasante ukuonesha ubaguzi
@amanimusenyi8217
@amanimusenyi8217 4 жыл бұрын
Huyo mama kajikuna hahaha
@mweucorg6910
@mweucorg6910 5 жыл бұрын
kweli uongozi una changamoto sana
@dottomakanyanga5214
@dottomakanyanga5214 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mama ubarikiwe umeelemewa na mizigo siku nyingi naona leo umeona sehemu ya kuitua na unaitua kweli kweli😂😂😂😂
@komboomar8275
@komboomar8275 5 жыл бұрын
Nani anaamini kuwa huyu mzee ndie mkuu wa mkoa bora kuliko yote tz?
@khalidkassim3986
@khalidkassim3986 5 жыл бұрын
😭😭😭
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
walinzi shilikushi wasikie hii kukaba watu😂😂😂
@publicfiguretv5422
@publicfiguretv5422 5 жыл бұрын
Huyo mama kapiga vyombo sio ivi ivi!
@KaguttaEdson
@KaguttaEdson 5 жыл бұрын
Hahahaha mama kasala kwa Mkuu Wa Mkoa
@kulwamigo9127
@kulwamigo9127 5 жыл бұрын
Hakya Mungu,ukistaajabu ya mussa utakutana na ya omari
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 5 жыл бұрын
huyo mama ni ndugu yake ya shilole
@KaguttaEdson
@KaguttaEdson 5 жыл бұрын
Hahahaha ShishiMagu ndani ya Tabora
@kelvinjonathan4772
@kelvinjonathan4772 5 жыл бұрын
😀😁😁😁😁😁😁😁😂😁😁😁😀😀😀😁😁😁. huyu mama nilimuona wapi vile..!!???😐
@richardmwalwiba2993
@richardmwalwiba2993 5 жыл бұрын
haahahhahahahaha kwel tz ya majanga daah
@bahatilaizer8895
@bahatilaizer8895 4 жыл бұрын
Leo Ndo naiona hii 😆😆😃
@dj5_tz971
@dj5_tz971 5 жыл бұрын
Sasa tabora kuna comedy😂
@williamfavour2982
@williamfavour2982 5 жыл бұрын
Mama umeniongezea siku za kuishi. Ila kiongozi mkuu wa mkoa mnae. Anakiki zaukweli zaupendo sio wale wengine kiki bwebweka
@myahudi6951
@myahudi6951 5 жыл бұрын
Hahahaaa duh hapa hata km umenuna utacheka tu
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Kaz kwel
@nickolausngalla1151
@nickolausngalla1151 5 жыл бұрын
nimefurah sana
@iddishaban6546
@iddishaban6546 5 жыл бұрын
ety tushavurugwaa na maisha yetu
@richardsimon4863
@richardsimon4863 5 жыл бұрын
😂😂😂yan nimejikuta nacheka peke angu
@jaliabahati39
@jaliabahati39 5 жыл бұрын
Mama kapiga kamogoli,usukumani kanywa mbetezi,kwawahaya kanywa lubisi
@julianlukindo4623
@julianlukindo4623 5 жыл бұрын
Nikweli walinzi ndiyo wezi hahaha
@briannyiti208
@briannyiti208 5 жыл бұрын
😀😀😀😀
@1gmakhala
@1gmakhala 5 жыл бұрын
Huyu mama lazima kaanzia kupasha kinywaji moto kwanza kabla ya kuja mkutanoni.
@ndihunzefx_tz1174
@ndihunzefx_tz1174 5 жыл бұрын
kwa mwenye maradhi ya KISUKARI NA PRESHA, nitafute kupitia whatsapp namba 0765871955, kuna uwezekano wa kupona kabisa! kwa muda wa siku 14 tu! kwa uwezo wa M.Mungu,,wahi sasa nafasi za Ofa ni chachee..Ahsante.
@sofiayusufu579
@sofiayusufu579 5 жыл бұрын
Ataliiii 😁😁😁😁
@hosseamelikioli9410
@hosseamelikioli9410 5 жыл бұрын
uyo mama mbona kama kalewa
@felixernesto1366
@felixernesto1366 5 жыл бұрын
Maza kapitia kwanza sheli kujipea makilomita za confidence
@yangwishaheke4971
@yangwishaheke4971 5 жыл бұрын
Cha arusha !
@Ishengoma1
@Ishengoma1 5 жыл бұрын
Kitu cha mchuzi wa mende kisha vuruga mtu hapo.
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 жыл бұрын
Hivi mkuu wa Mkoa wa Dodoma ninani?
@wakilingunda4181
@wakilingunda4181 5 жыл бұрын
duh nimecheka hadi. naumwaaa
@kasianlinus4996
@kasianlinus4996 5 жыл бұрын
Hahaha uyomama kavulugwa kweli
@simongalahenga6858
@simongalahenga6858 5 жыл бұрын
ahahaha!daa
@ronniebertin3563
@ronniebertin3563 2 жыл бұрын
Uyu mama noma
@muhidinshafii9253
@muhidinshafii9253 5 жыл бұрын
nyoosha mkono juu jifanye unajikuna
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 5 жыл бұрын
amelewa uyu mama
@aronngowi7299
@aronngowi7299 5 жыл бұрын
Hakika watu wamevurugwa na maisha
@stephenmgema2208
@stephenmgema2208 5 жыл бұрын
Hahahaaaa............!
@matheothomas1891
@matheothomas1891 5 жыл бұрын
Bangiii
@emmanueldundo6046
@emmanueldundo6046 5 жыл бұрын
Hapo ndio utajua madhara ya bangi mbichi
@tetemanews5432
@tetemanews5432 5 жыл бұрын
daaaaaa hatariiii
@stanslausevance7329
@stanslausevance7329 5 жыл бұрын
duuuuuuh
@boywiz1242
@boywiz1242 5 жыл бұрын
mitambo imekutan
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Mamayo yn hapo mbwai na iwe mbwai
@msafirantony2625
@msafirantony2625 5 жыл бұрын
😀😀😀
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 5 жыл бұрын
Huyu mama kanywa pombe au ni mtazamo wangu tu
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 5 жыл бұрын
Jifanye km unajikuna eeee
@jeromendetaulwa3466
@jeromendetaulwa3466 5 жыл бұрын
Pombe siyo chai
RC MWANRI AIBUKA NA OPERATION FUKUA FUKUA -" Nitapita Nyumba Kwa Nyumba"
7:05
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
RC MWANRI TENA - "Fukuza kazi wote, Weka Kwenye Lori Sukuma Ndani"
7:13
Global TV Online
Рет қаралды 249 М.
South Africa-Mandela and Nyerere news conference
2:15
AP Archive
Рет қаралды 1 МЛН
"MNAPIGA POMBE SANA HALAFU MNALALAMIKA MAISHA MAGUMU"-RC MWANRI
4:39
Aggrey Mwanri atakumbukwa kwa haya…
1:15
Azam TV
Рет қаралды 101 М.
RC MWANRI 'ALIVYOMKABA KOO' MASSAWE "TUMENUSA HARUFU YA RUSHWA"
5:47
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН