Aggrey Mwanri atakumbukwa kwa haya…

  Рет қаралды 101,312

Azam TV

Azam TV

4 жыл бұрын

Mmoja wa wastaafu ambao wameorodheshwa katika taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri, ambaye kwa kiwango kikubwa pamoja na utendaji wake watu wengi watamkumbuka kwa haya.
#AzamTVUpdates #AggreyMwanri
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 31
@adamabdallah6021
@adamabdallah6021 4 жыл бұрын
Kuna hii" Engineer soma hio" kama unaukubali msemo huu gonga like hapa tujuane
@MaikoMkwawa-fk9tc
@MaikoMkwawa-fk9tc 4 ай бұрын
Namkubari sana uyu pia namkumbuka sana
@stevek8318
@stevek8318 4 жыл бұрын
Mimi mkenya na hufatafata saana tenda kazi ya hawa majamaa wakuu wa mikoa TZ. Napenda sana jinsi wanavyo tatua migogoro ya wananchi. Wapi Happi wa iringa?
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
kama yule wa mombasa?
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Come on meeeeeen...kweli hujapwaya rc..umestaafu tu
@htvtanzania3483
@htvtanzania3483 4 жыл бұрын
Saaaana
@adammusa6739
@adammusa6739 4 жыл бұрын
Tabitha ilipata mkuubwa Mia anauestahili kabisa, kama siyo umri na kustaafu Mzee mwanri alikuwa anapiga kazi vzr sana. Nina Imani Insha'Allah muheshimiwa Raisi anaweza akampa kazi nyingne kwa utendaji wake mzuri japokuwa amestaafu ili kuleta maendeleo zaidi.
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
Nimeumia sana kuona huyu mzee kastaafu. 😭😭😭😭 sema ndoivo. Umri ndo kigezo
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 4 жыл бұрын
Nazani anarudi tena kwenye ulingo wa siasa
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
@@mzeewajambo8293 nitafurai akirudi
@mwidinijuma8214
@mwidinijuma8214 2 жыл бұрын
Huyu anafaa kuwa hata waziri mkuu au hata kuwa Rais wa nchi kabisa.
@abasisaadivevo4688
@abasisaadivevo4688 4 жыл бұрын
Aaahhaah
@ronniebertin3563
@ronniebertin3563 2 жыл бұрын
Mzee wa Toronto tutakumbuka
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 4 жыл бұрын
Soma hiyoooooooooo
@tumsiphkweka2028
@tumsiphkweka2028 4 жыл бұрын
Noma xanh
@theosaimon6933
@theosaimon6933 4 жыл бұрын
Daaaaaa my president plz mpe wizara nyingine plz for 2 years more??
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
Kweli ampe wizara
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😎😂😂soma iyo👏👏👏👏👏👏👏👏
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 4 жыл бұрын
Bila shaka anarudi kwenye ulingo wa siasa
@gervaswmigayo386
@gervaswmigayo386 2 жыл бұрын
mimi ningekuwa rais ningeteua wengi sanaaa wenyemsimamo wa, mwanuri wangesukuma sana maendeleo,
@fikiriniramadhani78
@fikiriniramadhani78 2 жыл бұрын
Hv mzee huyu yuko wapi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@sniperboy7098
@sniperboy7098 4 жыл бұрын
Inginiya soma iyo
@aishaharuna4118
@aishaharuna4118 3 жыл бұрын
Mh
@fancebtz1071
@fancebtz1071 4 жыл бұрын
😁😁😁 mnanichukuliaje nimepwayapwaya San'a
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
htr sana ani!
@priscadaniel7
@priscadaniel7 3 жыл бұрын
Wapi
@enockkaswaga6460
@enockkaswaga6460 2 жыл бұрын
L
@enerybenedkt1119
@enerybenedkt1119 3 жыл бұрын
SsLelm
RC MWANRI 'ALIVYOMKABA KOO' MASSAWE "TUMENUSA HARUFU YA RUSHWA"
5:47
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 29 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 66 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
RC MWANRI TENA - "Fukuza kazi wote, Weka Kwenye Lori Sukuma Ndani"
7:13
Global TV Online
Рет қаралды 249 М.
"MNAPIGA POMBE SANA HALAFU MNALALAMIKA MAISHA MAGUMU"-RC MWANRI
4:39
"MZEE WA SUKUMA NDANI"  AJA NA MAPYA MBELE YA RAIS
4:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 44 М.
RC MWANRI Kasalimu AMRI kwa MAMA Huyu "Jifanye Unajukuna"
4:24
Global TV Online
Рет қаралды 173 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 29 МЛН