Yupo vizuri mzee huyu namkubali sana........IMAGINE MTU MTAKATIFU KAMA HUYU AWE RAIS AMA PM DAAAAA MAY GOD BE WITH U
@edkawago29075 жыл бұрын
wanao ponea stress zao hapa tujuane mapema.....hapa oklahama
@omarjuma52575 жыл бұрын
Yaani nakukubali Sana ww mzee unaongea point wapo waso jielewa wanakuona komed lkn uko sawa heshima kwako.
@abednego38765 жыл бұрын
Watu wanachukulia kituko.lakini Mwanri huwa anatoaga meseji nzito sana.
@shaabanramadhan67705 жыл бұрын
Yes true
@zaibonge78675 жыл бұрын
Wakwanza kukoment 😂😂😂somaaa hyoooo anameremeta
@josephinekwaselema55665 жыл бұрын
zaituni rajabu445 😀😀😀😀
@naybakari34905 жыл бұрын
Uyu mzee baba ninouma walay bonge la kichwa yaani big up dady
@betrecmkwasa98915 жыл бұрын
Daaah we jamaa ulikuaga wapi muda wote huo unanipa rahaa Sana
@davidchengula82445 жыл бұрын
mh mwanri safi Sanaa😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌
@bahatisamwel11475 жыл бұрын
Huyu mzee kwanini asirudi darasani afundishe, maana ni mwl mzuri hadi raha, atafaulisha sana, ila tu wasimpe kazi ya kuandika leson plan atachukia kazi tena hrk.
Millard Ayo, you are doing so well on publicising such educative videos, but the headings you writte are too dissapointing, they just define how you are and not even the Regional Comissioner himself., Please try to be Professional on your headings, dont mislead, be Smart Bro
@selemanibididas67345 жыл бұрын
Wa kaliua tuna like hapa via Abeid busalama
@hamzarumela17845 жыл бұрын
Dah kiongozi wa kweli na shupavu
@josephkimboka13945 жыл бұрын
Namkubali sana Mzee bora awe waziri
@moseswanjara34085 жыл бұрын
Joseph Kimboka amekua waziri kipindi kirefu
@josephkimboka13945 жыл бұрын
@@moseswanjara3408 nazungumzia kwa serikali hii ya tano
@bonifacejohn73954 жыл бұрын
big up sana mkuu nakukubali sana
@komanyomaduhu61235 жыл бұрын
Tanzania yote imeponea hapo
@saidylikangasimba32435 жыл бұрын
Magufuli please lete huyu mwanry hapa dar makonda peleka tabora huku huyu jamaa yuko safi
@philomenasjohn90834 жыл бұрын
Unastahili kuwa Waziri, nakukubali sana RC
@tongenimnzava47665 жыл бұрын
Kwa kweli Huyu Mkuu wa Mkoa Kwangu amekuwa Mwalimu,anaongoza watu na kuwafundisha,Ukiyafuatilia mafundisho hayo kama ni mkulima utavuna,kama ni kupanda miti utapanda na uwe tajiri,kama ni mzazi,mtoto wako ataenda shule kama ni mfanyakazi wa umma utasimamia sehemu yako vizuri,kwa ujumla anajua kulisha maendeleo watu wake,Ubarikiwe sana Mwalimu,Nafikiri ipo siku wasomi au vyuo vione na wakupe PHD,
Ati nongambila Stupid mbele ya my wife...wahaya oyeee em like hii kitu...
@maombimimi90145 жыл бұрын
Hahahahaha hiyo kitu wahaya hawapendi balaaa
@saidmoh75055 жыл бұрын
Njoo huku dar tuongoze Mzee baba
@mudhihirumikidadi60664 жыл бұрын
Waaacha waolewee wacha habalizako
@yusuphamani724 жыл бұрын
Wapare oyoooooooo
@kilasaelisha63495 жыл бұрын
zaidi ya comedy
@adilinanduguze24645 жыл бұрын
Nimeipenda
@alexjosephat90305 жыл бұрын
Aiseee anapoint sanaa
@cathbertmbacho64575 жыл бұрын
Daaaah hatari sana mh.
@adinanijackobo13285 жыл бұрын
DJ summer chukua hiyooo anamelemeta na pompo mpopopo
@gabrielkapungu89205 жыл бұрын
Nimeona Mwanry akiwa Raisi bora zaidi kuliko mawe
@ashiraally5275 жыл бұрын
😀😀😀
@karimmtengai61595 жыл бұрын
mIMI NAMUELEWA SANA HUYU FAZA,
@swabrinyawale81265 жыл бұрын
Hamia huko waliopo hamia
@maliselinapetro41685 жыл бұрын
Duh wahayaa wanasemaje??? Nan amesikiaaa
@kelvinwilliam51455 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 mm
@mwidu87745 жыл бұрын
Hamia waliko hamia!! Dunia yote ikaponea hapo
@wilsonwaziri79695 жыл бұрын
Huyu mzee anajitambua kweli
@mussatv24235 жыл бұрын
Soma hiyoooooo😂😂😂
@painetomsilanga83595 жыл бұрын
Hahahahah wewe jembe sana aiseeee
@gesusgegangphray76895 жыл бұрын
Izo ambulance mnataka kuuwa wagonjwa .haya madalaka ya mizizi na waganga noma
@husseinmukhtary67105 жыл бұрын
duuuuuh so poa sukuma ndaaniii nakukubali na kaz zako
@radhiasalum71565 жыл бұрын
nakuelewa mkuu
@mwimbajinamwalimujaphetgeo17185 жыл бұрын
Akigombea uraisi huyu jamaa lazima atashinda kwa 100% Maana jamaa anapendwa na watu wa vyama vyote
@laurianwencheslaus65675 жыл бұрын
We mzee umeona wahaya ndo wanafaa kwa wanyamwez !haaaaaaa!
@tituskimario8325 жыл бұрын
Watu wa Tabora mtumieni huyu mzee!
@charlzzesonconsciousness66855 жыл бұрын
😄😄😄😄🤣🤣🤣
@carolinesalakana10905 жыл бұрын
hahaha iyo tarumbeta sasa
@emmanuel14795 жыл бұрын
😂😂😂
@imeldabamba37795 жыл бұрын
Nani kamuona Neema Ndepanya
@mnazaretinemi42035 жыл бұрын
Hamia walipo hamia
@jacklynchim86175 жыл бұрын
😁😁😁😁
@eluzaberthkarugaba63755 жыл бұрын
Oklahoma hahahaaaa
@stephenpaul86794 жыл бұрын
Ujumbe umefika
@ramadhancheguli92455 жыл бұрын
shida yake watengeneze nyimbo tena kumbeana penda
@clementmathias95125 жыл бұрын
Mawazo yako hayo Lakini mzee anafikisha ujumbe kwa njia safi kabisa
@samwelimoshi56145 жыл бұрын
kaponea hapo haha
@shilebuyo58575 жыл бұрын
Ana meremeta a
@jaliabahati79055 жыл бұрын
Hahahahaha yaani
@amanimnyanga20025 жыл бұрын
100
@petermarco95595 жыл бұрын
unaweza jua ni comedy kumbe ndio kamaliza hivyo hotuba yake
@pascalprince44085 жыл бұрын
Oopopopopopopoooo popoooopopoooopoppooo😀😁😁😁😁
@stevenlugo81955 жыл бұрын
😂😂
@bahatisamwel11475 жыл бұрын
Tumpe kura 2020 ya Urais huyu hata kama haongezi mishahara bado vile alivo tu ni tumaini la maisha mazuri. Kwanza atasaidia kuongeza umuri wa kuishi wa nguvu kazi ya Tz, anashawishi, mzalendo, anmaanisha anachosema kutoka moyoni, anaelewa na anabadilika kulinga mazngra. Ila sharti abadili chama sio hiyo LA kijani.
@teddykassinde46085 жыл бұрын
hahahaha upo sawa ila shart hilo unatafuta ugomvi na wasiopenda ukweli
@stephenwambagae46385 жыл бұрын
Sukuma Ndani
@ruthwalter16475 жыл бұрын
Hahahahahahahahahaha mbavu zangu mie!!!!!
@maryamhusain36275 жыл бұрын
Mtarajiwa president
@radhiasalum71565 жыл бұрын
nakueleqa mkuu
@kassimjuma87135 жыл бұрын
Katika watu na viongozi ninaowapenda namba moja wewe. wapili mbowe. tatu. zito. mwisho. magufuri
@joramnunu14495 жыл бұрын
😂😂
@ramadhancheguli92455 жыл бұрын
Joram Nunu oy nicheki kwenye hi no 0672736618 Nashida na wew acha tu