RC Mwanri kaibuka na mpya "kanyaboya hatusaidii we fyeka, hakuna aluatani kunizidi"

  Рет қаралды 70,965

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 81
@briannyiti208
@briannyiti208 5 жыл бұрын
Mungu akubariki baba bila unafiki wew ni kiongozi mzuri na tabora itakuwa mahali pa zuri gonga like hapa kwa mzee! twende sawa
@barakambisa96
@barakambisa96 5 жыл бұрын
Jaman achen masiala huyu Kiongoz cre@tive kama unamkubali nipen lke👍🏻
@zahrachangalia4218
@zahrachangalia4218 5 жыл бұрын
😂😂😂wapi likes za mkuu Mwanri
@vincenttarimo9632
@vincenttarimo9632 5 жыл бұрын
Salute to this man if you love him gonga like hapa
@ionicbrand2059
@ionicbrand2059 5 жыл бұрын
He Is a SuperHero by the way, Simple in looking but Tough in action✊🙇
@osheachannel4726
@osheachannel4726 5 жыл бұрын
"Kuna haluwatani kuliko Mimi apa mkoa huu?" Kama umeskia iki kipande gonga like tufurahi🤣🤣🤣
@faridamkesso97
@faridamkesso97 5 жыл бұрын
Yaani Mwanri ni kiongozi shupavu ni mfano wa kuigwa
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 5 жыл бұрын
Aaanh! Unajua ng'ombe hao ni Al watan, kuna Al watan kuliko mimi mkoa huu? Daaah nmecheka sana huyu mkuu nikiona habari yake tu naapata hamasa kusikiliza
@celinaweber7024
@celinaweber7024 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana akupe maisha marefu yenye afya njema Hongera sana Mh. Mwanri
@steveagustino9368
@steveagustino9368 5 жыл бұрын
kata kata pembe kata pembe 😂😂😂 ebu like hapa!
@Ishengoma1
@Ishengoma1 5 жыл бұрын
Kama unapenda kuchangia tiketi ya ndege ili Mkuu aende toronto gonga like hapa
@kaloymlambi8038
@kaloymlambi8038 5 жыл бұрын
Ahahahaha torooooonto
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 5 жыл бұрын
Huyu dingi anatakiwa cheo kikubwa zaidi ya alicho nacho,I can see the future president. Salute kwa Mwanri he is the real leader.
@bashiriurassa6615
@bashiriurassa6615 5 жыл бұрын
Chuma cha pua ...salute kwako mh
@tonnsimbasportsclub7168
@tonnsimbasportsclub7168 5 жыл бұрын
Anaesema jamaa anapaswa kupewa uraisi piga kura apo
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 жыл бұрын
Kama unamkubali aggrey mwanri acha majungu na wivu gonga like yako hapa please jamaa anajua sio masihara
@barnababuhombe3353
@barnababuhombe3353 5 жыл бұрын
Jamaa Fundi anahakikisha kila mtu anaelewa
@SIMBAofSIMBA
@SIMBAofSIMBA 5 жыл бұрын
wake up fool.this is called public stunt.shida sio kupanda miti bali kazi na cost ni kutunza na serikali haina hiyo pesa.soma failure ya ground nuts scheme tena hapohapo tabora ndio ujue.kweli watz hata pimbi anaweza kuwaongoza
@emmanueljoseph8007
@emmanueljoseph8007 5 жыл бұрын
Mweshimiwa ujumbewako unafaa
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 жыл бұрын
@@emmanueljoseph8007 sure
@juliusmboya4203
@juliusmboya4203 5 жыл бұрын
Safi sana mkuu
@bintlola3127
@bintlola3127 5 жыл бұрын
Namkubali lkn punguza viber kidogo😄😄😄unaongea sna baba mkwe
@lucassalvatory7251
@lucassalvatory7251 5 жыл бұрын
Hahahhaha unatukumbusha enzi za king Majuto Mungu ampe pumziko jema
@paschalmsizu7674
@paschalmsizu7674 5 жыл бұрын
Toronto
@ayishaayishayisha4465
@ayishaayishayisha4465 4 жыл бұрын
Hongera kiongozi
@pigapesa1013
@pigapesa1013 5 жыл бұрын
#Kata pembe kata pembe( -Rc Tabora)!
@MohammadAhmad-qy3qs
@MohammadAhmad-qy3qs 5 жыл бұрын
I wish na mkoa wangu ungekua na RC km huyu..... fyekelea mbali wote waco jitambua
@rosekimario8259
@rosekimario8259 5 жыл бұрын
Kweli kbs
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 5 жыл бұрын
Kanyaboaya ondoa tu fyekelea mbali
@djsandi4419
@djsandi4419 5 жыл бұрын
Bwirehhh Njoo Huku Mkuu Wako Kawaka
@moikiyeyeu7919
@moikiyeyeu7919 5 жыл бұрын
Binafsi namfuatilia sana Mh Agrey Mwanri wengi wanadhani anafanya comedy lakini huyu bwana Yuko makin sana amewaunganisha viongoz wengi wa Tabora na kuwafundisha wananchi, anakwenda nao shambani, anapalilia na kupiga dawa nao, Leo hii viongoz wengine hata matope wanaogopa lakin huyu ni bonge la kiongozi
@pascalprince4408
@pascalprince4408 5 жыл бұрын
Haahhahh mbuz wanakula ubwawa tena unatui LA naz
@josephkingu1972
@josephkingu1972 5 жыл бұрын
Pascal Prince hahahahaaaaaaa
@salumubarangi44
@salumubarangi44 5 жыл бұрын
chikichi eeenheee...piga kazi mzee
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 жыл бұрын
Hahah aisee hii balaaa huyu mzee hatari
@ibnkhamic6737
@ibnkhamic6737 5 жыл бұрын
Mtu mmoja analeta jeuri kwa kua amezaliwa na baba ake na mama ake 😁😁
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 5 жыл бұрын
Uyu baba kweli uyu ni kiongozi sasa kama siyo kiki tu
@jennywenu5506
@jennywenu5506 5 жыл бұрын
Kama umewaona Tpsc verify hata.
@nasibukapati5801
@nasibukapati5801 5 жыл бұрын
Duh hyo noma toronto
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
safi
@isaiahnmagemeson4516
@isaiahnmagemeson4516 5 жыл бұрын
Ukizeeka unaanza kuwa kama mtoto 😂😂😂😂 NATABIRI tu jamani!!!
@rosekimario8259
@rosekimario8259 5 жыл бұрын
Urais unakuhusu mh Rc mwari
@vascostanleymbisse4477
@vascostanleymbisse4477 5 жыл бұрын
Kata pembe kata pembee😁😁😁
@johariramadhan2196
@johariramadhan2196 5 жыл бұрын
VASCO MBISSE hahahaha
@emmanuelndege8915
@emmanuelndege8915 5 жыл бұрын
mkoa wa mara tunamuomba mheshimiwa hyu
@eliayeremia9218
@eliayeremia9218 5 жыл бұрын
hahaa safiiiiiiii
@rosekimario8259
@rosekimario8259 5 жыл бұрын
Niko MOSH lkn nafurahi sana
@wizzmkandawile1140
@wizzmkandawile1140 5 жыл бұрын
bwireh soma hiyooo
@magangadamian4772
@magangadamian4772 5 жыл бұрын
Bwiiiree
@rongeronge6565
@rongeronge6565 5 жыл бұрын
al-watan.
@godfreyally7787
@godfreyally7787 5 жыл бұрын
RC mwanri hata urais unakufaa
@noahmathew2256
@noahmathew2256 5 жыл бұрын
huyu akiwa rais wa daresalaam itapendeza zaidi ajifanye anajikuna tuu ajee
@titomachite920
@titomachite920 4 жыл бұрын
Duuu
@kelemanii.m9834
@kelemanii.m9834 5 жыл бұрын
Be careful with your heading.......you do mislead everything
@saphinachristopher4872
@saphinachristopher4872 5 жыл бұрын
Kata pembe kata pembe kata😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@pelusemanueli858
@pelusemanueli858 5 жыл бұрын
😀😁😁
@mr.salmini3384
@mr.salmini3384 5 жыл бұрын
Sawa ALWATAN wa TABORA
@captenndunga9385
@captenndunga9385 5 жыл бұрын
Alfuulelaulela😁😁hekaya za abunuasi.
@robertlyimo4361
@robertlyimo4361 5 жыл бұрын
Kata pembe
@mahrooqsuleiman7216
@mahrooqsuleiman7216 5 жыл бұрын
Sikonge bado
@mahrooqsuleiman7216
@mahrooqsuleiman7216 5 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
@hassanmasuke5078
@hassanmasuke5078 5 жыл бұрын
Dah this Gy😂😂😂😂
@mathazakayo288
@mathazakayo288 5 жыл бұрын
nakukubal sana
@tumlakimahengemahenge6186
@tumlakimahengemahenge6186 5 жыл бұрын
😂 kanyenye
@petermelkiony679
@petermelkiony679 5 жыл бұрын
haaaaa
@goldenson1340
@goldenson1340 5 жыл бұрын
iyo ni part 1 soon part 2😂😂😂😂
@patrickmakoye5314
@patrickmakoye5314 5 жыл бұрын
mzee anapenda sana ubwabwa 😅😅
@revocatusreuben4605
@revocatusreuben4605 5 жыл бұрын
wew mzee nae ndio umeanza kaz
@hosearwechungura5391
@hosearwechungura5391 5 жыл бұрын
Kata pembe baba
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 5 жыл бұрын
Kaaaata kata pembe
@apaelmbise9699
@apaelmbise9699 5 жыл бұрын
Fekelea mbaliiiiiiii
@youngdady7901
@youngdady7901 5 жыл бұрын
erick ulikua hujaja
@mohachibu0017
@mohachibu0017 5 жыл бұрын
Hahahaha
@venstonvedasto
@venstonvedasto 5 жыл бұрын
Dar ngombe wapo banah mbezi mwisho kule akiii
@godfrey3926
@godfrey3926 5 жыл бұрын
Kwani huyu mzee anaotaga Toronto kila siku, atuambie walimlipa pesa zipi kuitangaza hivi maana hii sio kawaida...😀😀😀
@dechardavid2555
@dechardavid2555 5 жыл бұрын
😂😂😂
@elishamdach5117
@elishamdach5117 5 жыл бұрын
mzee wa kukata pembe fyekaaaaaaaa
@shangwehubert5838
@shangwehubert5838 5 жыл бұрын
anatafuta kiki,Mungu hawezi kukufanyia miujiza mara zote...wengine nao wapate kick...sasa hivi ni upuuzi tupu...anaitafuta headline kwa nguvu
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 530 М.
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 11 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 3,2 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
RC MWANRI TENA - "Fukuza kazi wote, Weka Kwenye Lori Sukuma Ndani"
7:13
Global TV Online
Рет қаралды 249 М.
RC MWANRI Kasalimu AMRI kwa MAMA Huyu "Jifanye Unajukuna"
4:24
Global TV Online
Рет қаралды 173 М.
Holy Trinity Studio - Wimbo Ulio Bora ( Official
5:33
HOLY TRINITY STUDIOS
Рет қаралды 3,2 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 530 М.