RECAP: ALIKIBA aonyesha UFALME CROWN, KIKEKE amhuheshimisha, itakuwa MEDIA kubwa, Ushindani &DIAMOND

  Рет қаралды 8,348

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 44
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 4 ай бұрын
Ndugu mbona hatukuelewi mara amebuma wakati mwengine upunguze ushauri watu wako na plan zao bana 🤣
@jumakibwana1810
@jumakibwana1810 4 ай бұрын
Coz anataka kutembelea upepo ila pia hajijui
@emilioadremaneadremane2706
@emilioadremaneadremane2706 4 ай бұрын
Atary sana king
@Bama959
@Bama959 4 ай бұрын
Pesa huwa jamaa anayo ila huwa hapendi kuishi ku star
@kinanaissango3492
@kinanaissango3492 4 ай бұрын
Kimsingi uko poa sana kuchambua fact fact fact since day one uniqueness 🎉🎉
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 4 ай бұрын
Wewe ni mnafiki
@kitunganolwebo7570
@kitunganolwebo7570 4 ай бұрын
Asijisahau kututolea hits maana yeye ni msanii na ndo maana😂 tuliimpenda hata kabla ya u president media wake
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr 4 ай бұрын
Kiba is on fire
@BuraramaKwibe
@BuraramaKwibe 4 ай бұрын
Mwanbiye kiba nataka niwekeze kwa vanilla please give me a way to find him
@saidimabere8528
@saidimabere8528 4 ай бұрын
Hatari
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 ай бұрын
Namungu pia amewabariki pia...Kila la heri mwenyezingu awajalie na awakuze inshallah
@abibunibitanga3412
@abibunibitanga3412 4 ай бұрын
King
@noahmbaru9117
@noahmbaru9117 4 ай бұрын
Firee
@hamisibakari342
@hamisibakari342 4 ай бұрын
Wewe Huweleweki Bhana KIFUPI HATUKUELEWI
@james-lx6rf
@james-lx6rf 4 ай бұрын
hajakosea kitu rafiki yangu ila lazima ujuwe kuwa hawa wanapopiga kelele zinasaidia kuwabusti wasani wetu.. skiliza ALIKIBA kasema jana kuwa hiziukelele za hawa za kumcambua humuongezea nguvu na hasira ya kufanya kwa kasi
@LameckSaidy
@LameckSaidy 4 ай бұрын
Ww kifupi una kosaga vya kusema ao vya fanya? , mara mziki mara ma médias, acha utopolo , ao unataka uwe chawa?
@anzleneabdou916
@anzleneabdou916 4 ай бұрын
Kiba is verry special
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 4 ай бұрын
Yani kuna watu wanateseka alikiba kua na media yani wamesahau kua hata majizo anamedia kubwa tu sasa majizo anautajirigani had aweze kua na media alaf alikiba ashindwe ? Hivi mutateseka mpakalini? Hahaha kikeke kaajiliwa na dj d omy kaajiliwa dura planet na baado wataajiliwa acheni ushamba
@mahrezkhamisi2709
@mahrezkhamisi2709 4 ай бұрын
Mm nakubali uko swa sana huna pumba
@SimonSalehe
@SimonSalehe 4 ай бұрын
❤❤❤❤Pull up
@rahmashaban4024
@rahmashaban4024 4 ай бұрын
So good ❤❤
@isiakasalim2761
@isiakasalim2761 4 ай бұрын
Nlishawahi kwambia hujui plan au ukimya wa mtu so ushaur punguza
@OmariShaweji-v9y
@OmariShaweji-v9y 4 ай бұрын
Yaani ww ndiyo hakuna kitu kabisa,sasa kiongozi atakosa mshauri wake tuache bhana😮😮
@VickyLukinga
@VickyLukinga 4 ай бұрын
Ame tumika siku mingi sana kia music .acha afaye ingine kazi
@GeorgeMarcky-og6os
@GeorgeMarcky-og6os 4 ай бұрын
Unaongea vizuri ila uache unafikia Kiba daima ni mkubwa sana sana kimuziki na umaarufu Tz na ni mtu mwenye mipango yake next time usikurupuke kumuongeleq kafeli huyu jamaa ni mtu wa kutulia sana na kuamua positive next time uheshimu plan zake b4 bnafsi niliamini atafanikisha na bado naamini hajamaliza makubwa zaidi yako mbele ni mtu mwenye mipango sana na hana haraka ila ni uhakika
@davidpaschal778
@davidpaschal778 4 ай бұрын
Ogopa😂
@james-lx6rf
@james-lx6rf 4 ай бұрын
Msimlaum huyu jamaaa hata Alikiba mwenyewe alipohojiwa jana kasema yale maneno yamembusti sana na kumuongezea kitu... lakin pia hata maneno ya huyu jamaaa hayakuwa mabaya aliongea ukweli kuhusu KING kuwa huwa hatangazi mambo yake na ni kweli alikuwa hivyo sasa kweli kabadirika.... tim KBA tujuwane........
@mrsinia3064
@mrsinia3064 4 ай бұрын
Huyu ndie king 👑 sasa msiomkubar lazima mtamkubari tu...🤣🤣
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 4 ай бұрын
Kiba usijekutupoteza wezio kimyakimya
@kiatu
@kiatu 4 ай бұрын
Hapo kusajili professionals umenena vyema-uswahili utakuwa kidogo
@ZephaniahElias-jp8de
@ZephaniahElias-jp8de 4 ай бұрын
Huyu ni mfàlme anajua anachofanya
@petermihale1842
@petermihale1842 4 ай бұрын
Apo swa
@BenMamadou-w9e
@BenMamadou-w9e 4 ай бұрын
Tatizo sio yake wala hana shire yeye ni mfanya kazi Ila media ya kikeke inajulikana wewe unafikiria kikeke kuasha kazi uk 🇬🇧 alisema hatotumikia mtu yoyote atafanya vyake sasa huwazi kama kiba yupo tu kama cover hapo ila mwenye umiliki ni kikeke na inajulikana hiyo kwa 100%
@erickmillanei4346
@erickmillanei4346 4 ай бұрын
Msemaji Wa kikeke katika Moja na. Mbili 😅😅😅 Hii ndio Bongo Bhna Watu Wanajua maisha ya Mtu kuliko mtu anavyojijua😅
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 4 ай бұрын
Boss i have a problem with ur media u critic everything except diamond and kila mara eti upungufu mara ushauri do ur research vizuri because like u are not a musician but i find you repeating same things all the time u have been saying negative things about kiba today because every media is talking about him now u come here saying things acha unafiki wewe.
@BHTV-ly4jf
@BHTV-ly4jf 4 ай бұрын
Wewe mnafki sanaa😂😂
@EGIBETIUSNDIBALEMA
@EGIBETIUSNDIBALEMA 4 ай бұрын
Husomeki una badilika kama kinyonga
@omarizebedayo9249
@omarizebedayo9249 4 ай бұрын
hiyo ni kweli kabisa
@ericnzaro9138
@ericnzaro9138 4 ай бұрын
Mwanadamu yeyote timamu lazima abadilike kulingana na Mambo yanavyobadilika. Kwaiyo Kama kitu anachoongelea kimebadilika we unataka abaki na msimamo wake wa zamani?
@mtushindirena2981
@mtushindirena2981 4 ай бұрын
Sema kweli hapo una mpamba tu,ila alikiba hakuna anachokiweza kila anacho kifanya anahelekezwa na kikeke
@MalikAssumani
@MalikAssumani 4 ай бұрын
Wew cako nikip hujuw utalal wap uko namsem mtu ambae sio hat wa level yak chill bro
@kingcheater2554
@kingcheater2554 4 ай бұрын
Vp wewe kihelehele wako nan ili mambo yako yaende mbel
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 4 ай бұрын
Yani watu mnateseka alikiba kua na media dah mtateseka jamaa ndo kwanza kaanza
@fakikhatoro3876
@fakikhatoro3876 4 ай бұрын
king
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,3 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 10 МЛН
7 Hidden Islamic Signs That You Are Protected by Allah
24:32
Resilient Ummah
Рет қаралды 52 М.
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,3 МЛН