REFOREST

  Рет қаралды 141

SUA MEDIA (ONLINE TV)

SUA MEDIA (ONLINE TV)

Күн бұрын

Imeelezwa kuwa Shahada ya Uzamivu ya Sayansi ya Misitu chini ya Mradi wa (REFOREST) inayotolewa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ni ya kipekee na itatoa wahitimu wabobevu katika sekta ya misitu na kusaidia kutunza na kulinda misitu hasa katika nchi zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara .
Haya yamesemwa Juni 13, 2024 na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Uzamili, Utafiti, na Uhaulishaji wa Teknolojia na Ushauri wa Kitaalamu Prof. Josephat Kashaigili wakati akifungua warsha ya uwasilishaji wa matokeo ya utafiti kwa wanafunzi wa Shahada ya Uzamivu kutoka SUA.
Prof. Kashaigili amesema wanasayansi hao wabobevu katika sekta ya misitu pamoja na kupata mafunzo lakini pia wamefanya utafiti katika nchi zao na kuwa mbinu hiyo ililenga kuimarisha ubora na kuongeza idadi ya wanasayansi wenye uwezo wa kufanya utafiti na kuwezesha wahitimu katika ukanda wa Jangwa la Sahara kuwa na ushirikiano katika uhifadhi wa misitu.

Пікірлер
SUA yawanufaisha wakulima na wafugaji vijijini
10:29
SUA MEDIA (ONLINE TV)
Рет қаралды 96
SUA yaongeza Teknolojia rahisi za Kilimo katika Ufundishaji
11:09
SUA MEDIA (ONLINE TV)
Рет қаралды 140
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 51 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
SHAMBANI KILIMO CHA KITUNGUU 2022
28:11
TBConline
Рет қаралды 15 М.
UFUGAJI WA SAMAKI NA MBEGU ZAKE
28:54
Kilimo Biashara
Рет қаралды 70 М.
RICE FARMING IN TANZANIA
29:59
Kilimo Biashara
Рет қаралды 35 М.
KILIMO CHA MAHINDI
28:53
Kilimo Biashara
Рет қаралды 49 М.
Wanafunzi wa SUA wakubalika zaidi katika soko la ajira
12:28
SUA MEDIA (ONLINE TV)
Рет қаралды 111
EXCLUSIVE: UKWELI KUHUSU DARAJA LA MITI LA MILIONI 31 MOROGORO
17:49
Mafunzo ya Ufugaji wa Kuku kutoka SUA yawanufaisha wafugaji
10:15
SUA MEDIA (ONLINE TV)
Рет қаралды 7 М.
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 51 МЛН