RAIS MAFULI Alivyo wasimamisha ALIKIBA, DIAMOND na HARMONIZE kwa PAMOJA IKULU DODOMA "ASANTENI SANA"

  Рет қаралды 50,201

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Rais Magufuli "Unapomuana @officialalikiba amekaa pamoja na @diamondplatnumz unaiona nguvu ya chama cha Mapinduzi. Lakini unapomuana @harmonize_tz aliyemkimbia @diamondplatnumz leo anamsifia hadharani huu ndio utanzania ninaoutaka"
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#DIAMOND #HARMONIZE #ALIKIBA

Пікірлер: 41
@mariamm2724
@mariamm2724 4 жыл бұрын
Jamani pendaneni muache ya washabiki , nawaombe achen tofauti zenu, maisha yenyewe mafup tu haya.
@maryammohamefmohamed5267
@maryammohamefmohamed5267 4 жыл бұрын
Well doctor makufuli I'm really I believe for that thing you said end you do you are not different you say and you do 99% like abedi amani karume god wabariki viongozi wetu..
@Nezzyg
@Nezzyg 4 жыл бұрын
big up harmonize naona kweli umeamua kumshika dogo mkono
@regine-valerievanya782
@regine-valerievanya782 4 жыл бұрын
Nakupenda sana Mr Président Mungu akup nguvu na baraka hafyanjema baba🙏
@momomercydeedee5092
@momomercydeedee5092 4 жыл бұрын
Diamond platnumz, king kiba, harmonize 👏👏👐😍🤗😘🇹🇿🔥🔥🔥
@witneyjerry1293
@witneyjerry1293 4 жыл бұрын
Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu,mheshimiwa rais nimefurahi sana kuwaona hawa vijana wamekaa pamoja,wapambe tulieni na uchonganishi wenu....
@mariamdaudi2315
@mariamdaudi2315 4 жыл бұрын
Mungu mlinde raisi wetu nimtu wamungu
@fabianjames8831
@fabianjames8831 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@marcemarco3747
@marcemarco3747 4 жыл бұрын
Ahsant Rais wetu
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌yan wamejua kuwaweza mond, kiba na harmonize. Safi sana.pendaneni.achen kuwafata washabiki wapuuz wanawagombanisha.
@hmooCrescent
@hmooCrescent 4 жыл бұрын
Ni kweli tunateseka sana, tutashukuru ukituangalia kwa jicho la tatu. Asante sana baba magu.
@happytimothy6598
@happytimothy6598 4 жыл бұрын
Rais wetu ni mzuri sana
@mtumweusy4652
@mtumweusy4652 4 жыл бұрын
Wasanii wengine mmeenda kujichoresha wanaojulikana ni diamond, alikiba, harmonize, chuchu
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
Rais kamzoea sana Harmonizer.
@emilymideva8783
@emilymideva8783 4 жыл бұрын
Prezo mchapa kazi nakupenda bure #254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@pastorydaudi1388
@pastorydaudi1388 4 жыл бұрын
Huyu ndiye magu daaaaaaah
@ommyali1514
@ommyali1514 4 жыл бұрын
Uncle maguu tena...
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Wewe Mwandishi sahihisha JINA la MH.Unamtukana huna ADABU Liandike kisahihi,☹️☹️☹️☹️☹️☹️.
@mariamfaki1498
@mariamfaki1498 4 жыл бұрын
Wow so cute
@tiffajuma2880
@tiffajuma2880 4 жыл бұрын
Twawapenda San jaman
@momomercydeedee5092
@momomercydeedee5092 4 жыл бұрын
Magufuli nakubali simba diamondplatnumz ni Tanzania yetu
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
Hawa vijana wakiungana pamoja,Africa itasimama.
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 4 жыл бұрын
Mondi Leo umependeza hmn rasta
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂nimefurahi sana kuona wasanii hawa wackiest wamekaa sehemu moja
@mwambietv7614
@mwambietv7614 4 жыл бұрын
Zaman wanavoteseka walikuwa kwenye uongozi wa cuf eee
@tumbahubrert1163
@tumbahubrert1163 4 жыл бұрын
Muziki bila bifu ayiko muziki na Real bila bifu na barca sio clasiko
@simplissamba1943
@simplissamba1943 4 жыл бұрын
Dah rayvany mbn hajatajwa hapo
@kautharramadhan2188
@kautharramadhan2188 4 жыл бұрын
Hajulikani anaejulikana ni kiba tyu hata mond katajwa na watu na baada ya kutajwa kwa king mwenye uking wake tz
@janetwawira5673
@janetwawira5673 4 жыл бұрын
Sasa muache vijembe
@jumamayunga7472
@jumamayunga7472 4 жыл бұрын
Wasanii tanzania ni watatu tu ndo wako midomoni
@simplissamba1943
@simplissamba1943 4 жыл бұрын
Zuchu na ray piah
@bonybabalao8921
@bonybabalao8921 4 жыл бұрын
Chadema tena
@goldentv5193
@goldentv5193 4 жыл бұрын
Chuchu 😅😅😅🤣🤣🤣🤣
@salumadam6042
@salumadam6042 4 жыл бұрын
🙄🙄 kato m
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 4 жыл бұрын
Ali Kiba mjanja sanaa bado ana bufu wazi wazi kabisa.
@happytimothy6598
@happytimothy6598 4 жыл бұрын
Ila shetta sijamsikia jaman kwenda kuimba
@Ramsomitole
@Ramsomitole 8 ай бұрын
Lunya
@Nezzyg
@Nezzyg 4 жыл бұрын
alikiba looks uncomfortable 🤗🤗
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 4 жыл бұрын
Unakenza labda
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
5:25
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 81 МЛН
RAIS DKT. MAGUFULI AWASIMAMISHA TBA KUJENGA NYUMBA ZA MAGEREZA UKONGA
3:00
MASANJA MKANDAMIZAJI ATAPELIWA NA WEZI WA MITANDAO.... Wampa ujumbe wa kwenda kanisani KWAKE
11:04
KIKWETE Asimulia WALIVYOGOMEA IKULU kuhamishiwa DODOMA
13:30
Global TV Online
Рет қаралды 190 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 786 М.
Mtoto Yohana Tumpongeze Rais Magufuli wimbo wake mpya akiimba Mito ya Baraka Church
8:31