Wa tatu leo jmn, asnte dd vero tunakupata vzr kbs ❤️💞
@faithjustine53623 жыл бұрын
Asant dada vero mungu akubaliki sana
@armanyagwara51763 жыл бұрын
daaaah asante sana dad but muendelezo jaman tunaxingoja sana 🙏🙏🙏🙏🙏💕
@oscarsanga24923 жыл бұрын
Kiukweli nisipo sikiliza kipindi chako uwa najiskia vibaya sana Dada Vero nice na big up kwako mungu akupe umri mrefu
@chinyemimsauge1482 жыл бұрын
Mungu akubariki dd Veronika kwa simulizi nzuli.
@bestonkajojo45583 жыл бұрын
Ile Zakayo sehemu ya 9 mama umesimulia vizuri sana:..sauti yako itaniua mimi mdogo wako😂😂💪🏿✊🏿
@bestonkajojo45583 жыл бұрын
Shangazi mdogo ake baba au shangazi mke wa mjomba tuweke wazi,..😔uyo itakua shangazi mke wa mjomba
@armanyagwara51762 жыл бұрын
habar da vero kwan penina alienda wapi jaman hatujaon ten cmuliz💕🔥🤣
@peninawilliam20932 жыл бұрын
Asante Sana kwa simuliz
@tiffahtiffahbaaby82392 жыл бұрын
Duu pole penina
@danielgolden5582 жыл бұрын
Penina sehem nyingine zikwap, nimeskiza mbili tu,
@mussamivache49863 жыл бұрын
Da Véro leo una stresi au xhemeji kakupiga
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
1
@ireneherman763 жыл бұрын
Jmn Dadavero pls pls ongezen mdaaa mbn mfupii sana lakn
@yonayoh37363 жыл бұрын
Kaz kwelikwel
@carolinetalam58323 жыл бұрын
Tuned
@richardfrancis24402 жыл бұрын
Dada Vero simuliz nitamu inasikitisha na ina funzo pia
@carolinetalam58323 жыл бұрын
Tuned 🇰🇪🇰🇪
@satwanthoogan67463 жыл бұрын
❤👏👍😍
@neemaleonard94263 жыл бұрын
❤️
@vailetadam33663 жыл бұрын
Mbona mi naona IPO kawaida tu sauti ya da vero
@rosemarry20202 жыл бұрын
Simulizi ya Michael sehemu ya 8 mbona cjaona?
@kokomussa85443 жыл бұрын
VP esita
@nasrahsalim78703 жыл бұрын
A you sick mamy Mana sauti yako leo tofauti
@popoali66413 жыл бұрын
Pia mm naona tofauti
@mussamivache49863 жыл бұрын
Sasa si utuwekee sehemu y 2 mbona unachelewesha hd mjifikilie😏
@miriam57353 жыл бұрын
Katuchoka huyu
@mussamivache49863 жыл бұрын
@@miriam5735 kabisa
@fatmakombo75843 жыл бұрын
Dada veronica mbona Leo kama mnyonge hivi
@rehematawalani73311 ай бұрын
Nafikili hayupo sawa
@rebeccavictor19903 жыл бұрын
Jaman msaada DODOMA frequency n ngap????
@asiamussa37803 жыл бұрын
92.5
@rebeccavictor19903 жыл бұрын
@@asiamussa3780 Asante sanaa
@nyamumilamadua80693 жыл бұрын
Da vero unachelewa sana ku upload simulizi zako siku hizi tunasubili sana mpaka tunachoka zingatia muda mzuri wa wasikilizaji wako bana
@richiefortune33633 жыл бұрын
Ni kweli da Veronica hua nasubiri hadi basi
@jenifajafari76702 жыл бұрын
Amejifungua now tusubirie kidogo
@nyamumilamadua80692 жыл бұрын
@@jenifajafari7670 oky hongera yake yeye
@miriam57353 жыл бұрын
Sehemu ya tatu mpk leo hujaweka, unajua kuwa karibu na hii chaneli hii tunasikiliza simulizi zako? mm naona umeshindwa kujua thamani ya wateja wako siyo lazima kuwa mwanafamilia wa hii chaneli yako, acha mm niondoke tu
@vailetadam33663 жыл бұрын
Dada haujalazimishawa kusikiliza da vero pia ni Binadamu unajuaje kama kapatwa na dharula ?? Kama unaenda nendaa