Mtu mwenye ushawishi mkubwa wa mabadiriko kupitia mziki hujawahi tuangusha hakika kwa kipaji chako mungu akupe maisha marefu zaidi🙏🙏
@fahari21606 ай бұрын
Mashabiki wa ROMA tukutane hapa ❤❤❤❤❤
@Aliro0886 ай бұрын
ROMA UKO KWENYEE DUA ZANGU MPAKA PUMZI YANGU YAMWISHOO.. MUNGU AZIDI KUKUPA UJASIRI💯
@WatagwainMan5 ай бұрын
Daah Wanangu @vivaroma @onesix Mnaandika sana Wanangu, Harakati Za Mtu Mweusi, Bongo Nyoso.
@papykatoziking23956 ай бұрын
Mimi naona award zote zitakazo tolewa zipewe ROMA maana I can see there's no one we can campsites with him big Shar out bro
@TmKt-kx7pq6 ай бұрын
Award labda zitolewe na nchi jirani
@stewarthoulreennasri41596 ай бұрын
Kabisa
@stewarthoulreennasri41596 ай бұрын
He deserve
@RafaelKaswahili6 ай бұрын
One six ninaemjua mimi sio huyu leo kaja mdogo wake ndio maana sijasikia ile mipando na mishuko ya sauti 🎉🎉😂😂
@FahadAli-ni5eu6 ай бұрын
Roma ukiwa na huyu mshkaji lazima iwe trend mnaenda mwambie bin laden ndio favorite wangu
@benjaminnickson3496 ай бұрын
Alishafariki 😢😢😢
@FahadAli-ni5eu6 ай бұрын
Duh nani tena alofariki
@benjaminnickson3496 ай бұрын
huyo bin laden kaka
@modenhosouza59253 ай бұрын
@@FahadAli-ni5eu bin laden ashajikata mwanetu
@mustafajr95466 ай бұрын
One six never disappoint 💯 Mungu baba tusamee
@OllerDesononline63336 ай бұрын
Ckiliza vzr kiitikio. One six his Badest guys!!!!!!
@atenionesmo_A106 ай бұрын
uuunatumia mda kumuelewa
@SimuliziZaOscar6 ай бұрын
Utakuwa msanii wa kwanza kuachia hits kila ngoma kwenye Albamu
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r6 ай бұрын
Aki ya Mungu dah!!!
@emmahmery20546 ай бұрын
Truth 💯
@jacktonjoseph34796 ай бұрын
HII ALBUM🔥🔥🔥🔥Kila nyimbo ni balaaa......Let's Gooooooo budaah
@Eizyme6 ай бұрын
huyu one six na roma wajengewe sanamu lao
@KapistoloBwetete6 ай бұрын
ROMA KOMAA MWANANGU 🇧🇮 HARAKATI KWENDA MBELE ..
@samirmswahili6 ай бұрын
Baada ya kukosea baba kwako narud naomba unipokee amin
@NDIZIMEDIA6 ай бұрын
ONE SIX 🙌🙌
@barakamgimba57066 ай бұрын
Wanaosema hii album ROMA katisha like zenu apa ❤
@Dyram_dee6 ай бұрын
Ila ONE SIX kwa CHORUS 🙌🙌🔥🔥🔥
@maxmiletz45636 ай бұрын
Uyu jamaa anakupatiaga sana chorus zake❤
@AmaniMenedja6 ай бұрын
@Stamina... Njo Hapa kwenye vesi mzee...❤❤❤❤ Roma... Viva
@DirHassan6 ай бұрын
Unyama sana one six 254 all the way!!
@dycemullah32546 ай бұрын
Roma Roma Roma brother daaaaaa Haya magoma tuliyamiss kinoma mzee nimepakuwa album nzima geto ni Roma Roma Roma
@AmaniMenedja6 ай бұрын
Dhaaah .. Nita Rudi kusema , acha nisikilize kwanza ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
@Ramson-TZ2556 ай бұрын
Umetisha roma wew nikaka wa mziki
@BilalAlly-kr8bi6 ай бұрын
Roma mtu na nusu huyu mwamba apewe mauwa yake 🌺
@josephngaila25836 ай бұрын
One six kapagawa sana oyaaaa
@aliymwanafuno98486 ай бұрын
Ukiona one6 yupo ujue kunaunyama wakutosha
@Mecklashou40206 ай бұрын
Kama unamkubali huyu mwamba ngonga like
@WilliamsEzekiel-dh9cc6 ай бұрын
roma akitowag Ngoma uwa najiskia rahaa sana 😊😊😊 jamaa anajuwa tz nzima tu
@Dullabaisamondogangtz6 ай бұрын
nami nimeachia nyimb yang mpy dulla baisa ft one six..tam ipo you tube
@Sir.Patrick6 ай бұрын
Hii inatakiaa kuwa no 1 on trendings
@wilberforceirukanetyang12806 ай бұрын
From Nairobi Kenya. ROMA FOREVERRRRRRRR❤❤❤❤
@mutrafuture78906 ай бұрын
Huarithia wako umeuweka open,,Safi sana, utapata mwisho mzur 🎉
@geniusplus85866 ай бұрын
"Uhalisia"
@simonshengena-nt9ws6 ай бұрын
Daaah mwanangu we hatali
@FarijalaAwadh-oo1yv6 ай бұрын
Ngoma ya 13 yamoto sana one six hajawahi kukuangusha pamoja na bin laden #ALBUM OF THE YEAR NIPENI MAUA YANGU
@jeremayaClassicPhoto6 ай бұрын
Duuh mbn sioni ngoma ambayo haichoshi kila ngoma ni fire mzee.... Harafu hongera umeamua kumrudia muumba wako😊
@WasafiWasafi-up6du6 ай бұрын
Balaaaa na nusu yake mwana harakati
@OlivierPauna6 ай бұрын
Kazi ina anza sasa gonga likes apo tujuwane kama ww una mukubali roma vivo ❤❤❤❤❤
@omardzengo12526 ай бұрын
namkubali sana @Roma..from Kenya
@vgpack16 ай бұрын
One six huna akili maanina😄😄 🔥🔥🔥
@Megadreamzfx16 ай бұрын
This duo never disappoints 🎉❤
@musajittma29426 ай бұрын
One six ni 🔥 kwenye kiitikio
@Lyricstwenty46 ай бұрын
TULIO IKUBALI CHORUS 🔥 🔥 🔥 like apa twende sawa
@NandoWaUsa6 ай бұрын
Nipo Alrington Virginia apa USA 🇺🇸 👏👏👏 this is my favorite jam🎉🎉
@salumukatani03-u8b6 ай бұрын
Mmmmh kaka hii umeua🔥🔥🔥💯💯💯 nipeni maua yangu
@rannsackmxemmynoh13126 ай бұрын
From the beginning ✨️
@johnsonsabanya58606 ай бұрын
Msanii alobaki kama kioo cha jamiii🙌
@Carlosshayo6 ай бұрын
Roma music world wide 🌎 hit like Kama unakubali❤❤
@mambolivie076 ай бұрын
Viva Roma chukua kaka maua yakoh 🥀🌹💐🌺🌷🙌🙌
@imaniyohana6 ай бұрын
One six umeua
@MathiasExavery-us7tr6 ай бұрын
Appreciate you bro big up
@AbdulyMajaliwa-v4r6 ай бұрын
Romaa mkatoliki ni balaa
@kensonyjulius56916 ай бұрын
Shikamoo kaka Romaa Msalimie mjomba one six🤣🤣
@SkelacSir-sg5xd6 ай бұрын
Wapi wanaharakati like hapa
@benzoboytz6 ай бұрын
pw razma tumpe support mwanetu roma maana yeye na sisi rabda kifoo kitutenganishe😊😊
@jeffintabo906 ай бұрын
The best tanzanian hiphop artiste after prof jay❤
@gabrielmiatus38866 ай бұрын
Appreciate my brother roma
@NovatiusNovatius6 ай бұрын
Nzurii chukua. Maua yako🎉🎉
@AbyboyKauzeni6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🌹hatari sana Roma huna baya
@robertmasha1736 ай бұрын
Ila all in all NDIYO STORI ITAKAYOBAKIA.❤❤❤❤❤
@jamesmhema80776 ай бұрын
Hii imeenda
@daudchristopher79796 ай бұрын
Jamaa katissha humu
@HassanMohamed-vs4re6 ай бұрын
Viva chukua maua yako
@AlsonGodwin6 ай бұрын
Hariiiiiii hongera ROM
@NestymwampambaMwampamba6 ай бұрын
Mungu awabariki kwa kazi nzur 💚💚💚💚💚
@JustinGama-qy1tp6 ай бұрын
Wanayanga utawajuatu kwa makipa yao😂😂😂😂😂💚💚💚💚💛💛💛💛
@besteva4996 ай бұрын
Bonge ra gospel ira gospel raper ❤❤
@DatiusStansilaus-zk3gl6 ай бұрын
🎉🎉🎉king is back
@KaskeboyKaskeboy6 ай бұрын
❤❤❤❤ utawala king 👑
@salumukatani03-u8b6 ай бұрын
You killed it mkatoliki
@ouweydalton77326 ай бұрын
NILI HASI KANISA NIKA HASI MSIKITI ET KWAKUWA MWANA MZIKI NIKO BUSY NATAFUTA HIT KUMBE NATAFUTA ZIKI NIEPUSHE KIKOMBE HIKI MAANA MKE NILI MSALITI WATOTO NIKAWALAWITI G.O.A.T