Asante sana kwa kufuatilia, unaweza jiunga na group langu la whatsapp ili kupata mengi zaidi. Tuma meseji ya whatsapp kwenda namba 0759191076
@saidabeid67685 жыл бұрын
Gud
@dottnatt71105 жыл бұрын
+974 5061 9676
@tttooo1564 жыл бұрын
group halina vigezo au muongozo +96879444609
@isubamen4 жыл бұрын
0768071532
@shaibutz14854 жыл бұрын
Success Path Network 0672889509
@tatuatut75425 жыл бұрын
Mungu akulinde.kamavile upo Mtaani hapa unatufundisha na unayaona .asante.najifunza mengi humu
@djumakarim82743 жыл бұрын
Alhamdulillah tunailimika mengi kwayale unatupa na wangine wanailimika kupitia sisi Nina imani mungu akuzidishie ilimu na akupe mwisho mzuri na sisi pia wa nafunzi Tusijisahau
@wemamuss5 жыл бұрын
Allah akujalie kila lenye kheri, Hakika tunaendelea kujifunza mengi toka kwako.🙏
@mbwanamohamed19275 жыл бұрын
Nakukubali sana Mr. Ezden, qoutes zako zinanipatia hamasa sana, zinanifanya kuyaona maisha tofauti sana na vyenye wengine wanayao. kupigia mazungumzo yako, basi kila kijana asingekuwa anajilaumu katika haya maisha. asante sana
@abelbenedicto53925 жыл бұрын
Mr.Ezden Ni vile tu watu hawatoi Shuhuda kwako Kama Church, But for real you heal the People's life. Thanks Much
@mselemsuma10364 жыл бұрын
fact
@ahamady7892 жыл бұрын
Nipo nairobi ndugu tunakufuatilia sana asante kwa elimu mungu akuongezee
@rehemajuma46565 жыл бұрын
Shukraan kwa somo zr kaka angu, cha msingi ni kumshukuru Allah maana bila yy ss hatuwezi🙏
@chrismassawe3265 жыл бұрын
Safi kabisa maarifa sahihi ya kuifanya akili iwaze na kuona mbali
@anafisuleimani70835 жыл бұрын
Ahsant kwa darasa lako Allah akuripe khaira
@forextanzaniatv44595 жыл бұрын
Genius Ezden
@teddymwakanyamale90055 жыл бұрын
Thanks bro. Nimejitambua tangu nianze kukufatilia
@jembagracie27395 жыл бұрын
Bro respect kbs unafunza mambo mengi Thanks sanaaa
Bro mi nakushukuru sana maana kila ninapo kusikiliza hua na jifunzi vitu vng mng akuzidishie
@hamisimusaa16984 жыл бұрын
Thanks very much
@hidayaallah34804 жыл бұрын
Nimepata muangaza ahsante saaana bro,Allah akupe maisha marefu Inshaallah
@successpathnetwork4 жыл бұрын
amiin
@allyathumani1195 жыл бұрын
Thanks bros, nice message, God bless you....
@KubwaStudios5 жыл бұрын
Ahsante sana kwa hii
@mcyudasicqo96105 жыл бұрын
Mungu akusaidieee,kwahichi unacho kifanya
@asiyasaid58425 жыл бұрын
Shukran brother
@mediacraftstudiotz5 жыл бұрын
Awesome content...
@bakariomary57812 жыл бұрын
Stronger
@williammockey8005 жыл бұрын
Thanks my Brother!
@neemamatemba56104 жыл бұрын
Asante sana kaka
@joycelauwo37935 жыл бұрын
Asante sana Edzen
@damiannaftal26473 жыл бұрын
Brother nimekuelewa sana naimani nitaishi kwenye msingi hii
@Muchmore2554 жыл бұрын
Sure
@ezzlemill65025 жыл бұрын
nice kaka kwa ujumbe mzuri
@خسنموس5 жыл бұрын
Thank you God bless you
@jonasialex89805 жыл бұрын
Nakukubali sana buro
@omarhakizimana75955 жыл бұрын
Nakupenda sana kaka yangue
@alfaksadimellumba71684 жыл бұрын
Kaka nakuxoma uko sawa mwaga sela tuko wote
@learn2earnclass5 жыл бұрын
Chaneli yako inanifundisha mambo mambo mengi sana ya muhimu kwenye maisha kaka. Asante sana
@willisonluhende82854 жыл бұрын
Poa sana
@pascalpamba_hernando40415 жыл бұрын
May god bless
@mrcaroucyempendaatashikaje48754 жыл бұрын
NOMA
@esthercheupe45295 жыл бұрын
Be blessed🙏🙏
@deotv5035 жыл бұрын
Thanksbro for good message
@lifeofmrblessed5 жыл бұрын
nc work broo stay blessed
@khammykisenga13645 жыл бұрын
Dah thanks bro. ila naomba uzungumzie siku hii mijitu inayopenda kukosoa hata kitu kiwe kizuri vp yaani Dah kunajamaa mtaani mpaka Kunasiku nilimface kumchana ukweli mpaka leo sitak kabisa akae karibu na mm kuzungumzia upuuzi.
@nibigirarashid75974 жыл бұрын
Baba niweke
@eddyclassic_25314 жыл бұрын
Hvi tunaitaji Sana kusoma au tunaitaj sana kujifunza..? Maana unaweza soma sana na usijifunze Nsaidie hapo
@damiannaftal26473 жыл бұрын
Tunatakiwa kujifunza best maan Kam ulivyo sema unawez soma na usijifunze hivyo tunapaswa kujifunza
@johnirankunda91912 жыл бұрын
Yani uko nahakir nagupenda🙏
@IddiEddo-u3d8 ай бұрын
Ezden
@mariabenedict3285 жыл бұрын
❤❤❤kukupenda tu kaka
@fidodidotz30125 жыл бұрын
Dah! ongela sana broo mambo yapo konk kabisa
@isayarashid3204 жыл бұрын
Ningependa ufundishe na english
@khamissmwakyembe42385 жыл бұрын
Shukurani kaka
@yusuphj23574 жыл бұрын
Bro unanifanyaaaa nikusikilze saaaaana natamani KZbin yote ingejaa clips zako
@aishaabdallah45605 жыл бұрын
Umegonga ndipo bro binadamu hawaachi kusema so waeza wapuuza coz hao n wengi huwezi kuwanyamazisha ila ww unaweza kupuuza na ukaendelea na mambo yako
@protaspaschal66753 жыл бұрын
Napeda Sana kipidi kabula ya kulala
@ndarojuma51285 жыл бұрын
Tuko pamoja kaka
@namsifukidala42445 жыл бұрын
Kaka ubarikiwe naamini wengi watafanikiwa kupitia hii
@anordbyamungu3 жыл бұрын
AFYA YA MTOTO KAMA NI MZAZI. habari ya muda nimeona wazazi wengi wanaangaika na changamoto mbalimbali za afya ya mtoto. Je?mtoto wako ana changamoto hizi. 1.mtoto hapendi kula/hana hamu ya kula 2.mtoto anachagua chakula 3.mtoto wako anaumwa homa Mara kwa Mara 4.mtoto amepoa hajachangamka 5.Mtoto anachelewa kukua 6.Mtoto hapati choo 7.mtoto ana upungufu wa madini na vitamin 8.mtoto mwenye upungufu wa akili au kusahau sahau kutofanya vizuri darasani Tuwasiliane whsp/call 0756073337
@khajikombo20904 жыл бұрын
Nakuelewasana nanipomakinikukusikiliza
@narbasclementbarnaba90545 жыл бұрын
Xhukran sana kwa shule hii unatujenga sana br no 759656577 whasup no angu kk.Ntafrai nikiwa karbu zaidi ya darasa hili