No video

Sababu ya Wanaume wa China Kupenda Wanawake Wembamba

  Рет қаралды 334,346

TimesFMTZ

TimesFMTZ

Күн бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 175
@mejubaraza9415
@mejubaraza9415 5 жыл бұрын
Mnapenda wanawake fyororo kwa sababu mna vibamia kama umemuelewa juma kama mm gonga like yko hpo chini
@annickgalaxy8281
@annickgalaxy8281 7 жыл бұрын
This guy "Chinese " very funny I love him 😂😂
@renatusrenatus3535
@renatusrenatus3535 5 жыл бұрын
We
@reasychemponda4399
@reasychemponda4399 5 жыл бұрын
I see my mama in duty...proud of you Mama Flora
@frankurio8490
@frankurio8490 7 жыл бұрын
Noma sana.....
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 7 жыл бұрын
Wowoooo,chaupepo,totoz daaaah,amazing
@chalesimtundu7633
@chalesimtundu7633 7 жыл бұрын
Diana Petzold Diana wewe chaupepo nini mbona ka umefrahi sana
@amourmtungo623
@amourmtungo623 6 жыл бұрын
Mzaramo wa kubatizwa tu huyo. Ni vizuri kujifunza, Kiswahili kinakua kwa kasi ya ajabu. Nimefurahi kuona watu wanashauku ya kujifunza.
@hassanondasilva3562
@hassanondasilva3562 6 жыл бұрын
Oya ume muoji vizuri sanaa
@ramadhanially8249
@ramadhanially8249 7 жыл бұрын
jux njooo muone juma mwenzio huku kutoka kwenu huko huko
@chabyrajabu7145
@chabyrajabu7145 6 жыл бұрын
😁😁😁😁😁nmecheka sana
@abdullahimujuma2639
@abdullahimujuma2639 6 жыл бұрын
woyoooo big up wazaramoooo ndugu yetu mchinaaaaaa
@kambiyusufu5217
@kambiyusufu5217 5 жыл бұрын
Nimekapenda sana haka kachina
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 7 жыл бұрын
aisee mchina nomaaa..wenzetu wanakuja kwetu wanajifunza kiswahili sisi tukifika ughaibuni tunasahau lugha yetuuu...tunajifanya yes no nyingiiii kumbeeee tumetokea uswazi......mimi naifagilia kiswahili na ninakitangaza kimataifa...kama unakubaliana nam imi gonga coment yangu.....
@naomijohn7599
@naomijohn7599 7 жыл бұрын
vicky nahitaji ur no Victoria David
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 жыл бұрын
Victoria David Vichy hahahaaaa huku nako umo?😂😂😂😂
@allykytz1786
@allykytz1786 6 жыл бұрын
safiiii
@adelinasteven5841
@adelinasteven5841 6 жыл бұрын
nmekufurahia bure best
@marybalongo221
@marybalongo221 5 жыл бұрын
😅
@erickjohn1167
@erickjohn1167 7 жыл бұрын
daaah nimependa sanaa
@adelardkanje7516
@adelardkanje7516 7 жыл бұрын
woooow gd boy
@kakasele1786
@kakasele1786 7 жыл бұрын
kiswahili cha kihaya.... we ni mhaya ahaaaaa
@celestineombasa4469
@celestineombasa4469 6 жыл бұрын
Cute Chinese
@salamaabdallah9726
@salamaabdallah9726 7 жыл бұрын
😁 inachekesha Sanaa sababub waume wetu wadogo hahaaaaa
@nancyjoy287
@nancyjoy287 6 жыл бұрын
Daaa jamani wachina karibuni sana kwetu Tanzania tunapenda wageni
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Unapenda wageni au unapenda kutombwa
@sarahsamwel3019
@sarahsamwel3019 5 жыл бұрын
Upo vzr Juma
@hamisa_mahimbo
@hamisa_mahimbo 6 жыл бұрын
aaaayyyy! :D nimependa sana!!! :DDD
@aokinsindinenula4010
@aokinsindinenula4010 5 жыл бұрын
Mi 🇹🇿😀😀😀😀😀😀Napita!!
@joseemmale3611
@joseemmale3611 6 жыл бұрын
Noma xana
@teddymgeni2178
@teddymgeni2178 4 жыл бұрын
Nampenda sana juma jmni
@siaabushiri8508
@siaabushiri8508 6 жыл бұрын
Nampenda sana mchina
@sunshinekamnina6312
@sunshinekamnina6312 7 жыл бұрын
yuko poa
@halimaomar6070
@halimaomar6070 7 жыл бұрын
yomii wanapenda wowowoooo,,wao wanapenda upepo😂
@kakasele1786
@kakasele1786 7 жыл бұрын
Ahaaaaaaaaaa Mungu anakuona Juma
@salamaabdallah9726
@salamaabdallah9726 7 жыл бұрын
wew
@maryjonsel3187
@maryjonsel3187 7 жыл бұрын
nomaaaaa Huyo machina
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 5 жыл бұрын
Nimecheka tu sana
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 7 жыл бұрын
Nice brother
@sadxkyando5456
@sadxkyando5456 6 жыл бұрын
THE GUY IS FUNNY HAKUNA MATATA!
@halimambwego8287
@halimambwego8287 7 жыл бұрын
Huyu kweli mzaramo
@boionyamwihura
@boionyamwihura 6 жыл бұрын
kuna baadhi ya maswali yalioulizwa nimebaki nnashangaa..imeonyesha 'cultural ignorance' ila ni vizuri huo kaka amejitolea kufungua maelewano kati yetu na wa China..good job
@user-cf4lt4sc2q
@user-cf4lt4sc2q 7 жыл бұрын
Lovely. Boy 😘
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 6 жыл бұрын
Baada ya kukanyaga china tu, nimetokea kuwachukia coz hawatupendi watu weusi
@austinkennedy9870
@austinkennedy9870 5 жыл бұрын
Haha huyu jamaa anakaa na wahuni sana
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 5 жыл бұрын
wanapenda chaupepo.hawapendi wowowo kwasababu wana vibamia.et wanaume wetu ni wadogo
@abdulfesto4713
@abdulfesto4713 6 жыл бұрын
Cool xna
@balqhisroshan1126
@balqhisroshan1126 6 жыл бұрын
Nimempenda bure jaman
@zarkleon2511
@zarkleon2511 6 жыл бұрын
Dada kuonyesha ishara haimfanyi kukuelewa 😂😂
@agnessmsigwa693
@agnessmsigwa693 6 жыл бұрын
Ni hao
@irynedward6067
@irynedward6067 7 жыл бұрын
noma sanaaa
@georgemwidima3851
@georgemwidima3851 6 жыл бұрын
Ninyi watangazaji acheni ushamba kitu kuwa copy haina maana ni feki, bali copy inaweza kuwa makubaliano ya siri ya kibiashara ya kutengeneza kitu kama hicho kwa bei nafuu, hata dawa za india ni copy za dawa za nchi nyingine. Ufeki ni pale kitu kama ni kibovu na hakidumu lakini kama ni copy na inadumu miaka mitano utasemaje ni feki?
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 жыл бұрын
Na hapo kwa yeye kuona kama wachina pia wanafanana hakuelewa swali. Na nyinyi ni kuchekacheka tu hapo.
@khajikaisi2010
@khajikaisi2010 6 жыл бұрын
Nice
@gongalike3441
@gongalike3441 7 жыл бұрын
_Mnamuuliza maswali ya Ovyo ovyo bila mpangilio afu mnauliza kwa pamoja sasa hadi mnamchanganya, that's very unprofessional. Afu jinsi mnavomtreat as if ni Sanamu au Kiumbe flani cha ajabu which is not good. Good thing nikwamba yeye wala haoneshi kujali, ila I'm sure ndani ya nafsi yake amewashangaa sana. Badilikeni staili yenu yakuhoji watu, especially hawa wageni._
@gongalike3441
@gongalike3441 7 жыл бұрын
sports updater True, wanauliza maswali bila mpangilio kama hawajasomea hio Taaluma.
@unionminja6531
@unionminja6531 5 жыл бұрын
Gonga Like Hakuna Wandishi Tena Bali Kuna Wajanja² Tu
@jacobtuvana8244
@jacobtuvana8244 5 жыл бұрын
Truueee
@bernardowoya6671
@bernardowoya6671 5 жыл бұрын
Gonga Like .
@bernardowoya6671
@bernardowoya6671 5 жыл бұрын
Gonga Like .
@josemagasha5158
@josemagasha5158 5 жыл бұрын
eti ss tunapenda wowow
@tatuhaji6575
@tatuhaji6575 5 жыл бұрын
Mchina anaburudan sana
@halimambwego8287
@halimambwego8287 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti cha upepo hhhhhhh wanaume wao ni wadogo chaaaaaa!! Juma mzaramo nitakupasua 👊👊
@ahmedalsiyabi79
@ahmedalsiyabi79 7 жыл бұрын
😂😂😂 nimependa alivyo jitambulisha
@hosealwila4976
@hosealwila4976 7 жыл бұрын
nice
@wambaamwambaje1272
@wambaamwambaje1272 6 жыл бұрын
Hahahaha nimefurahiii sana somo yangu wajina wangu
@rizikisalum9678
@rizikisalum9678 4 жыл бұрын
Weye mtu wa wambaa eee?
@wicheonetv1141
@wicheonetv1141 6 жыл бұрын
kwaiyo wachina wanavibamia
@athumanhamis2617
@athumanhamis2617 7 жыл бұрын
Jumaaaa
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
Nimecheka sna
@njolatvonline1039
@njolatvonline1039 7 жыл бұрын
inapendeza saaaaana
@zuwenahilal5135
@zuwenahilal5135 5 жыл бұрын
wo hen hao
@kamilusmgaya4806
@kamilusmgaya4806 5 жыл бұрын
Wanakibamia
@davidokongo1602
@davidokongo1602 7 жыл бұрын
😂😂😂😂 Cha upepo
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 жыл бұрын
Wabongo mtajua tu kichina wala msiwe na haraka huyo mchina mwenyewe pia alitamani kukijua kiswahili na sasa amekijua kwa hivyo msikate tamaa mtakijua tu kichina kama vle yy alivyokijua hicho kiswahili.
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 7 жыл бұрын
wachina Europe wanaleta vitu quality wanachezea Africa tu
@jumaissa2976
@jumaissa2976 6 жыл бұрын
bei zake wanazimudu ndio maana wanapeleka huko, cc third world countries wengi hatumudu
@edwinismail9401
@edwinismail9401 6 жыл бұрын
Amina Kawawa shida sio wachina ni waafrika wakienda China wanaenda nunua feki
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 6 жыл бұрын
edwin ismail ok
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 6 жыл бұрын
Amina Kawawa China hawatengenez vtu fek ila wanatengeza vtu kulingana na uchum wa nch yako ukitaka kitu chenye ubora zaid lazma uwe na pesa nying sasa wao wanakutengeneze vtu kutokana na uchum wa nch yako
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 6 жыл бұрын
sospeter lulyalya ok maana naona huku wanaleta vitu quality mpaka nashangaa
@lylyshadianzoyihaya3433
@lylyshadianzoyihaya3433 7 жыл бұрын
Mbavu zangu mie eti nyie wawili munafanana😂😂😂😂
@maryamalbahry1387
@maryamalbahry1387 7 жыл бұрын
Kwa iyo na mm chaupepo🙆
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
Hii interview nzur 😂😂😂👏 nimeipenda sana
@bettymweri638
@bettymweri638 7 жыл бұрын
chaupepo ni nini jamani nisaidieni
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Жыл бұрын
Maswali mavi
@papilumona1896
@papilumona1896 6 жыл бұрын
Kwani kibamiya na maisha ya mtu wapi na wapi wa afrika ujinga kuisha mpaka fimbo
@abuuhuzayl6549
@abuuhuzayl6549 5 жыл бұрын
Yaani hakuna kitu cha msingi ambacho umeongea nae kwa kwel Tz hakuna media yaani mahusiano ndio mumeona kitu kikubwa sana
@radhiamrumi9461
@radhiamrumi9461 5 жыл бұрын
Juma na kupenda bure
@amourmtungo623
@amourmtungo623 6 жыл бұрын
Ni usemi mkongwe kabisa wa kusema kuwa, aidha watu wote weusi, weupe au wachina wanafanana. Ki ukweli hatufanani na sote ni tofauti.
@mrtigerfrenation1165
@mrtigerfrenation1165 7 жыл бұрын
huyo Jamaa noma
@shsh-en1lo
@shsh-en1lo 7 жыл бұрын
nimecheka duuuu
@subratambulegeni9042
@subratambulegeni9042 7 жыл бұрын
Hahaha juma anapenda chaupepo
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 5 жыл бұрын
😂😂😂 Mchini mtz
@rechok.k.m.5117
@rechok.k.m.5117 6 жыл бұрын
Hahhahha juma unavituko wanaume wenu ni wadogo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂haya mungu atawasaidia wanaume wenu watakuwa wakubwa Kama hogo la chang'ombe 😅😅😅😅😅😅
@amourmtungo623
@amourmtungo623 6 жыл бұрын
From what I know, he won’t say the truth. Chinese do build or manufacture stuff according to the specific countries‘ s requirements. The UK Nokia is 100% different of that you can buy in Tanzania if it was made in China.
@stonyshipindi1668
@stonyshipindi1668 6 жыл бұрын
Anajitahidi
@uwamahoroemanneul4527
@uwamahoroemanneul4527 5 жыл бұрын
Mumenicekesha
@jamesjames5129
@jamesjames5129 6 жыл бұрын
Duu nimeipenda hip kumbe wanawake wembamba kwao wanawaita chaupepo
@lugwesamalale8882
@lugwesamalale8882 6 жыл бұрын
Simba
@asmahankhamis1393
@asmahankhamis1393 5 жыл бұрын
Mm natka juma aje kunioa
@bimkuuamar5132
@bimkuuamar5132 5 жыл бұрын
Kwhy wanaume wachin ni viba amia duuuuu
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 жыл бұрын
Wanafanana kwaajili ya hayo macho yao tu.
@salehaboud6318
@salehaboud6318 7 жыл бұрын
Mm swali langu kwa huyo mchina hivi nikwanini wachina wanakuwa na maumbile madogo? Na wanawake wao wanaogopa mwamme mwenye uume mkubwa
@ezlonlony3588
@ezlonlony3588 6 жыл бұрын
😀😀😀😀🙋🙋
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 7 жыл бұрын
China vitu quality vipo Tena standard kabisa mtu ni hela yako tuu ,vikija fake Africa waulizeni wanaokuja kutoa order zao huku wanatakaje msiwalaumu wachina wafanyabiashara ndio Wa nataka vitu kutokana Na hela yako coz mchina anakutengenezea oda zako kutokana Na kiwango cha pesa yako Na a nakwambia kabisa Na anakupa materials Na bei zake so wafanyabiashara wengi huchagua vya bei rahiis ili wapate zaidi pia kwa toka hili msilaumu wafanyabiashara tuu ata watu kwa upande wetu tujiangalie mfano tukiletewa handbag OG ya lak 6,7 ,$200,300,400..,, Au ata $100 tuu Au ata $80 tu je ni asilimia ngapi ya watu unadhani watanunua ? Na biashara itachukua mda gani kutoka ? Na mzunguko je? Na je unadhani kila mtu ana afford high prices ? So jamii pia ni tatizo one another way mshukuruni mchina ake consider all levels of people katika jamii kila mtu apate Na ndiomaana ata ukiwa Na tzsh20000 utanunua kiatu kariakoo. Je wakileta good quality tzsh lak 1 Na una watoto 5 watavaa je? Utanunua vingapi? Na pia tuangalie currency ya pesa yetu iko je wachina wanamasoko Duniani kiendacho US si sawa Na kijacho tz reason # 1 CURRENCY, asilimia kubwa ya watu wana afford kununua vitu quality .
@zainabshabani7076
@zainabshabani7076 6 жыл бұрын
Lydia Thadeous umesem kwel
@fadhilaali6802
@fadhilaali6802 6 жыл бұрын
kweli kabisa
@independentqueentv6068
@independentqueentv6068 5 жыл бұрын
Ss Lydia wewe upo china? ??
@victoriachesco35
@victoriachesco35 6 жыл бұрын
jmn ni sjida mchina kupiga Swahili ahhaa
@fafamabrouk7597
@fafamabrouk7597 6 жыл бұрын
Wowowo hhhh
@manasemwakagali9358
@manasemwakagali9358 7 жыл бұрын
hahahah wanaume wetu wadogo zaidi
@jamesissack3839
@jamesissack3839 6 жыл бұрын
sasa mbona huyo yupo mbali sana kuliko wabongo>?
@renensavyimana9484
@renensavyimana9484 6 жыл бұрын
hata wazungu eti wanona kama weusi tunafanana
@irenewilly1110
@irenewilly1110 4 жыл бұрын
Sio kila bidhaa china Ni feki Kama alivyosema, SEMA baadhi yetu wakienda kule wanakuwa na mtaji ambao hautoshi kununua bidhaa nyingi original ndio maana wananunua feki
@sai.jimepenyaiyoonaikubali7121
@sai.jimepenyaiyoonaikubali7121 7 жыл бұрын
kama ijiludie 😂😃😃😃hogera kwakujua kiswahili
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 et uume wao ni mdogo
@n8thegoat
@n8thegoat 6 жыл бұрын
Wowowoo 😂
@jacksonninja4380
@jacksonninja4380 7 жыл бұрын
😁😁😁
@michaelgabriel6617
@michaelgabriel6617 5 жыл бұрын
Rafudhi ya kisukuma
@abdibakari641
@abdibakari641 6 жыл бұрын
hahaha wowowo
@mariawapeke5463
@mariawapeke5463 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣naceka baka mwisho
@anaphhassani1170
@anaphhassani1170 6 жыл бұрын
Hahahahahah juma kibamia hahah
@mukideothumani1047
@mukideothumani1047 6 жыл бұрын
hahahahaaaa wowowoo
@frankhossea9784
@frankhossea9784 7 жыл бұрын
hehehed
Jua Kali leo Ijumaa Usiku 23-8-2024 High Quality Definition
24:54
HUWEZI KUAMINI Huyu ndiye JONIJOOO wa NOW YOU KNOW
10:22
TimesFMTZ
Рет қаралды 208 М.
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 70 МЛН
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 21 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 17 МЛН
RC MAKONDA KAMALIZA MGOGORO NGORONGORO KWISHA  MAANDAMANO
4:01
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН