TAREIKH YETU, MSIMU WA TATU (SILSILA 18): Sultani wa Zanzibar aliyelazimishwa kujiuzulu Ufaransa

  Рет қаралды 3,127

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Күн бұрын

Sayyid Ali bin Humoud alikuwa sultani wa nane wa ukoo wa Busaidi visiwani Zanzibar, lakini akiwa na umri na umri wa miaka 27 alilazimishwa kujiuzulu na Waingereza akiwa Paris, Ufaransa, ambako ndiko pia alikofia miaka saba baadaye.

Пікірлер: 9
@buchbeats5337
@buchbeats5337 Жыл бұрын
Shukran Professor kwa kutuwekea sawa tareh yetu ya nchi yetu Zanzibar mana kuna watu wamekamiya kuibadilisha histiriya yetu.
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Жыл бұрын
Asante
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
Shukran sana
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
LOL. "Yule ni Mfalme wa Foto Kopi" na tangu Ukoloni (1964-sasa), "Wafalme wa Foto Kopi" sasa wanatoka Tanganyika.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
SULTAN ALI HAMUD NA PAN-ISLAMISM KUTOKA UTURUKI HADI ZANZIBAR. Ahsanteni sana. Kile kitabu cha Profesa B. G. Martin ninamnukuu: "Thus, the known anti-British attributes Ali bin Hamud, his strong sympathies for the Pan-Islamic movement, and his friendship with the Sultan of Turkey might well have overcome his slight sympathies for the Germans to the extent that he uphold (Muhammad bin Khalfan bin Khamis al-Barwani) Rumaliza's schemes for an uprising in former Zanzibar mainland territory. Another significant point that would argue for the popularity of Pan-Islamic ideas among Zanzibari Muslims was the naming of Abdul al-Hamid II as Caliph in the Friday bidding prayer on Zanzibar and mainland, even after it was under German control........Then too, Zanzibar had a Pan-Islamic newspaper in Arabic AL-NAJAH (The Success) with a good a number of subscribers." (Source: B. G. Martin (1976). Muslim Brotherhoods in the 19th Century Africa. Cambridge University Press. uk. 175).
@gambofamilyafrica8147
@gambofamilyafrica8147 Жыл бұрын
kumbe mambo ya vijana kuathirika na mambo ya kizungu yalianza zama hizo , kazi nzuri Sheikh Hassan , hongera sana , natokea Pwani ya Kenya .
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Pan-Islamism na Islamic Modernism ni moja ya sababu ya Mapinduzi dhidi ya Uislam wa Zanzibar. Sio Usultani kama tulivyopotoshwa na tukapotosheka.
@lenniefei6710
@lenniefei6710 2 ай бұрын
Kitu kinachonikwaza na kuniuma hadi waleo ni kwanini Sultan Jamshid Al Busaidi na Mohd Shamte waliuza mwambao kwa nchi ya Kenya bila kuhusisha watu wa mwambao (Mombasa) wenyewe na kutuletea madhila makubwa kwa kupoteza ardhi zetu, biashara, tamaduni, na kadhalika hadi leo hii 😢😢😢😢
@mahamedsalimali671
@mahamedsalimali671 Жыл бұрын
Assalam alaikm nimefatilia ktk kipindi kilichopita ilitajwa habari ya reli ambayo ilijengwa na said barghash zanzibar lkn ktk kipindi hichi pia imetajwa kua imejengwa ktk kpndi cha sayid Ali bin humud sasa hapo sijaelewa imejengwa mara mbili au sikuelewa?
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,6 МЛН
Waziri wa Mafuta wa Oman alivyolonga Kiswahili kama Mbongo IKULU
7:59
KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA
2:33:49
MASHEIKH WAVURUGANA KWENYE MSIBA WA DIDA
42:49
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 547
2. Zanzibar Waarabu Si Wageni
7:36
MzeeBarwani
Рет қаралды 29 М.
PITIO LA KITABU: Maisha Yangu cha Khamis Abdullah Ameir
1:10:58
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 10 М.
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН