TAREIKH YETU, MSIMU WA TATU (SILSILA 19): Sayyid Khalifa II aliyetawala muda mrefu zaidi Zanzibar

  Рет қаралды 4,200

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Жыл бұрын

Sayyid Khalifa bin Haroub ndiye sultani wa Zanzibar aliyetawala muda mrefu zaidi Zanzibar kwa kudumu miaka 49 madarakani, na mbali ya Sayyid Said bin Sultan, ni yeye tu ambaye kiti chake kilirithiwa na mwanawe kisha mjukuu wake.

Пікірлер: 32
@msabahaali758
@msabahaali758 Жыл бұрын
kiukweli wazanzibar tukae tujitathmini nchi hii ilioofika leo tunasherehekea ufunguzi wa masoko na maduka darajani wakati nchi yetu ilikua inafanya mambo makubwa sana
@suadbarwani4117
@suadbarwani4117 Жыл бұрын
Ahsante sana Bwana Riadh na Bwana Mohd Ghassani. Sayed Khalifa alikuwa Ahsan ya mtu mie mdogo namkumbuka akipita na Gari nyekundu akitowa mkono kwa watu. Babu zangu Bwana Mohsin bin Ali na Bwana Mohd Said maisha wakenda kumuamkiya. na alipokufa ilikuwa msiba mkubwa sana .
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Mimefurahi sana na msisitizo wa Sayyid Khalifah kukhusu Elim na khutba yake ya ufunguzi wa Skuli kusisitiza mafunzo ya Dini ya Kiislam.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Baada ya Mapinduzi Mbu walirejea na Mafunzo ya Kiislam yakaondoshwa, Kuran ziliitupwa bahraini na nyengine zilichomwa kabla Nyerere kulazimisha Zanzibar Haina Dini (Uislam) Kikatiba😂
@suadbarwani4117
@suadbarwani4117 7 ай бұрын
Ahsanteni sana kwa kipindi hichi.kinachoeleza Historia Utawala wa Sayed Khalifa Mwenye Enzi Mungu Amrehemu Inshaallah bila shaka yupo katika Janat Alfirdous. kwa Mpenzi ya watu wake katika Watani wake Unguja, Jepo kuwa tuĺikuwa wadogo nakumbuka vilianguka vilio kwetu Baghani watu wakakusanyika kwa Bibi yetu Mama ýake Sheikh Ali Muhsin. Ahsante tena Riadh AlBusaidi na Mohammed. Ghassani.
@HusseinMohammed-kk9ts
@HusseinMohammed-kk9ts Жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi na amsamehe kila alipokosea amin
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 Жыл бұрын
Jazaka Allah kheir shk riadh na Mohamed naomba hii hadithia iendelee tuu tunanufaika na hekaya hizi
@saidkhalifa34
@saidkhalifa34 Жыл бұрын
Namimi poa Naitwa Said khalifa sijui nitakuwa kama yeye wajina wangu😢❤
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 Жыл бұрын
Mashaallah ilivokua zanzibar hasara
@saidkhalifa34
@saidkhalifa34 Жыл бұрын
Mashallah Twayyb Wazee walipita kumbe ee hapo Awali Allah Awalipe khery
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Жыл бұрын
Historia mzuri
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 Жыл бұрын
Leo mtu aliechangia kujengwa mji huu anafutwa kwenye history na kupandikizwa waharibifu kama Ndio wakombozi history inajirudia
@mwalimuali1850
@mwalimuali1850 Жыл бұрын
Allah atufanyie wepesi juu kila hali
@kassimhaji1141
@kassimhaji1141 Жыл бұрын
Machozi yanataka kunitoka tulivokuwa tumeendelea zamani tulikuwa tuna elimu yetu ya juu Africa na afya ya juu mpaka mafuta yalitafutwa dah! Saivi tumerudi nyuma maskini wa kutupwa innalillah
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Жыл бұрын
Subuhana Allah
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Жыл бұрын
Sawa
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 Жыл бұрын
Assalam aleiykum Warahmatullah Wabarakatuh Sheikh Riyadh na sheikh mohammed Tunaomba zaidi tupate Vitabu vya history ya kweli ya zanzibar wakati wa kifalme kabla ya mapinduzi manake tumepotoshwa Saaana maskuli
@lenniefei6710
@lenniefei6710 14 сағат бұрын
Sultan Said Khalifa aliifnyia makubwa Zanzibar japo kuna watu fulani wanadai alikua Kibaraka, Jee hawa viongozi walioko leo ambao 'sio vibaraka' wamewafanyia yepi waZanzibari ???????????
@mohammedkhkombo4439
@mohammedkhkombo4439 Жыл бұрын
Asalam alaikum nataka vitabu je mnapatikan wap Zanzibar?
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 Жыл бұрын
Tunaomba vitabu vya kiengereza, kiswali na kiarabu kuhusu tareikh yetu tunaliomba hili tupate kujua history yetu na huenda ikasomeshwa maskuli
@saadnaim5518
@saadnaim5518 Жыл бұрын
Assalamu alaykum Sheikh Mohammad mimi naomba unisaidie kukipata hicho kitabu cha Tarehe ya Zanzibar Kwa ihsani yako Shukran
@riyadhalbusaidi
@riyadhalbusaidi Жыл бұрын
Waalaikumu Ssalaam Bw. Saad. Nisamehe nakujibu kwa niaba ya Sh. Mohammed. Bado sikuandika hicho kitabu cha Tarehe ya Zanzibar. Haya yote ni maelezo niliyoyakusanya kutoka kwa wazee na baadhi yaliyoandikwa na wana historia, zaidi yao ni wazungu. Katika hizi Silsila mimi nazungumza mengi ambayo hayakuandikwa wala hayajulikani hivyo. InshaAllah Mungu akinipa umri na khatua nitayatia katika kitabu ili tuihifadhi Tareikh Yetu.
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 Жыл бұрын
Nimecheka eti baada ya mapinduzi wakarejeshwa upya
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 Жыл бұрын
Hukuizungumzia sarafu nasikia kulikua na sarafu ya sayid khalifa
@riyadhalbusaidi
@riyadhalbusaidi Жыл бұрын
Hapakuwa na sarafu ya Sayyid Khalifa. Sarafu ya Dola ya Zanzibar aliiweka Sayyid Barghash bin Said katika ufalme wake ulionza 1870. Pesa hizo zilitumika kwa miaka mingi khususan ile "pesa moja"
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 Жыл бұрын
@@riyadhalbusaidi shukran jazaka Allah kheri Allah akupe wepesi uzidi kutuelimisha maana tulikua hatuyajui nimepta kujua mengi kutoka kwako
@kassimhaji1141
@kassimhaji1141 Жыл бұрын
Kwa iyo sheh riadh utawala sayyid khalifa bin haroub yeye alikuwepo na ana umri gani saivi
@riadhalbusaidy
@riadhalbusaidy 22 күн бұрын
Umri wangu hivi sas ni miaka 82
@salehabdullahsaleh.5090
@salehabdullahsaleh.5090 9 ай бұрын
Nauliza....Katika utawala wa Unguja, lini ilianza kutumiwa lugha ya Kiswahili, ktk silsila za Watawala wa Kiarabu tokea Oman....?
@shaabanideauniversal6591
@shaabanideauniversal6591 Жыл бұрын
Assalaam alykum Nataka kumuuliza sheikh Riadh swali moja. Je ni mwaka gani daraja la mjini lilivunjwa na kufukiwa maji ya bahari kutokea funguni hadi huku Mnazi mmoja? Na je ni yeye Sayid Khalifa ndo alisimamia huu ujenzi wa barabara hiyo?
@riadhalbusaidy
@riadhalbusaidy 22 күн бұрын
jambo hilo limefanywa na serikali ya mapinduzi . Kwa hivyo awaulize watu wa serikali hiyo.
@binabeidsalim6380
@binabeidsalim6380 Жыл бұрын
الشيخ بوسعيد ، هذا ليس تاريخنا ، هذا هو تاريخ المستعمرين الذين جاءوا لاستعمار قارة شرق إفريقيا
RAIA SABA WA OMAN WANAOFANYA UTALII KWA GARI WATUA ZANZIBAR
5:55
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 11 МЛН
HII NDIO SABABU WAISLAMU 25 KURITADI
10:19
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 14 М.
Je, Wairaqw wa Tanzania wana asili ya Kiarabu? | GUMZO NA WALIMU WETU
13:49
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН