Hongera mama nakupenda Allah akusimamie insha'Allah hongera Sana
@olaislukumay2208 Жыл бұрын
Huyu mama Mungu ambariki sana
@pastormgeni5714 Жыл бұрын
Mungu akumiminie neema nyingi na baraka. Umetoa hot points. Tuungane kwa nguvu moja. Watanzania tunaweza. Lazima tuufundishe ulimwengu. Well done. Ila tunaomba uwajibikaji wa dhati ktk ukweli na uwazi ktk tatizo hili mtambuka la unyanyasaji kwa watoto na ushoga kwa upande wa serikali, taasisi za kidini, mifumo ya sheria Kali, jamii na familia zetu. Tunaomba ushirikiano. Ahsante sana. Mungu atusaidie ktk vita hii. Bunge ni chombo kizito tupo tayari kuwaunga mkono. Tupo pamoja sisi wananchi.
@lucyjeremia1381 Жыл бұрын
Mama umeniliza Sana Mimi😭😭😭😭😭Mungu akurinde Sana Mama umeongea kwa hisia Sana
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Strong speech dear madam Mungu akubariki Umeongea na malipo yko Utayakuta mbele ya haki Ameen
@Hasnspop Жыл бұрын
Oh hallelujah mama mungu akubaliki ushoga sio
@KingOrongoro Жыл бұрын
Barikiwa sana Mama yangu 😢🙏🏿❤️
@davidgustavkomba2521 Жыл бұрын
What a speech madam👏👏👏 tell them, binadamu atoe fursa kwa binadamu mwenzie
@MasterJonass10 ай бұрын
Kwann hivyo kaka
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Oooooo hear you mom be blessed and Glory be to Almighty God Praying for Tanzanian East Africa God is Able Will heal us In Jesus Name
@dorothyannan8184 Жыл бұрын
Ukinyamaza leo kwa sababu tu watoto wako wako salama, kesho yaja na watoto wako hawatakuwa salama, watamezwa na jamii iliowazunguka.
@habibndyeshobora6848 Жыл бұрын
Nimejikuta nalia sana , huku nikifurahi kuona WATU Wa aina hii wapo , HONGERA SANA MAMA watanzania wote ,Afrika ,tuhamasike kufikia kiwango chako au tupite!!!! Muda ni Huu !!!! Ahsante sana !!!!!!
@deoluma1706 Жыл бұрын
Stay blessed mama..
@abiasifredrickdima3255 Жыл бұрын
Huyu Mbunge wa iringa jamani apewe ulinziii ,🙌🙌🙌 anajiamini
@OnesmoCharles-oe1hx Жыл бұрын
Hongela Sana mama. Mungu akulinde Sana amina
@alisonimpaji615 Жыл бұрын
Mungu aku bariki mueshimiwa wewe ni mama Bora lakini wewe ni mtoto Bora katika familia yako .mungu aku tangulie katika kazi zako
@bensabuni5319 Жыл бұрын
Sema huyu madam anajua sana mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele ungekuwa mbunge wang hadi raha sana sema kuna huyo mbunge wang kazi ni kulala tu mbunge anazingua sana
@malachimassawe1160 Жыл бұрын
Thanks a lot hon msapvata pvangu accelerate there. You're getting it right God bless you
@lewismpangala927 Жыл бұрын
God bless you mama Africa
@yustinmbilinyi671 Жыл бұрын
Mungu akubariki saana sana Mtumishi wa serikali na Mtumishi wa Mungu
@pichunakichuna2111 Жыл бұрын
May God bless you mum ❤❤❤❤
@paskomilesjohn5892 Жыл бұрын
Be blessed... mama
@sadikiissa7756 Жыл бұрын
Safi sana. Tupige vita mila za Kizungu.
@agnessjohn5159 Жыл бұрын
Thanks mom,umenena vyema God bless you
@hulilodonard5524 Жыл бұрын
Asante umesema kamakiongonzi,kama mama,kama mtanzania mungu akubariki.
@saimonlaizer2732 Жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe mama.
@mpendajrtz7460 Жыл бұрын
🙌🙌🙌Let say thanks mother🙏🇹🇿🇹🇿
@ibrahimkhamis9699 Жыл бұрын
Mama hongera sana kwa kutetea haki na uhai wa watoto wetu.
@NovathPanga-me7el Жыл бұрын
Mungu akulinde mama
@kassimtanzania5901 Жыл бұрын
Asante Mama Mungu akubariki
@ReaganHaule-li9qs Жыл бұрын
❤super women
@esperancenathali Жыл бұрын
Mama alikuwa very emotional 😭 kweli hii ndio TZ ninayo ipenda jamani km pacha wa JPM hivi wala hapakuwa wa taharifa they let her talked hadi to the end na gift juu all of them imewagusa ila wengi wao niwaoga mno ila pia ukweli wanaujuwa
@hosseasimon3887 Жыл бұрын
Mama umenena, Mungu akubariki naamini umenena toka rohoni
@rosebwenda5099 Жыл бұрын
Barikiwa sana mama 🙏
@maryaugustor6983 Жыл бұрын
Safi Sana Mama smart woman like you where thanks very much dear.
@puttenyanthony9284 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mama.
@mikelaurence1582 Жыл бұрын
Hongera sana Mama,umenena vyema Mama,
@neemaloy889 Жыл бұрын
Hongera mtumishi wa Mungu umesema yoteee
@abiasifredrickdima3255 Жыл бұрын
Pole Sana mama umenitoa machozi pia😩😩😩🙌🙌🙌🙌
@hemtoyemlalo9104 Жыл бұрын
Asante mama
@mkemiakazini5263 Жыл бұрын
Mama wa bufee umetisha sana
@majaliwamwamengo8604 Жыл бұрын
Ubarikiwe uendelee hivohivo MUNGU akutie ujasiri said nami nakuombea
@dianerditto Жыл бұрын
Huyu mama ajengewe sanamu lake katikati ya bunge 😭😭😭
@linacharles3583 Жыл бұрын
God bless you maa,hata wengine wakinyamaza kwakuwa umesema Mungu atalisimamia ulilosema and Tanzania will be exempted from this evil agenda in Jesus name
@usumanezana1775 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukulinda mama na akujalie mema zaidi hilo ni jambo la ukweli mtupu
@agricolamwageni5471 Жыл бұрын
Waoooh Mungu akukumbuke mhe.
@officialhammy5872 Жыл бұрын
Well delivered
@PastoryMfipa-cp2kx Жыл бұрын
Mungu akusimamie mama
@miami0925 Жыл бұрын
Mama hongera sna ila watanzania Kuna MUNGU na mungu anakua hapendi mambo alokataza tena kw saut kubwa hlf tukafanya mzaha jueni mungu ypo Ataleta mtihani tuanze Kuja kuanza kutfta nan alosababisha tzameni uturuki mfano mdgo mungu kawapa mtihani he sie hapa kataeni ushoga Tanzania 🇹🇿 tunaweza kuishi bila wao si lazma kuiga tamaduni zao cc tna zetu ten nzur paka tunaonewa choyo na mataifa tofaut
@emanuelkaroli2817 Жыл бұрын
Mmmmh mama ameongea kwa hisia sana.🇹🇿🇹🇿
@suleymanally1465 Жыл бұрын
Hongera saaana madam, wabunge igeni mfano huo, ongeeni bila woga kuokoa taifa letu, pesa zitatuponza ndg zangu.
@jasiriasili3694 Жыл бұрын
Amina uko sahiii mama tukemea kabisa kwa nguvu zote mama
@callmelwizz553 Жыл бұрын
Asante mama 🙌🏿
@bcozhenry2698 Жыл бұрын
Asante sana mwanamke wa shoka!
@solomonpeter1824 Жыл бұрын
Mungu wa Mbinguni akuinulie kila lililo jema
@obadiamhagama1281 Жыл бұрын
Damu ya YESU ikufunike mama.❤
@sarahmwakisu2702 Жыл бұрын
Hongera sana Mh. Msambatavangu mbunge wa Iringa mjini kwa mchango wako uliosheheni upendo wa kutetea vizazi vyetu kutoka kwenye laana ya usodoma na ugomola " hakika bunge likikaa kimya juu ya uharibifu huu mkubwa MUNGU atainua mawe ndo yakemee uovu huu!" lakini wewe umemaliza kazi yako huna deni mbele za MUNGU na MUNGU wa mbingu na nchi akubariki kwa kuitetea kazi yake.
@dorcasdarshin8976 Жыл бұрын
Asante mheshimiwa mbunge wa iringa
@hawagondwe2056 Жыл бұрын
Huyu mbunge ni kivmchwa mungu akutunze mama
@josephatdunda1937 Жыл бұрын
Safi san mama🤝👏
@maherzain2555 Жыл бұрын
Ilibidi wabunge wasimame kuunga mkono ila wengine wapuuzi tu, big up mama Allah aendelee kukusimamia ktk hili
@mathiasswai7006 Жыл бұрын
Super woman, nice speech
@afransinakibuga7924 Жыл бұрын
Sahihi dada jeska
@batonbernald9164 Жыл бұрын
Good spoken
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Asante sana my mm, hata mm naona kama serkali inajua hili jambo, ndo maana hatuoni jitihada za kukemea hili jambo.
@sniper93999 Жыл бұрын
Serikali inaogopa kutamka na ikitamka inatamkia kimafumbo
@rehemamusa8199 Жыл бұрын
Asante.sana..Kemnay.kwa.nguvu.hata.humo.wapo.
@dcampafrica Жыл бұрын
Sema mama 👏👏
@abuumtoa2336 Жыл бұрын
Well said MP,,, super woman
@mligostephen3278 Жыл бұрын
Hakika wewe nikiongozi, God bless you.
@abbasouko3143 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana MAMA YANGU
@valiantmdao57 Жыл бұрын
Nice
@dicksonmhenuchi6098 Жыл бұрын
Mama ameonge kwa hisia Kali sana hakika imenigusa😭😭
@toumajaan7879 Жыл бұрын
Nice say
@abdallahkaskas6168 Жыл бұрын
Allah atakulipa Mama kwa kukemea Uovu......❤❤❤❤
@abdallahkaskas6168 Жыл бұрын
Umenigusa sn Mama angu...😢😢
@aimpaul7214 Жыл бұрын
Serikali itupe go ahead kuhusu hawa wasenge tuwashugulikie sisi wananchi
@kastomwaipopo1763 Жыл бұрын
Mama Asante Kwa kutusemea 🥺
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Peter msingwa angalia mama Yuko vizuriii
@babudicky Жыл бұрын
Nakubari sana kemea kwa nguvu zote huu ni ushetani Tanzania autakiwi
@brmtvtibaasili8289 Жыл бұрын
Nimempenda bule huyu mama
@hk_ballers Жыл бұрын
Safi sanaaaaa
@zenobiakapere1379 Жыл бұрын
Doo mama umenikosha sana,big up.
@frankkimaro3477 Жыл бұрын
Mama mungu akulinde umeongea ukwel hii tz imekua kichaka cha maovu ya ndani kwa ndani,hata Arusha wanafuzi wamekutwa wakiwa hovyo wengi sana,chamuimu serikali iweke xheria Kali kwa atakae kamatwa.
@dorothyannan8184 Жыл бұрын
Powerful words.Find a wisdom to help our children.
@subiraibrahim8100 Жыл бұрын
Kuna mmoja katoa ruksa wafanyiane wakubwa ila watt wawaache😢😢😢😢iyo speech sjapenda
@AbubakaryAbdallah-gs7cw Жыл бұрын
Really
@chikuyussuf8429 Жыл бұрын
Hapo mlipoanza kuzunguka huko kwenyekuomba ndyo mkaambiwa kuingie katika ndowa ya jinsiya moja
@dostovan5142 Жыл бұрын
Huko mama anakozunguka kupata pesa ndo Kuna shida huko,
@subiraibrahim8100 Жыл бұрын
Naked truth I appreciate
@mwinjatheson2367 Жыл бұрын
Eee Mungu baba mlinde na kumuinua Mama yetu kipenzi
@williumpink Жыл бұрын
safi sana mama sema ukweli
@kapondazenaida-nq5hk Жыл бұрын
Pongezi nyingi mama umeongea kwauchungu mungu akusimamie namisimamo yako
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Unamsikiliza huku unatoa MACHOZI kwa kweli mama Mungu AKUBARIKI SN meseji sent and deliver
@godfreystanlaus Жыл бұрын
Ooooh jaman huyu mama ametumwa na mungu na sio vinginevyo tushikamane kuhusu hili akika tutavishika vita hivyo vya shetani mungu tutangurie
@NasraAbdallah-wb9iq Жыл бұрын
Safi sana mama
@kudramurtallah6069 Жыл бұрын
Mama apewee uwazirii mama samiaa mtazame huyu mama
@cooler3263 Жыл бұрын
❤
@elineemajulius9375 Жыл бұрын
👏👏👏
@maherzain2555 Жыл бұрын
Huyu mama daah, wanairinga mna mtu Wallahi
@rosemery5751 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@shakilaabdallah7890 Жыл бұрын
Daah umeongea point mama vijana wetu wanakwishaa kizaz kinapotea