EXCLUSIVE: TAZAMA WASIFU wa IBRAHIM LIPUMBA/PROF. MWENYE AKILI NYINGI TANZANIA/ELIMU YAKE INATISHA

  Рет қаралды 11,225

SAN TZ MEDIA

SAN TZ MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@SaumHaji-l1r
@SaumHaji-l1r 11 күн бұрын
Big up profesa lipumba Mungu akupe afya
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 2 ай бұрын
Mfalme wa Simulizi ilitakiwa uwaunganishe Kikwete na Lipumba ambao ni watani mkwere na mnyamwezi ukionyesha mahusiano yao kama wanasiasa. Ingenoga zaidi.
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Shukrani sana,Tutafanyia kazi Maoni yako🤝
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 3 ай бұрын
Big up prof wa ukweli
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
💪
@mrishojuma4857
@mrishojuma4857 3 ай бұрын
Mtu smart sana. Namkubali mno
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Professor Hana Mkuu💪
@suleymanomary6694
@suleymanomary6694 3 ай бұрын
Tanzania hatutumii watu wenye uwezo wa kuishauri serikali katika masuala ya kiuchumi kama huyu jamaa, Ibrahim lipumba yupo vizur sana kiuchumi
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Excellent 👍
@akimuabdallah8039
@akimuabdallah8039 2 ай бұрын
Tumepoteza mtu muhimu kwa siasa za kipuuzi
@SomoeKhasani-q6x
@SomoeKhasani-q6x 3 ай бұрын
Simama imara na siasa dunia ni mapito lkn haki ipo kwa mungu
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
💪💪
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 3 ай бұрын
🎉elimu ya madaftarini kweli lakini ya UCHA MUNGU HANA
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
🤷
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 3 ай бұрын
Ni mwanasiasa gani unayemjuwa ni mcha Mungu?
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 3 ай бұрын
MTU wa hovyo sana...
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Kwann?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 3 ай бұрын
Naona wewe na Watanganyika walio wengi ndio wa hovyooo!
@AnuariSatari
@AnuariSatari Ай бұрын
Kama ni. hovyo na wewe je tanzania nzima Kuna yoyote is huge mrema au mower lakini tabor Kuna Shuler Ibrahim lipumba
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Ай бұрын
@@AliSalim-yu4mo @kama anayoyasema yanatoka moyoni alitakiwa pale aje na familia yake na vijana wake waongelee kinachoendelea na sio kutoka yeye na kuwalaumu vijana kwa nn ni waoga...anze na vijana wake awatake watoke waongee...
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 3 ай бұрын
Haenda i na sifa mnazompa na yaliyo moyoni mwake Msaliti wa kisiasa kwa maslahi yake binafsi na sio kitaifa Atueleze ilikuwaje kishindo cha kukubalika kwake kisiasa kuporomoka na hadhi yake kisiasa kupotea HATUMSIKII TENA HUKO BAADA YA KU KUISAMBARATISHA CUF
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
🤷
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 3 ай бұрын
Umesahau pia ni kibaraka wa CCM kwa kujificha kwenye kivuli cha CUF
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Nimekupata @MfalmeKaitaba2425 Mtu wangu wa Nguvu kabisa👏
KUMEKUCHA !!!
20:16
Oliver Paul Tz
Рет қаралды 28 М.
Car Bubble vs Lamborghini
00:33
Stokes Twins
Рет қаралды 32 МЛН
Wait for it 😂
00:19
ILYA BORZOV
Рет қаралды 11 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 123 МЛН
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,7 МЛН
{الحراق}(56) الموريتاني The Mauritanian
21:22
أحمد بحيري
Рет қаралды 227 М.
Car Bubble vs Lamborghini
00:33
Stokes Twins
Рет қаралды 32 МЛН