EXCLUSIVE: MJUE "ABDURAHMAN KINANA" MAKAMU MWENYEKITI na KIGAGULA wa CCM/MKE/WATOTO/UMRI

  Рет қаралды 21,581

SAN TZ MEDIA

SAN TZ MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@usafiaps318
@usafiaps318 3 ай бұрын
Aishie Tu.
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 3 ай бұрын
Nchi yetu hatuwezi kuendelea kulingana na nature ya viongozi tulionao
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 28 күн бұрын
SOMALIA,DUH!!!!😢😮😮
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it 5 ай бұрын
Hapo nimechoka sana
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
😆
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 5 ай бұрын
Kupata vyeo Vingi duniani havina maana bila kutenda haki kwani mambo yote yanabaki duniani.
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Sahihi kabisa
@George-jz3jg
@George-jz3jg 5 ай бұрын
Kumbe ni jizi toka somalia linaifilisi sana nchi yetu
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
🤓🤓
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 ай бұрын
Jizi mama yako msenge wewe mbaguzi huyu ni mwafrika mwenzako mbona waraarb na wahindi mnawalamba matako shenzi sana
@johnmalale3860
@johnmalale3860 5 ай бұрын
Dah;! Kumbe ni msomali kabisa jamaa;!
@nestor384
@nestor384 5 ай бұрын
Nonsense i remember nothing good, I remember the best Dr Bashiru Ally
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
😥😥😥
@epimackjohn461
@epimackjohn461 3 ай бұрын
Historia ya huyu haina LADHA !
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 5 ай бұрын
NAIJUA HIYO KINANA NI MSOMALI,TENA SHAWELEY.hawa kija zamani Tanzania babaake alikuja kabla ya uhuru lkn ktiba ina sema mtoto mzazi wake akiwa si mtanzania na yeye si raia
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
😆
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 5 ай бұрын
Generali ulimwengu pure bantu anazinguliwa uraia wake wakina kinana wanapeta
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
😂😂😂 😂 lakini kumbuka kinana Amezaliwa Arusha " hvy katika umri Aliokuwa nao ,Alikuwa na uwezo wa kuchagua Uraia ni nchi gani Angependa kuishi
@alimuse6980
@alimuse6980 5 ай бұрын
Ichi yenyewe ni mashoga na wauza madawa ya kulevya duniani maskini wa akili mdomo mrefu
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 5 ай бұрын
Mfanya biashara zipi??
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
``Kama tulivyosema Awali ,Kinana Mala nyingi huwa Hapendi kuweka vitu vyake hadharani,hivyo Sisi tunaheshimu maamuzi yake
@ahamadarashid8797
@ahamadarashid8797 3 ай бұрын
Sio mkoani Moshi..ni Kilimanjaro
@d15355
@d15355 5 ай бұрын
umesahau kusema kuwa aliuza ardhi ya tz kwa wafalme wa kiarabu huko loliondo gorge
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Vyote hivyo katika Wasifu wake hatujaviona "Imekuwa Vizuri na wewe kuelezea hisia zako"
@d15355
@d15355 5 ай бұрын
umesahau kutaja biashara yake ya meli na ile iliyompatia utajiri mkubwa ya kuuza pembe za ndovu nje kama ilivyo kawaida ya wasomali wenzie
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
😂😂 Hayo Sisi Hatuyafahamu !!
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
​@@Santzmediakwani ni uongo Iko wazi haramia likubwa hili
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 3 ай бұрын
​@MiriamAbdallah Asante kwa kutujulisha,uwe tayari tu kutoa ushahidi mahakamani pale tutakapokuhitaji. Tutakuomba utoe ushirikiano ili haki ibainike
@George-jz3jg
@George-jz3jg 5 ай бұрын
Ccm ili ifanikiwe lazima iongozwe na majizi kama kinana
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Punguza ukali wa maneno " Hauko peke yako
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 3 ай бұрын
Kakuibia nini?
@chazjerome9999
@chazjerome9999 5 ай бұрын
Eti Mkoani MOSHI,Daaaaah Kweli We FALA Ni KILAZA
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
🫣
@JosephuSwai
@JosephuSwai 5 ай бұрын
Kweli kilaza
@Masele85207
@Masele85207 5 ай бұрын
Mkoani Moshi ndio wapi, mazuzu kama nyie ndio mnaochangia wanafunzi wetu kufeli
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Jitahidi kutumia lugha salama hata Kwa kizazi chako cha baadae pindi watakapo Iona video hii , wakisoma kitu kupitia comment wajifunze kitu kupitia wewe nasio Utumbo uliouandika hapo
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 ай бұрын
Nchi hii tunasumbuana na wakimbiz kumbe
@d15355
@d15355 5 ай бұрын
pia umesahau kusema kuwa mama yake ni msomali pure nababa pia
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Ukisikiliza Vizuri Mwanzoni mwa Makala hii Tumemuelezea Vizuri "Baba Yake Mh; kinana
@nuhumwaisanila2217
@nuhumwaisanila2217 3 ай бұрын
Msomalia kumbe haende kwao
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
😆😆😆
@sharifahmed7346
@sharifahmed7346 Ай бұрын
Wewe mpumbavu sana fikiria kabla ya kuongea akili tope
@halimamasai2234
@halimamasai2234 10 күн бұрын
We ni msenge sana
@abdirahmanmohamed3814
@abdirahmanmohamed3814 5 күн бұрын
Wanaopigia kelele wajue ni wajinga tu, hakuna aliyochagua wapi azaliwe, acheni ubaguzi
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 5 ай бұрын
Huu utamaduni wageni au sijui niite wahamiaji kupewa madaraka makubwa hapa nchini kwetu ulianza miaka mingi, nakumbuka tulikuwa na waziri wa fedha mhindi watu wazima wanafahamu. Na wapo wengine wenye madaraka makubwa tu, siyo wazawa. Mimi ndiyo nafahamu leo kwamba Kinana siyo mzawa..!!! Haya bana mi sielewi..
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Kinana Amezaliwa Tanzania " Mzee wake ndio mtu kutokea Somalia" hivyo kinana Alikuwa na option Achague kuwa Mtanzania au Awe Raia wa Somalia!!!
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 ай бұрын
We acha ubaguzi msenge nini kwani msomali si mwafrika mkundu we mbona mnawakaribisha wahindi na wa arabu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 ай бұрын
Msomali ni mtu hodari na wala hawaogopi ni majemedari
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 4 ай бұрын
Heh, basi yaishe jamani matusi ya nini Tena..!!! Kumbe nimechokoza mijichawa..🤣🤣🤣🤣...samahani nimekoma sirudii Tena..!!!
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 ай бұрын
@@jumakisailo8496 Ndo ukome leo watanzania tukichunguzana wazawa watakua wachache sana hasa tunao pakana na nchi jirani
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 2 ай бұрын
Somaria ndio nini wewe,jifunze lugha.
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Shukrani kwa Maoni mkuu ntafanyia kazi hilo
@albertjames6845
@albertjames6845 5 ай бұрын
Hakuna mkoa unaoitwa Moshi acha upumbavu
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Sawa
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Wasafi Media
Рет қаралды 48 М.
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 11 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 30 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 16 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
NONDO ZA MZEE WARIOBA MBELE YA RAIS SAMIA KUHUSU HAYATI SOKOINE
19:28
NGAI AGUTIGWO MWENA WA RIGATHI GACHAGUA 😳😳
33:16
kigoocofm kenya
Рет қаралды 12 М.
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 11 МЛН