Huu wimbo unanigusa sana ninapokumbuka Marehemu Baba Yangu ninapata Tumaini la kuonana naye Pale Kristo atakaporudi mara ya pili Pale panda itakapolia asubuhi njema Ya faraja Hakika #TutaishiTena
@larckybinhaider60502 жыл бұрын
wa kwanza kuangalia na kucoment ila nyie mnajuaga kunibaliki
@vanprostudio2 жыл бұрын
Hahahaha umetisha next time tutakuandalia zawadi kabisa
@sautiyapsamu2 жыл бұрын
Amina
@cinematixmediaproduction29882 жыл бұрын
Mzee baba CUVA HII NI KONKI FIRE BROTHER MOTO FIRE AKZI NZURI VANCOUVER
@chaguaukwelitv11602 жыл бұрын
UJUMBE WA MATUMAINI MAKUBWA. KAZI NZURIIIII MBARIKIWE SANA NYOTE
@themessengertz12372 жыл бұрын
Kama hapa duniani tunaimba hivi jamani Mbinguni Mimi nitakuwa nasahau hata kula hadi Nikumbushwe, Ninasikiliza siuchoki huu wimbo.
@jobmusic40272 жыл бұрын
Ni noma Mr director kazi nzuri
@eliaminimgonja1802 жыл бұрын
Vanpro Mungu akuinue zaidi na zaidi
@finestford0072 жыл бұрын
kwa tuliopoteza ndugu zetu hivi karibuni this is our motivation
@onkeyswithntambi95052 жыл бұрын
Nakuona mwl Kaaree dah! Wonderful🔥🔥🔥🔥
@pilotmomes69532 жыл бұрын
Wimbo mzuri!
@mhogomchungu78822 жыл бұрын
Nimewapenda bure
@vanprostudio2 жыл бұрын
Barikiwaaa
@barakageorge13002 жыл бұрын
Hakika tutaishi tena
@samsonkaleb99652 жыл бұрын
Tutaishi tena, amina.🤝🏾
@isaiahthomas30592 жыл бұрын
#tutaish tena MUNGU akubariki kuva kwa creativity nzur
@suleimannzamilisi9962 жыл бұрын
Aise this is amazing
@miltonkalyembe72442 жыл бұрын
Mungu awabariki sana sauti ya ukombozi, nimewakumbuka sana wanakwaya wenzangu,Mungu azidi kuwatia nguvu katika kazi yake.
Wonderfully scripted, powerful voices. Mbarikiwe sana Sauti ya Ukombozi💯🙏🏽
@joramrugina33832 жыл бұрын
Kwa niaba ya SUK, tunasema sifa zimrejee Mungu aliyeruhusu kazi hii kufanyika
@gloriousnp2 жыл бұрын
Wow Just wow This is a masterpiece ,unique and classical Mbarikiwe mpaka mshangae
@kleinmnibi1322 жыл бұрын
So powerful
@johnsonmboyajr.72952 жыл бұрын
I love the accompaniment so much and the voices.
@themessengertz12372 жыл бұрын
Brother wimbo Mkali sana na vyombo vimepigwa standard ya kimbingu ,Video imeendana na wimbo kwa kweli Mmenibariki sana, Very Powerful and international standard. Mungu Awatumie na kuwabariki mno. by.TheMessengerTz, Evangelist Edward Maringo.
@gracemwangosi90922 жыл бұрын
Amen
@onkeyswithntambi95052 жыл бұрын
Kwel huu ndiyo upigaji wa vyombo ulioenda shule
@jacksonkendavis86892 жыл бұрын
Mungu atukuzwe katika yote
@tumainmichael78952 жыл бұрын
# Be blessed good melody !
@eliasaston2 жыл бұрын
Great job bro keep moving & be blessed
@manjallemaduhu5832 жыл бұрын
This is Amazing work guys. Keep it up team.
@barakagalus162 Жыл бұрын
Human souls are thirsty of sacred music,that has the power to create,music that keepeth our desires highly pointed to JESUS....THANK YOU for # tutaishi tena,,may the lord teach you more and more....GOD BLESS YOU ❤
@DotosamwelErasto6 ай бұрын
Good performance, good appearance,good message and good production.God bless you
@michaelsamwel2465 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, Mahadhi sahihi ya kikristo,ujumbe mkuu sana na wa muhimu kwa wakati hizi za mwisho, ila nashauri katika video kwenye kazi zijazo wekezeni kwenye uhalisia katika upigaji wa ala(kwenye video), Kwa kuwa wimbo ni wa viwango vya kimataifa unatazamwa na wataaalamu wengi
@TERMinistries2 жыл бұрын
heavenly music and nice production
@johnsonchiragi Жыл бұрын
HUU WIMBO UMENIBARIKI SANAA
@elimuathuman46092 жыл бұрын
🔥🔥
@StudioiRisPro2 жыл бұрын
This video is Pro Voices Are Heavenly
@ElizabihuYohana-vg4zh Жыл бұрын
🙋 very good saddness song well done word very good
@dullahiddi69042 жыл бұрын
you do the best,be blessed by Jehovah
@JanethNdimbo-mc5hk Жыл бұрын
Amaizing song❤
@EsromMkurubi Жыл бұрын
Amina Amina
@johnsonchiragi2 жыл бұрын
Wow!! nimeguswa na wimbo huu mtamu. hii kwaya ni ya wapi? wanapatikana wapi?
@ellenndiege53672 жыл бұрын
Ni kwaya kutoka kanisa la Kijichi SDA, Dar es salaam.
@mikemhina96562 жыл бұрын
Blessed....
@vanprostudio2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@ritamoraa17252 жыл бұрын
Amazing work done here..So heavenly giving us hope for another day..mbarikiwe sana
@vanprostudio2 жыл бұрын
Barikiwa pia Rita
@cofelemartini2 жыл бұрын
Amazing job on the scripting, and exceptional work on camera movements!