Sera za Mgombea Nafasi ya Urais TLS 2024 Wakili Emmanuel Muga

  Рет қаралды 999

WAKILI TV

WAKILI TV

29 күн бұрын

#ijuesheria #TlsAgm2024 #TlsElection2024 #tls

Пікірлер: 7
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 28 күн бұрын
Sawa Wakili msomi Emanuel Muga,lakini tunatamani kuona umoja imara wa Wanachama wote wa TLS na tunategemea hutakubali kugombea bila haki ya Wakili msomi Mwabukukusi aliyeenguliwa kupatikana vinginevyo utapita ila hutakua halali kwa wananchi tunaolilia haki usiku na mchana. Muujiza wa Mungu mwenye haki utende kazi, wasipatikane wa kukupa kura za kutosha ukaburuza chama kwa jina la Yesu...
@binsherbal6089
@binsherbal6089 28 күн бұрын
Kama kweli unataka Haki itendeke Kwa Mwabukusi jitoe kwenye Uchaguzi wa Dhulma, vinginevyo na wewe uko upande wa wanaodhulumu Haki. Wewe ni Mwanasheria na unaona kabisa kua mwenzako amedhulumiwa Haki halafu unakubali kuingia kwenye Dhulma, nonsense.
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn 28 күн бұрын
Muga nakuheshimu sana. Naona umeongea mengi kama sehemu ya kampeni yako. Being Honest unadhani Mwambukusi anahitaji kuongea yote hayo? shughuli zake zimeshaonekana so haitaji kujiuza kama hivi, kwavo ili kulinda heshima yako, ungejitoa mana huna ubavu wakuchuana na mwamba. By the way, unapotangaza Sera zako Hali ukijua mwafaka wa mgombea mwenzio haujapatikana unamanisha nini? Kwamba unaunga mkono haya alotendewa ama?
@kagombaEnok
@kagombaEnok 28 күн бұрын
Umezaliwa mkoa Kagera wilaya gani??
@George-jz3jg
@George-jz3jg 27 күн бұрын
Tangu nianze kuisikia hiyo taasisi inaitwa TLS sijawahi kuoina kazi ya maana inayoifanya zaidi ya kuwa naiona inakuwa ni chawa tu wakushabikia uozo wa serikali
@George-jz3jg
@George-jz3jg 27 күн бұрын
Mawakili wanafungiwa TLS ipo kimya, Mikataba ya ovyo kama ule wa bandari TLS ipo kimya, Sakata la sukari Mpina anakaangwa na kupewa adhabu TLS ipo kimya. Kwahiyo mimi naiona TLS ni gujitaasisi CHAWA gupo tu kama guchama gwa siasa kila baada ya kiongozi akitoka anapigania mwingine aingie ale hizo hela unazozisema
@gallegalleson4427
@gallegalleson4427 27 күн бұрын
Mahakama za tz ! Amesema dalali rostam Aziz wanapigiwa simu wamkojelele wasiyemtaka .😢 pumbavvu ?!!!
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 9 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 114 МЛН
TOFAUTI YA WAKILI, HAKIMU NA JAJI NI HII HAPA
6:55
WAKILI TV
Рет қаралды 8 М.
🔴LIVE: MBOWE,LEMA   wachafua hali ya hewa MKOANI KWA MAKONDA
57:50
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 12 М.
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 9 МЛН