Рет қаралды 4,092
Kwaya ya Mt John Paul II Mbeya inawaalika wote Kusherehekea sikukuu ya christmass kwa kusikiliza wimbo huu "SHANGWE KUBWA" ambao ni wimbo mmojawapo uliomo kwenye albam yetu ya "KITOTO CHA MBINGU"
Wimbo: Shangwe kubwa
Mtunzi: J. Swai
Waimbaji: John Paul II Mbeya Choir (JMC)
#rajoproduction #johnpaulmbeyachoir #nigusebwana #kitotochambingu