Sheikh Alhad muombe sana mungu na ukae kimya kwa vitu vingi
@musakyakuse4713Ай бұрын
Nakupenda sana shekhe wetu na ninawapenda mashekhe wote Tanzania.
@kingsolomn3550Ай бұрын
Huyu sijui ana laana gani. Na daima hatoacha kuabika. Yeye kila siku anajiweka uchi tu. Subhaana llaah. Allah ampe uongofu
@MohamedMawindaАй бұрын
Kila binadamu ni mwenye kukosea,m'bora wa wanaokosea ni mwenye kutubia. Hongera Sheikh na Allah akuhifadhi. Amin.
@TwalibuOmaryАй бұрын
Baada kumuomba Radhi ungemkumbusha atekeleze waliokubaliana
@abdulihamburiАй бұрын
Mashaallah ww msomi nimekuelewa sana alla akulipe sana
@abubakaranwar337Ай бұрын
Mwenyezi mungu akuongoze
@JustinMwanzeniАй бұрын
Inshallah kheir
@SadickMussa-g6hАй бұрын
Allaah akuongoze uifuate haqqi
@yussufrajab9346Ай бұрын
Allah amuongoze! Tusilewe na madaraka na ulwa.. ni ulevi mbaya sana..Hauna dawa.. Mwisho unakuwa kiroja tu kwa watu. Allah atustiri..🙏
@AdamYussuf-bd6shАй бұрын
لا يؤمن احدكم حتى يكون هواه تبعا لما جاء به المؤمن مرآة المؤمن إذا رأى فيه عيبا أصلحه
@ndukulusudikucho_Ай бұрын
Sisi watu wa pwani tunasema Al had Mussa hana Kaba, yaani fridge haligandishi, kifua chepesi, hana koromelo. Sio kila vita anatakiwa apigane. Kwa vile kaomba msamaha tuanzia hapo
@yusrtv2622Ай бұрын
Nyinyi nyote acheni kumlaumu mtu na kumpa makosa wakati kashaomba radhi hakuna hata Moja anae juwa yaliomo ndani ya moyo wa mtu tumchukulie uzuru huyu ni binadamu na nimuslamu tuwache kumsema vibaya hakuna mkamilifu acheni kujifanya wakamilifu sote ni wakosefu sheikh maneno Yako yanatosha kuwa wewe nimtu mwema Allah akuzidishie hikma amin
@yussufrajab9346Ай бұрын
@@yusrtv2622 basi hayaaa
@RamadhaniChakapu-f6xАй бұрын
Sifa ya kibinaadamu kukosea muumba alituumba ivyo lakn pia imewekwa adhabu kwa mkosefu km hatotubia ingawa mi ananipa mashaka ni mkosefu wa mara kwa mara hapaswi kua hivyo hasa ukiwa na nafasi ya uongozi tafsili yake kosa la kiongozi ni baya zaid athali yake ni kubwa kuliko la m2 wa kawaida hafai kuwa kiongozi ukimfuatilia kwa ukarb
@sumakambenga3375Ай бұрын
Hafai kabisa,anaomba msamaha huku anarudia kosa hapohapo."sio ya baba yako Wala mama yako" ndio Nini sasa? Anajiaibisha yeye na uislam kwa ujumla
@swalehemrombo9301Ай бұрын
Sasa we umeona km kaomba radhi hapoo !? Au anaendeleza ufedhuli tuu.!? Muungwana mwenye kuomba radhi ya dhati hasa ndio anaomba.hivyoi.!? Kwa vijembe na kauli za dharau.!?
@yussufrajab9346Ай бұрын
Mwnye kumuamini Allah, aseme maneno mazuri au anyamaze kimya..
@mamuamtotoАй бұрын
Richtig 👍
@hassanali4838Ай бұрын
Hii hadithi yeye haioni
@slimsalim7114Ай бұрын
Huyu inamuuma sana kuondolewa Usheikh wa mkoa kila siku ni vijembe kwnza Hana Hekima mlopo lopo sana angekua bize kufanyaje yake tu
@jumakapilima7295Ай бұрын
Kabisa, yaani anateseka sana,,,
@Kabeya410Ай бұрын
Jamani waislam tuwe na maneno ya hekima ulimi ni kiungo ambacho kitampeleka mtu motoni huyo kweli ni binadamu ni mkosaji kama wengine hata wewe si mkamilifu pia una makosa yako huyu shekh kaongea na kaona kakosea na kaomba Radhi kwa aliemkosea haikutosha kaja ktk hadhara kaomba Radhi pia mbele ya Allah atakua kamsamehe maana yule aliemkosea kamsamehe sasa wewe nani uendeleze hiyo mada sasa kwa kitendo hiki unaonedeleza kitu kinaitwa chuki, husda, na usengenyaji unakula nyama ya mtu.
@MasoudSultan-ks6kcАй бұрын
NJOMBA JIFUNGE BUREKI SHEKH MKUU NI WA AINA YAKE NA WA HESHIMA YAKE VIPAZA SAUTI VISIKUPONZE UMEMALIZA KOSA UMEANZA KOSA JENGINE ALLWA ATUHIFADH
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
Alhad rafkiangu jisomee dua na ufanye adhkar sana . Kaa utulie kidogo, kusema ulimi hauwachi kuteleza
@AishaSelemani-mp9zcАй бұрын
Hakika Asante sana❤
@SaidiAli-n5uАй бұрын
Alhadi hajakosea ila katoa tu siri ya kambi
@musakyakuse4713Ай бұрын
Nakupenda sana shekhe wetu ila neno balaza sio la baba yako au mama yako sio baya lakini ni zito kwakweli.
@KaankarazАй бұрын
Kwanini Bakwata mnaleta maigizo kwenye dini?
@twaibutwabibu8809Ай бұрын
Napenda unavyowai kuomba radhi. Ni jambo jema
@Twahamwela-ch5lzАй бұрын
😂😂😂😂😂 baraza la waislamu sio la baba ako wala la mama ako doh!!! Hataree sana
@kingsolomn3550Ай бұрын
Mwisho wake huyu mpumbavu ni m'baya sana. Iwekeni kwenye frame hio. Mtakuja kunipa mkono.
@SultanSuleiman-qf7cxАй бұрын
Huyu hafai kuongoza hata chekechea
@khadijanurdin3163Ай бұрын
😂😂😂😂
@jumakapilima7295Ай бұрын
Kabisa, huyu mhuni Tu wala sio sheikh
@MudathirSaid-i9eАй бұрын
io tasisi yenu ipo kwaajiri ya kuuwa uislam nakuwaumiza viongozi wenye msimamo
@saidabdillahi8107Ай бұрын
Kufanya makosa ndio ubinaadamu, kama ambavyo Mufti alifanya makosa makubwa kukuozesha mwanawe wa kumzaa "it was terrible mistake"
@OTHMANGEWEZY-g1dАй бұрын
Duuh baba umeua
@Nufaila442Ай бұрын
Ila umesema Ukweli kabisaa
@fazeelshomary8743Ай бұрын
Huyu Mtu ana uchu wa madaraka hivi hafai hata kuwa msimamia wafagizi msikitini, ana kauli za kejeli, kauli za kuchonganisha na kuropoka hovyo
@AishaSelemani-mp9zcАй бұрын
Shekhe zidisha istigh faari tuuu
@SaidMkome-q5tАй бұрын
Uyu c kiazi sasa kuwa ivyo kawaida mana mwanaume kamili awezi kuwa ivyo
@mohamedkhalifa5764Ай бұрын
Hata wakati wa Bwana Mtume walikuwepo Watu kama hawa Aliwazungumzia wakati wake tuwe Makini Nao Waislam
@kijitamfyomi5598Ай бұрын
Mbona hakukua na maneno mabaya alioongea sheikh Alhady?tatizo ni huyu Chizenga anachuki sana na Alhady yani kila atakaongea Alhady sheikh Chizenga atakitafsiri kichuki ili Alhady aonekane mbaya
@IbrahimuLikolinji-ly2tpАй бұрын
Sahihi kabisa
@abdalaseleman921Ай бұрын
Ulimsikiliza vizuri kuhusu uchaguzi wa Mufti? Ile kauli ilikuwa inamtweza Mufti na umufti wenyewe.
@MarjebyАй бұрын
Huyu sio Sheikh jaman huyu ni muhuni kama wahuni wengine tu wahapa Dar es salaam but mie kila siku huwa nasema na hapa narudia tena kuna haja ya sisi waislam kuchagua viongozi wetu pamoja na elimu yao kubwa ya dini but tuangalie na elimu zao za dunia pia itatusaidia tuwaige wakatoliki ukikuta padri anaelimu ndogo basi Degree kwani kwenye uislam kuiga jambo zuri kutoka kwa kafiri sio kitu kibaya
@ramadhanhassan5285Ай бұрын
Uko koote uko sawa ila hapo pakuiga wasiokua waislam sio sawa mana muislamu anaongozwa na kitabu na sunna hayo yote yapo kwenye quran lakini sisi wenyewe waislam baadhi yetu tunaiuza akhera yetu kwa tamaa za dunia tuu nisaw na kiongozi wa dini awe chawa wa chama fulani tena yuko tayari atoe aya au hadidhi ata kama aya hiyo au hadidhi hiyo si mahala pake ili amridhishe kiongozi fulani. Sasa hayo yoote yako wazi mtume amesema yeyote mwenye kuzua jambo jambo ambalo aliko kwenye dini tena mtu huyo akasema jambo hili liko kwenye dini ili tuu dunia yake imnyookee basi jambo atarudishiwa mwenyeww
@KekulebenzeneАй бұрын
Shida kubwa ni kwamba wamesoma dini ila kwa sababu ya njaa Hapo dini haiwezi kwenda mbele Kila mtu ni mpiga dili BAKWATA wote ndio hao hao wapiga dili
@AbdalahMtambuka-rh1dpАй бұрын
balaza lote labakwata akuna kitu bakwata sawa sawa na ccm
@jumakapilima7295Ай бұрын
Huyu ana vita na chuki binafsi na Sheikh Chizenga,,,,,,
@JayndevuNgareАй бұрын
Kbsaa yaan how useme sio la babako wala mamako then badea wasema tuheshim wazaz?
@jumakapilima7295Ай бұрын
@@JayndevuNgare kabisa, kabisa, kabisa,,,,,huyu bwana ana bifu la wazi kabisa, kumbe hafai hata kuwa kiongozi wa dini
@abdulihamburiАй бұрын
Ndg zangu kosa la huyu sheishe liko wapiy? Tuache ushabiki tuwe waadilifu
@SaidiIduriАй бұрын
Huyu maalim najaribu tu kumtazama nje na elimu yake ya dini ni bonge moja la mnafki coz hapo amesoma dini ana unafki wa kiwango hiko imagine anakuwa maamuma km siyee angekuwa mtu wa aina gani
@abuuahmad3238Ай бұрын
Bakwata...what should we expect?
@jumakapilima7295Ай бұрын
Inawezekana huyu anatumia K Vant au bhangi,,
@kivatirokitojo657Ай бұрын
Huyu bwana ana siasa nyingi na kibri, na njaa ya Uongozi anapenda madaraka Sana na ni mtu wa Vita
@jumakapilima7295Ай бұрын
Mjinga sana huyu mtu
@musahassan539Ай бұрын
Ameomba msamaha tumsamehe
@ibrahimrajabu8722Ай бұрын
anaamini tofauti na yeye hakuna
@jumakapilima7295Ай бұрын
@@musahassan539 bado ametoa maneno ya hovyo ya kusema bila adabu kumlenga sheikh chizenga kuwa Baraza sio la babaake
@mohamedumri4176Ай бұрын
IKIWA AKO NA TABIA MBAYA MFUATE AJIREKEBISHE,HAKUNA KIUMBE ALIEKAMILIKA, UKIMTANGAZIA UJUE UKO NA DENI UTAMLIPA MBELE YA ALLAAH.
@sskondopoleani9616Ай бұрын
Kukosa Umekosa, na sijui kama umesamehewa. Uzuri ni kwamba Msg sent, Msg received, Msg read, *Msg UNDERSTOOD*
@mahmoudliwali1919Ай бұрын
Mashallah huyu sheikh ni kiigizo chema ...ALLAH akulinde
@khadijanurdin3163Ай бұрын
Aaah!wap?
@KekulebenzeneАй бұрын
Kiigizo chema kwa wapumbavu wenzake. Hamna sheikh hapo
@AbdirahmanMgayaАй бұрын
Jamani mkalisheni shekhe,kesha omba radhi tena anaharibu.mbona kama ana bifu na mtu hiyo si la baba yako Wala si mama yako.maneno mazito hayo.na hayafai kusemwa hadharani na mtu kamayeye
@mussamtupaАй бұрын
Sasa kosa lake liko wapi? anae jua kakosea nini anijuze pleas
@allyngoda761Ай бұрын
Huwezi ombaradhi halafu unaingiza na vijembe ndani yake BARAZA SILA MAMA YAKO WALA BABA YAKO je nimaneno ya mtu mwenye maadili?
@MbaroukKhamis-uv5mcАй бұрын
Alivyosema sio la babako wala la mamako mpaka jamaa mshika maiki kasimama ampokee
@kadrimwingamno258Ай бұрын
Tangulini makurafi uwa mnaongea kwa kuzingatia na utaratibu wa mtume Muhammad salawatu alyei wasalaam.
@khamissehel-jr1csАй бұрын
wewe uliyebashiriwa pepo hongera c ushajiona umetoboa, wenzio unawaita makhurafi muongofu ni wewe hii dini siyo yako wala ya baba yako wahabi ww
BAHATI YAKO UMEOMBA RADHI, TUNGEKUVUA NGUO NA KUKUWEKA UCHI, KWA MATENDO YAKO, FUNGA MDOMO WAKO UKIHITAJIKA UTAITWA, FUNGA MDOMO WAKO
@salumkondomwinyimkuu4241Ай бұрын
Tatizo nyinyi mnaoandaa hizi hadhara nyinyi ndiyo tatizo kwa nini mnampa nafasi ya kuzungumza kwenye hadhara huyu sheikh mwanasiasa?
@h77-f8mАй бұрын
Ana kibri mswahili huyu
@FarouqNnangujeАй бұрын
Huyu jamaa mbona hatulii
@pavillioncry5241Ай бұрын
Ana kibri kuliko firauni
@MahmoodAhmed-yt9meАй бұрын
Ugonjwa mkubwa wa bwanahuyu ni kupenda madaraka nakujikweza na inaonekana kwa bahati mbaya hana washauri wakweli hili ni tatizo kubwa
@msarama5406Ай бұрын
Ujumbe ulishafika kuwa kuna figisu katika kumpata Mufti ndio uhalisia
@yousuphnzira3209Ай бұрын
Najiuliza maswali. 1.Je anaomba radhi kwani alidanganya kua hajasaidia kwakiasi kikubwa kwa upatikanaji wa mufti wao?. Bakwata siku zote itabaki bakwata tu siku zote.
@BizzBoy-g4oАй бұрын
Njaa sasa ana kumbuka zile lanch wakiwa na mapadrii ana haahaa 😂😂😂
@aishamuhammad7785Ай бұрын
Unachekesha asa, sasa ulipokuwa unawasilisha hukujuwa km unasema uongo?
@AyubuRamadhani-ci8dsАй бұрын
Hakuna mkamilifu ila mungu pekee
@KekulebenzeneАй бұрын
Sawa ila huyo sio mtu wa dini ni mchumia tumbo Mtu anafikia hadi kulingania dini mseto, hadi kanisani kaingia
@OmariKidamaliАй бұрын
Hana inswafu .uchache wa elimu ni mzigo
@ZakariaSaidi-m1bАй бұрын
We ndio unamtiaofu
@HamisHabibu-e2xАй бұрын
Sijuy unashida gan ww
@mabablaz123Ай бұрын
Nilimpenda huyu sheikh ju ya mahaba yake na ushia😂
@MumewanguАй бұрын
Ana lafudhi mzuri lakin kuitumia ndio shida ni raha kuisikiliza
@hanspop6961Ай бұрын
Mchukue😂
@MumewanguАй бұрын
@@hanspop6961 hahaha yani wewe mchokozi sana
@JumaJuma-i2gАй бұрын
SASA MBONA CHIZENGA AMEKANA AMESEMA HUKUA MAKM MWENYEKITI? SASA KATI YAKO NA CHIZENGA NANI MUONGO?
@allyngoda761Ай бұрын
HILI BARAZA SI LA MAMA YAKO WALA LA BABA YAKO, kwahakika maneno haya yameondoa kabisa maana ya msamaha wako ulioomba WACHA KIBRI WACHA KIBRI SHEIKH
@abdulihamburiАй бұрын
Hakuna kibri mwalm hapo niukweliy msama pia kwakosa gani
@abdulihamburiАй бұрын
Hakukosea mwalim zingatia alichokizu ngumza
@FariduBakanaАй бұрын
Huyu hana makusudio ya kuomba msamaha..yasikie maneno ya Imam Shafii aliyo yaleta hapo..pia anapo sema kuna watu hawataki kutuona ndani ya Bakwata.
@aminattai2676Ай бұрын
Utaomba radhi mara ngapi? Sheikh zubeir uisilamu sio dini ya kuongozwa na watu wahuni wahuni,huyu jamaa sisi kama waisilamu hatumtaki kuwa sehemu ya kiongozi ndani dini yetu ,lakini kama munachaguana kimaslahi yeni fanyaneni hivo,Hana sifa za uongozi ni mtu anaekurupuka kwanini munafanya sehemu ya dini kama sehemu ya familia yenu,sheikh zubeir tunakuheshimu sana ila kukumbatia wahuni kama Hawa wanaweza kusababisha kushika kwa heshima yako kwa jamii
@AbuuRuqaiyyahАй бұрын
Huyu rafiki zake ni mashia kwahiyo tulishazoea maneno yake hatuyatilii manani tunayapuuza
@jumakapilima7295Ай бұрын
Ndio tatizo la kuchagua viongozi wahuni,,,huyu mhuni tu
@KekulebenzeneАй бұрын
BAKWATA wote ndio wa hivyo hivyo
@khamisimaallimtv8539Ай бұрын
Kwani kwenye maulid hakuna mawaidha mengine mpaka miongee maneno hayo? Ndio maana kilasiku mitafaaruku kwani ukiwausia watu kheri na kiwaonya na maovu si into sharing.
@AllyAhmad-zg2ypАй бұрын
Lau ungemuomba msamaha ALLAH wazwazi kama ulivomkosea waziwazi ingekua bora zaidi kuliko kumuomba sheikh wako msamaha wazwazi kama ulivomkosea waiwaz ingawaje yote unastahiki kuomba msamaha wazwaz
@sirajismail3978Ай бұрын
Anaugonjwa wa hasada
@AbuuRuudaynaaАй бұрын
Mc akabidi asimame baada ya kusikia baraza si la baba yako wala mama yako Maana chuma kilikua kinaanza kupata moto
@paulmushi2428Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@daarularqammkaku153Ай бұрын
@@AbuuRuudaynaa 😂😂😂 duh
@abuuammar4924Ай бұрын
Hahahah
@abuuammar4924Ай бұрын
Baraza linaongozwa na watu wa TAMTA
@AdamChogoАй бұрын
@@abuuammar4924 ndio wamesomea dini wanajuana
@amanisalum1638Ай бұрын
Kwa hiyo hapo Ameomba radhi ama amehamisha Goli? Amejishusha Kwa Muft na kutupa takataka zote Kwa mtoa Tamko. Uzuri tunajua vita hii.
Huyu msimpe kuongea kto hadhara hana kinywa kixuri alaf ni kibri sana mshkaj
@babazungu3180Ай бұрын
Mara yangu ya kwanza kwenda polis kituoni alinipeleka yeye dah siwez kusahau
@yusufmohamed8874Ай бұрын
Ilikuaje?
@babazungu3180Ай бұрын
Utoton,kuna dogo nilipigana nae sasa huyo dogo alirusha chupa ikampiga mtoto wake,ndiyo akaja home na polis kunichukuwa
@AllyHamranАй бұрын
Bakwata wengi waupuuzi ila huyu kavuka mipaka ya ujinga na upuizi.
@AdamChogoАй бұрын
Aaah nawe n muislam pia
@FarouqNnangujeАй бұрын
Kazi si zipo nyingi tuu .... nenda kalime kwenu tanga
@arjunimayagila9500Ай бұрын
Maneno hayo ungeli yatanguliza Toka awali aaaaaaaa!! Adi Sasa yule ulie mwambia washamba angeli kua ajaja mjini
@AbdulIssa-o7eАй бұрын
Mamufti wa kutaka umaarufu na matumboo yenu dini munaingamiza wala hamna habr kabisaa kujipendekeza kwa watu na uchu wa madaraka ilo litowashtaki mnauza dini yenu kwa thamani ya pesa na tamaa za kidunia
Wewe unaa adabu ku mdhalilisha kiongozi wetu wewe sio kiongozi wetu. Nenda kaanzishe kabisa.haiwezikani wewe Kila siku uombe msamaha
@kingsolomn3550Ай бұрын
Amekua mtu wa kutapatapa tu. Kila mtu anamrukia. Juzijuzi kamchezea sheikh Alhad, matokeo yake ndio hayo tunayaona.
@ZakariaSaidi-m1bАй бұрын
Ww Kila siku kwani hii dini sio biashara yako
@yusuphrashidi-dr1kbАй бұрын
Mufti kumbe wa mchongo tushajua ukweli
@kingsolomn3550Ай бұрын
Mi nana waswas huyu jamaa anakunywa pombe kidogo au anavuta bangi
@nassor6333Ай бұрын
Kwa mtu mwenye akili huyu jamaa asizingatiwe kabisaaaa ,sikiliza vizuri jinsi anavyoongea utajua anakitu moyoni mwake.
@MbarakSoudАй бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN huyuuu jamaaa toshaaa amewekwa na mufti na huyuu ni kaoaaa mtoto wa mufti katangaza hazarani kuomba msamahaa siyo wewe umeambiwa uombee msamahaa nyinyi ni wanafki angekua mtu mwingine mufti angemfukuza lakini wewe ni mtoto wa mufti hhhhhhhhhhhhhhhhhhh mufti kakubeebaa Kwa ajili ya mtoto wake lakini inshalhaah kilaaa kitu kinamwisho wake inshalhaah inshalhaah inshalhaah acheni unafki wenu mufti wa Tanzânia angekua mtu wa njeee basi angemfukuza lakini huyooo ni mtoto wa mufti hhhhhhhhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhhhhhhhh huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleeee sanaaa huyooo anafikiri nafsi yake bado cheooo anakitaka huyooo kabebwaaa na mufti na anaaa kibry sanaaa bado anaongeaa uchafu huyooo ni mnafki sana
@omarimahela7690Ай бұрын
Muft amuondoe huyu hata km ni mkwewe kwenye vyeo vyote maana huu sio mwisho ataibuka na mengine ili umuradi apate kiki. Si mtu mwema
@MahmoodAhmed-yt9meАй бұрын
Anazidi kuharibu kwa kunukuu falsafa za imam Shaafii nibado hakiri na anazidi kuharibu
@AliSalim-yu4moАй бұрын
Tatizo ni mchuzi mwekundu!
@elbattawy2864Ай бұрын
Wabongo wanapenda longolongo za kuongea kwenye media muda mrefu for nothing
@suleimanjokoroАй бұрын
Nadhani alikusudia Hilo ili baada ya hapo aseme "Naomba radhi", huko si kumba msamaha pale anaposema "ukweli huo utabaki palepale",ana maanisha nini!?
@adiaygo8546Ай бұрын
Tangu wamemtoa kuwa shekh mkuu wa dar unaumia 😂
@allymansur8155Ай бұрын
Acha usanii na utanashati kwenye masuala ya dini, kama huna la kusema nyamaza.