SABABU ZA KUVULIWA USHEIKH WA MKOA DSM, SHEIKH AL HAD MUSA ZAWEKWA WAZI، SI MTU MZURI KTK BARAZA

  Рет қаралды 11,888

Daarul arqam Online Tv

Daarul arqam Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Ай бұрын
Sheikh umeeleweka na tunamuomba Sheikh Al had Mussa awe mtulivu, achunge ulimi na arejee miiko ya Uongozi, Watanzania tunapenda utulivu
@athumanbakari-hy7xb
@athumanbakari-hy7xb Ай бұрын
ALHADI ATAWASUMBUA SANAA MLIMTENGENEZA NA KUMTUKUZA. SASA. NDIO ATHARI YAKE HII. KWA SABABU YULEE HANA. ELIMU NI MTU ALIYE TUMIWA NA BAKWATA NA SERIKALI SASA NIKIRUSI MLICHO KITENGENEEZA WENYEWE
@khamismaggy6484
@khamismaggy6484 Ай бұрын
Ni tawi la chama wala hamuwawakilishi waislamu. Endeleeni kupuyanga kwa tamaa za kujaza matumbo.
@jimpazclimpaz1794
@jimpazclimpaz1794 Ай бұрын
KATIBA YA KISLAMU NI QURAN TUKUKUFU ACHENI POROJO NYIE 😊
@IbrahimElias-o7g
@IbrahimElias-o7g Ай бұрын
Yani mmechelewa hamuwezi kutuaminisha kuhusu baraza lenu hilo
@abubakaranwar337
@abubakaranwar337 Ай бұрын
Al had Musa ni mnafiki
@stonetown578
@stonetown578 27 күн бұрын
Hahaha mlichokipanda ndicho mtachokivuna
@MohamedNgaula-zn7rp
@MohamedNgaula-zn7rp Ай бұрын
KILA PENYE UONGO UKWELI HUJITOKEZA, TUME YAJUA TAYARI ALHAMDULILAH
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 Ай бұрын
Wote wako sawa tu mashehena wa bakwata bado alhadi mshirikina mkybwa mzuia mvua kwa vidole mashehena wa bakwata manina zenu washirikina watupu
@Nufaila442
@Nufaila442 Ай бұрын
Tumejua lakini
@ZaidHamasiZaid
@ZaidHamasiZaid Ай бұрын
Ingawa tupo kimyaa, chimbuko, madhumuni na kazi zake bakwata tunazijua, ni chombo cha wanene kuwadhibiti waislamu na kutekeleza kazi na maagizo ya sirikali, mlikuwa kimya~haya muda wenu umeanza za kampeni misikitini...lakini mjue hiki sio chaguo la waislamu tz. hata viongozi wake mmh, ni habari nzito. siipendi bakwata mie.
@ramahkesh9360
@ramahkesh9360 Ай бұрын
BAKWATA NDIO KIKUNDI GANI TENA!?😢😢😢
@saidsalim4524
@saidsalim4524 Ай бұрын
Yule jamaa sijui hasa akili yake inawaza nini nashindwa kuelewa kwanini hafikirii kabla ya kutamka isitoshe ndio anazidi kujiangusha heshma yake mara kamdaka shekh walidi mara mufti mara hivi mara vilee 😢
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 Ай бұрын
Uongozi wa dini unatumika vibaya sana na serikali yaaaan nchi imekuwa muozo lakin huwez kuona uongozi wa kislam unakemea yaaaan mtakuja kuchomwa moto ninyi ok pesa mnazopewa na hao serikali zinaishia hapa Duniani kwa mungu haziendi
@Kaankaraz
@Kaankaraz 25 күн бұрын
Bakwata ni watu wa fitna mtamalizana kwa unafki
@mudinhomeshack9041
@mudinhomeshack9041 Ай бұрын
Bakwata ni chombo cha kukandamiza uislamu na waislamu ni chombo kinachotumiwa na serikali
@SaidSeif-d4y
@SaidSeif-d4y Ай бұрын
Kiungo cha ukatoliki/kanisa kwa uislam maalum kitengo. ..
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange Ай бұрын
Kwn sheikh mkuu wa bakwata anachaguliwa na Nani km sio serikal
@IbrahimMahidaya
@IbrahimMahidaya Ай бұрын
Nakumbuka kuna mfuga mbwa aling'atwa na mbwa wake hadi kupelekea mfuga mbwa huyo kufa. Tuwe makini na mbwa tunaowafuga la sivyo watatumaliza.
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Ай бұрын
Wapo wengi mfano wao
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani Ай бұрын
Bakwata wazee wa madili🤣🤣🤣🤣🤣
@AhmedMohamed-un4zh
@AhmedMohamed-un4zh Ай бұрын
Wote wahuni
@mrajani786
@mrajani786 Ай бұрын
Swali kwani huyu mufti mula wake unakwisha lini? Au ni lifetime
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza Ай бұрын
Huyo Alhad ana makosa mengi sana wala hayahesabiki
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Ndio tatizo la kuchagua viongozi wahuni huyu Alhad ni mhuni Tu
@nuhuabedi8869
@nuhuabedi8869 Ай бұрын
Ww,,sheikh,,usirudie,,kutaja,aibu,,za,,mwenzake,,someni,,hata,,hili,hamlijui,,someni,,kabla,,ya,,uongozi
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Ай бұрын
Dhulma haijengeki ila inamuda tu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Acha ujinga wewe
@JosMatty-bq9ii
@JosMatty-bq9ii Ай бұрын
bdo hamjasema
@FeisalVan
@FeisalVan Ай бұрын
Fala ww
@bminawandu
@bminawandu Ай бұрын
Je kaongea uongo
@thamratysuleiman3053
@thamratysuleiman3053 Ай бұрын
Wapiga hela
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Ай бұрын
Kwanini kwetu tu ila wenzetu majirani Waislaam hawana chombo km cha huku BAKWATA. Why Bakwata Tz? Maana mfano Kenya na Uganda hakuna Chombo Cha Waislaam like Bakwata ndio nauliza Why Bakwata katika Dini yetu Tukufu ya Uislaam?
@khamisikhalfan4720
@khamisikhalfan4720 Ай бұрын
Na nyie msimpempe nafasi ya kesemasema hadhara yoyote Hana nia njema
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Kabisa,,, inaonekana ana kundi lake tayari
@jimpazclimpaz1794
@jimpazclimpaz1794 Ай бұрын
HUYO MUFTI SIO KIONGOZI WA WAISLAMU TANZANIA NI KIONGOZI WA BAKWATA ACHENI KUPOTOSHA
@KhamisChaz-td4nz
@KhamisChaz-td4nz Ай бұрын
KWAni nyinyi ni taasisi ya dini mnaopewa uongozi na nani maana waislamu hatujui mnapigiwa kura na nani na kwa nini matatizo yenu binafsi mnapenda kuyaweka mitandaoni mnampa faida nani?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Ай бұрын
Kwani Muhammad ibn Abdul wahabi alipigiwa kura na Nani?
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 Ай бұрын
Pole sana, huyo wahabi ni nani? ana cheo gani hapa Tanzania?! nae yupo BAKWATA?! au ndiyo anashirikiana na alhad Mussa? ​@@hilalkhalfan1452
@issaibrahim8796
@issaibrahim8796 Ай бұрын
Muhammad ibn Abdu​l wahab hakuwa Bakwata
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Ай бұрын
@@issaibrahim8796 najuwa kuwa hakuwa BAKWATA (BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA). YEYE ALIKUWA BARAZA KUU MAMLAKATU SUUDIA. JIBU SUALI. ALIPEWA UKADHI WA NCHI NA SHEKH GANI? AU ALIEKWA NA SEREKALI SHEKH WA SEREKALI YA KIYAHUD AU ALIPIGIWA KURA NA NANI AU ALIRITHISHWA USHEKH NA NANI KABLA YAKE AU ALIJICHAGUA?!. sijakuuliza KUHUSU bakwata izo ni chuki ZAKO TU, jibu niliokuuliza
@MasangulaGoa
@MasangulaGoa Ай бұрын
Kila nnchi ina baraza linalowaongoza na Kila tutakavyo chaguwa lazima tuwe na viongozi wetu hata kama hatutoliita Bakwata sema kutamka hadharani jambo lisilokuwepo ni kosa kubwa na kukemewa lazima iwe hadharani na hizi si tabia nzuri kidini lakini kinachojitokeza ni kutofuata mafundisho ya Dini Adabu ni njia njema sana
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 13 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 24 МЛН
BACHU ARIPULIWA NA KITOTO CHA SHEIKH KUSOMA APIGWA ZA USO REJEA UKASOME VIZURI
29:14
BACHU AKUBALI YAISHE, AKIMBIA MJADALA ASHINDWA KUJIBU HOJA NDOGO LEO 27/10/2024
1:02:39
TUMIA HIVI HALAFU MUITE MKEO// SHEIKH NYUNDO
4:45
arkas online tv
Рет қаралды 114 М.
TEAM YA KIBOKO YA BACHU YATUA MKUNUMBI LAMU KENYA
12:31
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 4,1 М.
HUYU NDIO ADUI KHATARI WA UISLAM BY Sheikh Ilunga Kapungu
18:25
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 41 М.
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39