🔴

  Рет қаралды 19,573

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@deogratiustweve2611
@deogratiustweve2611 Жыл бұрын
Jamani mimi naona yukosawa waoroma wananafasi yakkutana nae kwasababu mazingira yainchiyetu hayakosawa hawaviongozi wapokipindi champito mungu atusaidie
@faza4023
@faza4023 Жыл бұрын
Mm mkristo nakubali TEC hawajatumia Hekima, mzee wa upako umeongea madini mengi.
@geofreyjonas4901
@geofreyjonas4901 Жыл бұрын
Poyoyo,kilaza na mbulula usiyejitabua. Kenge mla sadaka za watu wa Mungu na huna upako wowote,wewe ni jambazi. Fisadi wa Imani
@2002-h6c
@2002-h6c Жыл бұрын
My hat off to you the real God Servant !
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 Жыл бұрын
Wewe KWELI unawapaka watu mduta Kwa MGONGO WA chupa acha izo habari uwezi kuwakosoa hao Romani katoriki Wana Akili sana soma kwanza walaka wao ili uelewe awakuzungumzia udini hapo acha kukemea neno ikiwa unatengeneza mapepo ya kuharibu Imani ya watu mzee
@omarikessy2339
@omarikessy2339 Жыл бұрын
Huyo ndo mzee wa upako Katika ubora wake
@amanijohnluhaga7223
@amanijohnluhaga7223 Жыл бұрын
Busara unayo, umewakosowa sawa kabisa,waiache serikal imetutoambali,
@saidmilanzi3788
@saidmilanzi3788 Жыл бұрын
mwambaaaa huo kama kuna mwenye hoja apinge kwa hoja sio kashfa
@moviesgreatdirectors3193
@moviesgreatdirectors3193 Жыл бұрын
Acha unafiki na kujipendekeza. Wewe umezoea kuwapotosha wasiyafahamu maandiko ili uweze kujinufaisha kwa kuwakosesha uzima wa milele. Nabii Isaya aliwatabiri wanafiki kama wewe (katika Isaya 56:11): "Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande, wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja KWA FAIDA YAKE, toka pande zote". Acha uongo uliozoea kuwadanganya watu.
@abdululiza392
@abdululiza392 Жыл бұрын
Huyu Mzee ameongea maneno ya busara sana amezingatia amani,mshikamano,umoja wa taifa letu.
@hashimkassim7043
@hashimkassim7043 Жыл бұрын
Mzee huyu anaoobgea vitu vya kweli aise Mungu ambariki
@frankmushi8892
@frankmushi8892 Жыл бұрын
Illa weee mzee umesha kuwa chawaaa unazinguwa sanaaaa
@peterleonard1441
@peterleonard1441 Жыл бұрын
Maaskofu wanaongozwa na neno la Mungu. Kwa maneno mengine wanaongozwa na Mungu wa kweli. Wao ndio manabii na mitume wa siku hizi zetu. Na kama manabii wanafanya kile ambacho Mungu ameagiza watende. Wameandika waraka kama manabii ili kuweka mambo sawa. Na kwa vyovyote vile unapowapinga hawa maaskofu wa Mungu ambao wametumwa na Mungu unampinga Mungu mwenyewe. Ni kumpinga Kristo. Sasa wewe unadiriki kumpinga Mungu kweli!?. Kanisa linawajibu wa kuhakikisha watu wanaishi katika hali njema. Lina wajibu wa kutetea wanyonge na kulinda haki za raia. Lina wajibu wa kupaza sauti na kusahihisha, na kurekebisha na kuonya na kutahadharisha na kukemea jambo lolote linalokiuka ustawi wa mwanadamu kiroho na kimwili. Kwa ujumla Lipo kwa ajili ya ustawi wa watu na linahudumia watu. Na kama kanisa lisipofanya hayo linapoteza identity yake na linakuwa kama halipo. Katika historia kanisa limetekeleza hayo na litaendelea kutekeleza. Mfano mzuri ni katika kipindi cha mapinduzi ya viwanda(industial revolution) ktk Karne ya 18 na 19. Huko Ulaya. Je hamjasoma kuona kanisa lilifanya nini katika kipindi cha mapinduzi ya viwanda? Katika kipindi hiki kulikuwa na udhalimu mwingi, kulikuwa na matabaka kati ya walionacho(matajiri) wa wasionacho(maskini). Waliokuwa maskini walikandamizwa sana na haki zao zilichukuliwa na matajiri. Kanisa lilifanya kazi kubwa kuweka mambo sawa na kutetea wanyonge. Kupitia papa Pius XIII liliandika waraka uliojulikana kwa jina la "relum novarum" uliohimiza haki itendeke. Kwa ujumla waraka huu ulishughulikia na mambo ya kijamii(social Questions). Sio waraka huo tu bali pia nyaraka nyingine ziliendelea kutolewa kuhusu mambo ya kijamii. Kanisa kwa kufanya hivyo lilitimiza wajibu wake. Wajibu huu kanisa linautimiza kwa mujibu wa maandiko. Tunaweza kuona mifano mingi katika maandiko lakini hapa tuone michache. Daudi ambaye alikuwa mfalme katika israeli, baada ya kufanya Makosa mbele za Mungu alirekebishawa na nabii nathani ambaye alitumwa kwake na Mungu kumuonyesha makosa yake na kumrekebisha.(soma 2 Samweli 12....) Yohana Mbatizaji aliuawa kwa sababu ya kusema ukweli. Yeye alimkosoa na kumrekebisha herode aliyekuwa kiongozi wa serikali ya kiyahudi. (Soma Mt 14....) Katika israeli Mambo yalipokwenda ndivyosivyo Mungu alituma manabii kwenda kuwasahihisha viongozi wa serikali. Sasa unaanzaje kusema kanisa linaingilia mambo ya serikali linaposhauri mema na kutetea wanyonge jambo ambalo ni la kinabii na lililofanyika tangu zamani hata katika agano la kale? After all kama watanzania, wanayohaki ya kutoa maoni yao. Wao ni watanzania, ni rai wa Tanzania. Sasa kwa nini wasiongeze kuishauri serikali. Isitoshe wameongea pointi sana. Wame ague vizuri sana. Watoa hoja, Waonyesha vizuri sababu za kutokubaliana na mkataba huu na sababu hizo zina mashiko. Unawezaje kuanza kuwakosoa?
@aminahkhuzwayo-iv1wl
@aminahkhuzwayo-iv1wl Жыл бұрын
Huu ukweli..na ukweli ni moto dhidi ya mnafiki!
@joejosca7594
@joejosca7594 Жыл бұрын
Mzee wa upako hata uelewi unachokiongea ni uchawa tu kaka yetu mwogope Mungu tu na sio binadamu
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Katoliki watoe walaka wa kupinga ushoga ulawiti usagaji watoe tuone umepitishwa na maghalibi na marekani wapinge kama wataweza ata wapinzani awapingi kuhusu ushoga pumbavu zao
@ayubkakore8581
@ayubkakore8581 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana akuongoze ktk haki
@SHOLLAH804
@SHOLLAH804 Жыл бұрын
Well said
@2002-h6c
@2002-h6c Жыл бұрын
Huyu ndo Mtumishi wa Mungu, siyo makanjanja mengine ile
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Жыл бұрын
Upo vizuri.una kisima cha Historia.kidini na kidunia.anayekusikiliza kwa mhemko.hata kuelewa kamwe.
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Mshllh umeongea mane ya hekima ni hakika
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi lusekelo
@HAFIDHIFAKIHI
@HAFIDHIFAKIHI Жыл бұрын
Mungu akurinde mtumish, ni pwet tup unaongea,
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Жыл бұрын
Mbona kazungumza vizur tu
@VailettyShigerla-fw2sg
@VailettyShigerla-fw2sg Жыл бұрын
Ww hujui sehem yako
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Жыл бұрын
Hujui kitu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Жыл бұрын
Mungu hatoi vibari au kuanzisha makanisa. Vibali na kuanzisha makanisa vilianzishwa na watu. Ndo maana viongozi wa SERIKALI wangetakiwa kutokua kwenye dini na kuapa kutokufungamana na dini yeyote. Dini Hua wanakwenda na upepo wa siasa
@ladislausriwa7768
@ladislausriwa7768 Жыл бұрын
Wala Yesu hakuwa Mroma
@yusuphmhando
@yusuphmhando Жыл бұрын
Uislamu umekataza kumdharau kiumbe yoyote wa ALLAH, rejea kwenye QU-R- AAN na HADITH za RASUULULLAH. Hivyo kuwaita bakwata vilaza sio sawa.
@marionoti5760
@marionoti5760 Жыл бұрын
Ufahamu mdogo masikini, analilia kutambuliwa na Serikali, kwa uwongo, na chuki aliyonayo kwa wakatoliki anawapangia cha kusema, badala ya mkataba wa bandari anawaelekeza Maaskofu wajadili ushoga. kujipendekeza hakuna manufaa kwa taifa, mjadala wa uwazi kuhusu jambo hili imeruhusu serikali yetu(hasa Mama Samia ambaye wale wanaomwelewa ni Mdemokrasia). Kuhusu ushoga kwa kanisa katoliki ni chukizo lisiloweza hata kujadiliwa. Jitathimini uchungaji wako. Usidandie hoja, ijadlili hoja. Pole mheshimiwa.
@mauldabdalah2168
@mauldabdalah2168 Жыл бұрын
Mimi ni muisilam lakini nimekuelewa sana mtumishi , tanzania inahitaji viongozi wa dini kama wewe umejaliwa hekma kubwa umewazidi hadi vilaza wa bakwata
@christophermwashiozya5178
@christophermwashiozya5178 Жыл бұрын
khaaaaaaa? Vilaza wapo wengi
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 Жыл бұрын
Karibu ubatizwe na umuamini Yesu kristo uokolewe
@tmt2642
@tmt2642 Жыл бұрын
Mzee wa Upako anazani anaongea na watanganyika wa Mwaka 1960😂😂😂
@ibrahimabdillah5729
@ibrahimabdillah5729 Жыл бұрын
Vita isikie kwa mwenzako...amani muhimu sana Chief
@allenmongi4772
@allenmongi4772 Жыл бұрын
We mzee unapandwa wewe
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 Жыл бұрын
Amezungumzia jins nafs mioyo yenu ilivyo mwaka huu kwisha mungu mkubwa kamleta Samia ili mzid kufunguk n kutuamsha
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Acha ushabiki wa kizamani jamaa ameongea maneno mazito
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 Жыл бұрын
Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake, mwacheni mchungaji atoe maoni yake hakuna haja ya kumzodoa! Nanyi toeni yenu!
@ashrafurwegoshora4227
@ashrafurwegoshora4227 Жыл бұрын
Mchungaji amenena vyema
@stonebullet2796
@stonebullet2796 Жыл бұрын
Yeye mbona anazodoa wengine harafu hamumuambii au ndo nyie wafuasi wake?
@borcherwilliamborchert3090
@borcherwilliamborchert3090 Жыл бұрын
Mzee wa upako tulia kidogo usome waraka vzr usitumike, omba hekima ikufunulie..
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 Жыл бұрын
Mzee wa upakoungu alupe maisha marefu uendelee kuliponya Taifa letu. Viongozi wa dini badala ya kuhubiri amani wao wanawagawa watu kupitia misimamo yao batili.😊
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 Жыл бұрын
Si kweli kwamba Viongozi wa Dini hawawezi kumwita Kiongozi wa Serikali kutoa Ufafanuzi. Lusekelo anajenga mawazoye juu ya hoja DHAIFU
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
Mzee umeongea kweli ila wenye akilu finyu hawatoelewa unaongea finyu upo sawa mzee#
@HAFIDHIFAKIHI
@HAFIDHIFAKIHI Жыл бұрын
Siku zote huwa nakuelewaga haujawah kukosea hata
@abdulbakari1220
@abdulbakari1220 Жыл бұрын
Tatizo wale wa tec hawawezi kuishi nafamilia kwahyo hawana uzalendo kwenye koo zao wala nchi yetu wao wanajali mabwanazao wa vatikan2
@stonebullet2796
@stonebullet2796 Жыл бұрын
Wewe bwana yako huko wapi, au ndo huyo mzee wa upako!!
@mussazumbe5406
@mussazumbe5406 Жыл бұрын
Mimi so mkatoriki ila wakatoriki wameupinga mkataba kwa hoja na wale jamaa wanakuaga wasomi ko mzee wa upako ajibu kwa hoja aache uchonganishi
@SHOLLAH804
@SHOLLAH804 Жыл бұрын
Point ❤
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Жыл бұрын
Katoliki.ilimyumbisha sanaa Magufuli kipindi cha Coron..pamoja na KKKT.waliogopa sana corona.kuliko Mungu.Ila makanisa ya pentekoste.mlisimama pamoja na , Rais. na matokeo tuliyaona.
@faza4023
@faza4023 Жыл бұрын
Kumbe
@samuelpaul5776
@samuelpaul5776 Жыл бұрын
Fala wew hunaakili umekuwa msemaji wa serikali skuhiz yaan wew ndo wakuongelea waraka wa maaskofu Kama umehongwa kaa pembeni acha kuropoka wew
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Hio point itawachoma mabeberu hawo
@omarijuma5007
@omarijuma5007 Жыл бұрын
Assnte wewe ndio mtumishi wamungu wakweii mm ni muislamu kwa hili mungu akibariki Sana sio hao wezi wa makanisa ni bomu
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 Жыл бұрын
Amia kanisani kwake upate upako Wenzako wakuite kafir
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 Жыл бұрын
Kwa hiyo unataka viongozi wa dini nao wawe wanafiki ? - mzee wa upako leo umechemka sana, TEC wao wametoa maoni na ushauri wao kama wewe unavyotoa maoni yako hivi sasa na imeambiwa ni ruhusa kila mmoja kutoa maoni yake hadharani sasa hapo shida iko wapi ? lkn tunakujua wewe uko upande wa serikali kwani hakuna asiejua kwamba ulijengewa na serikali barabara ya lami zaidi ya km 1 kuingia kanisani kwako pale Riverside Ubungo habari hizo tunazo hivyo unajitahidi kuwa royal (mtiifu) kwa serikali kwa interest zako binafsi - walichokisema TEC ni ukweli mtupu kati ya watanzania 100 wasioupenda mkataba huu ni zaidi ya 95% sasa nyie mnaoutetea mnautetea kwa maslahi ya nani ? - eti unasema wasingepinga hadharani sasa huoni kama huo ni unafiki ?
@khamisjohn7639
@khamisjohn7639 Жыл бұрын
Mzee mnafiki saana. Badala ya kuisaidia serikali kufanya maamuzi sahihi anaongea muda mwingi pumba tupu
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 Жыл бұрын
Kwanza uyu mzee alishawahi kusema kulewa pombe sio dhambi
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Жыл бұрын
Mzee unabusara sana kwaajili yamani yanchi yetu walaka huo siyo vzr waislam wakitoa walaka pia nchi siitawaka moto hapa asante
@boniphacemvungi9317
@boniphacemvungi9317 Жыл бұрын
Haiwez kuwaka moto waislam hawana nguvu hiyo maisha yao buku
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Жыл бұрын
Mzee wa upako uko sawa sahihi kabisa.
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 Жыл бұрын
Samani ni samaki tu hawezi kuwa kuku, ukweli uhautakiwi kupindishwa, wapo sahihi
@georgeemmanuel-i3d
@georgeemmanuel-i3d Жыл бұрын
19:00 19:01
@georgeemmanuel-i3d
@georgeemmanuel-i3d Жыл бұрын
Israeli waliondoka na mali zao wew unataka tutulie kama mazuzu tutatoaje sadaka kama rasimali zetu zinapolwa kisihasa na wawakilishi wasio waaminifu. Jibu hoja baba
@sesicasi1364
@sesicasi1364 Жыл бұрын
Huyu mbona anaongea ujinga? Usiwasemee maaskofu. We mnafiki na chawa wa wauza nchi. Huna adabu kwanza!!!
@raphaeldinyu427
@raphaeldinyu427 Жыл бұрын
Huyu mzee wa upako anahasira za kuuasi ukatoliki maana yeye mwenyewe anakiri kuwa ukatoliki umemlea , pumbavu zake
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 Жыл бұрын
Anazipanga hoja zake huku akificha hila dhidi ya TEC. Ushauri wa OVYO.
@Petersukari
@Petersukari Жыл бұрын
Uko vizuri mchungaji
@salimothmanhoza
@salimothmanhoza Жыл бұрын
Unazunguka tu mbuyu,mkataba unalipeleka wapi taifa? Hutaki mabadiliko umeshiba sadaka,waraka wa TEC una hoja imara hauhusiani na ibada
@clemencekaogo8826
@clemencekaogo8826 Жыл бұрын
Njaaa mbaya
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Nakukubali mzee wa upako.wewe ni mzee wa busara na maono. Siyo hao vilaza wakatoliki wenye uchu wa madaraka hata kwa kuuwa
@hamzaabdallah8637
@hamzaabdallah8637 Жыл бұрын
Wallah wewe ni kiongozi na nimtu wa Mungu, haki umeongea fact sana ubarikiwe.watu tumeelewa sana huu siyo wakati wake kweli
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 Жыл бұрын
MITHALI 4:13
@williamsimsokwe7613
@williamsimsokwe7613 Жыл бұрын
Mzee anazingua... TEC wameleta hoja mezani juu ya mapendekezo yao ya maeneo yenye shida kwenye mkataba wa bandari; waraka wao haujazungumzia masuala ya udini, wala kuligawa taifa hayo mnayanyambua ninyi mnaotaka kuleta tofauti za dini. Suala ni kujibu hoja mezani ambazo ni mapungufu ya mkataba. Dini ina wajibu wa kuishauri serikali pale inapobidi na ndicho kilichofanyika. Sasa mambo ya udini na kuligawa taifa yanatoka wapi? Waraka uko very clear.
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 Жыл бұрын
Maaskofu wameiagiza Serikali iufute mkabisa huo . Je, ni kazi ya kanisa kuongoza Serikali?
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 Жыл бұрын
Inawezekana bado haujajua maana ya neno TAMKO, Tamko ni kama AMRI. TEC ilitakiwa waseme SISI USHAURI WETU KWENYE HUU MKATABA NI ....... ........... Sababu serikali wamesema watanzania toeni maoni yenu, ni vip kijitokezr kikundi fulani kuja kutoa tamko, au hawaelewi kiswahili? Au tusemeje hapa!!??
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 Жыл бұрын
Nyinyi MNASHAURI AU MNATOA AMRI NA KWAMBA WENYEWE NDIO MUMESEMA KUWA NI TAMKO LA KANISA KATOLIKI. HII INA MAANA GANI???
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 Жыл бұрын
Huyo siyo tunayemuona ila ni konyaji inaongea.pia kuna waliyompampu.
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Serikari aina din Sasa inashauliwa vip serikari Na izo din mwalimu nyerere Ameshawai kulisisitiza hilo Serikari aina din TULIZA HILO GICHWA UWEZE KUMUELEWA UYU MZEE WA UPAKO AU SHULEN ULIKUWA 0 MZEE mzee wa upako Hanawalaum maaskofu wanao jitokeza hazaran na wakiwa na mavazi yao na facecompless Online ndiyo wanapo kosea hapo Ndiyo wanapo uleta udin wawaite Viongoz wa serikali ya bila maiki Wasijioneshe wao ni wakristo Wala wasjioneshe wao ni waislam Ndiyo pwent haliyo iyongea mzee Wa upako but wao watu wawili ndiyo watu wanao fuatiliwa zaid Na wenye watu nyuma zaid NI VIONGOZI WA DINI PEKEYAO UDIN NDIYO KITU KISCHO TAKIWA HAPA KWENYE MKATABA VUA MAVAZI YAKO YA UDIN NJOO OFISN KWA RAIS AU WAZILI MKUU TUTAONGEA KWA HOJA NA MAANDISHI ZA
@adammlonganile7921
@adammlonganile7921 Жыл бұрын
Sahihi kabisa, Hao TEC ni kikundi cha wachache ambao kwenye jambo hili la Bandari, wamekurupuka, Narudia kwa sauti kubwa, Kikundi cha watu wachache wametumia nafasi yao vibaya, Wakome kabisa
@sambulugu9988
@sambulugu9988 Жыл бұрын
😂😂😂😂 yaani wewe ndo umetumwa na mafisadi ili uwasemee? Mpuuzi kweli!
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 Жыл бұрын
Asha pewa katoni ya konyagi Mzee
@DamianKisweswe
@DamianKisweswe Жыл бұрын
Maoni yako na nani
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 4 ай бұрын
Huna Chochote ya kusaidia
@aproniamasatu5810
@aproniamasatu5810 Жыл бұрын
Hasira zako zidi ya waroma ndio chanzo
@ProphetM-c9o
@ProphetM-c9o Жыл бұрын
Tunawasikiliza Maaskofu waliokwenda Shule, wana maarifa mengi pengine kuizidi hata Serikali. Wewe ni nani mbele TEC?
@festogangata7202
@festogangata7202 Жыл бұрын
Kama wewe ni mkristo, unaaminije na ukristo siyo dini Yako ni ya wazungu, siungeanzisha ya kwetu ya kitanzania ili tuje tuwafuate hao mitume wakitanzania AMBAO walitumwa na MUNGU kuwakomboa watu, acha kujifanya wewe ndiyo unajua Kila kitu na ni mkosoaji wa Kila kitu, wewe fanya siasi dini waachie WENYE hofu ya Mungu na SI umaarufu wa siasa
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Жыл бұрын
We.mjinga.umeshapata.chako.eleza.kuhusu.mkataba.acha.polojo
@shabanikitogo6613
@shabanikitogo6613 Жыл бұрын
Mzee wa upako upo juuu mungu akubaliki.
@talents7934
@talents7934 Жыл бұрын
Juzi tu Ww si ndo Ulikuwa unamtusi Samia wewe daah wasaka Tonge wamekuwa wengi duuh afu wanafiki😂😂😂😂😂😂😂
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Жыл бұрын
Kanisa limetoa maoni yake..unaweza kukubalika au kukataliwa.
@Nedjadist
@Nedjadist Жыл бұрын
Hujafahamu, wala hasemi Kanisa lisitoe maoni.
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Жыл бұрын
@@Nedjadist upendavyo kuelewa
@SabahAlly-j6j
@SabahAlly-j6j Жыл бұрын
Upo juu ya mstari Mzee wangu
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Jamaa lina akili kubwa sana aisee
@leonceuwandameno760
@leonceuwandameno760 Жыл бұрын
akili zipi sasa hapo?
@ephremmtuya3094
@ephremmtuya3094 Жыл бұрын
Huyu jamaa hajitambui kabisa hata wanaomsikiliza huna hata elimu mchumia tumbo
@clemencekaogo8826
@clemencekaogo8826 Жыл бұрын
Ingependeza utoe mawazo Yako sio kukosoa Tec
@AliGizenga
@AliGizenga Жыл бұрын
Hata wewe kutoka hadharani ni pumba, unalalamikia huwa hampewi nafasi kwenye mikutano mikubwa ya serikali ungemfuata Rais ukamwambia awe anakuita kuliko kutoka hadharani. Umeniudh kweli
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Жыл бұрын
Hiyo jamaa anaakili kuliko kanisa KATOLIKI
@birigitasilayoagustin2345
@birigitasilayoagustin2345 Жыл бұрын
Huyu mapepo ya kinageria yamevuruga ubongo wake hana jipya haishi kutapatapa mfa maji huyo lala mbele.
@Petersukari
@Petersukari Жыл бұрын
Kuwa na heshima ndugu
@MAZIRAHussein-tc6cq
@MAZIRAHussein-tc6cq Жыл бұрын
BASI HATA WEWE USICHANGIE MADA YOYOTE,MAANA NAWEWE UNAJIITA KIONGOZI WA DINI.LAKINI TAMBUA WEWE NI MWANANCHI KWENYE NCHI HII,NDO MAANA UNAO UHURU WA KUTOA MAONI YAKO.HIVYO,HATA HAO WAMETOA MAONI YAO.SISHANGAI,LAKINI TAMBUA HILI,KUNA WAKATI MUNGU ATAWAKATAA,HASA NYIE MNAOJIITA VIONGOZI WA DINI,KUWA HAWAJUI,JAPO SASA MNAJIPAMBANUA KUWA WATUMISHI,HALI WENGI WENU WACHUMAJI,NENO LA MUNGU MMELIGEUZA KUWA BIASHARA,.SUALA LA ELIMU YA DINI KWA AFRIKA YETU BADO TUMEKUWA WATUMWA WA WATU,NDO MAANA WENGI WETU TUNAONGEA USHABIKI KWA UJINGA VICHWANI MWETU.MZUNGU?,MWARABU?,MWAFRIKA WAPI?????,DAAAAA!,ETI DINI,DINIIII!!!!!!,KANUNI NI HII,UKIZALIWA MAJAALIWA,KUFA LAZIMA.
@faza4023
@faza4023 Жыл бұрын
Kuna kitu hamuelewi, suala la roma kupinga mkataba kwa upande wao wapo sahihi..lakini sasaivi tayari kuna vuguvugu la udini..hivyo taasisi ya dini kitaifa tena sasaivi kuongelea hili jambo ni kuzidisha udini.
@emmasonanjawe9042
@emmasonanjawe9042 Жыл бұрын
Hii ni 2023
@gospel3213
@gospel3213 Жыл бұрын
Kwanini Wa Kristo awana Baraza lao linalo waakilisha wa Kristo kitaifa? Kama ilivyo bakwata
@thobiasmarandu214
@thobiasmarandu214 Жыл бұрын
Huyu Mpumbavu Sana Kwa Hiyo, Rais Akirithi Madaraka anapewa Udhuru wa Kuuza nchi na Kusingizia watu Kesi. This Pig is Useless.
@pendaelmollel1847
@pendaelmollel1847 Жыл бұрын
Hakuna kitu kigumu kama kutetea kitu kisichosahihi.
@UFALMEWAMUNGU
@UFALMEWAMUNGU Жыл бұрын
UMEKOSEA SANA MZEE, ISAIDIE NCHI HILI SWALA LA BANDARI NI JAMBO NYETI SANA. TUNAOMBA SERIKALI ITOE TAMKO MAHUSUSI SANA KULINUSURU TAIFA LETU.
@mubarakatwaha7776
@mubarakatwaha7776 Жыл бұрын
KWANI TAIFA LINA NINI MPAKA ALINUSURU? ACHENI UNAFIKI NA KUJIONA NI KUNDI LENYE SAUTI KUBWA KULIKO WENGINE ACHENI KUTISHA WATU WASITOE MAWAZO YAO NA YAHESHIMIWE SIO KILA UNACHOTAKA WEWE NDIYO KIPO SAWA ACHENI WATU WAONGEEE
@christophermwashiozya5178
@christophermwashiozya5178 Жыл бұрын
Mzee lusekelo Hoja ni Mkataba mbovu wa DP Wold ndo unao lalamikiwa na sio kua waraka hoja yako ni nn? kingine dini sio ya wazungu Dini ni ya Mungu mzungu hana mbingu ya kukuweka maana nae anakufa na hawezi kujifufu tuache siasa tuseme kweli. Au bahasha imetembea mzee?.
@njoonituimbepamojanasifaza6075
@njoonituimbepamojanasifaza6075 Жыл бұрын
Nilidhani unajitambua kumbe na wewe bado kilaza pamoja na uongeaji wako wote nakuwahadaa waamini kumbe hata taifa lako hujui likowapi? Mzee waupako?? Au ujinga!! Kwenda zako huko nchi ikombali Sana imeachwa imaraaa na maguuu
@andreagerald6580
@andreagerald6580 Жыл бұрын
Ni vyema kuzungumza kwa tija,, hakuna aliye Pinga uwekezaji, ila vifungu vya mkataba kwenye uwekezaji ndivyo vyatakiwa kurekebishwa,, tutambue kuwa raslimali za nchi zinatakiwa kulindwa na wananchi,,, huku kubaya mno tunakoelekea
@alfredmadoshi7393
@alfredmadoshi7393 Жыл бұрын
Kwangu mimi umepotoka baraza la maaskofu limetoa maoni yake na KUMWOMBA RAIS AFUTE MKATABA ni maoni yao hilo halina tatizo hata kidogo. Rais Samia akishinda uchaguzi 2025 haitakuwa tofauti na Samia aliyepo sasa hivi. Nakukosoa kwa yote uliyonena kwa mara ya kwanza na hekima yako umepotika.
@kassimualli1755
@kassimualli1755 Жыл бұрын
Wew ndo kiongozi wa dini unayejitambua na mwenye hekima sio hao maaskofu wa katoliki wa mchongo
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 Жыл бұрын
Karibu tukubatize uokoke na umuamini Yesu
@sinevictor8966
@sinevictor8966 Жыл бұрын
tutawajua walio jificha Kuwait wachungaji huna lolote
@ipyanapaulo4774
@ipyanapaulo4774 Жыл бұрын
Hapo upako haupo umekuwa pepo saizi sasa. Wewe sitoa maoni yako nawewe sasa unawalaumu maasikofu wa katoliki nawewe toa tamko lako. Unazeeka vibaya hii se
@francis4525
@francis4525 Жыл бұрын
Wewe mzee waupako unatafuta kiki dawa Yako yakutoa mapepo imekwisha Rudi Tena NIGERIA kachukue upako wako achana na mambo ya uchawa umepewa pesa
@marionoti5760
@marionoti5760 Жыл бұрын
Hivi we Mzee unayejiita unaupako, watu kuelimishwa na viongozi wao kwanini wameamua vile ni dhambi? Kwahiyo unafurahia sana watanzania wabaki mbumbu ili uovu usipingwe? au unafurahia amani inayo tokana na kutojua kwa watu wetu? Viongazi wengi wamekuwa wakichaguliwa kutokana na kutokuelimika kwa watu wetu. Naona unafurahia kuwa kiongozi wa vipofu ili ufaidi kutokana na upofu wao. Maaskofu ni haki yao kutoa Elimu, kwa nini wanaona ni muhimu mkataba kuangaliwa upya.
@moviesgreatdirectors3193
@moviesgreatdirectors3193 Жыл бұрын
ACHA KUJIPENDEKEZA . WEWE HUJUI MAANDIKO WALA HISTORIA YA DINI
@linusrugebless-bs7bh
@linusrugebless-bs7bh Жыл бұрын
Kuna haja ya kuwa na upeo wa elimu mzee wa upako una matatizo kiakili sio bure
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 Жыл бұрын
Toa na Wewe Waraka Wako, hiyo Yote ni Fungu la kumi linakudumbua.
@lucasmakwisa7525
@lucasmakwisa7525 Жыл бұрын
Millad Ayo umenunuliwa na ww Kama kitenge tu, kwanini hubalance story,? Unawafuata wanaokuliana na mikataba tu Ila wanaopinga no, unapoteza ubora wwako
@raysonngowi4679
@raysonngowi4679 Жыл бұрын
Mzee wa upako umeanza kuzeeka,wacha watu waseme ya moyoni ,nani asiyejua muungano ni wa kisiasa?
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Жыл бұрын
Ndo maana mbalikiwa hua anawatukana watumishi kama nyny
@wazirimakua12
@wazirimakua12 Жыл бұрын
Wewe ni chenga kama jina lako.. Hahaha IQ ndogo mno
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Жыл бұрын
@@wazirimakua12 shida unaishi kwa kuangalizia
@georgeemmanuel-i3d
@georgeemmanuel-i3d Жыл бұрын
Weka hoja ya msingi baba israeli waliondoka na mali zao kwa nn sisi tuwape wagen
FAFANUZI ZA MZEE WA UPAKO UDINI BANDARI
1:17:31
Mzee wa upako
Рет қаралды 5 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
MEDIA VATICAN ILIVYORIPOTI A-Z MSIMAMO WA MAASKOFU TEC KUHUSU UWEKEZAJI BANDARINI
14:04
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 110 М.
Mahubiri kuhusu shetani
1:16:39
Mzee wa upako
Рет қаралды 26 М.
NEBUKADREZA MTAWALA WA DOLA YA BABELI  .
58:16
Mzee wa upako
Рет қаралды 16 М.
Majibu ya Nay wa Mitego kwa Mchungaji Anthony Lusekelo Mzee wa Upako
8:07
Trump announced the end date of the war / Emergency plane landing
14:05
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН