Hahaha jamani Tulipatikana Hi contenti Niyamda sikuipostigi tyu ila ndo ilikua ivi
Пікірлер: 194
@nguyamtwartz541318 күн бұрын
Jamaa kweli alisema michezo mapema kabisa😅
@BiubwaMuhammed-un3dtКүн бұрын
Hii sio kazi hiyo siku kaka utapoteza maisha kuna watu wengine hawataki masihara
@TithoKenneth19 күн бұрын
Afu kumbe ni maigizo we msenge kweliii kumanina zako msenge wew
@emmanul174819 күн бұрын
Leo mambo yamekua mambo leo😅😂
@devothaignatius525617 күн бұрын
Aaaah mm niligundua kitambo sana kumbe nyie hamjawai kujua 🤣🤣🤣🤣 sema tu kama unalo bando lakchezea unapitia
@MAJIDABDALLAH-dq5ji19 күн бұрын
Ahhhh 😂😂 kumbe ni maigizo
@RosemaryPeter-fq4rd18 күн бұрын
😂😂😂😂😂leo umeyakanyagaa kiredio jamaa alisema ni mchezoo😂😂😂
@eggysulle798818 күн бұрын
Dada kajipanga ndan🔥🔥
@OmaryMohamed-lj8ek18 күн бұрын
😂😂😂😂 senzi sana nyinyi mnatuigizia pumbafu nyinyii
@HAPPYKIWELU19 күн бұрын
Shemej anapotezea mchezo 😂😂😂😂
@godlisenkiria1300Күн бұрын
Mbn mwisho mnapatanas🤣🤣🤣🤣🤣
@imraniside432719 күн бұрын
Mtakuja mliwe nyie shauli enu😂😂😂😂😂😂😂
@emmanuelstephenringo210619 күн бұрын
hako kajamaa kabaunsa nakajua, anakaa keko😃😃
@Awaasha-cn6bx19 күн бұрын
Leo umepatika umezidi kuchonganisha mahusiano ya watu😂😂😂😂
@SaoblackSaoblack19 күн бұрын
😂😂sasa hap Mme anza kutupiga mbona mlipanga hili jambo
@christophermsekena61619 күн бұрын
Focus dada😂
@YassinMulunga-rb6bl19 күн бұрын
The guy kafikiria chap sana😂...Yaan alivyobambwa tuuu hapo hapo na yeye akaleta igizo lake🤣🙌💔...ila uky siku litakukuta jambo,hapo shem alivyokuja na jamaa ake nikajua wanataka kukufanyia kitu hamna😂😂😂🤣🤣🙌💔
@salmakasim839019 күн бұрын
Na hatembei na ulinzi doh hatar
@johasaeed39119 күн бұрын
Hamna huyo kaka mjanja anajuwa muchezo yawooo ndoaana kaja na mtu
@YassinMulunga-rb6bl18 күн бұрын
@@johasaeed391 what if isingekuwa ni mchezo😄... Jamaa angepita...
@YassinMulunga-rb6bl18 күн бұрын
@@salmakasim8390 huyu anatakiwa akienda sehemu kama hizo aende na mtu,siku atakuja katolewa berenge na hatoamini😂
@salmakasim839018 күн бұрын
@@YassinMulunga-rb6bl 😂😂😂😂😂
@MwasitiLawa4 күн бұрын
Huyu meynard hahahahahah😂😂😂😂
@𝑴𝒆𝒏𝒕2𝒌𝒛𝒚19 күн бұрын
Tushawagundua siku hiz sio prank Tena ni maigizo mh hatàli Kam umeiangalia Kwa umakini gonga like Yako, sio prank
@masoudabdoul844718 күн бұрын
Scripted muda mrefu tu niligundua. Hata watu Huwa wanarudia hawa mbuzi 😂
@Missah18 күн бұрын
Ndy saiv wanafany maigizo😅😅😅😅😅😅😅😅
@MaggieAlex-hq7sw18 күн бұрын
Big yes
@seluyangogo396517 күн бұрын
Aliefumaniwa anauliza camera mlitega vizuri kweli duh wametupiga
@Kelvinamoss-pt8ew17 күн бұрын
Wanatupiga
@sifamalingi301418 күн бұрын
Kumbe n maigizo usha haribu vibes sasa
@user-sn6dc9gh8k18 күн бұрын
Huyu kaka msanii kafata kamtu huko tena nje kakapanga😂😂😂
@riz-bnasty697819 күн бұрын
LAKI TANO😂🔥🔥🔥
@user-vx5gy2xn8l13 күн бұрын
Kimeumana leo😂😂😂😂😂
@user-gm9cu6vy5m19 күн бұрын
Mr uky Kuna siku utauponzaa haha 😂
@user-eo4hd8xu6d18 күн бұрын
😂😂😂😂😂subir siku utolewe marinda 😅😅😅😅😅 ndio ukome kipindi cha ugombanishi
@greatest_of_africa4 күн бұрын
😂aaaah kumbe mnatupigaga shenzi
@DevothaJoseph-h5e19 күн бұрын
😂😂😂😂 kakutana nachooo
@erickJadory19.5 күн бұрын
😂😂Qma We Janja😂😂
@Danieldanny-l7f19 күн бұрын
Mr uky angalia bn wasije wakakuumiza
@user-yb6wh1bk9d2 күн бұрын
😂😂😂😂shem huyo
@nurventnurvent19 күн бұрын
Mr uky tunakupenda utakuja kupigwa wew😂
@PrincessHellen-pg1oy13 күн бұрын
Mwanaume wa hovyo sana huyo eti mchezo mchezo huo vipi akubali akatae yeye ni msaliti
@godblessluvanda980811 күн бұрын
KIREDIO UTABAKWAAAAAAAAA😂😂😂😂😂
@MlyukaHaji19 күн бұрын
Mr UK umeyatimbaaa 😁😁😁
@reginalolo389719 күн бұрын
Washenzii kumbe maigizoo😂
@SalamaNauthar18 күн бұрын
Khaaaa!! Mwanaume mwenyewe sasa ovyoooooo
@DanielMelami-o3t19 күн бұрын
Kaka Leo umepatikana bana pole
@glorymanga365019 күн бұрын
Huyooo mwanaumee mwenyewe kingereza si aachane nacho tu.,,kilaaa mda before before
@RajabuMbotoni2 күн бұрын
😂wamepijwa pesa ivi ivi
@faridaahmed401319 күн бұрын
Waongo nyie ..unaharibu kipind chako
@augustinodenis158115 күн бұрын
Kaz Yako hiyo inahitaji jim kali kali
@user-cr2zp5hu4n6 күн бұрын
sijapendaaaaaaaaa
@user-fd5pb1dt4j18 күн бұрын
Kawakomesha 😂😂😂😂😂jmn
@NajmaAbbas-pj8sg19 күн бұрын
Leo umepatikanaa😂
@allymtunge553019 күн бұрын
Sema hi Mayo mchezo
@NasmaMfinanga18 күн бұрын
🤣🤣🤣nimecheka atary laki tano 🤣🤣🤣🤣
@leylahmiraji186018 күн бұрын
Kumbe n maigiz wapuuz sanaa sitazam tena
@sulleRuth18 күн бұрын
Huyu kaka anajuana na huyu dada
@user-il8wx3eq8i19 күн бұрын
Wapuuzi kumbe mnaigiza😂
@user-zv2rw1sm1s19 күн бұрын
Huyo mwanaume mwenyew sharobalo
@nishaabdula501518 күн бұрын
Kwel ukigimania unakosa la kuongea ss nanyie adi mnafungiwa mrango na mtuhumiwa kaa. 😂😂😂😂
@user-mb7vv8lw8e3 күн бұрын
Mwishon sielew 😂
@lelaiddy685618 күн бұрын
Duh umejua kutulia mb zetu....siangalii tena..
@user-ee1ml6pp8b17 күн бұрын
Haaa😂😂😂 jaman
@LightnessAsaba7 сағат бұрын
Mm ndio siangalii tena kumbe maigizo
@Shafikimanga719 күн бұрын
Fikiria jamaa angerudi na panga au chamoto. Narudia Tena. Fanyieni public watu waje wahadithie watakachokiona.
@MariamOmary-o4t19 күн бұрын
Mwanaume Hana akili kweli huyo
@user-vb8kz6jt7r19 күн бұрын
Duh pole sana
@user-ee1ml6pp8b17 күн бұрын
Kumbe na maigizo,, hamnioni tenaaaaaa kwenye usenge wenu
@Aisha-qg5mj19 күн бұрын
Mwanaume mwenyewe kasharobaro😂😂😂
@user-zd9wd8ms3x18 күн бұрын
Ahahaha 😁😁 nashangaa
@TamalyMichael18 күн бұрын
Yaan ovyo tujifunze wanawake😂
@user-ek7nu1qc8g18 күн бұрын
Katoto kwanza mtoto mdogo mpaka aibu😅😅😅
@Aisha-qg5mj17 күн бұрын
@@user-ek7nu1qc8g Yani nishida tupu
@nobodyog951214 күн бұрын
Haha umeshindwa ata kuikata duuh umefeli bruh
@HairatAlly-n2q7 күн бұрын
Hhhh ni atareee
@user-sn6dc9gh8k18 күн бұрын
Alaf huyo kasema single ila ukutani picha ya hao wadada inaonyesha anamdada wake wanayamaliza😂😂😂
@beckamuziki27859 күн бұрын
Msenge Kumbe Mnafanyaga Maigizo
@AnnahNickson18 күн бұрын
Kumbe maigizo 😅😅
@immanueltimothy187318 күн бұрын
Mr uky kasalitiwa na camera man 😮
@user-qq3yo2ms2k6 сағат бұрын
Hakuna mchezo wala nini shemeg kanasaaa tatizo uyo mwanamke wake kafanya haraka kutoka
@user-dc4ri8gw1o18 күн бұрын
Umeanza kuwa msenge Sasa maigizo ya nn tunatala reality😂😂
@ChikuIssa-iz5bz18 күн бұрын
Ao ni waongo
@SaoblackSaoblack19 күн бұрын
Kumbe maigizo😮😮😮😮
@chingawadunia36214 күн бұрын
Hawa waongo sanaa 1:45
@JamilaMbago-zn3tk3 күн бұрын
Duuuuuuu 😂😂
@PendoDavid-yl7pr18 күн бұрын
Mr Uky anajua kutia huruma 😅
@latifamedina600517 күн бұрын
Aisee siangalij tena kumbe hua ni maigizo
@masoudabdoul844718 күн бұрын
MAIGIZO MAIGIZO MAIGIZO 💯
@amirimahadhi106218 күн бұрын
Umezingua kinoma
@user-ec4pz1fg6f19 күн бұрын
Next plz
@SaraphinaSHALOM14 күн бұрын
Kumbe mnaigiza mxieeeew
@SamiraSalim-sx7ie19 күн бұрын
Km alikuwa anajua ni mchezo mbn hakuingia n rafiki yke ndani
@marcelinebyamungu346315 күн бұрын
Sindo apo sasa
@Dareaziz18 күн бұрын
Pole
@SaidiRegu25519 күн бұрын
Michezo iyo
@user-sn3kw2we4jКүн бұрын
Ummejitokeza haraka ndio hakugundua haliyake
@SuzyGodwin19 күн бұрын
Mmmh kumbe mnaigizaaa😢
@sulleRuth18 күн бұрын
Mr uky ase wasije wakakuchoma ndugu yangu
@EvelynLubuva18 күн бұрын
Mbona Haina sauti
@sophykivuyo15 күн бұрын
Maigizo mbwaa nyiee
@user-fx3ws9lp6g19 күн бұрын
Hiv vijanaume vyenyewe sasa jaman hivi unakaa unajisifia ety nina mwanaume duuh
@jacquesmulalirya17043 күн бұрын
Maigizo tushaa wazoeya 😂😂😂😂hizi vitu zimeanja kenya kwa kina stano true k tv nawengineo
@franciscakija170219 күн бұрын
Nilikiwa naisubiri kama gar kutaka kuondoka
@ChikuIssa-iz5bz18 күн бұрын
Mr uky siangalii tena video zako Yan we ni muingo
@othmantv265419 күн бұрын
Dah kumbe mnaigiza....mnazingua😕😕
@malietamaliet19 күн бұрын
😂😂😂uyu kijana anaonekana msaliti na uyu Natasha wanajuana we utaingiaje fasta ujue na kufunga mlango kwenda na ufinguo nyumba yenye si Yako natasha achunguzwe nikama kamtumia sms kisiri Siri uje ujifanye ujawai kuja hapa "MICHEZO IYO😂😂"
@brianosiemo86x418 күн бұрын
Ukweli bana😂😂😂
@sulleRuth18 күн бұрын
Nakuunga mkonoo
@malietamaliet18 күн бұрын
@@brianosiemo86x4 na mm nimemshutukia kiukweli
@user-jn7tr8ei5n14 күн бұрын
Hapo kweli
@SuzanKanyata-bn7xr19 күн бұрын
Hakuna .wanaume hapoo
@manjoledaddy414310 күн бұрын
aaaah shenziiii
@rosejonson324119 күн бұрын
Mr uk na kiredio litawakuta jambo ipo siku kuweni makini
@masharama148518 күн бұрын
Hahahahahaha
@user-ho8lh9ke2d10 күн бұрын
Huyo bonge kaharibu kwann awahi kufumania
@entertainerlionel341418 күн бұрын
Kumbe unatuigizia aisee, ndo basi tena tunaacha kuangalia