SHUJAA BILA GWANDA: Mtangazaji Mohammed Suleiman 'Tall' wa Zanzibar

  Рет қаралды 12,545

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Күн бұрын

Sauti yake nzito na tulivu imekuwa alama ya makuzi na malezi kwenye nyumba za Wazanzibari, ambao wakati mwengine walikuwa wakifunguwa redio zao kupitia Sauti ya Unguja kumsikiliza akiwawaidhi kupitia MAZUNGUMZO BAADA YA HABARI. Mohammed Suleiman 'Tall' ndiye shujaa wetu bila gwanda kwenye GUMZO letu la leo.

Пікірлер: 75
@Fauzfakikhamis5281
@Fauzfakikhamis5281 Жыл бұрын
Mwanzo wa kusikiza Qur'ani tafsiri ni shekh Mohammed suleiman ali na mpka hii leo naipenda sana na inanipatia muongozo safi wa kuifaham Qur'ani na maana yake ❤ Allah akuzaidishie eilmu ya kuutetea uislamu na kuupeka mbele, Nakupenda Sana shekhe wangu
@deanadventures7947
@deanadventures7947 3 жыл бұрын
Hazina njema kabisa bado tunazo Zanzibar MashaAllah .
@it-vw4zj
@it-vw4zj 2 жыл бұрын
Sauti ya sheikh Mohammed (tall) ni sauti very special and unique kwetu, sauti ambayo inatukumbusha utotoni na ladha halisi ya nchi yetu. Allah amzidishie afya na umri mrefu amin amin. Watu kama hawa ni tunu kubwa katika nchi yetu na walistahiki special recognition & special award 👏
@saidikingazi1995
@saidikingazi1995 2 жыл бұрын
Allah ampe kher nyinyi Sheikh wetu Allahuma aamiin.
@harounkuchi9100
@harounkuchi9100 3 жыл бұрын
MashaAllah, Allah amuweke sheikh Mohammed kwani tunajifunza mengi kutoka kwake
@badruabdalla5301
@badruabdalla5301 3 жыл бұрын
MashaAllah ni kaka yetu ni mtu wetu wa karibu ni Mcha Mungu daima huzungumzwa kwa vizuri
@muhidinsuleiman4315
@muhidinsuleiman4315 Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Allah akuhifafhi, Kaka Mohammed Ghassani siku moja utuletee Sheikh Msellem katika kipindi hiki.
@sabihamakami3720
@sabihamakami3720 3 жыл бұрын
Mashallah kweli MOHD nimtangazi Mzur nampenda ktka kutafsir quran
@naushadally2272
@naushadally2272 3 жыл бұрын
Mashallah, Allah ampe kheri nyingi sheikh wetu, mwalimu wetu bali ni faraja kwa wanaomsikiliza.
@guledomary2812
@guledomary2812 3 жыл бұрын
Ma Sha Allah sheikh Mohamed Ghasan leo umenifumbulia fumbo nilokuwa najiuliza siku nyingi nani amefanya hii sauti katika Tafsir ya Quran...Ma Sha Allah
@jumalesso
@jumalesso 3 жыл бұрын
MaaShaaAllah simple Genius
@mohammedabdallahalazri3238
@mohammedabdallahalazri3238 3 жыл бұрын
Sheikh Mohammed, somo yangu kila baada ya muda unatuletea somo kubwa sana. Hili la leo limeleta faraja sana moyoni mwangu. Huyu Sheikh uliyetuletea leo ni sawa kuwa ana PHD nyingi sana kutokana na jitihada zake na gift aliyopewa na Allah na yeye mwenyewe anaitumia vyema. Ni msomi mkubwa wa kuzaliwa nao na sio kwenda darasani, tunamuomba Allah ampe umri mrefu ulio na siha njema, آمين يارب العالمين. Kitu kimoja ulichotukosesha leo hukuleta hata kipande kimoja kama hayo mazungumzo baada ya habari au tafsiri japo ndogo lakini bila ya shaka wakati ulikuwa mdogo na mambo mengi. Ahsante tena sana kwa kutuletea Huyu shujaa wa kweli bila ya gwanda
@RayaRaya-d1h
@RayaRaya-d1h Жыл бұрын
MashaAllah Allah akujazekher sheikhe Mohmd sweleiman❤
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 Жыл бұрын
Maa shaa Allah my favorite Hibri Allah amhifadhi
@salehothman4723
@salehothman4723 2 жыл бұрын
Tunakukubali san shekhe wetu kipaji chako hakuna mfano baraka Allahulak
@bintmuhammad4913
@bintmuhammad4913 Жыл бұрын
ماشاء الله تبارك الله . الله يحفظك عمي حبر ي
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 Жыл бұрын
SubhaanaAllah Ametakasika mwenyezi mungu
@mohammedwedding6530
@mohammedwedding6530 3 жыл бұрын
Asalam aleykum Warahmatu Allah wabarakatu Jazaka Allah kheri Hili leo sio GUMZO ni DARSA. Shukran.
@bintilhallalali1290
@bintilhallalali1290 3 жыл бұрын
Allah akubarik Babu yng Akulinde nakila shari na balaa ktk maisha yko , anakujaalie Husnul khatima mwisho wa uhai wako🤲🤲
@AllyHilal
@AllyHilal 3 жыл бұрын
Nampenda sana kwa ajili ya Allah. Ananikosha kwenye MAELEZO BAADA YA HABARI. Anavyopangilia lugha yake kisanaa na ujumbe mzito.
@Fauzfakikhamis5281
@Fauzfakikhamis5281 Жыл бұрын
❤❤❤
@deanadventures7947
@deanadventures7947 3 жыл бұрын
Alhamdulilah Allah akupeni kila la kheri nyote .
@nailamohd7693
@nailamohd7693 3 жыл бұрын
. Mashallah ❤️
@ahmedameir3190
@ahmedameir3190 2 жыл бұрын
Alhamdullah tunashukuru kwa mawaiza yako kwani ni uongufu , vijana wengi wamebadilika tabia watu kupitia mawaiza yako, Allah akulipe kila la kheir na akupe hatima jema
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 Жыл бұрын
Ana sauti Unique na akitafsiri Quran Maashallah unatamani isiishee
@haidar438
@haidar438 Жыл бұрын
Masha'Allah
@TikTokwin-xi8cd
@TikTokwin-xi8cd Жыл бұрын
Mashallah mzee Allah akuharamishiye kuiingiya motoni Allah akuhalalishiye kuingiya pepuni mzee wetu
@MAPETEE
@MAPETEE 3 жыл бұрын
Ww ni hazina yetu zanzibar mashalla Tuna mpenda sanaaaaa shkh Muhammad
@abdulatifmoxamed8047
@abdulatifmoxamed8047 2 жыл бұрын
Mashallah ndugu ghassani ni mara nyengine tena umenikosha tena kwa kutuekea gwiji mwingine katika ulimwengu wa habari , michezo na kutangaza dinihuyu kaka yetu kakusanya mengi tu wazo la kitabu lipe umuhim ili historia isipotee mungu ampe umri wenye afya njema na baraka tele
@aliomar255
@aliomar255 3 жыл бұрын
Allah amueke na azidi kutupa mambo mazur zaidi ndani na nje ya Zanzibar, ni miongon mwa mtu muhim ambae tunajivunia ndan ya nchi
@khamissmohd
@khamissmohd Жыл бұрын
Shk ghassan Allah akubariki Kwa Hilo lakini maelelezo yako yanakuwa marefu mno,yaani utangulizi wako.
@alisaid-m6v
@alisaid-m6v Жыл бұрын
Mashaallah
@ismailburhan8622
@ismailburhan8622 3 жыл бұрын
Mashaallah hakika hapo tunayo hazina kubwa sana ndani ya nchi yetu .Allah AMUHIFADHI Na ampe UMRI TWAWEEL wenye kheri Na manufaa tuzidi kufaidika nae
@Boeyrbx
@Boeyrbx 3 жыл бұрын
Ameen
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@Jasiminimansour6689
@Jasiminimansour6689 3 жыл бұрын
Huyu sheikh Maashallah nampenda sauti yake inasisimua na sio Redio Zanzibar tu badi Redio Imani pia wanamuweka kutafsiri Qur'ani
@alhudhaify7810
@alhudhaify7810 Жыл бұрын
Kwenye kuwekwa katika redio ni redio nyingi tu. Redio Noor na istiqama saa tano Usiku mpaka saa sita usiku.
@zakiaqasim5312
@zakiaqasim5312 3 жыл бұрын
Maasha Allah hakika chochote utachokifanya kwa ajili ya Allah basi Allah hukufanyia tawfik Allah akuzidishie wepesi kila penye uzito fiy duniyyah wal akhera amiin nasisi Allah atujaalie wenye kukipenda kitabu chake na kukifanyia kazi amiin
@harounali9057
@harounali9057 3 жыл бұрын
Mashallaah sheikh Mohammad Suleiman Hibry Allaah ata kufanyia wepesi katika maisha yako ya ku staafu. Katika sauti za watangazaji walio kuwa waki nivutia ni Sheikh Hibry Mohammed Karama Dahman Na mashairi yako Mohammad Ghasan
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 3 жыл бұрын
My fav Tall
@haroubmsellem9879
@haroubmsellem9879 3 жыл бұрын
Mashaallah mm ni mmoja kati ya vijana aliotulea enzi hizo za timu ya annur.
@salamakhamis8092
@salamakhamis8092 3 жыл бұрын
Baarakallahu fiiqukum nikweli shujaa bila gwanda
@triple_a3103
@triple_a3103 3 жыл бұрын
Maa shaa ALLAH ndio kwanza leo nagundua kama zile sauti tatu zote ni za mtu mmoja kwakwely ni kipaji kikubwa maa shaa ALLAH tabaarakaLLAH
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 3 жыл бұрын
Huyu nishujaaa na kwanda analo gwanda la allah allah mbark ustadh wangu huyu nakubali sana
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 3 жыл бұрын
Hibri wetu Allah Atuhifadhie Aamiyn
@bintilhallalali1290
@bintilhallalali1290 3 жыл бұрын
Allahumma Amin . Shukran Aunty Fatma
@raheemarahman1435
@raheemarahman1435 3 жыл бұрын
Mashllah mashallah
@hamadmazuri1446
@hamadmazuri1446 3 жыл бұрын
Mashaallah,ndio maana napenda kuifuatilia Chanel yako,inachimbua vitu adim Sana,Kama huyo tall, Allah awaimarishe nyote.
@abuujuma6649
@abuujuma6649 3 жыл бұрын
Legend
@muhammedkhamis1407
@muhammedkhamis1407 3 жыл бұрын
Masha Allah Allah Akubarik Ya Mualimu Jazaka Allahu Khaira🤲🤲
@saidkhamis6157
@saidkhamis6157 3 жыл бұрын
Vizuri sana tunawapata Vizuri kupitia Gumzo la Mohammed Ghassan na Leo ndo tumejionea Mohammed Suleiman Mtangazaji wa Siku nyingi.👐
@muhammedkhamis1407
@muhammedkhamis1407 3 жыл бұрын
Nikweli Somo kanipa faraja sana kwa kutokujiona au kujifaharisha ju ya Elimu Allah Aliyomjaliya nimfano tosha kwa wenginewenye Elimu tuweni karibu zaidi na zaidi najamii Allah Akubarik Napia Aibarik Zanzibar Yetupia Masha Allah
@seminiabdullah1853
@seminiabdullah1853 3 жыл бұрын
@@muhammedkhamis1407 maashallah allah akuhifadhi
@seminiabdullah1853
@seminiabdullah1853 3 жыл бұрын
Maashallah mtangazaji
@matendondambwe9527
@matendondambwe9527 3 жыл бұрын
Maashalla
@Abla_habiba02
@Abla_habiba02 3 жыл бұрын
Mashaallah shukran sana
@abdallarashidrashid4356
@abdallarashidrashid4356 3 жыл бұрын
Huyu ni Profesa
@engineerkhamis9275
@engineerkhamis9275 3 жыл бұрын
Yuko vizuri na @mbwana Dadi
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 3 жыл бұрын
Nampenda sana mie
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 3 жыл бұрын
Huyu mzee nakubali sana koz anakubalika kwetu rika zote nakumbuka kunamwalim wangu moja anaitwa thabit almarufu captain akimskia anatoa mazungumzo baadayahabari anakatisha safari
@shaficabdalaziiz218
@shaficabdalaziiz218 3 жыл бұрын
Allah atuhifadhie
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 3 жыл бұрын
Allah amhifadhi
@bakarkilambo2222
@bakarkilambo2222 3 жыл бұрын
hakika mm namkubali sheikh wangu ni mtu wa hekima na busara na msomi sikubali kukosa vpndi vyake kwan anatufunza meng meng mm nmjua tokea alnoor football club pia ni mwanamichezo na ww mtangazaji mahiri ndgu yngu ghasny hkika ni nguzo ya taaluma kubwa kwetu cc na vzazi vijavyo mung akupe muda mrefu htutokusahau kwan umepanda miche mikubwa kwetu na tumejifunza meng kutoka kwako
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 3 жыл бұрын
@@bakarkilambo2222 Aamiyn
@ashamohammed3612
@ashamohammed3612 2 жыл бұрын
Masha Allah Allah akupe kila la kheri katika maisha yako ya hapa Dunia na kesho akheri Amin
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Mohd Suleiman ana sauti ya ajabu sana...sijawai kuona km yeye..ana misemo..akichukua kipindi hatari
@hamadmazuri1446
@hamadmazuri1446 3 жыл бұрын
Naomba utuwekee Tena kipindi km hiki,maelezo yenu hayeshi Wala hayachoshi.
@kidebwahajiissa75
@kidebwahajiissa75 3 жыл бұрын
Sauti yake inatupa maarifa sana vijana
@mohamedamar7468
@mohamedamar7468 3 жыл бұрын
kwanini mnaanza vipindi kwa ala za miziki, tafadhali musianze wala kumaliza vipind kwa Ala za miziki
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 3 жыл бұрын
Ungetukumbusha kidogo mazungumzo baada ya habari
@muddyyussuf
@muddyyussuf 3 жыл бұрын
Mtu na nusu
@hellertv1477
@hellertv1477 3 жыл бұрын
Mashallah
@rashaso7564
@rashaso7564 Жыл бұрын
Mashallah
@bbyyma8614
@bbyyma8614 3 жыл бұрын
Mashaallah
@iddypandu4285
@iddypandu4285 3 жыл бұрын
Mashaallah
ASILIMIA KUMI NDIO HUONGOZA JAMII | UST. ILUNGA H. KAPUNGU
36:01
Pitio la Kitabu: Baraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe
44:03
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 14 М.
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 5 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 15 МЛН
ПРЯМОЙ ЭФИР. Золотой мяч France Football 2024
4:41:06
Je, Wairaqw wa Tanzania wana asili ya Kiarabu? | GUMZO NA WALIMU WETU
13:49
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 3,5 М.
Ali Muhsin Barwan
1:02:35
Mwanahistoria MohamedSaid
Рет қаралды 18 М.
13. Mapinduzi Zanzibar
13:04
MzeeBarwani
Рет қаралды 41 М.
KENYA: TANZANIA WAMESHATUACHA KWA MAENDELEO
12:05
Mwalimu Google TV
Рет қаралды 1,1 М.
PITIO LA KITABU: Maisha Yangu cha Khamis Abdullah Ameir
1:10:58
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 11 М.
Kumbukumbu ya Maalim Seif: Alama Aliyoiwacha
1:52:07
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 2,2 М.
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 5 МЛН