Maskini Unguja yetu imekaliwà kwa Uwaduwi tangu hapo źamani mpaka leo, Hasbiya Llah,
@gamerabossb17772 жыл бұрын
What happened to Muhammed Shamte Hamdi?
@mohammedmbarouk77113 жыл бұрын
Mmefukuza muarabu mtatawaliwa na watanganyika mpaka kiama
@msakuzikondo5362 жыл бұрын
Afadhari mtanganyika.Alhamdulillah
@jimj82852 жыл бұрын
@@msakuzikondo536 mkundu WEWEEE!!!!
@salumsalum70572 жыл бұрын
@@msakuzikondo536 kweli bora mtanganyika ndio mana nchi inadidimia chini kwa umaskini na ufukara tulipo taaliwa na muarabu kwanza kulikua hakuna ubaguzi pili zanzibar ilikua inatajika katika nchi zakitajiri duniani zanzibar ilikuemo, soma historia.
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Sio waarbu ni wazaliwa zanzibari NA mababu wao walizaliwa zanzibari ni wananchi tu sultani mama yake ni mwafrika wazanzibari walishajitenga NA oman toka zamani ikawa omani peke yake NA zanzibari peke yake sio serekali moja tena Hapo ungereza imepata zanzibari uhuru kamili hapo 63 baada ya hapo ikapangwa uvamizi kutoka tanganika kwa ungozi ya okelo NA mjeshi kutamka tanga NA karume NA nyerere NA wangereza ikatekwa nchi nzima chini ya utawala wa nyerere NA nchi ikapotea wazanzibari wenye damu ya kiyarabu hawakuja watu wabaya ni waaslamu
@binzubeirnasheed40883 жыл бұрын
Yaani wazanzibar tumefanyiwa hasadi na waingereza wakishirikiana na ndugu zetu watanganyika, nawatu kutoka mataifa mengine ya Africa.. kwa kweli ina sikitisha sana ila Zanzibar itakuja kupata mamlaka yake lkn ni muda mrefu utakuwa ushapita huwenda mimi na wewe tukawa hatupo.tena duniani
@mussammsaji11105 ай бұрын
Lakn mjilaumu wenyewe maana mlichokifanya ezizile mungu mwenyewe ndio ajuae
@AlawyAlawy-r1i9 ай бұрын
Heee lazima tujue kwa nn wazanzibar watiwe jela ya dodoma
@benedictmrisho23612 жыл бұрын
Hayo yote Mungu alisimamia na yakaenda vizuri Sasa tujenge taifa lenye umoja upendo na mshikamano tusibaguane. Sote ni waja wa Mwenyezi Mungu.
@AnnoyedDivingBoard-ep1wf9 ай бұрын
Kaka unahekma Allah akuongoze Ila bado hicho unachokitaka hakijapangwa Kwa upande wa tanganyika
@AllySibila7 ай бұрын
Me naona uzanzibar ulikua mbele tu lakin kikubwa tatzo ilikua ni uislam sababu hta kafiri nyelele kwenye moja ya hutuba alisema uzanzibar na uislamu. Pia Kafiri William lukuvi moja ya clip aliwah kusema uislam Zanzibar ni tishio kwa hyo ni dhulma juu ya uislam
@hajiameir8688 Жыл бұрын
Mungu mkubwa huyo karume nae yuko wapi msaliti mkubwa na uchu wa madaraka
@hajimakame10624 жыл бұрын
Muegereza na mmarekani wote maduwi wakubwa was visiwa hivj
@masoudmasoud81384 жыл бұрын
Kabisa kabisa wallai
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Ipo siku zanzibari ltakuwa dola peke yake inatambuliwa katika umoja wa mataifa NA mtafaidi mapato wenu maana watu kidogo NA mapatp nyingi itakua kama vile dubai
@mansabrawahy27012 жыл бұрын
@@alialamoudi9729 siku ya kiama
@khamissalum92854 жыл бұрын
Ukoloni uko saivi zanzbar
@adamdango3 жыл бұрын
Mbona hajaendelea baada ya mapinduzi
@godisgreat18454 жыл бұрын
Hakuna yeyote katika hizbu a lijua kuwa kuna mapinduzi Leo
@EshaHamd-ed9yv9 ай бұрын
Wewe mshenzi wacha kumzuilia Marehemu katika Mambo haya je kama ni baba yako ungalifurahia mpaka leo bado unao uchungu na maiti lol umezidi
@binzubeirnasheed40883 жыл бұрын
Hivi visiwa ni vya waarabu na mvumbuzi ni muarabu
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Umerogwa!
@rastafare8783 жыл бұрын
Ni kweli lakini wasioupenda uislamu walifanya Kila mbinu mpaka Sasa hivi wanaendelea tena Kwa kutumia nguvu , Inshallah Mola mueza wa yote atainyoosha Zanzibar Na kuikomboa
@jamesmbata85423 жыл бұрын
Mpumbavu mkubwa ww
@rastafare8783 жыл бұрын
@@jamesmbata8542 hata ukituita wapumbavu ukweli utabaki kuwa ukweli tu , kutukana au kutamka maneno machafu sio kama inaondosha ukweli , la pili ya Zanzibar hayakuhusu shughulikia ya kwenu Tanganyika
@malikajohnson88973 жыл бұрын
@@jamesmbata8542 unaumia nini ni Zanzibar ni ya Wazanzibari? Wenyewe hawaoni shida ya waarabu. Siye Watanganyika ndo tunakunywa panadol kwa maumivu ya jirani. Mi naona Zanzibar iko huru kutawaliwa au kushirikiana na wamtakaye. Na najua hawatutaki Watanganyika tuwatawale. Sijui kwanini tunawalazimisha. 🙄. Tuwaache huru ubaki ujirani mwema.
@salummzee97394 жыл бұрын
Leo kweli nimeamini seifu sheriff ana tumiwa warabu ili alete mapenduz zanzibr dhidi wana Afroshiraz ss watu weusi mapinduz daimaa mbele
@salummzee97394 жыл бұрын
Ina kuwaje aseme karume ni mtwana ww na mm na ww ndio watwana kwaio tosha warabu wabaya wana ubaguz na watu weus istoshe km wana tupendi anagaliya tunapo kwenda uarabu kutafuta maisha watu dhalilisha kufiria dada zetu na wanaume kuwasi ume yote yanatendwa huko jee mwarabu sio mtu mwema mtu walitaka kumuwa hao
@jumaalhamid52423 жыл бұрын
Ungelikuw muunguj kweli ungejua ukweli kaa n ujing wako karume kaf kw kuchukuw make w mtu c kw sababu y siasa hakun ubarak
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Ulikuwa hujui?
@اللهأكبر-ذ7ث3س2 жыл бұрын
Acha ujinga you hujijui uendako Wala utendalo munatiwa sumu na kuamini tuh pole
@اللهأكبر-ذ7ث3س2 жыл бұрын
Sasa tuone wao waliokua siyo waarbu ambao makafiri waendelee kukutawala ikisha kamjibu mungu Ivo ivo mtume saw alikua muarabu up uislam umefikaje Zanzibar bila ya waarbu Basi saivi ndo tunatawaliwa na so muwatakao na muendelezo wa makanisa unaendelea uyo sefu sharifu si kashakufa Tena hemu muacheni tafuteni mwengine