Mungu akufungulie milango Yako umpate mwamume wako huyo alikuwa sio wako.pole sana.
@swahiliandculture65993 жыл бұрын
Namba moja....❤nimesikia kufarika ana ndoa yake ya furaha. Mungu akuinue zaidi dada Frora. 😍😍
@peterwilliam10433 жыл бұрын
Namba 4 nakubal Sanaa Asante Sanaa dada Veronica
@otiliahaule51803 жыл бұрын
Dah nimejifunza kitu hapo Asante sana dada frola
@sadahassan84873 жыл бұрын
Hongera flora kwa kuendelea na maisha #good super woman
@rosekileo93892 жыл бұрын
Mungu anakupenda san kwasasa muombe mungu na hatakup mume bora kwako
@gracemushi56903 жыл бұрын
Daaah inaumiza kwakwel Mungu uliachwa ktk atua moja ngumu Ila usisahau utapopatwa na Jambo gumu Maishani dumu Zaid ktka Mungu utashinda my dear songs mbele umenitia Sana Moyo langu naliona dgo
@salumahmed1498 Жыл бұрын
Kabixa yan
@aysherkitoi18453 жыл бұрын
Nimeumia sana nimelia mpk kwikwi jmn pole flora
@magrethcathles68443 жыл бұрын
Polee jamanii
@sarahkimaro62993 жыл бұрын
Mda mwengine sio kila maamuzi unayo chukua ni sahihi nimejifunza kitu kupitia hii story🙏
@faridabomba60373 жыл бұрын
Pole sana flola Mungu yupo pamoja nawe kakuokoa na atakuokoa zaidi na zaidi
@bethamatemo76043 жыл бұрын
Pole snaaa frola kwA hayo mapito nmejifunza mengii kupitia ww
@sharifafatawy98743 жыл бұрын
Maisha hayaaa mtihani.
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
Pole saaaana flora
@jackyjoshua86653 жыл бұрын
Kila nikuepukalo lina sababu Mungu atusaidie sana na Mungu mwema flora kaolewa na Msouth africa
@mercylineabuko95723 жыл бұрын
Kwa kweli hii story imenikuza sehemu .asante
@imanmwashitete52433 жыл бұрын
Jmn mungu atusaidie wanawake tunao pita ktk shida hii
@maryamoscar4383 жыл бұрын
Nimeisubir kwa ham
@veronicamtangi69043 жыл бұрын
Mungu ni Mwema ht kuacha wewe na nyumba yako
@mwanaidihamisimtupa51263 жыл бұрын
Pole sana dada
@rosekileo93892 жыл бұрын
Nawalaniw wanaume hambao wanaroo Kam uyo
@dorisjulius26303 жыл бұрын
Nimejifunza kupitia dadaflora hayonimapito usijari
@salmasalumu16683 жыл бұрын
Pole sana flora
@nawafnasss94633 жыл бұрын
pole dear utapata alokuwa sahihi kwako
@dicksonedward9423 жыл бұрын
Pole Sana vp ya leo
@asmahassan75703 жыл бұрын
Asnt kwa simuliz nzr
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
Namba. 0.. 😜😜😜😜...🙏🙏💃
@gaudinamosnchobe49093 жыл бұрын
Namba sita like sita shukurani sana
@lilianmatiko2933 жыл бұрын
Waooo story nzuri ,ila pole sana kwa mapito songa mbele
@nzeyimanamwavita19043 жыл бұрын
Pole sana dada
@fathimamialii85193 жыл бұрын
♥️♥️♥️
@ftimaramadan47483 жыл бұрын
Mambo poa daa
@faithchibululu18923 жыл бұрын
Story tamu saana
@suzanjohn18393 жыл бұрын
namba mbil😂
@fathimamialii85193 жыл бұрын
So Sai ashaolewa flora ama bado
@veronicadidas32713 жыл бұрын
Ameshaolewa na mwanaume wa southafrica na anaishi uko
@fathimamialii85193 жыл бұрын
@@veronicadidas3271 mungu ambariki kwa kila jambo 🤲🤲
@magrethcathles68443 жыл бұрын
@@veronicadidas3271 woooow bora jamanii Mungu ni mwema
@janejoseph90093 жыл бұрын
🤣🤣🤣chezea kufa ww
@aysherkitoi18453 жыл бұрын
Huyo mwanaume kaishia wapi
@MmMm-lq1wh3 жыл бұрын
Nimejikuta nalia sana😭😭😭😭 baba alikkuwa anampenda mwanae💕 jaman tusipoteze kitumaini mungu yupo jamani.🙌 Story ya flora na yangu vimekaribia kufanana.😔😔😔 Mungu yupo nasijakata kitumaini 😫😫namini mungu atanijalia na mimi mume mwema💓❤️🧡💞
@mariamyoyote81723 жыл бұрын
Pole sana mm mungu ni mwemaa
@leilaathumani13553 жыл бұрын
Kiukweli nimeumiaaaa Sana Kuna watu wanajitambulisha na hawatokeiii dada Flora pole Sana. Viatu vyako vinanibana
@rosekileo93892 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@aishamanishimwe76863 жыл бұрын
Hmm asant san dada hata mim nimesh tokewa na historia hiyo then wanaume sijuw waliumbwa kuumiza walio wapenda
@mariamyoyote81723 жыл бұрын
Pole sana my dear cicter Aisha
@ftimaramadan47483 жыл бұрын
Flora si wazungu tu mm nilikataliwa na wakenya wenzangu nakusema eti mm natoka kwa milango mibaya au family mbaya tena nikiwa bikra akaambiwa asiniowe baada ya kumsubiri mwaka mzima akitafuta kazi alivyo patakazi waka mtaftia machana mwengine akaowa
@ftimaramadan47483 жыл бұрын
Lakini mm nilikua napenda ku swali sana basi niliamuwa kuomba mungu lakini mpaka leo nikikumbuka naumia sana na nashuku mungu maisha yangu nimazuru na nna watoto watatu niko Qatar tajiri wangu mzuru Alhamdulillah ukimtegemea mungu huteseki Asante voronicca kwa simulizi zenye mafunzo
@sickerstoney65073 жыл бұрын
Poleee😢
@channyqween69613 жыл бұрын
Pore sana flora nimejifunza sna kutoka kwako pore sana kwaayo yalio kukuta