Haya ndio mahubiri yanayotakiwa sio baraka ukishamjua Mungu hizo baraka zitafuata asante sana na Mungu azidi kukutumia.(from US🙏)
@MaggieG2763 жыл бұрын
True
@agripamwangobola64882 жыл бұрын
Mung akubarik
@horemow98323 жыл бұрын
Mara yangu ya kwanza kukuskiliza Mutumishi wa Mungu ujumbe umefika vizuri kabisa niwachache mno wanaweza kuyasema haya
@reginafidelis3363 жыл бұрын
Hii ndio kweli tunayoihitaji Mungu tusaidie wana wako
@bumikasege30883 жыл бұрын
AMEN napokea NENO hili la MUNGU aliye hai katika jina la YESU
@eliudhance65823 жыл бұрын
Baba Mungu akubariki kwakweli nimepata kitu kwenye Mahubiri haya hasa kwenye Makundi ya dhambi hapo kwakweli Mungu anisaidie
@jeremiahmwalukosya84313 жыл бұрын
Ndo wachungaji walibaki Mungu awabariki sana
@harriethmkilya46943 жыл бұрын
Namshukuru MUNGU kwa ajili yako mchungaji BWANA aendelee kukuongoza katika Utumishi huu
@officialhonestyadonicha38133 жыл бұрын
Amina mtumish mishori, Mungu akubariki kwa injil nzur, kwa kua njili nyingi siku hizi hawaiubir ile kweli ya Yesu kristo wanaubir mafanikio2 hii dhambi Mungu atuhurumie
@Neemakilimba Жыл бұрын
Ameen, Asante Yesu umekuwa Nami hata ukanifundisha kuacha mapambo nakujistiri Hakika nakushukuru Sana Mungu wangu rafiki yangu wakaribu
@doreenhope76153 жыл бұрын
Mch Abiudi,am always blessed with your scripture, blessings Great man of God
@mengilameck57412 жыл бұрын
Daka kitu hapa
@josephnyanje74883 жыл бұрын
Mungu akubariki Mchungaji! Nainuliwa na kubarikiwa Sana na Mahubiri na mafundisho yako yamejaa neema na nguvu za kipekee
@bjk95573 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu wa aliye hai tu nahitaji watumishi wa Mungu ambao wanahuri injili jinzi ilivyo
@aadd89693 жыл бұрын
Kwa kweli najiskia kuwa huru kupitia kwa huyu mjungaji wa mungu.ni mara yangu ya kwanza lakini nimejifunza kitu .na ninahapa chchote nlichofanya kwa kutojua mungu nisamehe naufute makosa yngu.chochote nimeskia kwako mtumishi never and ever kurudia maishani mwangu.mungu azidi kuinua viwango zko.
@theodorymwalongo1667 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie afya njema uendelee kuihubiri injili ya Yesu aliye hai
@BrownFunaupepo7 ай бұрын
❤amina sana baba uhalikiwe na upewe siku nyingi na MUNGU
@doricusmsimbe4889 Жыл бұрын
Napokea kwa jina la yesu naomba mungu nisaieee san nina haja nawe
@emmanuelzimbeiya39483 жыл бұрын
Mungu akutiee nguvuuu mchungajii Abiudi na Mama Mchungaji, mbarariikiwe saaanaa na BWANA Yesu
@danielkamau25543 жыл бұрын
Amen kweli ni mfariji , Mimi ni muchungaji Daniel kutoka KENYA ASSEMBLIES OF GOD , MUNGU akubariki mchungaji kwa neno la ufunuo wa kiroho .
@FloraMahellah4 ай бұрын
Yesu tusaidie peke yetu hatuwezi
@baghabaghaingwengwe17503 жыл бұрын
Hakika mch. Abiud Mungu azidi kubarika huduma yako
@charlesnyitika49283 жыл бұрын
Baba barikiwa sana neema hii tunabarikiwa ,mimi mwanao dori kutoka musoma naomba kupata mawasiliano
@pastoreliedhahaule45623 жыл бұрын
Eriedha Haule mungu ni mwema nime ona akitenda miujitha Juu yangu
@kahindoheritier46883 жыл бұрын
Sifa kwa MUNGU wetu aliye juu mbinguni, kabisa mchungaji MUNGU wangu akubariki sana kwasababu unasemaukweli ndiyo injili yenye inaitajika kwa nyakati hizi za nyongezo , sina mengi ya kusema ila ubarikiwe na MUNGU azidikutukuzwa milele na milele amen
@frenardadiemo67282 жыл бұрын
Daaah! injili imenyooka kama nini, Yesu yupo.
@niseforimkwama31713 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtu mishi wa mungu
@peterpande4017 Жыл бұрын
Thank u lord am blessed 🙏🙏🙏
@rodgersanyembe76113 жыл бұрын
Muhubiri kweli hii ndio injili ya mbinguni asante sana wanibariki sana. GOD BLESS YOU
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Na MUNGU ATUSAIDIE MAANA TUNAPITA
@watsonduma9943 жыл бұрын
Mchungaji barikiwa sana hakika umenivusha pakubwa sana nimebarikiwa
@agathasungura50473 жыл бұрын
Mchungaji mwema najawa na nguvu mpya kila nisikiapo maubiri yako amina
@mwikalijoeephine15223 жыл бұрын
Correct, lord forgive me and show me mercy in Jesus name Amen.
@cctvtz30173 жыл бұрын
Barikiwa Sana Mungu awe kazi hiyo ndio kusudi la Mungu hubiri kama hutahubiri Tena
@teddygodson49923 жыл бұрын
Mungu akubariki akupee mafunuo zaidii
@lightness97563 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah JESUS have mercy in JESUS Name
@MagretyLauleti3 ай бұрын
Ansante kwa kuokoa roho yangu
@mercygodia40843 жыл бұрын
Forgive me lord in everything that goes against your will.🙏🙏
@Kayanda74510 ай бұрын
Mungu awe nawe 🙏🙏🙏🙏🙏
@colethamwaipungu81723 жыл бұрын
Asante mchungaji abiud unasema ukweli kabisa ubarikiwe na Mungu uendelee kutupa ukweli wa kumfuta Mungu nakuyatenda yale yampendezayo
@LovelyGuitar-ck5lx8 ай бұрын
Hakika haya maneno ni kweli mungu twakuitaji
@AmosObanda23Thursday16Nov8am3 жыл бұрын
Mungu angekuwa wa kujadiliana, bado dunia ingalikuwa inaumbwa
@nnkv14803 жыл бұрын
Ubarkiwe mtumishi,mojawapo ya injili adimu makanisani ni hii.Nimekupenda sana na neno hili la utakatifu ,nami nimepona,thx
@kionoministries3416 Жыл бұрын
Mungu akubari mchungaji Abiud.
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Yes hii NDO injili YA YESU mmmmh shetani kaingia kanisani ubishi umejaa Sana MAKANISANI mbinguni Ni kugumu Sana KWENDA na MUNGU AKUBALIKI SANA
@harriethmkilya46943 жыл бұрын
Umetukumbusha Neno la msingi katika kutoa hesabu ya makosa yetu Ee Roho Mtakatifu tuongeze tujute kwa kweli Amina
@thegloryofchristforwholewo51123 жыл бұрын
Roho Mtakatifu ndiye mfariji.
@harriethmkilya46943 жыл бұрын
Na iwe Amina katika hili
@frenkmatad8689 Жыл бұрын
Amina mungu akubariki mtumishi wa mungu
@faithtimothy63963 жыл бұрын
Ameeeen! Mungu azidi kukuinua Baba
@ElijahAmon-uq6zk Жыл бұрын
God bless you pastor
@raphaelisadala2576 Жыл бұрын
Mungu wa bwana wetu yesu akulinde
@ignaskazole26653 жыл бұрын
Aminaa Baba MUNGU AKUTUMIE KWA VIWANGO ZAID BABA 🙏🏾🙏🏾
@regnethmtemanyongo22373 жыл бұрын
Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri
@hadijamlokakuzenza21463 жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu barikiwa,kwa kunikumbusha
@RachelMwaipopo6 ай бұрын
Amina Amina Amina Amina Amina Amina milele na milele
@dismondamwoka35633 жыл бұрын
Asandi sana nafunguliwa na mafundishohaya barikiwa mtumishi
@aswilekibona986110 ай бұрын
Ahsante,mtumishi Leo nmeelewa
@inocentgila63623 жыл бұрын
Mungu ampe mafunuo makubwa na maisha yasiyonamagonjwa ili ahubiri injili
@ivanmfilinge64333 жыл бұрын
Amina mtumishi barkiwa
@MarryMlwafu-wc5rt Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@tupokengwala20273 жыл бұрын
....safisha ndani na nje....dhambi za kuiga....Asante Mungu azidi kukutumia.
@bishopruge19983 жыл бұрын
Piga kelele bila kuchoka mzee Yesu Yuko karibu
@radiahassan3233 жыл бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi mafundisho mazuri na nimebarikiwa mno
My mission now kuangalia video zote za abiud maana ananibaliki sana
@aloycesimon83513 жыл бұрын
Amina sana mtumishi,nabarikiwasana.
@saudakabogo3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@geitandelwa2992 жыл бұрын
ASANTE Sana na MUNGU anihurumie TU MAANA Nina dhambI nyingi Sana KWA kusikiliza neno la MUNGU hili na MUNGU anihurumie sana
@vivianmauya93023 жыл бұрын
Amen ..Barikiwa mnooo baba
@ELISA2000TV Жыл бұрын
Amena nimejifunza kitu hapa
@consolataantony73653 жыл бұрын
Mungu anitoe kwenye dhambi ya kushirikishwa na za kuiga
@angelamturi22073 жыл бұрын
Mungu hakutoi kwenye dhambi, ila unatakiwa wewe mwenyewe utubu kwa Yesu. Kama unavyofua nguo mojamoja na dhambi tubu pia moja moja sio za mafungu
@pastornongoli43883 жыл бұрын
Pastor Mimi nimekuelewa sana
@jackpaulkamude69522 жыл бұрын
god bless you man of god noreen from kenya
@levispaultitus86233 жыл бұрын
Amen Mungu atusaidie.
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
Amen chai ilikuwa tamu😂😂😂😂🤗🤗🇰🇪
@AmosObanda23Thursday16Nov8am3 жыл бұрын
15:00-18:00 Dhambi za kushirikishwa, Hii Mungu atusaidie sana Manake nimeiskia
@timboxlee9193 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu,, mbona hauongelei chanjo ya corona
@enezaelrobert52253 жыл бұрын
Ninakubali Sana nyimbo zako na mahubir Mungu azid kuuinua
@bibishemartha43783 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@MsWanjeri2 жыл бұрын
Hallelujah yupo mfariji
@mwikalijoeephine15223 жыл бұрын
Grace lord to overcome sin plz
@moreenkasekwa97373 жыл бұрын
Mungu akubarki
@bjk95573 жыл бұрын
Mimi ni mkenya nabarikiwa sana na mahubiri yako mtumishi naomba jina langu lisiondolewe kwa kitabu cha uzima
@halfannteganya61223 жыл бұрын
Kweli,itakuweka huru, Amina mtumishi
@mariamtanz42243 жыл бұрын
Amina muchungaji napenda mahubiri yako
@Gaynor12343 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu.
@ibrahimalex49782 жыл бұрын
👏👏MUNGU ATUSAIDIE
@consolataantony73653 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji Abiud
@zuhuramwalongo27983 жыл бұрын
asante mchungaji wangu nimepona
@vailethkamanyi30923 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana
@richardmpelasoka53093 жыл бұрын
Injili isiyogoshiwa
@nestorypeter81273 жыл бұрын
Ubalikiwe Mch.
@msudanisanga57633 жыл бұрын
Cfg f ¹has
@apostlepeterdan23362 жыл бұрын
Amen Asante
@geitandelwa2992 жыл бұрын
ASANTE vavazi mabaya wanawake tuacheeee kuvaaa
@tausihasheem51692 жыл бұрын
Nabarikiwa
@johnmanyema60083 жыл бұрын
Amen nakukubari sana mtumishi
@christinewomanoffaith54793 жыл бұрын
Kanisa la sshv halina tofauti na disco Na kweli
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Na MUNGU ANISAMEHE KWA KUTO SAMEHE NA PIA AMUPENDAE MUNGU HUKUBARI SANA MAONYO NIJUACHO MM HAPA NINA DHAMBI ZOTE HAPA Nina DHAMBI MAANA neno la MUNGU ni upanga mmmh ole wangu mm