SIMANZI: WALIOTEKWA WAUAWA, MMOJA ANYOFOLEWA SEHEMU YA SIRI, MWINGINE AKATWA VIPANDE, USHIRIKINA

  Рет қаралды 4,883

BONGO NEWS TV

BONGO NEWS TV

Күн бұрын

Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa ya matukio matatu ya watu kutekwa/kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa wameuawa.
Tukio la kwanza ni tukio la Samwaja Sifael Said,miaka 22 mkazi wa Kijiji cha Chalunyangu kutoweka tangu Agosti 8,2024 katika mazingira ya kutatanisha na Agosti 23,2024 mwili wake kukutwa umefukiwa kwenye shimo huku sehemu zake za siri zikiwa zimekatwa.
Tukio la kutoweka kwake liliripotiwa katika Kituo cha Polisi Makuro na lilifunguliwa jalada na uchunguzi kuanza.
Baada ya ufuatiliaji wa kina wa Polisi zilipatikana taarifa kwa kijana ambaye walikwenda kutizama mpira na Samwaja Sifael Said (marehemu) na baada ya mpira kumalizika walipokuwa wakirejea nyumbani walikutana na vijana wawili waliomwambia twende tukanywe pombe na walipoondoka pamoja hakurejea nyumbani na ndipo ndugu zake wakafika Polisi kutoa taarifa.
#sports #entertainment #BONGONEWSTV Usisahau ku-subscribe channel hii kwa taarifa nyingi zaidi na pia tembelea mitandao yetu ya kijamii Instagram @bongonewstz twitter @bongonewstz na Facebook @bongonewstz

Пікірлер: 10
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 18 күн бұрын
Mungu atujalie mwisho mwema
@safiaothman5175
@safiaothman5175 18 күн бұрын
Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 17 күн бұрын
Mbona ya kwenu hamsemi yuko wapi soka?
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 14 күн бұрын
NA NYIE WANANCHI ACHENI KUDANGANYIKA NA WAGANGA WA KIENYEJI. HAO NI MATAPELI.
@chikujuma18
@chikujuma18 18 күн бұрын
😢😢😢 polen jaman wanasingida wenzangu
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 18 күн бұрын
Jaman jaman jaman😢😢😢😢😢
@malkavoice2570
@malkavoice2570 19 күн бұрын
Mbona kuna watu wengi wametekwa na police hamsemi?
@malkavoice2570
@malkavoice2570 19 күн бұрын
Jeshi hamsemi ninyi kama pia ni binasamu mnakosea matokeo yake kwa vile mnamiliki silaha mnateka na kuua pasina kujichunguza why?
@paulmteki8196
@paulmteki8196 17 күн бұрын
Alieleza jeshi la Polisi sio wewe kama wewe msemaji wingi nijema zaid nilitakakusawazisha kwa hilo
@kadiakirua7621
@kadiakirua7621 19 күн бұрын
Poleni kwa wale wote walofikwa na mtihani huuu daaaa😢😢😢
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 36 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 50 МЛН
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16