Huyu hajui struggle anazopitia mama yake huko ulaya.. Shida ya watz hudhani maisha ya ulaya ni simple pesa zinatafutwa.. Yaani mama ahenyeke we kazi ni kunywa pombe tu Halooo..mi mwenyewe namuunga mkono mama
@AfricaQueen2 ай бұрын
🤝🤝🤝🤝🤝Aondoke akatafute nae alee wanawe kubwa jinga sana😏
@rahiyayousaf30932 ай бұрын
Umeonaeeee 😢😢😢 tena mtihni simdongo
@noelasamugabo51352 ай бұрын
Kama huyu yuko 40 mama yake atakua kuanzia 60 kuendelea. Badala huyu ndiye ahangaike kulea mama yake baada ya kulelewa mpaka hapo bado anataka aendelee kutunzwa😢 yeye na watoto wake. Simama toka nje kachakalike acha kukaa mpaka uitwe
@HonorathaMgomba2 ай бұрын
Huyu ana stress kuona wenziwe wote wapo nje yeye wamemuacha.Pia kukosa ofisi kunampa mawazo nahisi kunamfanya anywe pombe.Lakini mama alishamuharibu kumdekeza Toka mwanzo Kwa hiyo inabidi amsamehe tu watoto wote hawafanani huo ndio msalaba wake apepesuke nao.
@AfricaQueen2 ай бұрын
@@HonorathaMgomba 🤔Huyu mamaake alimpeleka course ya makeup 💄 na kamaliza akawa anafanya fanya baadae kawacha na vipodozi pia alimletea mwanae ajiendeleze lakini akaishia kwenye vichupa bora watoto analelewa wewe mdada ungejua hali ya kazi na maisha ya ulaya unsinge mfanyia mamaako maudhi haya sasa umesikia mama mgonjwa wa mgogo ndio maisha yake yote atakuwa na hayo maumivu wewe mtoto kubwa jinga nenda katafute kazi hata huwezi kosa nawe ulee watoto wako ujitegemee wacha kusubiri vya kupewa utamuua mama wa watu hiyo pesa anapata ulaya ni kwa maumivu aliyopata kujenga nyumba yake aishi kwa Amani lakini humpi hata Amani shenzi kabisa uso umechoka kama mpishi wa kangara umenichefua sana nyoko zako kubwa jinga🫵🏾😏
@Irenemazoya88772 ай бұрын
Tatizo limeanzia kwa mama mama yako amekulea vibaya Bebe 💜 Coz alikuwa anakufanyia kila kitu kwanzia nyumba ya kukaa pesa za matumizi anakulea wewe na mumeo na watoto hapo huna kosa we endelea tu kukaa home!! Mama khadija wewe ukumfundisha mtoto kutafuta maisha wewe ndio mwenye makosa mwache mtoto aendelee kukaa nyumbani! Mtoto kwa mama hakui 🥰si unaona mpaka sasa bi Khadija ajui kosa lake 😂😂😂😂😅 #mtotowamama☺️
@omanoman20442 ай бұрын
Miaka 40 hata kam alikuw anapew kila kitu yy hajiongez duuh
@raniahAbdul2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ushauri wako tu😂😂😂
@khadijal98512 ай бұрын
Absolutely she was spoiled. She needs to go to the sober house. And apologize to mom
@roiyajuma97092 ай бұрын
Huyu hayupo sawa anatakiwa apate mwanasaikolojia wala asitengwe Allah akuongoze khadija
@BIGBOSS-hl3bu2 ай бұрын
Kwa ndugu zetu wa kiafrika inaonyesha kuwa÷ 1-Umesaidiwa Mali nyingi sana lkn umepoteza haubebeki 2- KUBADILISHA dini Kwa ajili ya mume 3-kunywa POMBE 3-mama kakushauri sana lkn hushauriki 4-suluhisho÷jitambue usimtegemee mama Kwa kila kitu, badilika KITABIA acha POMBE fanya Ibada ,tulia mama atakuwa na wewe Kwa kila hali
@keifatuke992 ай бұрын
Huyu dada anahitaji msaada wa ki sphycolgia kisha apewe mtaji,kuacha pombe siyo kazi rahisi.Mwenyexi Mungu amfanyie shufaa
@ashminaabdulla89462 ай бұрын
Kweli my ila ki African unalaumiwa tu si kurekebisha
@masalakulwa76012 ай бұрын
mno kuacha pombe sio rahis kbs
@LeeLian952 ай бұрын
Sio sphycolgia ni psycologia
@nasramohamedi40952 ай бұрын
What is sphycolgia😅😅😅
@sajdatomar60252 ай бұрын
Amin amiin
@Rose-ue2ho2 ай бұрын
Miaka 40 unataka mama ukuhudumie?? Huu ndio wakati wako ww umuhumie mama yako si yy akuhudumie
@ruqaiamohammed3452 ай бұрын
Mamake ana hela ndo mana ataka amuhudumie 😂😂
@hamisaally9682 ай бұрын
Kwelii tupo tofauti wengine tunàangaika na kupambana kulea wazazi wetu eti uku kuna anataka mama akèe amsaidii na mtu yupo vizurii
@Marjeby2 ай бұрын
Pole sana khadija na wala hakuna kosa kuwa na miaka 40 kisha kusaidiwa na mama yako kikubwa zaidi Khadija kaomba msamaha mama msamehe huyo ni mwanao haijalishi umemsaidia kiasi gani na japo khadija ametenda kosa lingine kuileta issue kama hii kwenye Media but still anahitaji msamaha kutoka kwako as long amekiri kuwa ni mkosaji sana kwako na anajutia Khadija anahitaji msada wako hata wakumsamehe tuu
@armstrong_0072 ай бұрын
From SINGIDA MNYATURU OR ARAB / MWARABU OR INDIAN?
@Zanzibar-e4h2 ай бұрын
mtoto hakuwi kwa mama yake.dada ishu sio kumkera mtu unamkera Allah unambiwa ukifa ktk pombe ukifufuliwa unafufuliwa na ulevi unakutana na mola wako na nishai.ALAH AKUJALIE UWAJE KULEWA
@fatimaabdullahmohd23472 ай бұрын
Amiin yaa Rabbi ALLAH amjalie awache ulevi.
@margarethpolepole74382 ай бұрын
acha kunywa pombe swali sana na mama atakusaidia pesa ufanye biashara acha upumbavu wa kilevi
@ShabaniButanga2 ай бұрын
Changa hizo pesa za pombe, utafute chumba ukae kwako, halafu hizo ni issue za kifamili a haifai hats kuita media, watu wanakuchora TU, watu wana mambo makubwa ktk familia zao, Acha kumtegemea Mtu, mama Yako ni binadamu, akiondoka kabla Yako atakusaidia Nani!?
@mgm-q1k2 ай бұрын
Yaani upo sahihi kabisa, na kama hajaongea na ndugu na wadogo zake kutafuta suluhu yeye kakimbilia kwene media… something is not adding up
@NamiriNamiri-oz4xsАй бұрын
Huyu Binti ni kweli Ameshapita umri wa kulelewa inabidi kweli Qjitegemee ila inatakiwa Amuwezeshe mama ake ili awe sawa tatizo ni hicho kilevi na Ampeleke kwa pili kwanza kisha baadae Amsaidie hata kodi ya miezi sita baadae Atajimudu mwenyewe kosa ni la mama ake keshamzoesha mwenyewe kumpa pesa kwa hiyo kamdekeza mwenyewe mtoto umleavyo
@hadijamandanje61892 ай бұрын
Sasa unamtegemea mama unachopata unatumia katika pombe,bado unampa dhwahama kesho mbele za Mwenyezi Mungu
@ashuramuhamed76602 ай бұрын
Uyo mama Hana tena iyo pesa mgongo ishavunjwa care tu hoyeeee. Tafuta pesa acha Pombe utafute maisha
@bonita3292 ай бұрын
Jamani miaka40 bado unashindwa kujitegemea😮? Wenzio tumeanza kujitegemea tuna 16 years mpaka sasa tuna 38 wewe bado unategemea vya mama? Wenzio pombe tuna kunywa lakini kiakili tena weekend tu .. weekends kazi na maisha mengine yanaendelea.. muonee mama yako huruma sie tunaoishi huku ulaya tunajua jinsi mateso tunayopitia tena acha pombe angalia unavyozeeka utafikiri una miaka 58
@saidasalum41722 ай бұрын
Huna makosa VIPI? Wakati unamkosea, pombe mama WA maasi ndugu acha bombe kama kweli unataka kwenda Sawa na maambrisho ya imani yako na mzazi wako, Yuko Sawa mama hata mm ningefanya hivo. Adhabu yako Ni fimbo kwa mnya pombe, mama anakupenda sana kuliko unavojipenda
@saidasalum41722 ай бұрын
Yaani umejichoresha bure wakati hukuwa na sababu ya kuwa media hapo unajitukanisha, acha usherani Rudi kwenye imani yako, yaani unaongea kipombe pombe tu hapo
@hopejohnson73522 ай бұрын
Mtu mzima ovyoooo yaani miaka 40 bado unakaa kwenu yaan nishida ila hii ipo sana kwa wadada wa mjin wanapenda kujibweteka sana
@rehemalusindengawa51862 ай бұрын
Sisi tuloanza kusaidia nyumban tukiwa na miaka 16 tunacomment wapi😢
@siashayo86762 ай бұрын
Nyuma ya pazia😮
@AfricaQueen2 ай бұрын
Huyu Kubwa jinga pumbavu 😏Namuunga mkono mamaake na huyu msichana hana aibu kwenda kuomba kazi kwa shishi ukapike mwache mamaako afurahie dunia kubwa zima mlefi hata sura imebadilika kwa ulevi 😏
@angeladegens71392 ай бұрын
😂😂😂😂
@MariamIbrahim-h7p2 ай бұрын
Hata mm fsmilia yngu even insishi ulaya ila najielewae hadidja jiwlewe kwanza
@ukhutfatumah11542 ай бұрын
Mtian sana jamn daaaa nashindwa hata ni comment nini jamn wingine hapa tumeanza kupambana toka miaka 17tumetoka kwa wazazi wetu miaka 10 sipo nyumban na family yangu alhamdullah ipo vizul hy dda anamiaka 40 ajui hata bill ya umeme daaaaa ndio maana Anapitia magum sana ajui wapi aanzie mama analea vizee uko ulaya pesa anaipata kwa tabu mnooo tuliopo uku tunayajua maisha ya nje upo na fani Pambana dear uko na watoto 4 bado unataka msahada wa mama bado akupe mtaji daaaaa alhamdullah kwa hapa nilipo fika
@Fatma-re2hw2 ай бұрын
Wewe unasema hujuwi kosa mama yako kakwambiya hapendi unywe pombe wacha pombe urudi kwa Allah dunia ni mapito uko miaka 40 pambana na maisha ji keep busy usifikirie duniya tu
@ZahratAhmad-o1vАй бұрын
Riziki atowae ni mungu vuta subra Allah atakuonyesha njia kuwa na miaka 40 sio sababu kuzalia nyumbani sio tija
@Luckyme-b4i2 ай бұрын
Hadija amekuja kudai haki yake😅, kwanini ahudumiwi
@siashayo86762 ай бұрын
Woiiii
@mwatangachuma90692 ай бұрын
Kwakweli😂😂
@MwanamkuuMwalimu5 күн бұрын
😂😂😂hatar
@youngchyna7442 ай бұрын
Kuacha KAZI sio KAZI nyepesi ila uyu dada anavingi anapitia ila mtu mwingine hawezi kumuelewa ataona kama mjinga .hii kitu skia KWA mwenzio usiombee ikukuteee
@Thebaddest2552 ай бұрын
Mshenzi kweli huyu mtumzima hovyo eti akikuwekea msingi saloon hii hapa ndo utaacha pombe MAMA POPOTE ULIPO USISAMEHE MBUZI HII😅
@hopennko5242Ай бұрын
😂😂😂😂
@lilianwaflotina12882 ай бұрын
Mkubwa mzima unataka kulelewa pumbafu tafuta maisha asingekuwepo ungefanyaje 😮
@janethkiswaga42042 ай бұрын
Nimecheka sana umenijibia tyr😅
@aishajuma78132 ай бұрын
Sasa miaka 40 bado uko nyumbani ujisikii vibaya unajitia haibu bule tafuta maisha yako utunze familiya yako
@AfricaQueen2 ай бұрын
🙌🙌🙌🤝🤝🤝🤝huyu mama na anamtoto bado unaishi na mamaako kisa yuko ulaya unasubiri kupewa na pesa ya pombe unapata kwa kweli huyu Pumbavu jinga kubwa🫵🏾😏
@Rahima-kv6mn2 ай бұрын
Na pesa ya crim mana uso kajikoboa utasema kiazi kitamu kilichochemshwa na maganda yake yaani kokobooo byoooo
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
😂😂😂@@Rahima-kv6mn
@mariej69622 ай бұрын
Wazazi leeni watoto wenu wawe responsible na maisha yao. Wanasema usiwe enabler, ni hatari sana. Huyu alipaswa kuwa tayari kujisimamia mwenyewe tangu mwanzo. Sasa mama naye ana makosa yake huyu hajalelewa kujitafutia, hapa mzazi kachoka anadhani atajisimamia hapa alipo? Too late.
@rosehillary87422 ай бұрын
Mambo ya spoon feeding
@ladyprima-e9tАй бұрын
Pole sana ww ni dada kwangu hii hali naijua ila jikaze usilie.mm mwenzio jumaamosi nishaambiwa natolewa vitu vyangu nje namama mwenye nyumba.hapa nimechanganyikiwa mpaka akili yangu inaniambia kumbe wale wanaojiua hawatakiwi kulaumiwa mana mm pia akili yangu IPO huko kwa sasa.
@ladyprima-e9tАй бұрын
Mungu tusaidie nataman atokee t mtu anisaidie laki mbili t angalau nipunguze den.zaidi naangalia watoto wangu mayatima hawana baba Wala mama na wanafanya mitihan pia wanatakiwa kulipia.kiukweli nikifa hata wasijiulize tatizo Nini nimsongo wa mawazo nilionao😢
@CatherineJanken2 ай бұрын
😂😂😂yani mama ako akuulze unatak nini ili uache pombe serious?miaka 40 uanze kubembelezwa yan,apo apo hyo age unaomb upew na mtaji et akufungulie ofs jmn seriously aisee sema nakuombea msingi mzuri ujitambue ufanye kazi upunguze hizo pombe my dia,unahuzunisha sana yan na kuchekesha pia
@NamiriNamiri-oz4xsАй бұрын
Ni huyoma mdogo Anaishi humo.ndio.anawagombanisha mama na mtoto anaona wale wenzie wapo ulaya hapo yuko huyo peke yake anahisi nyumba itakuwa ndio yake unajuwa.wazazi tujifunze ukiwa na mali yako usihusisje mali na ndugu kuna ndugu wengine wabaya hawafai kabisa anataka apatawale hapo nyumbani mama afikirie sana atampoteza mwanae kisha kizazi cha huyo mwanae kitakuja kumchukia mtoe huyo ndugu yako akaanze maisha yake huko na familia yeke mamdogo toka humo ndani ni.ww unasambatatisha hiyo familia.
Yaani yeye kila kitu anahitaji kufanyiwa tu 😂😂😂 wewe khadija upo siriazi kweli na haya maisha
@BarkisLambert2 ай бұрын
Asaidiwe apelekwee sober akaache pombe basii
@BarkisLambert2 ай бұрын
Mtajii atalewea yoooteeee
@amoonatnzani9834Ай бұрын
Sasa kwanza ana mtt mkubwa anafanya kazi Uhamiaji sasa si amsaidie mamaake?
@AminaAhmed9992 ай бұрын
Kosa kubwa hapo ni kunywa pombe wacha pombe mama yako utamuona .akikusaidia lakini unataka usaidiwe ndio uwache pombe hapo haiwezekani wacha pombe kwanza akuone maendeleo yako
@patelokoh58282 ай бұрын
So wewe ni 40 wested yrs hufanyi job walewa na huna kwako .... What a shame
@fatmaalnabhani36092 ай бұрын
Khadija sasa hiyo pombe ndio nini hivyo jamani, pombe ni haramu na ni aibu kubwa, hata kama hugombani na mtu. Na haina faida yoyote illa maradhi tu. Mungu atakuhidi inshaallah. Amin. 🤲🤲
@patelokoh58282 ай бұрын
Shida ni mamake alimzoesha wa Nini Kisha Khadija sio wale wakujituma na atakuwa mzigo sana
@halimajuma21042 ай бұрын
Mm hivi unataka usaidiwe miaka mingapi miaka 40 jamani bado uko nyumbani na bado unaongea kwenye vyombe vya habari huo ni ujinga kuna watoto wadogo ya tima wanaitaji msaada sio wewe miaka 40 looo
@mukeshimanataussi69392 ай бұрын
Bi Hadidja mdogo wangu pole sana lakini usisitize kama mama hakupi kibiashara utakunywa pombe la hacha wewe aca pombe jiweke kwenye mikono ya Allah mma na uace pombe mma atakurudilia in nshallah hata ivo pombe hayimfayi mtoto waki islam unajitangaza mitandaoni kama uko mywaji mzuri? Subhanallah Adija aca pombe maramoja utakua vizuri usiwi kama mtu haun radhi za wazazi aca kunywa mikojo ya firauni? Utazurika mdogo wangu jirekebishe na usirudi kumuweka mma mitandaoni kipindi amekuja ungemwita mkaka mkayamaliza
@RachelLaizer-n2pАй бұрын
Mjue Mungu mkuu ajuaye yote azidi kukusaidia mama ameshafanya kwa nafasi yake wew ndio shida hujielewi na hiyo ni roho ya kukudhalilisha
@KhadijaMwinjuma-o3q2 ай бұрын
Wajina anahitaji msaada nipo ktk maombi mama arudishe moyo msidhihaki jmn Ana vitu Vingi sana hanapakusemea kwa sababu ameitwa mlevi tupo nyuma ya my lv
@hildascorner23272 ай бұрын
Dadangu punguza kudeka aisee sijui ndo last born syindrome kahhh hongera lakini mm mwenyewe natamani nngekua na mtu wa kumdekea hivi 😅
@ReychoMc2 ай бұрын
Kaz kweli kweli...yn uyu mdada na ukubwa huu bado unalia lia tu ...Sasa unajitafuta lini na utajipata lini jmn
@KoleYasini2 ай бұрын
Ndg washakuchoka unaonekana umekuwa omba omba kwa ulevi, na umkosei mama tu kubwa unamkosea Allah.
@Rahima-kv6mn2 ай бұрын
Ndo atutaki unywe mapombe hayo ata km umkeri mtu pombe ni pombe tu inakeraaa bwana weee kubwa zima mashavu yanapululuka chini ata uyaoni basi mie uku nayaona mashavu yanashuka chini mwehu weee ☹️😏
@NeyBeka-o2i2 ай бұрын
Yn anategemea vya watu sana yn nina maswali mengi mpk sio poa umri ulio nao sio wakuanza kuomba hata kodi au mtaji kwa mtu jmn
@ashazuber65482 ай бұрын
Doooooooh yaan hii miaka niliyo nayo namuwazia mama yangu nimtunze awe nafuraha ila huo umri yaan changamoto kubwa 40 tafuta tu kwako mom doooh
@nathalieswedy36532 ай бұрын
Unaraha hd sasa unabebwa na mama picha limmeanza nilianza kufukuzwa na mama angu nikiwa na miaka 12 miaka 14 nmeanza kujitegemea huo umr toka kajitafute dada angu amejitahd sana huyo mama
@zeyanaalgheithy65612 ай бұрын
Kwa maneno yake anasema kama.atapewa mtsji atqacha pombe kwa hio yy hataki mssamaha anataka.mtaji aaache pombe ovyoooo
@sirajismail3978Ай бұрын
Uso wako pombe tupu pole sana sasa kama mm amestaafu kwanini usifanye KAZI Ili umsaidie mamio pole Khadija
@magrethmathayo28002 ай бұрын
yani mkubwa hivyo unataka usaidiwe kila kitu acha hizo basi aisee
@habyalmary8132Ай бұрын
Mwenye ezi Mungu awape masikizano mema.
@sistersade90392 ай бұрын
Sasa haya ni maigizo au kweli 😮 umekuja mshtaki mamaako kwenye kipindi cha habari? Kweli? Makosa ya mzee hapo si wazi tu. Wacha pombe ujitume aone kama unajishughulisha.
@barkeali91352 ай бұрын
Makosa yako wayajuwa kwa mamako kwahivyo uyaache mambo ambayo mamako hayataki
@GdFf-ik2eo2 ай бұрын
Mtihani mungu tunaomba uwaongoze wtt wetu ktk njia ya haqqi
@salimakuyela78132 ай бұрын
Hakuna mtu hapa Sasa kama unajuwa kosa kunywa pombe kwanini usiache mama ake anamengi sn mwacheni akapambane mwenyewe Hana akili
@aminamohammed53732 ай бұрын
allaha atakuongoza inshaallah
@estakapufi75822 ай бұрын
Ivi umli huu hujielewe ukitaka maisha mazuli jitegemee mwenyewe mama mama yuko ulaya ivi unahisi ulaya pesa inapatikana kiulahisi, acha ujinga mpaka wanakwambia acha pombe wameona hasara kila ukitumiwa pesa wewe pombe tu hata kama ni mimi ni mwanangu nakutema, ulaya kunamaisha magumu ingawa pesa inapatikana ila upatikanaji wake ni mgumu ulaya kuna ugonjwa wa stress kama ujuwi alafu wewe tena unataka kumuongezea hapana.
@Kuruthum-tf1vr2 ай бұрын
Jina Zuri mashaallah Khadija achana na pombe Rudi kwa Allah Inshaallah Kila kitu kitafunguka mtafute ostadhi akakuombee msamaha kabda mmoja wenu ajatangulia mbele za haki
@giftpeter91182 ай бұрын
Yaan muda huu ndo ww wa kumlea mama siyo ww kuendelea kumtegemea yy , umesema kwa ss han kaz hiy hle y mtaji yy anatoa wap jmnii! Unaitaji maombi dada
@ChristinaMlolere2 ай бұрын
Ila mtihani miaka 40 bado unamtegemea mama. Kosa sio la huyo dada ni mazingira walomtengenezea
@sabrinasabrina83952 ай бұрын
Imagine
@naimakawina42762 ай бұрын
We dada unafanya kusudi lkn hata kama mama anauwezo jitahidi kutowategemea wazazi nao wanahitaji na ss tuwasaidie,
@shakilamasoud29832 ай бұрын
Eti kama kuna kosa😢. Kosa lipo,,,,,,Acha pombe mrudie Mwenyezi Mungu dada
@nikitadiamorelivingstone28312 ай бұрын
Miaka 40 bado uko kwenu.
@mariamdullazy81662 ай бұрын
Mtu mzima kisheti unataka kulelewa mpk umri gani 😂😂😂
@khadijatanzania80402 ай бұрын
Shangaa na wewe😅😅😅😅😅
@zaytunhijja67712 ай бұрын
Mazingira uliomtengenezea
@ruqaiamohammed3452 ай бұрын
@@zaytunhijja6771hakika
@chrispinantabaye48662 ай бұрын
Kisheti kwelikweli,mtu mzima andazi sijui ni raha au laana hii?!!
@esuvathmollel24752 ай бұрын
Pambee😂😂😂
@صالحالصوافي-غ5و2 ай бұрын
Pole sana bi khadja aca pombe swari uwace pombe najua sio rahisi kuaca na mama msamehe mtoto wako mtoto hakui
@EuniceUlomi2 ай бұрын
😅😅😅😅nacheka kama mazuri kwani sisi tuliotoka home tangu tuna miaka 22 tulizaliwa au tulijambwa???
@OmanOman-dd5qk2 ай бұрын
Dada pole 40 bado upo kumtengemea mama ukitaka uonekane mbaya ni kuwatengemea jibu hama tafuta chumba ukae nawanao utakua mzuli kwake
@saysophyfarm17802 ай бұрын
Miaka 40 bado unataka kuishi kwa mama, pumbafu. Pambana huko, kuna watoto wana miaka 15 na wanalea hadi wadogo zao, wewe bibi mtu mzima unataka kutunzwa na mamaako, ni aibu kabisa.
@halimajuma21042 ай бұрын
Ulitakiwa uwe kwako ni pombe tuu wew ulikuwa humsilizi mama yako
@DianaHyera2 ай бұрын
Msikilizeni huyu bibi,Kwanza mshukuru Mungu kwa kukupa Mama bora,yani mimi ndo ningekuwa mama yako, ningekufukuza usiku saa 6 na dk 40
@shakilamasoud29832 ай бұрын
Nasikia hsira😢😢😢 miaka 40 bado unataka kupewa na Mama 😰.? Ndiyo maana umekuwa mlevi mlevi.
@rayouaabdallah1394Ай бұрын
Shida sio kubwah wazanzibar wengi hawafukuzi watt ata awe ameowa anaweza kuish kwao ila matendo kama uyu bint anafanya mambo yasiompendeza abadilike
@neemasalema15462 ай бұрын
Imebidi nisikilize mpaka mwisho nilitaka kujua kwanini Mama amebadilika kwa mwanae siku zote ndugu huwa mara nyingine sio sahihi sana kwenye familia huyo Mama mdogo ndio alipaswa kukaa na Ahdija kumfundisha kuliko kupeleka maneno kwa Dada yake
@CatherineJanken2 ай бұрын
Yan huyu mtu mzima afundishwe nin mpk apo anajua mema na mabaya kam yote sas afundishwe kitu gan mkubwa hiv dia
@Kabwela7762 ай бұрын
Yaani mtu ana miaka 40 bado anamtegeme mama anaishi home inaonekana amelelewa kama Yai acha pombe maana hata bwana huwezi kuishi naye , inaonekana unakunywa sana pombe Na ukute umeshaanza kupata matatizo ya ini
Huyu hayuko sawa kiakili..anahitaji tiba taratibu ya kisaikolojia.😢
@Yassinseleman2 ай бұрын
Dada pombe pombe na kuna kitu umeongea ukinywa pombe inakusaidia kwenye mambo flani hujayaweka wazi hayo mambo pengine ni mambo mabaya zaidi na yanamuumiza mzazi acha vyote fuata mama anataka nini hio sio ombi nilazima kwakua umetaka kukaa kwa mama na miaka yako40 lazima ufuate sheria vinginevyo ondoka hata mm nasema
@sk-wj9or2 ай бұрын
Kjadija mama yako atabaki kua mama yako. Mapenzi yake kwako ameyadhihirisha kwa kuonyesha hasira kwa dhambi za ulezi unazo zifanya. Hongera mama khadija huna faida ya kusaidiwa. Muombe Allah radhi na urudi kufanya ibada. Kumbuka una watoto 4 Sio tena dhamana ya mama. Stop blaming that nice Lady
@Zuuh42862 ай бұрын
𝐈𝐥𝐚 𝐤𝐡𝐚𝐝𝐢𝐣𝐚 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@tinanicholasligwile69722 ай бұрын
Saaa jamaan huyu si mtumzima jamaan au mia 40 unataka kulelewa kweli na watoto wa 2000 wasemajee😂😂😂
@HadijaZabroni-pu1lt2 ай бұрын
Ndo Mimi nashangaa tu jamani wajina. Wangu
@KoleYasini2 ай бұрын
Ulidekezwaa sanaa.
@fatmaali49212 ай бұрын
Miaka 40 my dear bado hujajua kwa nn?mama ako anataka utoke ukatafute maisha bishoga msingi wa maisha mzur miaka 40 hujachelewa ila umepoteza mda wako sana yaan mama ana haki ya kakufukuza my dear hunaongea yote kiundani unaficha mama hakuchukiii ila wewe hujawa tayar hukuyaona mapenzi ya mama ako akili haikutunuka ukataka kutafuta chako akisha kuleta kwenye mitandao habar zako umejidhalikisha wewe mwenyewe pole sana bikhadija
@حجيالحارثي2 ай бұрын
Acha pombe khadija rudi kwa mungu wako mama hana makosa kukukasirikia acha pombe mungu atakusaidia inshallah utapat
@rashidmaulid73122 ай бұрын
Si huyu dada tu kwa yoyote anaekunywa pombe aache. POMBE MUNGU KAHARAMISHA. KUNYWENI MAJI AU HATA SODA.PILI POMBE NI NAJISI
@fatmakhanii1676Ай бұрын
Yani nina miaka 31 na hudumia mama na wadogo zangu na wewe miaka 40 bado unasubiri upangiwe chumba na mama 😢😢😢
@نجمةموبيبي2 ай бұрын
Wenzetu wanabahati na hawajui , yaan miaka 40 unahitaji msaada,shida kubwa watt wakishaona wazazi wako nje tayari ashajiona boss , hawataki kazi , wanavimba mtaani wao ndo wenye maisha , hawajui watu wanapitia nn
@sikitujuma48662 ай бұрын
Eti nakunywa pombe huna hata haya wala huna akili unajianika badala ya kupambania maisha unajidekezajitu zima
@rosehillary87422 ай бұрын
Kuna zaidi ya Pombe..Age of 40 unalalamika Kuna zaidi ya Pombe anahitaji matibabu.
@anethmshahara85192 ай бұрын
Heee we dada hebu ona aibu basi wewe na umri huo na watoto wote hao bado unategemea kuhudumiwa na mamaako haliyakuwa uko mzima kabisa!!!? Hebu acha tabia za kitoto unawaabisha watoto wako pia
@HonorathaMgomba2 ай бұрын
Huyo mama mdogo na mume wake waondoke nao wakajitafutie looh😂😂 huyo mume wa mamdogo awezi kupanga hadi aje kujibana hapo?.Mwanao ni mwanao ata kama kichaa lkn usimfanye mwanao atange tange ila shemeji kajiachia na watoto wake😂😂😂
@aishaaisha45492 ай бұрын
Wacha kulewa pombe Dada ww ni mtu mzima angalia maisha yalivyo magumu Dada ukiwacha pombe mamako at akupenda.
@kadilamore8022 ай бұрын
Huyu ni zaid ya 40
@fathiyahmuzney73672 ай бұрын
Hv huon km unajidhalilisha mtandaon watt wako wanajisikiaje miaka 40 unajichoresha mtandaon et unalia kisa umenyang'nywa chumba😂😂
@edithaeugeni96952 ай бұрын
Kwanza ncheke😂😂😂😂😂kubwa zima eti jamanii na anamtto mkubwa tu yawezekana hata nahyo bint yake ana mahusiano yake anakuja kukutana na mama mkwe analya kwa midia amepokonywa chumba allo!!! 🙌
@happynkya9770Ай бұрын
Heee jaman
@kampotkanangila96472 ай бұрын
Ndio chukuwa kwanza mahamuzi wemwenyewe yamahishaako achapombe dadaangu mpombe hahita kusahidia kitu chocho te bali inazidi kukuhongezea shida na kuku zehesha na kuku rudisha nyuma
@salimumazige94972 ай бұрын
Acha pombe huenda ndiyo kosa lako utaonakama hatokusamehe Kwan Mia 40 wenimtumzima anataka uwekaribunae kiushauri
@arafaally28952 ай бұрын
Huyu akishika pesa ndio atazidi kunywa pombe,huo mtaji akipewa atafungua salon kisha faida anywee pombe anaomba msamaha baada ya kujikuta umri huo anaishi kwa mtu baki pyeee
@abuuahmad5242 ай бұрын
Hio pombe nadhani anafanya ajili hio stress Tu huyu anaacha mara moja anaonesha kua anafanya sio Kwa matakwa yake hio Hali ikitokezea Kwa yyte Aweza pitia hio mitihani
@powerrecordszanzibar33842 ай бұрын
Waja mnamhukumu kwa maneno mtu alietaka maelewano na mama yake tena kwenye vyombo vya habari? Mama rudisha moyo umsamehe Binti yako, na binti uache Pombe
@Zanzibar-e4h2 ай бұрын
Mambo ya familia yamalizwe ndani.bora ungeita watu wazima walomzidi mama yako wenye hikma